MAAJABU NABII MEJA WA SIMBA AHAMIA YANGA/ ADAI AMEFUKUZWA SIMBA/ NATAFUTA FURAHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Aliyekuwa shabiki wa Simba Nabii Meja rasmi amehamia Yanga
    "Is a life's and sports channel our vision is to develop and deliver world class Broadcast-based on local and international market"
    #sports #footballclub #zuchu #azamfc #harmonize #harmonize #singidafountaingate #simbanation #footballclub #sports #soccerclub #footballclub #zuchu #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate #zuchu #simbanation #footballclub #sports #azamfc #middlesimba #harmonize #singidafountaingate

ความคิดเห็น • 209

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 27 วันที่ผ่านมา +21

    YANGAAA tunawa pokea wapenda FULAHA maana fulaha ipo YANGAAA makolo wote wenye msongo wamawazo kukoswa brudani karibu yanga 💛💛🧡🧡💛🙏💪💪

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 27 วันที่ผ่านมา +15

    Karibu kaka şişi yanga tunapenda mashabiki na wanachama wakweli hatutaki masnichi karibu jangwani patamu🎉🎉🎉

  • @Mary-fs4mc
    @Mary-fs4mc 27 วันที่ผ่านมา +5

    Karibu kaka Meja! sisi ndio Yangaaaa💚💛💚

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 27 วันที่ผ่านมา +10

    Safi sana,wasikupangie maisha

  • @sumahilibitomwa7649
    @sumahilibitomwa7649 27 วันที่ผ่านมา +4

    Meja karibu sana yanga timu ya wananchi

  • @husseinmejja8041
    @husseinmejja8041 27 วันที่ผ่านมา +7

    Karibu sana mwananchi

  • @KwizeraEnock-ny1by
    @KwizeraEnock-ny1by 27 วันที่ผ่านมา +8

    Timu sio ukoo karibu sana jangwani

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 27 วันที่ผ่านมา +3

    MUNGU ni mwema hongera Sana meja karibu Sana Tena Sana kila la kheri kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g 27 วันที่ผ่านมา +5

    Kwakuwa huko ulikotoka ulikuwa shabiki, nakuunga mkono kabisa na uamuzi wako ningekushangaa kama ungekuwa mwanachama, karibu sana kwenye furaha yamoyo wako ila nakushauli jisajili upate kadi yawanachama👍👍👍👍

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 27 วันที่ผ่านมา +6

    Karibu sana jangwani 💚💛

  • @sevarinijrchitandachitanda138
    @sevarinijrchitandachitanda138 27 วันที่ผ่านมา +5

    Karibu

  • @user-jl5sl7dr2r
    @user-jl5sl7dr2r 27 วันที่ผ่านมา +12

    Sana nabii meja nakukubali mzee baba uko smart sana kifikra

  • @talhasuleiman5217
    @talhasuleiman5217 26 วันที่ผ่านมา

    Toroka ujeeee, karibu sana kwa Wananchi

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 27 วันที่ผ่านมา +5

    Karibu sana kachukie kadi kabisa

  • @davidchirimi2013
    @davidchirimi2013 24 วันที่ผ่านมา

    Mwamba karibu sana jangwani wewe ni mwananchiiiiiiiii kuanzia sasa karibuuuuuuuuu sanaaaaaa

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 27 วันที่ผ่านมา +7

    aaa karibu nimekukubali sana siku zote nimekufatilia wew kocha mwenda hapo EATV mnapenda ukweli na milaji ingawa miraji kabadilika ameanza kupaka mafuta kama mjata meja karibu Yanga karibu mwananchi

    • @user-yn4oi3cz2v
      @user-yn4oi3cz2v 26 วันที่ผ่านมา

      Kweli miraji kabadilika

  • @husseinchalamila2624
    @husseinchalamila2624 26 วันที่ผ่านมา +2

    Baba umetisha

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 26 วันที่ผ่านมา +1

    Karibu sana kwa wananchiiiiiiiiiiiiiiii 💚💚💚💚.

  • @deborasimon2525
    @deborasimon2525 25 วันที่ผ่านมา

    Hongera Sana! Na karibu Sana we ni mtu mwema.na utaisemea Yanga vizuri.

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 25 วันที่ผ่านมา

    Karibu saana Yanga

  • @hawahussein9055
    @hawahussein9055 26 วันที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri sana kalibu sana

  • @user-kf3ft8pk8e
    @user-kf3ft8pk8e 26 วันที่ผ่านมา

    Karibuuuuu yangaaaaa upate rahaaaa

  • @user-pw6rn5jn2q
    @user-pw6rn5jn2q 25 วันที่ผ่านมา

    Karibu sana jangwani

  • @AminaSeif-kk1dp
    @AminaSeif-kk1dp 25 วันที่ผ่านมา

    Njoooo. Kwenye raha

  • @AchileusNshekanabo
    @AchileusNshekanabo 27 วันที่ผ่านมา +7

    Karbu kaka maisha Ndo Aya aya

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 27 วันที่ผ่านมา +6

    Uwe nakadi iyo raha inalipiwa

  • @seifmsabah4384
    @seifmsabah4384 27 วันที่ผ่านมา +5

    Jaman alichokifanya ni maamuz yake matus ya nn?

  • @user-mn3bx7vv7z
    @user-mn3bx7vv7z 26 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana, maamuzi ya maana sana hayo.

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 27 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu jamaa ni mkweli ila mtamuelewa mwisho wa msimu... Time will tell

    • @eddechriss2664
      @eddechriss2664 27 วันที่ผ่านมา

      Watu awaelewi maana ya hafidhina ndio maana wanamuona huyu jamaa km alikuwa mamluki, lakini amekuwa ni msema kweli aliyeegemea kwenye upande wa changamoto

    • @jitihadaharuna9448
      @jitihadaharuna9448 27 วันที่ผ่านมา

      Anaukweli gani boya tu huyu

  • @CosmassCosmasjohn
    @CosmassCosmasjohn 26 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉 kalibu sana meja nakufatiliaga sana

  • @Tulizombago7633
    @Tulizombago7633 24 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp 24 วันที่ผ่านมา

    Kabisa kamaunaakili timamu lazima umuunge mkono Simba hakuna mwekezaji kunaujanja ujanja.

  • @MsafiliMbalwa
    @MsafiliMbalwa 26 วันที่ผ่านมา

    Karibu sana kaka

  • @NIUX007
    @NIUX007 27 วันที่ผ่านมา +7

    Timu si baba au mama / Familia yako na mm nahamia yanga soon

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 27 วันที่ผ่านมา +3

    Tamba baba watu wanahama dini sembuse tim ya mpira, kabila tu ndo hubadirishi, wewe ni mwananchi 🔰

  • @mariaPaschal-l5c
    @mariaPaschal-l5c 26 วันที่ผ่านมา

    Hongera kaka meja 2unakuribixha

  • @veronicangwale7159
    @veronicangwale7159 26 วันที่ผ่านมา

    Karibu mejaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MachoteghMacho
    @MachoteghMacho 26 วันที่ผ่านมา

    Karibu yanga ❤❤❤

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 26 วันที่ผ่านมา

    Kalibu kwetu timu ya makombeeeee💛💚💛💚💛💚💛💚💪

  • @fazo-kl9fu
    @fazo-kl9fu 25 วันที่ผ่านมา

    Karibu sanaaaaa

  • @laulianmpepo1267
    @laulianmpepo1267 26 วันที่ผ่านมา

    Alooh 👏👏👏✅ karibu saaaaana jangwani

  • @user-qf1rt1wx8z
    @user-qf1rt1wx8z 26 วันที่ผ่านมา

    Mueleweni jamani wandishi hamjui munahoji nini .Nabii Meja anajua mpira.na uongozi amaufahamu ni kweli mutakuja kuwatukana tena kina mangungu Nabii Meja uko sawa na wana simba wengi watakufata nyao zako uhakika huo big up Nabii Meja .unajua

  • @dicksonngasapa7007
    @dicksonngasapa7007 25 วันที่ผ่านมา

    Hawajajipanga haoooooooo

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 26 วันที่ผ่านมา

    Yes karibu sana

  • @RaphaelRapha-vz2sh
    @RaphaelRapha-vz2sh 26 วันที่ผ่านมา

    Kweli uyu jamaa nikuma kweli ata ukimwangalia vizur nikama kichwa Akiko sawa

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 26 วันที่ผ่านมา +1

    Leo na mimi na silimu naamia yanga

  • @DaudLucas-qj3mp
    @DaudLucas-qj3mp 24 วันที่ผ่านมา

    Watanzania hawapendi ukweli Simba usajili huu nimbovu kuwahi kutokea.

  • @sofiagao6396
    @sofiagao6396 26 วันที่ผ่านมา

    Yaani.nimefurahi.sana.meja.karibu

  • @AliyiddyBakari
    @AliyiddyBakari 27 วันที่ผ่านมา +4

    Kaka karbu kwenye raaa

  • @GodfreyLenjima
    @GodfreyLenjima 26 วันที่ผ่านมา

    Hapo sawa

  • @mymuamsrrr7884
    @mymuamsrrr7884 26 วันที่ผ่านมา

    Nakupeni za ndaaani,Kibu hakufuata mpira ulaya,iko hivi,Jibu alipokuwa marekani alikutana na demu wa kizungu,kwa vile alikuwa na familia hakuweza kuchepuka.hivo basi Kibu alifuata mchepuko.huyo mchepuko Mie namfahamu vizuri tu.

  • @jiimahaba7274
    @jiimahaba7274 26 วันที่ผ่านมา

    Karibu brooo

  • @user-bo5qp9gz8m
    @user-bo5qp9gz8m 24 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 naomba moja

  • @IamThomas-n5x
    @IamThomas-n5x 25 วันที่ผ่านมา

    Nabii la ukweli. Karb meja kwenye kisima cha furaha

  • @mohamedikassimu7016
    @mohamedikassimu7016 26 วันที่ผ่านมา

    Karibu kaka cyo mbaya

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 27 วันที่ผ่านมา

    Karibu Sana

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 26 วันที่ผ่านมา +1

    Offcoarse football is like a opposition part.you can decide where you want to go,so you can go everywhere. Congratulations.

  • @RehemaNasoro-m6i
    @RehemaNasoro-m6i 27 วันที่ผ่านมา

    ❤wow meja tumekupokea kaka karibu

  • @DevothaJuma-s2y
    @DevothaJuma-s2y 27 วันที่ผ่านมา +2

    Karibu yanga ndo sehem yafulaha pekee

  • @MwalizaMohamed
    @MwalizaMohamed 27 วันที่ผ่านมา +3

    Bado Mchome Mapovu

  • @rebekaadorphine8296
    @rebekaadorphine8296 27 วันที่ผ่านมา

    Ongera sana kaka ❤❤❤

  • @yohananikolaus5443
    @yohananikolaus5443 26 วันที่ผ่านมา

    💚💚💚💛💛💛🏆🏆🏆🤣

  • @user-ox9wj6tu3c
    @user-ox9wj6tu3c 26 วันที่ผ่านมา

    Kalib San mwananchi 💚💛💚💛💛💚

  • @ADELADamus
    @ADELADamus 27 วันที่ผ่านมา +2

    Ww ni yanga bwana tulikuwa majirani nsimbazi lini umekuwa simba mkeo ndosimba bwana

  • @SaidiSudi-tk9rq
    @SaidiSudi-tk9rq 26 วันที่ผ่านมา

    Huyu mshkaji namkubali hapindishi maneno yuko nyeupe sana yani

  • @BashiruSwalehe
    @BashiruSwalehe 26 วันที่ผ่านมา

    Nyiny achen uchizi yanga ya bakuli.muliama acheni kupotosha kwakuw kaj kwenu

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 26 วันที่ผ่านมา

    Hata ahmedi Ally alisema usipopata furaha kwenye timu Yako basi itafute kwa jirani.

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 27 วันที่ผ่านมา +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Duuuhhhhh hiiii noma sana

  • @mwansaflorence6862
    @mwansaflorence6862 27 วันที่ผ่านมา

    Karibu meja yanga ni furaha tu,afadhari umeamka baba yangu

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE 26 วันที่ผ่านมา

    Karibusana kaka huku kunaamani acha maumivuyao

  • @AmaniLanda-o7g
    @AmaniLanda-o7g 27 วันที่ผ่านมา

    Kma uliipenda yanga kwamoyo yko vizuri bc karibu sn sn jangwan tushakuwa famli moja ❤🎉

  • @FanuelPaulo-t9m
    @FanuelPaulo-t9m 27 วันที่ผ่านมา

    Uwongo huyo wa yanga km kuhama nenda na Simba ikiwa tamu utarudi

  • @AmaniOmari-ev2gu
    @AmaniOmari-ev2gu 26 วันที่ผ่านมา

    Simba ni Ex wa nabii haaaaahaaaa

  • @shabanmussaathuman3469
    @shabanmussaathuman3469 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mshamba

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 26 วันที่ผ่านมา

    Karibu Yanga! We kaa Yanga bhana, kwani shida nini?

  • @AminaSeif-kk1dp
    @AminaSeif-kk1dp 25 วันที่ผ่านมา

    Watching wenyewe timu yao. Nisawa. Kama. Maiti. Iliyopotea. Baharini.

  • @alfredbowa9677
    @alfredbowa9677 27 วันที่ผ่านมา +1

    Daa! Upo sahihi mwamba hakuna mipango apo wamesajili marefa tu

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 27 วันที่ผ่านมา

    Safi Sana nabii meja tafuta furaha hahaha umependeza naiyojezi baba Sana yaani umenifuraisha Sana Simba ulipotea huko waachie timulao longolongo nyingi choo yanga ufurai kwanini ufe na presha hongera sana

  • @mackchacha4114
    @mackchacha4114 27 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu hajawah kuwa simba, na pia apunguze vyombo vinamtoa kwenye rel

    • @Spotitimes
      @Spotitimes 9 วันที่ผ่านมา

      Na wewe punguza stress zinakutoa kwenye reli pia kolo mbovu we.

  • @user-me3dy9zk7e
    @user-me3dy9zk7e 25 วันที่ผ่านมา

    Duuh..🤣🤣🤣.. Umetisha Meja. Tabu ya nn.

  • @user-cp2fr6ct5g
    @user-cp2fr6ct5g 26 วันที่ผ่านมา

    Hamna kitu wew msenge

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 27 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂meja

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 27 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 NAKUPA MAUA YAKO RAFIKI YANGU....
    NJOO UPATE RAHA TUPATEEEEE

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 26 วันที่ผ่านมา

    Timu sio kabila ata dini mtu anabadilisha itakua timu karibu jangwani

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 26 วันที่ผ่านมา

    Hujakosea meja..wewe ni mwananchi..mpigania uhuru..asilia

  • @jumongjr5837
    @jumongjr5837 26 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂 Eeeeet Jezi ya Simba Ni #Tetron

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 26 วันที่ผ่านมา

    Nakukubali sana meja

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 26 วันที่ผ่านมา

    Nenda na Mchome pamoja nenda,haya kuhusu ya Simba

  • @farajiyasinngonyani5964
    @farajiyasinngonyani5964 26 วันที่ผ่านมา

    Yanga uyo

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 27 วันที่ผ่านมา +1

    Ushahama punguza shobo kuma ww,bdo mchome nyie mlishakuwa utopolo mda wew ovyooo

  • @HadijaKiwambu
    @HadijaKiwambu 26 วันที่ผ่านมา

    Mwambieni mzaramo amie kure anapata tabu

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 27 วันที่ผ่านมา

    Karibu jangwani

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 26 วันที่ผ่านมา

    Tubaki na Simba damu. Wengine watupishe.❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @japhetmwangwa2145
    @japhetmwangwa2145 26 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa hakuwahi kuwa Simba 😂😂😂huyo chawa tu

  • @user-wh9zj7kf7h
    @user-wh9zj7kf7h 25 วันที่ผ่านมา

    Kwendraaa

  • @sampeter5857
    @sampeter5857 26 วันที่ผ่านมา

    Msenge kma wasenge alafu mbona kaanza kukonda masaa machache

  • @allyhabibu1117
    @allyhabibu1117 26 วันที่ผ่านมา

    Bora uende uko

  • @HamisiMonge
    @HamisiMonge 25 วันที่ผ่านมา

    Meja.huna.baya simba Simon mamaako tafuta fulaha yanga😂😂😂😂😂😂

  • @user-qf1rt1wx8z
    @user-qf1rt1wx8z 26 วันที่ผ่านมา

    Nabii Meja .kaongea sana .simba hamuna tasisi timu haijulikani kama timu ya mtaani .timu ndondo huo ndio ukweli haina progress mueleweni

  • @dicksonngasapa7007
    @dicksonngasapa7007 25 วันที่ผ่านมา

    Kaka huna baya kalibu tupaye laha , yanga paziri Mimi nilihama kutoka Simba kwenda yanga maka 1989 mpaka sasa sizeeki maana huku buludani tuu