JE NIKWELI MUHAMMAD(S.A.W) ALIKILI YESU NI MUNGU UST SHAFI AKIJIBU HOJA ZA IMAMU WA MCHONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 59

  • @ayshahamisi
    @ayshahamisi วันที่ผ่านมา +2

    Maa Sha Allah tabaarakallah

  • @abeidmohamed2100
    @abeidmohamed2100 2 วันที่ผ่านมา +2

    Shkraan maalim shaf allah akipe umri mrefu tupate faida

  • @hamisishabani4072
    @hamisishabani4072 3 วันที่ผ่านมา +3

    MAA SHAA ALLAH!! SHEIKH.SHAFII TUNAMUOMBA ALLAH,AKUZIDISHIE.KHERI NYINGI NA UMRI MREFU WENYE MANUFAA.WEWE NI MWALIMU UNAEFUNDISHA,HATA MTOTO WA.CHEKECHEA UKIMFUNDISHA,ANAKUELEWA!! SEUZE WATU WAZIMA!! AMA KWA.HAKIKA.WAKIRISTO WOTE DUNIANI WAMEBEBESHWA MZIGO WA UKIRISTO,AMBAO UMEWAELEMEA MIGONGONI MWAO,NA WANAHANGAIKA NAO WANASHINDWA HATA.NAMNA YA KUUTEREMSHA.WAKIRISTO UKIRISTO UMEWAELEMEA,NI ZIGO LISILO BEBEKA!! NA NDIO.MAANA ELIMU YOTE INAYOTOLEWA NA.UFAFANUZI WOTE UNAOTOLEWA BADO TU HAWAELEWI?!!! AMA HAKIKA UKIRISTO NI MZIGO USIO BEBEKA.NI SAWA SAWA NA KUBEBA GUNIA LA MISUMARI KICHWANI!! TENA WAKIRISTO WANGEKUWA NA AKILI NA UPEO MZURI WA KUFIKIRI NA KUTAFAKARI JINSI HAWA WAHADHIRI WA KIISLAM WALIVYOJITOLEA KUUFUNDISHA UMA WA WAKIRISTO NA WASIOKUWA WAKIRISTO KUUJUA UKIRISTO KUWA SIO DINI HALALI INAYOKUBALIWA NA MWENYEZI MUNGU!! NINA IMANI WAKIRISTO WOTE WENYE AFYA.NJEMA YA AKILI,NINA AMINI KILA UCHAO WANGEKUWA WANAWAOMBA AKINA USTADHI SHAFII NA JOPO LA WAHADHIRI WOTE WA KIISLAM,KUWAPA ELIMU HII KUPITIA MAANDIKO,ILI WAPATE KUTOKA KWENYE SHIMO LENYE GIZA NENE WALILOTUMBUKIZWA NA MTUME FEKI,MTUME WA.UONGO,MTUME KWA WATU WA MATAIFA PAULO,ALIYEKUJA KUWAPANDIKIZA IMANI YA KIRUMI,MILA NA DESTURI ZA KIRUMI!! PAULO NI.MRUMI!! YANI KILA TUNAFUNDISHWA.KILA.UCHAO!! TATIZO UELEWA WA.HAWA WAKIRISTO HAKIKA NI MDOGO SSANNA!! LAITI WAKIRISTO WANGE MTAMBUA PAULO NI.NANI WALA WASINGEKUWA WANAPATA SHIDA YA KUUJUA UKWELI.TATIZO UELEWA NI MDOGO SSANNA,NA KUBWA ZAIDI WAMETANGULIZA CHUKI NA USHABIKI USIO KUWA NA FAIDA YOYOTE!! HUYU PAILO HUYU!! NDIO MPINGA KRISTO NAMBA MOJA DUNIANI,NA NYINYI MLIOUPOKEA UKIRISTO KWA NEMBO FEKI YA KRISTO,NANYI PIA MNASHIKA NAMBA MBILI KWA KUMPINGA KRISTO!! KRISTO TUNAFUNDISHWA KILA MARA NA WAHADHIRI WETU,KRISTO NI JINA!! SIO DINI!! NA KRISTO NI KIYUNANI,MAANA YAKE KISWAHILI NI MPAKWA MAFUTA!! KIARABU MASIHI,MAANA NI HIYOHIYO MPAKWA MAFUTA!! SHIDA NI UELEWA MDOGO SSANNA.MSIKIE PAULO MPINGA KRISTO MWENYEWE,ANATUTHIBITISHIA,KWA KAULI YAKE MWENYEWE: ANASEMA: KWELI, MIMI MWENYEWE NALIONA NDANI YA NAFSI YANGU KWAMBA YANIPASA KUTENDA MAMBO MENGI YALIYOPINGAMANA NA JINA LAKE YESU MNAZARETI,NAMI NIKAYAFANYA HAYO YERUSALEMU;NILIWAFUNGA WENGI MIONGONI MWA WATAKATIFU NDANI YA.MAGEREZA,NIKIISHA KUPEWA AMRI NA WAKUU WA MAKUHANI,NA WALIPOUAWA NALITOA IDHINI YANGU.NA MARA NYINGI KATIKA MASINAGOGI YOTE(MISIKITI YOTE) NILIWAADHIBU,NIKAWASHURUTISHA KUKUFURU;NIKAWAONEA HASIRA KAMA MWENYE WAZIMU,NIKAWAUDHI HATA KATIKA MIJI YA UGENINI"MATENDO 26:9-11.HUYU NDIO MPINGA KRISTO MKIWEMO NA NYINYI NYOTE MNAOJIITA WAKIRISTO!! MNAMPINGA KRISTO! MASIHI!! MPAKWA MAFUTA!!!! TATIZO KUBWA LA WAKIRISTO KILA MNAPO ELIMISHWA,HAMUELIMIKI!!! TATIZO LIKO WAPI MBONA MAANDIKO YAKO WAZI!!! MNAKWAMA WAPI KUYAELEWA MAANDIKO!! HEBU WACHENI CHUKI NA USHABIKI!! ITAFUTENI DINI YA KWELI NA YA HAKI INAYOKUBALIWA NA MWENYEZI MUNGU! NA NDIO DINI WALIZOKUJA NAZO MANABII WOTE TOKA ZAMA HIZO HADI HIVI SASA, MUNGU MMOJA NA DINI YA HAKI MBELE YAMWENYEZI MUNGU NI MOJA TU,NAYO NI UISLAMU.DINI YA AMAANI!! INAYOCHUKIWA NA MATAIFA YOTE YA ULAYA NA MAREKANI MKIWEMO NA NYINYI NYOTE MNAOJIITA WAKIRISTO WOTE DUNIANI!! MNAOJIITA.WAKIRISTO NDUGU ZETU WA ASILI WA DAMU,MSHUKURUNI SANA MWENYEZI MUNGU KUKULETEENI HAWA WAHADHIRI WA KIISLAMU AKINA USTAADHI SHAFII KWA UJUMLA NA WAHADHIRI WOTE WAKIISLAMU,WANAOJITOA MUHANGA KUFUNDISHA UKWELI ULIVYO HASA KUPITIA MAANDIKO KWA UMA ILI KUMJUA MUNGU WA KWELI,MITUME NA MANABII WA KWELI,VITABU VITAKATIFU VYA KWELI NA DINI YA HAKI NA YA KWELI MBELE YA MWENYEZI MUNGU MMOJA,WAPEKEE NA WA KWELI ASIYEKUWA NA MSHIRIKA!! HAKUZAA WALA HAKUZALIWA,NA ASIYEFANANISHWA NA CHOCHOTE!! NAYE NDIYE ALLAH!!!!

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mashallah sheikh shafii akili kubwa sana

  • @MochammdHadija-pn7nn
    @MochammdHadija-pn7nn 3 วันที่ผ่านมา +2

    Subhanallah ❤❤❤

  • @AmuriYahaya
    @AmuriYahaya 48 นาทีที่ผ่านมา

    manshaallah sheikh wangu mwenyezi mungu akuhifazi sheikh wangu nakupenda sana kwa ajili ya allah n'a mtume Muhammad S.W

  • @MwangiMuhammad-q8r
    @MwangiMuhammad-q8r 3 วันที่ผ่านมา +1

    Maa Shaa Allah Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabatakatuhu. Allah akuhifadhi na akulipe Jannatul Firdaus

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 3 วันที่ผ่านมา +1

    JazakAllahu kheyran ustadh shafi ❤❤❤

  • @abdallahjuma2608
    @abdallahjuma2608 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah

  • @SakubuBakari
    @SakubuBakari 3 วันที่ผ่านมา +5

    Asalam alaikhum warakhamtullah wabarakatuh, naam sheikh wetu SHAAFI , ALLAH akuhifadhi kwakweli, mimi Hua nakufuatilia toka myaaka hiiyooo, kwakweli napenda mafundisho yako. Insh'Allah ALLAH ataweka weepesi na vifao vya kuendeleza vipindi vyoko vitasonga mbele.

    • @ustadhshafiionlinetv
      @ustadhshafiionlinetv  3 วันที่ผ่านมา

      Walykum salm warahmatullahi wabarakatuh

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@ustadhshafiionlinetv Shafii Nakupa mwingine Fuatilia hoja za Christian Prince Kisha uje hapa umkosoe Kwa Lugha ya kiarabu na kiingereza kuruka ruka Kwa maharage ndiyo kuiva kwake!! Mpaka mtaiva tu na bado utatulia tu!!😅😅😅

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@ustadhshafiionlinetv Shafii mlitukana na kuidunisha sana Imani ya kikristo miaka ya tisini Sasa zama hizo zimefika mwisho!! Sasa tunausoma Uislamu Sasa tutaheshimiana huko mbele tulieni dawa iwaingie!

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@ustadhshafiionlinetv Nakupa mwingine anaitwa Sam Shamoun Fuatilia hoja zake Kisha uje ujibu hoja zake 😅😅 ukimaliza kujibu hoja za Christian Prince na Sam Shamoun nitakupa wengine!!

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 3 วันที่ผ่านมา

      Ah kafiri Paul uyoo...Allah kashakupiga muhuri kwenye nyoyo yako😅​@@paulmushi2428

  • @farinhobulangi3723
    @farinhobulangi3723 3 วันที่ผ่านมา +1

    Shukrani sheikh shafi

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ako kajama nikajinga uwaga nakasikiliza kanavo wadanganya wakristo kamejiridhisha nasadaka zawatu❤❤

  • @swahiliicttutorials5568
    @swahiliicttutorials5568 3 วันที่ผ่านมา +1

    shekhe shafii unawawezea kweli

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah tabarakallah sheikh shafi Allah akuhifadhi fii dunia wal akhera makafiri watakufa na chuki zao juu ya uislaam nakushkur Allah wangu kwa neema ya uislaam

  • @fredyunga2138
    @fredyunga2138 3 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu akasema. Sio akaomba. Nenda shule shafi.

    • @samxx411
      @samxx411 3 วันที่ผ่านมา

      Nenda ukutane nae acha kuwa kama mwanamke

    • @legendaction202
      @legendaction202 3 วันที่ผ่านมา

      Wacha mdomo ww tabia za kike izo Huna jipya

    • @fredyunga2138
      @fredyunga2138 3 วันที่ผ่านมา

      @samxx411 We ni matako.. Unsmzrau mwanamke wakati ndo aliekukunya

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 3 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani tufanye group ya kuchangiya hii chanel ya shafi online

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

      Huo umoja hamna nguvu zimeshawaishia kama ni nyoka tumepuga kichwa umebaki mkia unatikisika😂😂😂😂😂😂

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@paulmushi2428😂Ndacha kajua kukupotosha,ndio tunataka kuwaonesha km tunaweza

    • @samxx411
      @samxx411 3 วันที่ผ่านมา +1

      Acha ungese huo

  • @legendaction202
    @legendaction202 3 วันที่ผ่านมา

    Wafundishe hawa

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

    Mtukufu wa Daraja pekee ni YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA NA NDIYE ATARUDI KUHUKUMU WAZIMA NA WAFU AKIWEMO Muhammad

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tupe andiko mtaalam mushi

  • @chikuiddy9946
    @chikuiddy9946 3 วันที่ผ่านมา

    Imamu wa mchongo kumbe unaleta utoto..jipange upya

  • @Khalid-w6l
    @Khalid-w6l 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wengi munao tuma msg hapa mm naona ni chiki muko nazo, wenye akili wataskia wataelewa, kwani moto umeumbwa ili watu wafanyeje.. ikiwa kila mtu ataingia peponi motoni nani ataingia, sasa wewe elewa unavoelewa akuna atakae kushika ila maisha ni yako utakalopata ni lako

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe sumair.uerewa.wako.mdogo.sana.hata.mtoto.wa.dalasa.2.ana.afadhari

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 3 วันที่ผ่านมา

    Matope wala si uongo kichwa sheli sheli ubongo maji

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hata mkiungana makafiri wa dunia nzima pamoja na huyo kafiri mkubwa ibilisi hamuwezi kuichafuwa kor an na ikachafuka

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

      Qur'an na Khadith vilishajichafua vyenyewe sisi tuna soma tu unaona uchafu 😂😂😂

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@paulmushi2428Qur-ani na hadithi vimekamilika nyinyi mnalazimisha kuvitia makosa lkn Alhamdulillah mkijaribu kupotosha mashekh wanakunyoosheni

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 3 วันที่ผ่านมา +1

    Someni.dini.nta.enda.motoni.kizimbe.nyie.makafili

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 Mwalimu alisha maliza siku nyiingi na tumelewa

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา +1

      Weye nauyo mwalimu wako akili zenu sawa sawa

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@ZayyanaBamuni wewe sikiliza porojo za povu za Maamuma Shafii😂😂😂😂😂

    • @jumanjenga7682
      @jumanjenga7682 3 วันที่ผ่านมา

      Porojo tupu za Timothy Ishmael

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 3 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@paulmushi2428😂maumivu ya jana ulopata kwa shekh Mbogo hayajapowa unakuja kumchokonoa ustadh Shafy,sijiuguze kwanza

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@ZayyanaBamuni 😂😂😂 Maumivu yapi Maamuma?

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 3 วันที่ผ่านมา

    Kafiri.ismair.matoni

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 3 วันที่ผ่านมา

    .ludi.darasani kasome.uta.enda.motoni.bure

    • @bekalass463
      @bekalass463 3 วันที่ผ่านมา

      Duuuh anaeamwambia mwenzie akasome yeye sasa😅😅😅😅

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo shekh shafii ndiyo arudi darsani?

  • @fredyunga2138
    @fredyunga2138 3 วันที่ผ่านมา

    Kwa nn usiweke nae debate ya online kama wewe kweli unajua? Uliambiwa uende madrasa shafi hukusikia. Kwa sababu elimu ya dunia yenyewe huna.

    • @samxx411
      @samxx411 3 วันที่ผ่านมา +2

      Sawa ila hii anayotupa inatosha Allah amzidishie

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahah kwani elimu ya dunia ni ipi? Wewe unayo ipi na hio ulio kua nayo unayo yoote au unasehem tu ya hio elimu?

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 3 วันที่ผ่านมา

    Mtukufu wa Daraja pekee ni YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA NA NDIYE ATARUDI KUHUKUMU WAZIMA NA WAFU AKIWEMO Muhammad

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 วันที่ผ่านมา

      Huyooooo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mpotevu

    • @ayshahamisi
      @ayshahamisi วันที่ผ่านมา

      Mpotevu kabisa kabisa 😂😂😂😂​@@Catherine-mh8sw