BAHARIA YUZO: MAISHA YA MELINI/ NILICHOMWA MOTO/ WALIJUA NIMEKUFA/ NILIENDESHA MELI PEKEE YANGU-14

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

ความคิดเห็น • 18

  • @dar24media
    @dar24media  6 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa mahitaji ya nguo zenye chapa ya "Kabunyau" wasiliana nasi popote ulipo kupitia namba zetu,...0764368113...na ..0717 066207...&..0653127761

  • @saidmadizi9152
    @saidmadizi9152 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie mnaoponda mtangazaji zingatieni mujue hii si interview uyu ameenda kupiga nae story na kujifunza na sisi pia tuna enjoy na kujifunza kupitia story zao kwhyo muelewe tu..

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 6 หลายเดือนก่อน +4

    Humuulizi swali kama kawahi kukutana na stowaway

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa mara ya kwanza umefanya interview na baharia wa ukweli wale wengine ni wazamiaji aka store away

  • @user-gf6je1nj8n
    @user-gf6je1nj8n 6 หลายเดือนก่อน +1

    Real seamen

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 6 หลายเดือนก่อน +1

    Duh hatari Trust me big story

  • @alhajitawakal6063
    @alhajitawakal6063 6 หลายเดือนก่อน +1

    Safety + First

  • @rab792
    @rab792 6 หลายเดือนก่อน +1

    hahaaaa unaogopa mjusi kama mimi hahaaa mwizi kwangu anishikie mjusi siyo kisu

  • @geradibanyikwa147
    @geradibanyikwa147 6 หลายเดือนก่อน +1

    😊

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna wana afu kuna wanahamisi 😅

  • @bobboris4859
    @bobboris4859 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mulize kama ashawaipatana na changanoto yoyote ya pirates?

    • @yussufole-rz6pv
      @yussufole-rz6pv 6 หลายเดือนก่อน

      Saudia sio viwanja vya pirates kuna coast guard uhakika

  • @WendoKeneth-qg9vs
    @WendoKeneth-qg9vs 6 หลายเดือนก่อน

    achia zote babu unatubania

  • @HassanSinani
    @HassanSinani 6 หลายเดือนก่อน

    Bab kubwa dupa yas ⛵ sea men life

  • @user-el7ts3oc3l
    @user-el7ts3oc3l 6 หลายเดือนก่อน

    Oi achis xote mwamba

  • @JOHNJOHN-pu7wb
    @JOHNJOHN-pu7wb 6 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji waluwalu sana 😅

    • @learnswahiliwithsarah
      @learnswahiliwithsarah 6 หลายเดือนก่อน

      Yani anajua yeye kila kitu kwny meli. Ethics za utangazaji ni zero

    • @herielmao3900
      @herielmao3900 28 วันที่ผ่านมา

      Mtangazaji anaongea sana