Jinsi ya kupika jicho la ngamia (aynul - jamal)/ How to cook caramel eyes cookies

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • JICHO LA NGAMIA
    VIPIMO
    Unga wa ngano mweupe - vikombe 2 ½
    Unga wa mahindi (sembe) - kikombe 1
    Sukari laini kabisa (isage) - kikombe 1
    Baking powder - kijiko cha chai ½
    Siagi laini - gms 250
    Mayai - 2
    Vanilla - kijiko cha chai 1
    Unahitaji kuwa na mashine hasa ya kupikia biskuti hizi za jicho la ngamia

ความคิดเห็น •