JINSI YA KUPIKA TAMBI ZA DENGU PART2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Kipande kingine katika muendelezo wa kipande kilicho pita upikaji wa TAMBI ZA DENGU

ความคิดเห็น • 88

  • @angelchizziel8156
    @angelchizziel8156 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana kwa taaluma nzuri. Ubarikiwe

  • @winifridamasawe385
    @winifridamasawe385 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice asante kwa mafunzo

  • @agripinachimuli3528
    @agripinachimuli3528 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana dada nimekuelewa vizuri kabisa, hivi haiwekwi hamira?

  • @jem_justice4480
    @jem_justice4480 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hujaonyeshaa namna ya kutengeneza unga ndo kitu muhimuu

    • @CookingwithHappy
      @CookingwithHappy  15 วันที่ผ่านมา

      Unga ni wa kiwandani / tayari umetengenezwa

  • @mwalimubassu
    @mwalimubassu 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Happy, Keep it Up.

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana .

  • @vickysamwely8196
    @vickysamwely8196 6 ปีที่แล้ว +4

    tamuje nimezila sana hizo shule ya msingi

  • @enalupaya8511
    @enalupaya8511 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa pishi lako latambi nilipenda mawasiliano kunavitu napenda kukuuliza naomba no yako machine hiyo nimeipenda nitaipata wapi

  • @happygodtowo1791
    @happygodtowo1791 6 ปีที่แล้ว +2

    Gud girl, mjasiria mali mzuri, hongera sana keep it up

  • @binthamoudshariff5492
    @binthamoudshariff5492 6 ปีที่แล้ว +1

    Nami nimependa wapenzi jioni jioni unapata kuchangamsha mdomo hahaha. Asante mpishi

  • @aikausiri9581
    @aikausiri9581 6 ปีที่แล้ว

    Nimepanda Honger sana

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 6 ปีที่แล้ว +1

    Dah hongera dada

  • @deborahmbaga3243
    @deborahmbaga3243 6 ปีที่แล้ว +8

    Hiyo mashine ukienda pale Kariakoo Stand ya zamani ya Mbezi kuna maduka ya vyombo pale wanauza hizo mashine.

  • @dottomrema6465
    @dottomrema6465 5 ปีที่แล้ว +1

    Mm cjajua jinc ya kuchanganya huo unga my dear nataman na mm kujua

  • @irenedavid5948
    @irenedavid5948 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @suzanlyamuya4442
    @suzanlyamuya4442 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi na Hongera pia, nami nitapika..

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mpenzi lakini hiyo kazi miaka miwili mgongo ushaaribika ndugu yangu

    • @firdausgreen1391
      @firdausgreen1391 4 ปีที่แล้ว

      Una maana gani ndugu???

    • @kassimmanaramalika8592
      @kassimmanaramalika8592 4 ปีที่แล้ว

      @@firdausgreen1391 anainama mda mwingi

    • @firdausgreen1391
      @firdausgreen1391 4 ปีที่แล้ว

      @@kassimmanaramalika8592 kwahiyo ili usiumwe na mgongo kuna wakti yakubidi kukaa muda mwingi kwenye kikalio????

  • @brianjohnson3851
    @brianjohnson3851 ปีที่แล้ว +1

    Dada naomb namb zako

  • @phidonmwombeck5848
    @phidonmwombeck5848 6 ปีที่แล้ว

    Safi mjasiliamali

  • @PendoMasalu-zt6bp
    @PendoMasalu-zt6bp 10 หลายเดือนก่อน

    Ogera

  • @pendodickson4966
    @pendodickson4966 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwaujaso huo unaweza kuuza shl ngap?

    • @CookingwithHappy
      @CookingwithHappy  2 ปีที่แล้ว

      Nimesahau ni muda mrefu sitengenezi ila chukua hata kg 1 km jaribio utajua ni sh ngapi

  • @getuswai2405
    @getuswai2405 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @robertebambo4202
    @robertebambo4202 4 ปีที่แล้ว

    Ujasema jinsi ya kutayarisha pia vifaa vinavyotakiwaa

  • @johnsonmarick45
    @johnsonmarick45 5 ปีที่แล้ว

    Thanks dada

  • @AdventinaZacharia
    @AdventinaZacharia 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo machine zinauzwa wap na shingap

    • @CookingwithHappy
      @CookingwithHappy  15 วันที่ผ่านมา

      Kma upo Dar nenda maduka ya vyombo kariakoo

    • @CookingwithHappy
      @CookingwithHappy  15 วันที่ผ่านมา

      Hasa maduka ya wahindi

  • @AdventinaZacharia
    @AdventinaZacharia 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mim nipo shinyanga nitaipata wap

    • @CookingwithHappy
      @CookingwithHappy  15 วันที่ผ่านมา

      Nenda maduka ya vyombo unaweza pata

  • @jemachangala6297
    @jemachangala6297 3 ปีที่แล้ว

    Inauzwa shingapi mashine

  • @gracecharles1244
    @gracecharles1244 6 ปีที่แล้ว +1

    Maandalizi jamanii

  • @neemantui9154
    @neemantui9154 6 ปีที่แล้ว +2

    nip singida naipataje hy mashine?

    • @ummahmed5342
      @ummahmed5342 6 ปีที่แล้ว

      Dada nakupa hongera kwa umakini wako unga unatia kiasi gani wa ngano nawadengu

  • @adelinakivuyo263
    @adelinakivuyo263 5 ปีที่แล้ว

    Jaman kwa arusha hy machine unapatia wapi

    • @najatladak4750
      @najatladak4750 5 ปีที่แล้ว

      Adelina Kivuyo nenda msikiti wa bondeni kuna duka la wahindi la vyombo

  • @abuumussa5783
    @abuumussa5783 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi ndo biashara yang

  • @tusajigweosiah4650
    @tusajigweosiah4650 4 ปีที่แล้ว

    Zinauzwa bei gani?

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 6 ปีที่แล้ว

    Tupe maelezo jinsi ya kuchanganya

  • @eleonoraadede5732
    @eleonoraadede5732 ปีที่แล้ว +1

    Dadaaa tumiaangalau kibambaaa kupuliza hayo mafuaa

  • @ggmmjasiliamalionline2746
    @ggmmjasiliamalionline2746 5 ปีที่แล้ว

    Sijaona unga umeuandaaje hadi kufikia hapo ulipoanzia pliiiz nakuomba anzia mwanzo

    • @irenedavid5948
      @irenedavid5948 5 ปีที่แล้ว

      Kuna part 1 itafute humu humu

  • @kandemahamba3942
    @kandemahamba3942 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashine inaitwaj Dada

  • @sophiawilliam4946
    @sophiawilliam4946 6 ปีที่แล้ว +1

    💖💖💖

  • @vummykweka9484
    @vummykweka9484 4 ปีที่แล้ว

    Mashine hzo zinapatikana wap

  • @athmanbello380
    @athmanbello380 6 ปีที่แล้ว

    Unga una changanyaje

  • @lucymoris7010
    @lucymoris7010 6 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda mashine yako. Ninawezaje kuipata?

    • @CookingwithHappy
      @CookingwithHappy  6 ปีที่แล้ว

      Nenda dukani na sema mashine ya kupambia keki au ya tambi watakupa

    • @tonjchariz9172
      @tonjchariz9172 6 ปีที่แล้ว

      Happy Hely samahan sijaona mwanzo wa maandaliz jaman napenda naomba kuelekezwa

    • @rittajoel8515
      @rittajoel8515 6 ปีที่แล้ว

      Tonj Chariz kuna part one ya hii, 'jinsi ya kupika tambi za dengu part 1'

    • @vickysimon5459
      @vickysimon5459 6 ปีที่แล้ว

      Rose Joseph moris nitaipataje hiyo machine?

    • @vickysimon5459
      @vickysimon5459 6 ปีที่แล้ว

      Madukani kariakoo au wapi zinapatikana

  • @ggmmjasiliamalionline2746
    @ggmmjasiliamalionline2746 5 ปีที่แล้ว +1

    Dada ebu rudia haya mafundisho umeanzia kati bhana unatunyima ulichobarikiwa ebu rudia hiyo video toka unatengeneza

  • @nasraiddy8164
    @nasraiddy8164 5 ปีที่แล้ว

    Tuwekee clip uliyoandaa unga jinsi yakukandaa tafadhali dada

    • @farhatseif9219
      @farhatseif9219 5 ปีที่แล้ว

      clip ipo ya sehemu ya kwanza ameelezea vizuri namna alivyokuwa akitengeneza mchanganyiko wake.

  • @joycemuhoja2692
    @joycemuhoja2692 4 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa hapo ulipoanzia neno baada ya dakika 5 kuhusu uchanganyaji inakuwaje naona mimi peke yangu cjaelewa

    • @CookingwithHappy
      @CookingwithHappy  4 ปีที่แล้ว +1

      Ziko vedeo mbili angalia kipande cha kwanza nimeelezea namna ya kuandaa

    • @joycemuhoja2692
      @joycemuhoja2692 4 ปีที่แล้ว

      Asante

  • @mukamugenzifrancine4995
    @mukamugenzifrancine4995 4 ปีที่แล้ว

    Utaumwa mgongo uwe unakaa

  • @agnesssamsonnyamlosha8877
    @agnesssamsonnyamlosha8877 6 ปีที่แล้ว +2

    Dada hiyo mashine inapatikana kwa bei gani?

    • @bahathmuro5714
      @bahathmuro5714 5 ปีที่แล้ว +1

      Agness Samson Nyamlosha 15000 au 20000 haizidi mim nlinunulia Zanzibar 10000

  • @joycemsemwa3393
    @joycemsemwa3393 5 ปีที่แล้ว +1

    kama huna machine unaweza kutumia nn mbadala

    • @farimpoke4818
      @farimpoke4818 5 ปีที่แล้ว

      Joyce Msemwa chujio la naz spesho lina matundu makubwa

    • @agnesjames3821
      @agnesjames3821 5 ปีที่แล้ว

      Unaweza kutumia chupa za maji safi unatobotoboa mfuniko unajaza unga unaminya jikon

    • @zuwenamohamed3963
      @zuwenamohamed3963 5 ปีที่แล้ว

      Waweza tumia chupa ya maji Safi toboa vitundu kwa nyuma kama Huna mashine

  • @meshackshango5550
    @meshackshango5550 3 ปีที่แล้ว

    K

  • @najmaalzaabi8385
    @najmaalzaabi8385 5 ปีที่แล้ว

    unga hatujaona unavyochanganywa

  • @nururajab6360
    @nururajab6360 5 ปีที่แล้ว +1

    Anayetaka mashine ninazo nauza

  • @irenedavid5948
    @irenedavid5948 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @AdventinaZacharia
    @AdventinaZacharia 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mim nipo shinyanga nitaipata wap