Padre Dkt KAMUGISHA:Ukizingatia mambo haya ni LAZIMA ufanikiwe katika Maisha/Waumini washangilia....
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Hatupangi kushindwa,Tunashindwa kupanga.
Hakikisha hukosi kufuatilia Magundisho ya Padre na Mwalimu Nguli wa Mafundisho ya Kanisa Dkt Faustine Kamugisha ambaye ni Paroko wa Parokia ya Minziro jimbo katoliki la Bukoba.
Tutashukuru kuona maoni yako kwenye Comment ukimtakia neno la Baraka na Matashi mema katika utume wake ambao Mungu mwenyewe Amemuitia.
#BreezOnlineTv #PdKamugisha
Breez Online Tv
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link: / breez-online. .
Instagram:Breez Online Tv