GB 64 APAGAWA AWESU AWESU KURUDI KMC / Afichua Siri CHAMA HANA Raha YANGA KWENDA FC LUPOPO KWA MKOPO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 142

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Gb64 anafaa kuwa kiongozi mkubwa Simba sports club kwanza hana longlongo anajiamini anapenda Tz iwe namafanikio kimpira wa Tz Simba huyu Gb64 mpeni kutetea Simba Tff ba kama Tff hawajari aende Fifa huyu Gsm afungiweee hafaiiii anataka team zote kama famly zake akilala akiamka anaamlisha tu kwa Tff hao Simba huyo mchezaji wamrudishe Gsm Roho mbaya sana Mungu amlaani ktk Dunia hiii aende zake

  • @ISSASINAMBE
    @ISSASINAMBE 2 หลายเดือนก่อน +3

    Gb big up unapambana sana bro

  • @JumanneMasunga-m1v
    @JumanneMasunga-m1v 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nikweli unachosema broo

  • @AzizNassor-r8j
    @AzizNassor-r8j 2 หลายเดือนก่อน

    Gb64 we umesomea shelia nini we mtu atali sana nakuelewa sana mwamba wangu mungu akulinde ubaya ubwela simba kwanza atutaki lapshaa kama walevi wambie wache ujinga

  • @kostantinomhagama8973
    @kostantinomhagama8973 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakuelewa Sana broo

  • @ImranSalum
    @ImranSalum 2 หลายเดือนก่อน +5

    Umeongea pointi sana Leo.Gsm wanatuhalibia sana mpira wetu.

  • @IssaPamba-pk3ig
    @IssaPamba-pk3ig 2 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana brother unapambania sana simba

  • @HarrisonFanuel-ir1kr
    @HarrisonFanuel-ir1kr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huo ni ukweli kwanini Simba ilishinda kwa lameki lawi mwisho wa siku tff wanasema Simba wakamalizane nje ya mahakama? Kama sio ukum,,,?

  • @RamadhanMapunda-r4o
    @RamadhanMapunda-r4o 2 หลายเดือนก่อน

    UMEMSIKIA HUYU PUMBA ETI YANGA ANAHONGA HADI CAF DUUU!!!

  • @RamadhanMapunda-r4o
    @RamadhanMapunda-r4o 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa siyo mzima!!! Eti caf ranking Simba iko kwenye 10 bora. Haaaa!!! Kwa mpira upi?

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 2 หลายเดือนก่อน +2

    Awesu anaenda kucheza simba,wanapoteza muda tu

  • @esaworldveg1607
    @esaworldveg1607 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga inawaumiza sana mioyo, ongelea yako baba povu linakutokaa yanga hiii kuna watu watakufa na presha sio kwa kuumia hukuu😂😂😂

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 2 หลายเดือนก่อน

    Tff wataumbuka tu Simba nendeni Fifa hao wanawabeza sana kwanza Gsm afungiwe asijihusishe na mpira roho mbaya sijui kazaliwa wapi?? Huyo Gsm anatembeza bahasha sana kila taasisi ili apitishe biashara yake sasa mwisho umefika

  • @Ahmed-l7k6y
    @Ahmed-l7k6y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu GSM indie anaeharibu mpira tff kama hawako makini ligi itaharibika huu sasa mpira wetu unaenda kufa huyu GSM anaharibu mpira wetu

  • @donatusalfred582
    @donatusalfred582 2 หลายเดือนก่อน

    Hamna point hapa

  • @mohameduliza7607
    @mohameduliza7607 2 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo mechi ya kwanza yanga kaxhinda goli moja mfungaji mzize na mechi ya pili yanga kaxhinda goli moja mfungaji guede acha uongo pimbi ww

  • @izackwiliblod1472
    @izackwiliblod1472 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wambiye figisu zote tumezijua zinatoka utopolo wameona Simba inakuja juu sana ngedele hawa😂😂😂😂😂😂

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi huwaga nasema TFF ni KIKUNDI Cha wahuni

  • @EstherGati-s4v
    @EstherGati-s4v 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka umeongea poa sana

  • @SubiraMoshi-vl4dv
    @SubiraMoshi-vl4dv 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie vyura ndo mnavuta bangi...

  • @SophiaWanene
    @SophiaWanene 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika 64 unasema ukweli ipo siku unafiki wao utafika mwisho

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 2 หลายเดือนก่อน

    Kama AWESU ana MOYO wa chuma kama DUBE asubili dilisha dogo

  • @rudialeonard6933
    @rudialeonard6933 2 หลายเดือนก่อน

    Awesu awesu ana realising letter?????

  • @AsifuSule
    @AsifuSule 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa mnamngangania nini wakati umr ushaenda timu lenu tu ndo unataka yasitokee makosa madogo madogo wakati mchezaji mmesema katoka timu ndogo

  • @frankkitomary3878
    @frankkitomary3878 2 หลายเดือนก่อน +7

    liko wazi sasa kua TFF na gsm wana makubaliano nje ya box pesa mingi adi wanaamua simba ata kama aipo maisha yao na famalia zao tuwe makini

    • @LumumbaFarhani
      @LumumbaFarhani 2 หลายเดือนก่อน +1

      mwambieni na moo nae adhamini shida iko wapi?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​​​@@LumumbaFarhaniKWANZA TUTAULIZA CAF NA FIFA INARUHUSIWA???? KAMA INARUHUSIWA SAWA HAKUNA SHIDA MO ANA PESA KULIKO HUYO MUUZA MAGODORO

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@LumumbaFarhani Uwezo wa kufikiri umegota.

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@LumumbaFarhani Uwezo wa kufikiri umegota.

  • @Francis-oq6tz
    @Francis-oq6tz 2 หลายเดือนก่อน

    GUEDE KAIFUNGA SIMBA MBONA HUSEMI

  • @SamwelLameck-rv3fd
    @SamwelLameck-rv3fd 2 หลายเดือนก่อน

    Sure

  • @SamwelLameck-rv3fd
    @SamwelLameck-rv3fd 2 หลายเดือนก่อน

    Anazungumza sahihi GB 64

  • @AsifuSule
    @AsifuSule 2 หลายเดือนก่อน

    Unajisahau sana kama mababu yatakua mabibi si umeiyona mlivyo pelekeshwa na Yanga

  • @ArnoldRwegasira-hp9gt
    @ArnoldRwegasira-hp9gt 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani yanga ndio wanapanga😅😅😅😅dah

  • @ShafiiwilliamWilliam-mk6id
    @ShafiiwilliamWilliam-mk6id 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu alie tumbuliwa hawezi kuwa na point ukweli anaujuwa sema anasbindwa kusema tu yanga wako vizur

  • @rudialeonard6933
    @rudialeonard6933 2 หลายเดือนก่อน

    Free agent ananunua vp mkataba??????

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 หลายเดือนก่อน

    We bangi zinakusumbua shida ni ninyi na kmc yanga inafuata nini?!

  • @jumakiduka4625
    @jumakiduka4625 2 หลายเดือนก่อน

    TFF IS GOING TO DROP VERY SOON, WE WILL GO ABOVE TFF , AND WE WILL WIN HOW CAN DUBE TERMINATE THE CONTRACT WITH AZAM, AND AGREED, SO WHAT IS DUFFERENT WITH AWESU AWESU, TFF PLEASE SIT DOWN AND MAKE RIGHT DECION , LETS GO UPPER HIGHEIR AUTHIRITIES, OTHERWISE FOOTBALL IS GOING TO RUIN

  • @Mhabeshi.Madayi
    @Mhabeshi.Madayi 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwaka huu atajinyonga kwa yanga hii ya pacome atachanganyikiwa sanaaa...

    • @AnisiaKazungu
      @AnisiaKazungu 2 หลายเดือนก่อน

      Jinyonge mwenyew

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 2 หลายเดือนก่อน +1

    Gsm duu ana timu

  • @RamadhanMapunda-r4o
    @RamadhanMapunda-r4o 2 หลายเดือนก่อน

    MNGEKUWA CLUB BINGWA TUNGEIOMBA CAF TUCHEZE NA HAWA VIDOMODOMO ILI TUWANYOOSHE MAANA WANA MIDOMO SANA

  • @esaworldveg1607
    @esaworldveg1607 2 หลายเดือนก่อน

    Anaongea vitu gani huyuu, pumba tupuuu mfa maji haishi kutapatapa

  • @farajasospeter9668
    @farajasospeter9668 2 หลายเดือนก่อน

    Guede si alikufnga

  • @DaudPius-e8y
    @DaudPius-e8y 2 หลายเดือนก่อน

    Hulijamaa limelewa kahawa hv walipo kutana na yanga guede kawaweka napo tukikutana na mech Haina ushindani 😂😂😂😂

  • @OmariSwedi-qw3dk
    @OmariSwedi-qw3dk 2 หลายเดือนก่อน

    Mwambaa uko vizur

  • @TishaniUlanga-bj3nx
    @TishaniUlanga-bj3nx 2 หลายเดือนก่อน

    Bado hamjaxema

  • @SubiraMoshi-vl4dv
    @SubiraMoshi-vl4dv 2 หลายเดือนก่อน +1

    Simba kweli ni lidude likuubwa ndo maana vitumu vingine wanapambana nayo nyie yanga logeni fanyeni mfanyaxvyo ila simba ni simba tu!

  • @HalimaIssa-pu4yt
    @HalimaIssa-pu4yt 2 หลายเดือนก่อน

    Unateseka ukiwa wapi wewe kolo Yanga Bingwa 😅

  • @LuqmanIddi-cb8me
    @LuqmanIddi-cb8me 2 หลายเดือนก่อน

    Waandishi angalieni wa kuwahoji na muda wa kuwahoji.

  • @ayubhumakuya8466
    @ayubhumakuya8466 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waandishi wa habar mnakosea Sana kuwahoji walevi aise😅😅😅😅😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      MAMAKO ANA MUUZIA ULEVI 😂😂😂😂😂

  • @SaidKingo
    @SaidKingo 2 หลายเดือนก่อน

    Kumekucha

  • @daudimolleltutafungatu5486
    @daudimolleltutafungatu5486 2 หลายเดือนก่อน

    Simba hamna ela na pia acha kuwazarau wachezaji wetu wa ndani

  • @RehemaRamadhan-v5p
    @RehemaRamadhan-v5p 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vizur maneno yako yote ni yakweli

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 2 หลายเดือนก่อน

    Hii inaonyesha kuna bifu anafanyiwa simba .

  • @michaelmwaijande2561
    @michaelmwaijande2561 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanasheria wa Yanga alisema mwache Chama aende atakapopata raha ! Sasa hii ya Bench ndiyo raha siyo !

  • @LumumbaFarhani
    @LumumbaFarhani 2 หลายเดือนก่อน

    Moo naye si atoe udhamini au hela ndio hana?

    • @AnisiaKazungu
      @AnisiaKazungu 2 หลายเดือนก่อน

      Kamuulize mwenyew kam anaela au hana el

  • @JoshuaSamunge
    @JoshuaSamunge 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona guede aliwafunga na nyie ni WA kwetu

  • @michaelmazoya9244
    @michaelmazoya9244 2 หลายเดือนก่อน

    TFF hovyo kabisa

  • @DaudPius-e8y
    @DaudPius-e8y 2 หลายเดือนก่อน

    Msha shuka kisoka nyie mnatafuta pa kujifichia mnashindwa kutoa hela ya maana ya wachezaji ujanjaunjanja tu mmeshakuwa wa kulalamika tu mpepigwa nje ndani na yanga na ngap ya jamii mmechezea mliutaka mkapewa napo simba inazaminiwa na gsm?mfa maji hakoswi kutapatapa

  • @AnoliasiKope
    @AnoliasiKope 2 หลายเดือนก่อน

    Mmi simba

  • @amanifadhi
    @amanifadhi 2 หลายเดือนก่อน

    Gb awesu nimchezaji mdogo mbn tunawadharau wachezaji wetu tunawashusha thamani

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      KAMA NI MKUBWA MCHUKUWENI NYIE MATOPOLO

  • @bahatikwiligwa8343
    @bahatikwiligwa8343 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mjinga mwaka huu atachizi mpaka usemetimu hunakelele za kijinga tu

  • @GenosiaSanga
    @GenosiaSanga 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo sio mzima ndomana alikua anatumia vyeti feki

    • @Mra_brandvevo
      @Mra_brandvevo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Acha kukoment upuzi kamuhudumie mumeo

    • @Yuleyule-u6c
      @Yuleyule-u6c 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hivyo vyeti feki ulimsomesha ww? Bado huna akili ww elimu siyo vyeti acha umalaya.

  • @ErastoChilanza
    @ErastoChilanza 2 หลายเดือนก่อน

    Mi unavyosema mwalimu wa physics halafu unaiponda yanga iliyo juu kwa sasa kuliko wewe mi naamini wewe ni wa mchongo sana maana viongozi wako machizi na wewe pia mnafanana

    • @saidkasembe
      @saidkasembe 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hiyo yanga ipo juu kwa viwango gan wewe acha ujinga caf ndo wanatoa viwango vya vilabu vyote africa we yanga ipo juu kwa viwango gan??

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona gwede kawafunga

  • @AlbertNshunju
    @AlbertNshunju 2 หลายเดือนก่อน +2

    Unahasiiiiraaaa😅

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      LAZIMA WASENGE WANAKERA SANA

  • @mbokanitaribo5106
    @mbokanitaribo5106 2 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂kingereza niatari wa Tanzania amjuwi kizungu

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 2 หลายเดือนก่อน

      Ajishtukii kiingereza hajui

    • @mjanthony4864
      @mjanthony4864 2 หลายเดือนก่อน

      @@stanslausmteme8455mnachekeshaga sanaa.. hiyo ni lugha kama lugha zingine.. acheni kuwa maskini hivyo..
      Stupid.

    • @KEPHAMASWAGA
      @KEPHAMASWAGA 2 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa sisi hatujui English lakini tuna kula na kushiba nyinyi mnao jua english mnaandamana kisa ugali

  • @ErastoChilanza
    @ErastoChilanza 2 หลายเดือนก่อน

    Simba mkubwa kivipi chizi wewe mnazidi kudrop siku hadi siku ndo maana mnacheza shirikisho hilo we hulioni yaani hiyo akili sijui ya wapi jamani

    • @saidkasembe
      @saidkasembe 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndo chiz kubali ukatae simba ndo mkubwa nchi hii kakuacha mbali sana

    • @MwajumaNgaruma
      @MwajumaNgaruma 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@saidkasembeaswaaaaaa

    • @ErastoChilanza
      @ErastoChilanza 2 หลายเดือนก่อน

      @@saidkasembe una kichaa wewe sio bure angalia currently performance mna nini sasa fala wewe ndo maana mnacheza shirikisho maana yake mmedrop

    • @michaelkaphipa4354
      @michaelkaphipa4354 2 หลายเดือนก่อน

      ​we kichizi kweli angalia rank ya CAF Simba ni ya 7wewe Chura uko nje ya kumi Bora .. uncholalamika nini sasa kama sio ubwege ni nini? Acha uchizi wewe hujui mpira bwege wewe @@ErastoChilanza

  • @joshuaombeni6417
    @joshuaombeni6417 2 หลายเดือนก่อน

    Teleka mimacho yako wewe dada una akil kama yanga yako navijishat vyenu vya vitenge

  • @husseinchalamila2624
    @husseinchalamila2624 2 หลายเดือนก่อน

    Ili jamaa chizi gwede kakupiga Hadi wewe

  • @martinmanyema-m7d
    @martinmanyema-m7d 2 หลายเดือนก่อน

    Unaongea pumba wewe hakiri huna tena mjinga

  • @SilasCharles-w6l
    @SilasCharles-w6l 2 หลายเดือนก่อน

    Bado hamjasema Wana ubaya ubwege😂😂😂😂 simulia huku unalia bro

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 หลายเดือนก่อน

    Nanyie guede aliwafunga shida uwezo wenu mdogo

  • @mohamedichoelukanga125
    @mohamedichoelukanga125 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu jaama naisi mweu

  • @MacariousKyungu-kd7wp
    @MacariousKyungu-kd7wp 2 หลายเดือนก่อน

    GB umepagawa na nn mbona hauelewekii punguzaa jazba broo! Unajipotezaa mwenyeweee

  • @IssackMvumbi-r7m
    @IssackMvumbi-r7m 2 หลายเดือนก่อน

    Hili jinga tu mnalisikiliza

  • @josephnyota-hb4ck
    @josephnyota-hb4ck 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwaka jana mechi zote mlifungwa na Yanga idadi ya Masoli 7 saba nanyi mmedhaminiwa na GSM?

    • @Thobiasmwashoga
      @Thobiasmwashoga 2 หลายเดือนก่อน

      Baada ya kuingilia dilishan utafikili mulango huoni kumbe una mambo yako

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      MADUKA YA UTOPOLO HAYAPO TUMEYAVUNJA KENGE NYIE

  • @AZIWANKULIKWA
    @AZIWANKULIKWA 2 หลายเดือนก่อน

    Tumekufumuwa nyingi sana last season we subili October 19 tutakunyosha ad ufunge domo lako ilo nilijuwa una akili we lizee kumbe bwegelesi tu huna jipya unaongea pumba tu mamae kabisaaa

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe GB 64 umezidi mdomo ndiyo maana ulisweka ndani

  • @suleimansalum4049
    @suleimansalum4049 2 หลายเดือนก่อน

    Alikua na akili sana huyu jamaa lkn siku iz kichwa maji...
    Azam na Yanga hawakupost kwenye peji zao..
    Ila Simba wamepost wachezaji wote hao.

  • @BenjaminiBnyetanyau
    @BenjaminiBnyetanyau 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe jamaa nilikuwa napenda kukusikiliza lkn Sasa hivi jamaa anaongea pumba aisee

  • @khmissalum3881
    @khmissalum3881 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe kumbe ni chizi hufai hata kusikilizwa🙉

  • @daudimolleltutafungatu5486
    @daudimolleltutafungatu5486 2 หลายเดือนก่อน

    Acha uwongo brooo we kubali kuwa Ander dog

  • @kulwaallen-ev9nz
    @kulwaallen-ev9nz 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kupagawa Gsm ndiyo anacheza mpira uwanjani acha chega zako kila MTU mwenyejicho la mpira anaona usitupotoshe bhana

  • @josephnyota-hb4ck
    @josephnyota-hb4ck 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo Gwede aliwafunga

  • @charleslukiko6832
    @charleslukiko6832 2 หลายเดือนก่อน

    We nilkuwa nakuona unajua mpira kumbe fala siku hizi

  • @aliceniyungeko2279
    @aliceniyungeko2279 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo mvuta bangi anaboa ao jela walimshuhurikiya arudi kuchoma mandazi amsaidie mke wake ace kulopoka hovyo

  • @AlbertNshunju
    @AlbertNshunju 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kiingereza kibooovuuuuu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      KWA HIYO TUKUSAIDIE NINI KIBARAKA WA KINGEREZA WEWE 😂😂😂😂

  • @BenjaminiBnyetanyau
    @BenjaminiBnyetanyau 2 หลายเดือนก่อน

    Hili jamaa ni chizi kumbe limeshapewa hela ni kina mangungu linalopoka tu

  • @LameckIsack-e6g
    @LameckIsack-e6g 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe haujui lolote

  • @FranksonMkumbwa-mb3pp
    @FranksonMkumbwa-mb3pp 2 หลายเดือนก่อน

    Kwamba ww ni mbovu utaki, Alhar nje ndani vp apo Gsm yupo uko CAF

  • @FranksonMkumbwa-mb3pp
    @FranksonMkumbwa-mb3pp 2 หลายเดือนก่อน

    AZAM mbona kadhamin ligi husemi ww, au wivu? Mwambie mo nae adhamini

  • @HamadiMgeja
    @HamadiMgeja 2 หลายเดือนก่อน

    Leo ndo nimejua huyu jamaa bange imemzd

  • @emmanuelsamwel6220
    @emmanuelsamwel6220 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe gb 64 ninakushangaa sana Huwa Huwa unatafuta kiki mtandaoni chama unasema Keisha habari yake kakukosea Nini chama Mimi nakuomba basi achana naye endelea na majukumu Yako mengine achana na wachezaji wa yanga usiwe Domo kaya

    • @AlexanderWilliam-ol5xs
      @AlexanderWilliam-ol5xs 2 หลายเดือนก่อน +1

      We shoga ebu lalaa ushakulaa maharage unajijambiaa tyuu

    • @AZIWANKULIKWA
      @AZIWANKULIKWA 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@AlexanderWilliam-ol5xsjaribu kujieshimu ebu ACHA upimbi sajilin wachezaji kwa usahh acheni wizi ukimskiliza huyu pimbi wenu uyu utazd kuwa bwege tu

    • @AlexanderWilliam-ol5xs
      @AlexanderWilliam-ol5xs 2 หลายเดือนก่อน

      @@AZIWANKULIKWA tulizaa nyege za mihemukoo

    • @ShekhIddi
      @ShekhIddi 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani chama ni mumeo?

    • @MadukaMadoshi
      @MadukaMadoshi 2 หลายเดือนก่อน

      wewe nae

  • @IjumaaHassan
    @IjumaaHassan 2 หลายเดือนก่อน

    Gb 64 hauna akili simba walijirizisha vp kama kavunja kweli na dube alitangazwa na nani

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      KAMA HUJUWI UFYATE TU TOPOLO WEWE

  • @kehenguc
    @kehenguc 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu kweli ni mwalimu wa cheti feki na kilaza mkubwa!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      WEWE FALA TU NA CHETI CHAKO FEKI CHA KUZALIWA FEKI

  • @FranksonMkumbwa-mb3pp
    @FranksonMkumbwa-mb3pp 2 หลายเดือนก่อน

    Dube Yanga wakisubiri mgogoro uishe doo wakamtangaza, vp ww Awesu ukamtangaza mapemaaa utazan mkojo wa asubuh

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      AWESU HANA MGOGORO NDIO MAANA TUKAMTANGAZA AU WEWE NDIE UNAE TOWA VIBALI VYA KUWATANGAZA WACHEZAJI??? ACHENI UJINGA

  • @MahamuduLiwowa
    @MahamuduLiwowa 2 หลายเดือนก่อน

    Simba Amna ela mo muongo mmbwa nyinyi washabiki wasimba hamna akili mutapata tabu sana

    • @saidkasembe
      @saidkasembe 2 หลายเดือนก่อน

      We choko baba ako ndo hana akili kuma wewe

  • @RajabkhamisRajab
    @RajabkhamisRajab 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalim aliehushi vyeti makufuli kamuona

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      WEWE MWIZI WA MITAANI HAKUKUONA HONGERA

  • @masoudmwakoba2757
    @masoudmwakoba2757 2 หลายเดือนก่อน

    Hii inaonyesha namna ambavyo watu wa Simba hawana akili, nyie mbwa mmepigwa nje na ndani goli 7

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +1

      ISIEKUWA NA AKILI MAMAKO KWA KUKUZA WEWE MWANAHARAMU USIEKUWA NA HESHIMA

  • @GenosiaSanga
    @GenosiaSanga 2 หลายเดือนก่อน

    Unahela wewe punguza ujinga unaulizwa vingine unaongea vingine acha ujinga

    • @InnocentBobsleigh-mc6sm
      @InnocentBobsleigh-mc6sm 2 หลายเดือนก่อน

      Aaa kuwa mpolee dada

    • @EzekiaMwandute
      @EzekiaMwandute 2 หลายเดือนก่อน

      Ukikuta mtu anatukana ujue sindano imemuingia

    • @EzekiaMwandute
      @EzekiaMwandute 2 หลายเดือนก่อน

      Imeendaaaa oyoooo

    • @Yuleyule-u6c
      @Yuleyule-u6c 2 หลายเดือนก่อน

      Acha umalaya ww Kaa na mumeo unashobokea wanaume au auja olewa. Kama umeolewa kuwa mstaarabu.

  • @AkramAli-y7b
    @AkramAli-y7b 2 หลายเดือนก่อน

    𝑇𝐹𝐹 𝑁𝐼𝑌𝐴𝐾𝐼𝐽𝐼𝑁𝐺𝐴 𝑆𝐴𝑁𝐴 𝐼𝑀𝐸𝑆𝐻𝐴 𝑀𝐸𝑍𝑊𝐴 𝑁𝐴 𝐺𝑆𝑀