Jamaa Ana Wanadada Wengi Hutumia Logarithms Kuwahesabu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2017
  • Carolyne mwenye umri wa miaka 30, aliwashangaza wengi alipoomba apatanishwe na mke mwenzwa mwenye umri wa miaka 26, akikiri kuwa maisha yamekuwa magumu bila mke mwenza.
    "Mimi nilioleka 2008 baada ya miaka minne nikaskia bwanangu ana mtoto nje ya ndoa na akasema kuwa hawezi muachilia mtoto wake na basi alitaka kumuoa mwanadada huyo. Tulipopatana na mwanadada huyo nilimtusi na nikampiga sana huku bwanangu akiniunga mkono. Sasa bwanangu amegeuka ameanza kunitusi na kunipiga akisema kuwa mimi ndio sababu kuu mtoto wa mke mwenza alifariki, akisema mie ndiye niliyesababisha kile kifo. Saa hizi nimefukuzwa kwangu." Alisema Carolyne akiongeza kuwa alitaka wapatanishwe na mwanadada huyo kwani ana matumaini watarudiana na bwanake katika harakati ile.
    "Mwanaume ana miaka lakini sijui alikuwa anakula nini sura inaka changa na mapenzi chungu nzima. Mimi nasomea udaktari huku mkewe akiwa wakili, Sikujua ana mke.
    Katika harakati ile mwanaume ule akaniomba nimzalie na nilipopata mimba nikajua ni mapacha hapo ndipo wawili wao waliponichapa na katika harakati ile nikapoteza mtoto mmoja. Niliwasamehe lakini siwezi taka kuwa mke mwenza. Jamaa huyu ana wanadada wengi sana anaweza tumia Logarithms kuwahesabu." Alisema Lucy akiwafurahisha wengi. "Halafu hujifanya amefanya udaktari hawezi kuwa mgonjwa, jamaa ana mapenzi akikuingiza box kwisha."
    Huyu jamaa amekodisha karibu nami nao wasichana wana umbea mwingi kwani nina marafiki wengi wavulana na jambo hilo humkasirisha sana. Aliongeza Lucy akisema kuwa atamuita Carol na mwanaume huyo ajaribu kuwapatanisha.

ความคิดเห็น • 147

  • @blessdmum.7380
    @blessdmum.7380 6 ปีที่แล้ว +16

    I respect that second gal.she has alot of respect to the first wife

  • @irenekinuthia2966
    @irenekinuthia2966 4 ปีที่แล้ว +5

    Sweet learned gals,nimewapenda sana ladies 💞

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 4 ปีที่แล้ว +6

    This made me cry!!!

  • @erickagenga9919
    @erickagenga9919 4 ปีที่แล้ว +3

    two broken women advising each other. I love my country peeps !!!!!!!

  • @mercyokochi2304
    @mercyokochi2304 7 ปีที่แล้ว +11

    i congrat lucy for her kind heart God bless you dea

  • @magareevans5890
    @magareevans5890 7 ปีที่แล้ว +14

    The whole drama is from this luhya man,,,i don"t blame this ladies but i can give my credit to Lucy,she sounds very mature with good heart despite being 26 yrs.

  • @wacmber2131
    @wacmber2131 5 ปีที่แล้ว +6

    Whaaaa Lucy congratulations hiyo roho uko nayo ni one in a million aky

  • @mariamatieno5802
    @mariamatieno5802 ปีที่แล้ว +1

    The second woman has a golden heart thats why she qualified for nursing 💛

  • @monicahmonique1077
    @monicahmonique1077 7 ปีที่แล้ว +12

    lucy you're so sweet ...i like how you put things

  • @Chris-cb2dj
    @Chris-cb2dj 7 ปีที่แล้ว +5

    woow very nice lucy👏👏👏👏👏

  • @eddahwangila1325
    @eddahwangila1325 7 ปีที่แล้ว +7

    Lucy u r somehow wise.

  • @babradomenic7564
    @babradomenic7564 7 ปีที่แล้ว +5

    Pole Lucy, kweli Mungu ndiye anajua kesho ya mtu, you are a wise lady, pongeza, na lea mtoto wako dada.

  • @eddymamajan300
    @eddymamajan300 7 ปีที่แล้ว +3

    😚😚😚😚😚 Lucy, Gidi na Ghost haahaaaa, Mluhya mapenzi kibao, caro kakufa naye, 😍😍😍😍😍😘. n kali sana

  • @JesusChristLovesUs4ever
    @JesusChristLovesUs4ever 5 ปีที่แล้ว +3

    Wow Lucy God bless your beautifull heart....Forgiveness is the key to find your peace...Carol wish you all the best.

  • @zuhuramohamed3375
    @zuhuramohamed3375 7 ปีที่แล้ว +3

    waaaahooo Lucy such a kind girl!!

  • @felicitymanyara6597
    @felicitymanyara6597 7 ปีที่แล้ว

    Kali sana uyo mwanaume

  • @fredmoranga4918
    @fredmoranga4918 6 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations, Lucy I like your heart. a kind one. hehehehe umenipendeza.

  • @sylviakanguhi2439
    @sylviakanguhi2439 7 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha uuuuuwwiiiii dunia simama nishuke congrats gals God help you

  • @esthernzisa6284
    @esthernzisa6284 4 ปีที่แล้ว +1

    That story is the best.

  • @fauzsky5399
    @fauzsky5399 3 ปีที่แล้ว +2

    Desperation of the highest.😏😏 Pole Lucy sana😔

  • @Waziri77
    @Waziri77 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani waluhya tunajua kupendaa

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 7 ปีที่แล้ว +4

    jamani watu duniani tungekuwa kama hawa carol na lucy,yaani wanaume kama huyu mwanaume wangeshika adabu,upendo ni kitu muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.wakati mwingine hawa wanaume wetu ndio wanakuaga wachonganishi sana,hongera sana wewe mke mdogo kwa upendo wako kwa dada yako huyo.kwa busara zako.woww,wathing frm switzerland.11.06,17.

    • @josephinenm7932
      @josephinenm7932 6 ปีที่แล้ว

      Mariam Fritsi Ni kweli. Unapata madada wanapigana na wote wamedanganywa. Heri waungane wamtandike huyo mwanaume.

  • @happytimes9896
    @happytimes9896 7 ปีที่แล้ว

    wow wsichana anaweza kuwahesabu na logarithm

  • @ericmayaka7040
    @ericmayaka7040 4 ปีที่แล้ว +1

    The lady is very humble

  • @bintikiziwi4600
    @bintikiziwi4600 5 ปีที่แล้ว

    Woi Lucy the 1st kikuyu lady ambae she's humble,big up mamake Brian, mwanamke mwenye heshima kweli

  • @CaroLina-qq1hl
    @CaroLina-qq1hl 4 ปีที่แล้ว

    This was so great hahaaaa...
    Nataka mluyha pia mimi anipe mapenzi

  • @janeokousha2630
    @janeokousha2630 7 ปีที่แล้ว +3

    Hehehe walunje na mapenzi ni noma sana

  • @flomrembowakenya5524
    @flomrembowakenya5524 7 ปีที่แล้ว

    me too i like to know

  • @shigitau7548
    @shigitau7548 7 ปีที่แล้ว +2

    Lucy ako na roho nzuri

  • @freddyomwosh5672
    @freddyomwosh5672 5 ปีที่แล้ว

    So painful but lucy ako n roho ya utu,big up

  • @imtherealdeal2367
    @imtherealdeal2367 7 ปีที่แล้ว +7

    Hii ni kali 😈Luhya in the house
    .mapenzi chungu nzima

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 ปีที่แล้ว

    Lucy Ana Roho safi

  • @marynjeri4942
    @marynjeri4942 7 ปีที่แล้ว +1

    mapenzi nayo haaaahaaaaa na kuambia

  • @danielrasugu2425
    @danielrasugu2425 4 ปีที่แล้ว +3

    Both of you ladies are professionals a lawyer and Medical Doctor what the hell do want in a funny sounding boy a medical lab concentrate in your professional careers another sweet loving man will come by one day. Warning to both of you nyani ni nyani! Tofauti ni ile miti.

  • @karembojoan9732
    @karembojoan9732 7 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅😂😂😂wepukulu!! walunje noma

  • @amaa6353
    @amaa6353 7 ปีที่แล้ว +2

    Lucy ako na roho mzuri

  • @esthernzisa6284
    @esthernzisa6284 4 ปีที่แล้ว

    Lucy you are a good girl. I love you.

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 7 ปีที่แล้ว +1

    Mundu khu Mundu

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 5 ปีที่แล้ว

    luhya "pastors"

  • @madamboss348
    @madamboss348 7 ปีที่แล้ว

    waluhya mapenzi moto atsee

  • @shyneplatnumz2583
    @shyneplatnumz2583 7 ปีที่แล้ว

    heheeeeee uuuuwiiiii patamu hapo

  • @beatricechege1612
    @beatricechege1612 7 ปีที่แล้ว +6

    wa Luhya na omena na ugali mapenzi moto moto yawa Lucy girl God bless you for your kind heart

    • @violetangaya2569
      @violetangaya2569 7 ปีที่แล้ว +1

      Beatrice chege omena c kwa waluhya Bali wajaka hupenda.

    • @dunna1663
      @dunna1663 6 ปีที่แล้ว +2

      Violet Angaya omena ni ya western yote.before it was all called the great Nyanza it had north Nyanza (western),central kisumu and surrounding,South Nyanza kisii and surrounding

    • @solohmagazzy3734
      @solohmagazzy3734 5 ปีที่แล้ว

      N mrenda c umena

  • @jradamsalehvlogs5877
    @jradamsalehvlogs5877 7 ปีที่แล้ว

    hii ilikuwa kali mapenzi nayo

  • @recholnight4232
    @recholnight4232 7 ปีที่แล้ว +1

    Makosa Caro ulifanya

  • @dorisbonareri8671
    @dorisbonareri8671 7 ปีที่แล้ว +6

    Lucy ur a gud girl love Usirudiane na uyo jamaa Mungu atakupa wako.

    • @abdifatahbanku4077
      @abdifatahbanku4077 4 ปีที่แล้ว

      Lusi ni mwanamke bora mashaallah mungu akuhifadhi my love wangu

  • @flomrembowakenya5524
    @flomrembowakenya5524 7 ปีที่แล้ว

    Hahaha Gidi atafutiwe huyo mlugha..funny

  • @edwinochieng9014
    @edwinochieng9014 8 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wangu haezilelewa na mwanaume mwingine, just the same way i can't raise someone else's kid, come rain come sunshine...

  • @zainafwenah7751
    @zainafwenah7751 5 ปีที่แล้ว

    Wa ndinyole imbalikha vindu shi

  • @judithanyangoj0809
    @judithanyangoj0809 7 ปีที่แล้ว +10

    I salute both of you ladies and especially Lucy for her kind heart

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 7 ปีที่แล้ว

    Pia mimi na miss advice watu hutoa anyway nyc show

  • @annengugi4723
    @annengugi4723 7 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 Kali sana

  • @ceciliawanga1248
    @ceciliawanga1248 5 ปีที่แล้ว +2

    Wasichana wameru wanakuanga na wivu hawawezi kua wawili kwa mme..... Meru ladies wivu muache

  • @najma3268
    @najma3268 4 ปีที่แล้ว

    Yaan huyu lucy ni mtaratibu kweli

  • @kelvinnyagah2494
    @kelvinnyagah2494 7 ปีที่แล้ว +1

    Maragoli kweli

  • @marynjeri7643
    @marynjeri7643 7 ปีที่แล้ว +1

    uyo jamaa na mapenzi

  • @aminaombuya8565
    @aminaombuya8565 7 ปีที่แล้ว +2

    Chavakali mapezi kizunguzungu

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 3 ปีที่แล้ว

    Daaaah

  • @jahistheway8868
    @jahistheway8868 ปีที่แล้ว

    Lucy for president

  • @piusmulinge7954
    @piusmulinge7954 7 ปีที่แล้ว

    dada lucy pongezi ponge ponge ,kusoma ni kitu muhimu

  • @mercylilynganga6793
    @mercylilynganga6793 7 ปีที่แล้ว

    hahahhahahah hii ni nomareeee

  • @catherinegachii6746
    @catherinegachii6746 7 ปีที่แล้ว

    uuu loglithims kuwahesabu

  • @yvonnemusimbi2014
    @yvonnemusimbi2014 7 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂..that guy.Hii ndo Sautisol waliimba "Mapenzi ya Kiluhya".

  • @teyseergdi3099
    @teyseergdi3099 4 ปีที่แล้ว

    Lucy wote wanakuanga roho safi

  • @everlynemulongo7004
    @everlynemulongo7004 6 ปีที่แล้ว +1

    Caroline dunia ni mviringo

  • @trusilangolo9032
    @trusilangolo9032 4 ปีที่แล้ว

    Feel the pain too

  • @edwinyavusumba3760
    @edwinyavusumba3760 7 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃mlunje waaaah mapenzi moto moto 😂😂😂😂

  • @casineobote9989
    @casineobote9989 7 ปีที่แล้ว +1

    Mtoto wangu useme alelewe na mwanaume mwingine.afu ati aite mwanaume mwingine baba.wee msichana unaotaaa.wakati ulizaa nae ulikuwa unafikiria nini.rudi kwa bwana huyo mwingine aendeeeeeeeeeeeee.

  • @jennykim279
    @jennykim279 7 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂kumbe waluhya wanamapenzi Kali hivo lol

  • @jigijigi2373
    @jigijigi2373 7 ปีที่แล้ว

    waluhya mpooooo!!😂😁😀

    • @melodyanne3249
      @melodyanne3249 7 ปีที่แล้ว

      Khrystal Valencia luhya in the house wow

  • @fajvavsbvvbs1910
    @fajvavsbvvbs1910 7 ปีที่แล้ว

    gidi naomba number

  • @alicekimani5934
    @alicekimani5934 6 ปีที่แล้ว +1

    hahaha aki ya nani uyo mwanamume ni hatari 😂😂😂 Kweli mapenzi ni utamu ulio jaa uchungu on th other scene

  • @janekisese8573
    @janekisese8573 6 ปีที่แล้ว

    Logarithm

  • @estherwangare9759
    @estherwangare9759 7 ปีที่แล้ว +4

    hata mmi natafta huyo jamaa😂😂😂😂😂😂

  • @safinahlatina8961
    @safinahlatina8961 7 ปีที่แล้ว +13

    Ata mimi nitaenda chavakali kutafuta uyo jama anipe mapenzi moto moto 😂😂😂😂😂😂

    • @everlynemiheso5144
      @everlynemiheso5144 6 ปีที่แล้ว

      Safinah latina walinje ni wanoma 😂😂😂

    • @dunna1663
      @dunna1663 6 ปีที่แล้ว

      Safinah latina niko hapa mimi mmoja😂😂😂😂😂😂

    • @lamecknyakundinyangau4135
      @lamecknyakundinyangau4135 6 ปีที่แล้ว

      Safinah latina Niko hapo

  • @eunnyjanes1440
    @eunnyjanes1440 7 ปีที่แล้ว +3

    Dunia ina mambo aty anaweza Tumia rogarithim?heheheeee

  • @abdirahmanyaya3969
    @abdirahmanyaya3969 7 ปีที่แล้ว

    Aki hta Meh umenichekesha man man

  • @johnobosh1626
    @johnobosh1626 4 ปีที่แล้ว

    Hapo kupigwa kuni n kibao

  • @dunna1663
    @dunna1663 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂maragoli tuko juu

  • @njerikiarie8928
    @njerikiarie8928 2 ปีที่แล้ว

    This is a very sad situation. That man does not deserve either women and Caroline is a fool to go back to him. She Will never have peace living with a man who loves another woman.

  • @njanbistella
    @njanbistella 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣Ako wapi huyo jamaa

  • @christinebelinda3498
    @christinebelinda3498 7 ปีที่แล้ว +1

    mluhya na mapenzi😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gracendungu5860
    @gracendungu5860 7 ปีที่แล้ว +1

    huyo mluya naye mapenzi nayo😩😩😩😩😩

  • @AbogoaiadAa
    @AbogoaiadAa 7 ปีที่แล้ว +1

    gidi na gohost amujambo mimi sijambo hila sitaki kupataniswa nataka kuwahulisa swali yangu ndo nikuje upataniso ipo ama amna Jina ni Akinyi tafadhali ukipata uwo ujumbe nijibu namba *966536102986 asante sana ninawapenda kupika maheleso uwesiku njema

  • @najma3268
    @najma3268 4 ปีที่แล้ว

    Mwanamke mpumbavu sana huyu

  • @yumazonecars
    @yumazonecars 7 ปีที่แล้ว

    mluhya mapenzi.......tafathali mje na mkija msije pekee enu kujeni nafafiki zenu

  • @marykawira9266
    @marykawira9266 7 ปีที่แล้ว +2

    This was hilarious

    • @shindanokibengo4590
      @shindanokibengo4590 7 ปีที่แล้ว

      Marie Kaposh Sorry sister ningependa unisaidie namba ya wakina gidi pliz

    • @marykawira9266
      @marykawira9266 7 ปีที่แล้ว

      Shindano Kibengo @ sina aky , skiza alafu utaskia wakisema ile number watu utumia kutuma ujumbe , pengine uwaulize kupitia hio, l just watch here tube, siko Kenya

    • @shindanokibengo4590
      @shindanokibengo4590 7 ปีที่แล้ว

      Hata mm siko Kenya nawatch kwa you tubu pia mm Niko antlanta,USA

    • @marykawira9266
      @marykawira9266 7 ปีที่แล้ว

      Ooh , poa maybe jaribu kutafuta there E-mail uwa inbox

    • @shindanokibengo4590
      @shindanokibengo4590 7 ปีที่แล้ว

      Poa asante sana vp tunaeza kua mafriend kwa fb, messanger au kwa whatsap ama vp sister

  • @musabuleya5662
    @musabuleya5662 5 ปีที่แล้ว +1

    aki niko chavakali na hayo mapenzi yanipita yakienda meru kiambu😂😂😂😂yenyewe hawa watu kwa maneno tu utasema kwetu siendi, natulia papa hapa

  • @gnmmng4203
    @gnmmng4203 7 ปีที่แล้ว +2

    inaweza haiwezi😂😂😂😂

  • @thegospelmessage5039
    @thegospelmessage5039 4 ปีที่แล้ว +1

    😁😁😁😁😁

  • @aminahchepkoech4204
    @aminahchepkoech4204 7 ปีที่แล้ว +3

    walunje ni wanoma sana, at that age ako na wife shags na watoi kama five,hes just playing with you ladies he isn't serious. mtapangwa
    mpangike.

  • @yvonnemusimbi2014
    @yvonnemusimbi2014 7 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂😂....nimependa hawa madem,,!

  • @trusilangolo9032
    @trusilangolo9032 4 ปีที่แล้ว

    Sikua uchungu pia wewe unafanya mwenzako aachwe na bwana yake halafu ati patanisho

  • @nyambukenyangal1683
    @nyambukenyangal1683 7 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂 waluhya kube wana mapenzi motomoto waa

  • @loisegitau4897
    @loisegitau4897 5 ปีที่แล้ว +1

    Caro your good but your husband ndio mbaya.

  • @faustineluva7490
    @faustineluva7490 7 ปีที่แล้ว +1

    haha chavakali men

  • @aishaeliaslocalmusic8496
    @aishaeliaslocalmusic8496 7 ปีที่แล้ว +2

    It's like she caused the death of the other gal baby, ,

  • @nancypretty7576
    @nancypretty7576 7 ปีที่แล้ว +5

    luhya guys no way na vile hao watu wanapenda ugali na chai cheiii and beating women no way

    • @vinns2088
      @vinns2088 5 ปีที่แล้ว +1

      some galz r into BDSM n shyt....each 2 their own ...each 2 their own

  • @vinns2088
    @vinns2088 5 ปีที่แล้ว

    some galz r into BDSM n shyt....each 2 their own ...each 2 their own

  • @karlwerner3877
    @karlwerner3877 6 ปีที่แล้ว +1

    Pikwa kabisa kwani wewe ninani wapika mwenzako

  • @karlwerner3877
    @karlwerner3877 6 ปีที่แล้ว

    Kama nimimi ningekutwanga pia ful Idiot