Tanasha adai 'siongei na Diamond', aeleza kwanini aliunfollow watu wa WCB, urafiki wake na Hamisa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 170

  • @rehemahussein748
    @rehemahussein748 4 ปีที่แล้ว +7

    Congratulations Tanasha huyu dada yupo sawa it's time for women to work together!

  • @shaluissa3184
    @shaluissa3184 4 ปีที่แล้ว +18

    Wa kwanza like bure tu jamani

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว +1

    I luv my Tanasha my naseeb gogogo girl...😍😍😚😚

  • @teresiamutua4487
    @teresiamutua4487 4 ปีที่แล้ว +12

    Tanasha is vy mature,l like the way she has been answering questions

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว +3

      But ajaribu kujishusha kidogo kwa Dai ili apate support ya mtoto sio kiuchumi tu hata emotional! Im sure she is holding so much pain in her heart by not solving their issues with her baby daddy n for taking care of NJ all by herself

    • @teresiamutua4487
      @teresiamutua4487 4 ปีที่แล้ว +1

      @@vanessalaizer4363 we dt know wat is she planning insha'Allah one dei they will solve everything,u know sometimes heartbreak is vy hard to handle

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว +1

      @@teresiamutua4487 yes it very hard!! hope she’ll have courage to talk to Dai so they can both move on with no hard feelings towards each orher n for the sake of the baby. Life is too short anything can happen thou

  • @jollyboss7770
    @jollyboss7770 4 ปีที่แล้ว +27

    Ahh huyu diamond sini juzi tu hapo alikua aki show off,kua ana hela 🤣🤣🤣haki mungu anamuona masikini naseeb. Junior alimkosea nn?yani hatoi matunzo ya mtoto wakati huyo mtoto alienda akiwa na miezi 4 tu, dai ana roho mbaya sana Alafu mbele ya jamii anajifanya mtu poa, kwa mm nilimchukia kitambo tokea achane na zari kwa huo upuzi wake wakutolea watoto wakati uwezo anao yani amezoe, hamisa alifanya kum buruza mahakamani ndio akanza kuhudumia Dylan domo sio mtu poa

    • @queentz8314
      @queentz8314 4 ปีที่แล้ว +5

      He's fake hana chochoteeee

    • @bettyowiti397
      @bettyowiti397 4 ปีที่แล้ว

      Ongeza sauti...

    • @mussanassoro790
      @mussanassoro790 4 ปีที่แล้ว +13

      Hapana mambo ya matumizi nyie hamjuo tu diamond hafeki ila wanawake wanapenda tumia watoto kama fimbo kwa mwanaume wanapoachana anaweza kataa matumizi alaf anakuja sema jamaaa hatoi msipende judge ya wazazi wanwake hatar kwani zari hamumuoni now kakituliza alitaka tu mawasiliano mazuri

    • @everlineeverline105
      @everlineeverline105 4 ปีที่แล้ว +3

      Mond asaidie naseeb jnr anasaidia babake?huyo amelaniwa.

    • @mwatumsaidi5104
      @mwatumsaidi5104 4 ปีที่แล้ว

      Anataka amuombe kama zari alivopiga kelele

  • @Kanicynjuguna
    @Kanicynjuguna 4 ปีที่แล้ว +7

    She's looking beautiful

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 ปีที่แล้ว +7

    Well said Tanasha 👏 😘😘

  • @eliakejijoseph1422
    @eliakejijoseph1422 4 ปีที่แล้ว +5

    She’s so intelligent ❤️❤️❤️

  • @patrickdonald336
    @patrickdonald336 4 ปีที่แล้ว +11

    Sasa ame unfolow ili asipate kuona kitu kinachomkumbusha diamond afu anamtoto wa diamond anaefanana na baba yake 😂😂

    • @lilianmuhochi1152
      @lilianmuhochi1152 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣 well said .. fact

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 4 ปีที่แล้ว +1

      Picha yake wakiposti inamumiza mabye wanawake wengi wako ivyo mtoto wala ahumizi ila ukimwona mtu unahumia

    • @ashanakamatte9737
      @ashanakamatte9737 4 ปีที่แล้ว +1

      That's bad grown ups always settle there difference cause she got a son with him .this blocking it's not good 😂😂😂😂😂

    • @queenbibisha1961
      @queenbibisha1961 4 ปีที่แล้ว +1

      Sasa huyo rommy ndo awezi post vitu vya Kumkumbusha diamond no since answer

    • @ashanakamatte9737
      @ashanakamatte9737 4 ปีที่แล้ว

      @@queenbibisha1961 ok let her unblock and post 😂😂😂 he will never marry she was after money everyone knows it stop being blind 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ShazeenBaby
    @ShazeenBaby 4 ปีที่แล้ว

    Wow maashallah 👌

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 ปีที่แล้ว +6

    Aliondoka mwenyewe huyu nae ila diamond hana kitu kubembeleza ukimuacha nae anaachika ya zari yalikuwa hivihivi alisema hataki matumizi lelele Leo wanacommentiana nini hata huyu yataisha tu

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว +2

    😊Ila nasib jaman 🤔😀

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 ปีที่แล้ว +5

    Yaani Aisha donna anajielewa sana husu mwanamke hana uswahili kabisa

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 4 ปีที่แล้ว +3

    sasa watakua sawa kwa kipi tanasha tulia wewe ulee mtoto tuuu ulikua unajua muwe munakubali.matukiooo

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbuka Zari alisema hajiya ndaye kuleya mtoto sasa njo haya pole sana Tanasha 😢 Baba na bipesa vyote ivyo hapendi kusaidiya watoto wake niyatari sasa pesa zanini?????

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa" aliyataka mwenyewe!

    • @chalamossi6656
      @chalamossi6656 4 ปีที่แล้ว

      Mwamini wew utamsaidiyaje mtoto huzungumzi na mama yake urukundo rwu mwana ruva kuri nyina

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว

      Na Zari alivyokuwa anasema alimjibu anamuonea gere show ndiyo hiyo,

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว +6

    Me pia hupenda kuchukua uwamuzi huu wa Aisha Donna ✌

  • @fatmaabdulla9518
    @fatmaabdulla9518 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera mamy iyo ndo raha yakua mwanamke jasir ukiwa unauwez wa kulea watt wako luv much

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapana bana it takes two to tango!! Hakuna ujasiri ktk malezi ya watoto. It’s all about supporting each other as parents

    • @fatmaabdulla9518
      @fatmaabdulla9518 4 ปีที่แล้ว

      @@vanessalaizer4363 Ndio sasa kama mtu hakusaport mpigane that way nkampa hongera mamy

  • @officialpriscillakiloko9811
    @officialpriscillakiloko9811 4 ปีที่แล้ว +4

    Good tanasha

  • @nyotaashanti3260
    @nyotaashanti3260 4 ปีที่แล้ว

    Kk ww unajuwa sana

  • @rukiachamani1101
    @rukiachamani1101 4 ปีที่แล้ว +2

    Ila Zari alimwambia kuwa ajiandae kulea mtoto peke yake kipindi yu mjamzito.

    • @salomemlagila5757
      @salomemlagila5757 4 ปีที่แล้ว +1

      Alisema zari wa watu Lakin kwa kipindi kile. Aliona anashambuliwa

  • @ashanakamatte9737
    @ashanakamatte9737 4 ปีที่แล้ว +3

    She should mature and forgive him . Blocking doesn't make sense to me at the end of the day that his baby daddy . Stop blocking no matter what that's her baby daddy so people saying she is mature 🤣🙄🙄

    • @ashanakamatte9737
      @ashanakamatte9737 4 ปีที่แล้ว

      You loved money more 😂 he just wanted a wife

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 4 ปีที่แล้ว +2

    Dai ukitaka akuhudumie mtoto kubali uliwe Tu😂,kumbuka walivosumbuana na hamissa na Pia zari,kumbe lijamaa linataka Kula hawa Madame nyuma ya pazia ndio ahudumie vitoto vyake😂.tanasha pambana na Hali yako,uliambiwa Jaya yote ukasema,mtajua hamjui😂😂😂😂😂

    • @sarahtony3937
      @sarahtony3937 4 ปีที่แล้ว

      Mbona hamisa anamla toka yupo na tanasha mondi na hamisa walisumbuana mara ya kwanza alipomkataa mtt sasa ivi anakula tena kwakujisevia hamisa mdangaji kwann akatae kumpa lkn tanasha hadangi pia zari pia hamisa ndio kivuruge wa mondi na mademu zake

  • @alicejohn4745
    @alicejohn4745 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli inauma sana

  • @gaferejustin1344
    @gaferejustin1344 4 ปีที่แล้ว +3

    Wapili mm

  • @farihiamass8739
    @farihiamass8739 4 ปีที่แล้ว +4

    Ahahahhahahhahaa alikuaga hajui kiswahili kaaai saa hii anakiongea vzur

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว +1

    ila mond jamani ata zari alimfanyia hivyo kuto toa uduma kwa watt hamis nae pia

  • @asmakigahe3198
    @asmakigahe3198 4 ปีที่แล้ว

    Duuh mtoto kafanana sana na babaake jamani ♥️♥️♥️

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 ปีที่แล้ว

      Halafu Baba mwenyewe hamlei mtoto wake lol!!!! Man

  • @donmtulia6145
    @donmtulia6145 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwahyo kawa unfollow wengine ili asimuone diamond na kuto mu unfollow rommy napo ndio atakuwa hamuoni diamond jamani hakili gani hii au diamond na rommy hawapo karibu na hawapostiani

  • @teresianjeke753
    @teresianjeke753 4 ปีที่แล้ว +4

    Mtoto anafanana na Simba sana so cute boy

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 4 ปีที่แล้ว +11

    Na yeye aache usenge kila siku kumutaja simba mbona ye hamsemi ye hana mapungufu ambayo daimondi anayajua kwake

    • @iktharsalum4797
      @iktharsalum4797 4 ปีที่แล้ว +1

      Stansilaus Eliasi kwani kaongea kibaya nahuoni alikua hataki ataayo masuali ya mond

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanasha kumbloku Diamond kona zote anajiumiza mwenyewe. Icho kiburi ni kama changu, nikiuziwa na mpnz nambloku basi najikuta nakosa mambo mengi kweli, siku niki unbloku nagundua nilifanya kosa sana kubloku, namkuta mpnz wangu mpoole ananipokea na kunipa support zote👫

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 4 ปีที่แล้ว +2

    basi kwenye hii comment section utaona single mothers kama wote watakavokuja kutuhubiria jinsi gani wanaume hatufai na Tanasha ni hero😂😂😂.....fieni mbeleeeeeee!

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว

    Na hii itakuwa fundisho kwa wengine sio kwenda kujibebea tu mimba unajua wewe ndio utapendwa kuliko wengine, kwanza jiulize hao wengine walioachwa na watoto zao wako na kasoro gani?? Sio siku mbili tu mimba Wakati wenzako wanalia hadi mahakamani kuwa hakuna matunzo ya watoto wanawake tujiongeze,

  • @jessymalembeka6181
    @jessymalembeka6181 4 ปีที่แล้ว

    yaani dai anataka alabwe labwe miguu ndo atoe huduma kwa watoto kaaaaaaaa.

  • @bunny_dailylife
    @bunny_dailylife 4 ปีที่แล้ว +7

    Si atulie nae diamond hajawai muongelea asharopokwa mengi si atulie

    • @everlineeverline105
      @everlineeverline105 4 ปีที่แล้ว +6

      Wambie wale wanaomuliza kuhusu diamond wawache coz hata amemove on.pia mtangazaji ako kazi ako na haki yakupata jibu.ako strong.

    • @nanaeid8443
      @nanaeid8443 4 ปีที่แล้ว +4

      Thabita Sharon waambie wana Habari wako me kumuuliza ok

    • @bunny_dailylife
      @bunny_dailylife 4 ปีที่แล้ว

      @@nanaeid8443 unasema nini

    • @bunny_dailylife
      @bunny_dailylife 4 ปีที่แล้ว

      @@everlineeverline105 anaweza sema no comment it's not must ajibu

    • @floridahmutheu6651
      @floridahmutheu6651 4 ปีที่แล้ว

      @@bunny_dailylife Exactly, mbna hujibu

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 ปีที่แล้ว +2

    Sasa kwann alimuacha romy hakum unfollow ?

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 4 ปีที่แล้ว +2

    Labda akitoa pesa za matumizi kwa watoto wake atafilisika huenda ndio kati ya masharti aliyopewa kwa utajiri wake.

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 4 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏safi sana 😍😍

  • @tamaraeliz7114
    @tamaraeliz7114 4 ปีที่แล้ว +2

    The Rich also Cry. Abdul blood. Hasaport mtoto

    • @bunny_dailylife
      @bunny_dailylife 4 ปีที่แล้ว

      Si amesema haitaji Kwani nini

    • @tamaraeliz7114
      @tamaraeliz7114 4 ปีที่แล้ว +2

      @@bunny_dailylife asifanye kwa ajili Tanasha afanye kama babake Nasib junior

    • @everlineeverline105
      @everlineeverline105 4 ปีที่แล้ว

      Mtoto ni mama.

    • @bunny_dailylife
      @bunny_dailylife 4 ปีที่แล้ว

      @@tamaraeliz7114 sikuelewe ujuwe

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว

      @@tamaraeliz7114 ndio hasara ya kuzaa na mtu wa watoto wengi na tanasha alitakiwa asijibebee mimba angejifunza kwa wanawake wenzio yaliyowatokea maana hata hamisa alimpeleka mahakamani ndio mtoto akaanzwa kutunzwa,

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 ปีที่แล้ว +4

    Such a cutest my tanashaa. Kwaza walkua wanaendana na mond...bonge ya mzungu.yan hyu mimi kabsaaa.dont care dont mind..sio wale wengne..yan hyu ana dam ya kizungu ivo mambo yke ya kizunguzungu🤣🤣🤣mswahil akikusifia ujue anataka kitu kwako.

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 4 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kapole

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว +1

      Mmh wazungu kwani wakoje, hakuna watu wanafiki na wenye wivu kama wazungu. Tunakaa nao tunawajua, tembea uone! Bora mwafrika yuko straight, mzungu weeeee🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 4 ปีที่แล้ว

      @@vanessalaizer4363 mhm mzungu sasa yuko straight.yan hapo umeongea sifa za wazungu....

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 4 ปีที่แล้ว

      Vanessa Laizer wanafiki lakin wanajeuri ya kupizia vitu mabye kamanisha ivyo

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว +1

      @@azzamahamdu7039 hapana sio wote, mie nina rafiki zangu wazungu walienda Tanzania mbuga za wanyama. Waliporudi wakawa wananiambia watanzania wako straight sana hadi wanakuwa hawajali kuumiza hisia za mtu, akaniambia mie niko ivo pia, then wakasema sie ni wagumu kuomba msamaha!

  • @vivianchawe7561
    @vivianchawe7561 4 ปีที่แล้ว

    Ni laana inaendelea diamond inabidi aombe kuifuta hiyo laana kwasababu hata yet hakulelewa na baba yake kwahiyo na yeye laana inaendelea kwake

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂zari alikwambia hili unalozungumza ukizaa na daimond ujiandae ukajifanya jeuri umeona Sasa nafikiri utakuwa umejifunza kuhusu wanaume kubeba mimba bila kujua tabia pole tanasha

  • @Noah-se3ni
    @Noah-se3ni 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond please m support mtoto wako Naseeb junior kumkubuka huyu mtoto ndie pacha yako.

  • @ninaclaudia1990
    @ninaclaudia1990 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hiyo leo hii kajuwa kiswahili ghafla 🤔

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว

      Diamond anawakoroga akili hadi kiswahili kinakija,

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @stanslauselias9002
    @stanslauselias9002 4 ปีที่แล้ว

    Namushauli tu atulie kumsema simba maana hamna siku simba amemusema huyu nyubu

  • @francissamson8028
    @francissamson8028 4 ปีที่แล้ว +1

    Baada ya mobetto kumvisha diamond yy akaona kujenga urafiki na mobetto,

  • @Mtumbaya09
    @Mtumbaya09 4 ปีที่แล้ว +1

    Si mtoto wa mwijaku

    • @jollyboss7770
      @jollyboss7770 4 ปีที่แล้ว +1

      Jamani mbinguni utafanya kuisikia ww mwehu, yani copy ya chibu alafu unaongea utopolo

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 4 ปีที่แล้ว

      Wacha awe ni wako. Unasemaje???

    • @alimairakoze3784
      @alimairakoze3784 4 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @alimairakoze3784
      @alimairakoze3784 4 ปีที่แล้ว

      @@jollyboss7770 🤣🤣

  • @bunny_dailylife
    @bunny_dailylife 4 ปีที่แล้ว +1

    Ata mimi aliniblock 🤪

  • @queenwinnie256
    @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว +1

    Basi na nyimbo yake gere aifute ili asikumbuke, na hiyo ni mtihani sana mtoto uko nae,

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว +1

    Juzi Chibu adai wako swa eti eee duh

  • @everlineeverline105
    @everlineeverline105 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanasha ako sawa. Hata yeye alilelewa na single mother and there she is.tom kaka ako kwa malezi ya kizungu na atakua mpaka mond atamsahau.no need.mond relax.

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 4 ปีที่แล้ว +1

    Mchizi ankinyongo Sana na wanwake htkiw kufnya hvyo kwakweli copoa

  • @ashanakamatte9737
    @ashanakamatte9737 4 ปีที่แล้ว +3

    Hmmm I don't buy that they like each other natural Co wife I don't buy it . You know when you separate from your man you start making his ex friends inside it's not true love . Stop pretending

    • @rehemahussein748
      @rehemahussein748 4 ปีที่แล้ว

      Remember she's now a Muslim women soo this is how we are support to do! Mambo na matusi ugomvi na kupigana ushapitwa na wakati!

    • @ashanakamatte9737
      @ashanakamatte9737 4 ปีที่แล้ว +1

      @@rehemahussein748 am also a Muslim born one I know quran . One day when you get a co wife or ex of your husband you will know I don't find in true they are friends it's just a show off . She just converted , if your converted completely you change your first name that's a true Muslim have she done that . What does Qur'an say

    • @ashanakamatte9737
      @ashanakamatte9737 4 ปีที่แล้ว

      @@rehemahussein748 she should change it even on her ID and everything that's what you say a Muslim come on

    • @ashanakamatte9737
      @ashanakamatte9737 4 ปีที่แล้ว +2

      @@rehemahussein748 Qur'an it's something deep don't take saying a Muslim in the name of making someone happy please .

    • @rehemahussein748
      @rehemahussein748 4 ปีที่แล้ว

      @@ashanakamatte9737 am not making anyone happy here! That's the truth! And also it's not about Muslims only?haifayi wanadamu kutukanana ama kukaa mda mrufu bila talking to each other! Jee ukifa kama Leo na chuki zako? Ama watu haupo nawo vizuri? Kisha sahizi nani utajuwa utafuta riziki ama matusi kila mara kumbuka unawatoto kesho wakiwa wakubwa waone ulivyo kuwa kwenye social media matusi! Kisha umekazana kuwafundisha wawe good example of tomorrow generations!

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar 4 ปีที่แล้ว +1

    Afie huko huko aliko elekea, diamond hna mda pindi ikitokea ameachana na diamond. Wewe c uli unfollow him na watu wake wa karibu. Sasa tulia uone game ya mond mpuuzi wew. yeye Kama ilikuwa hataki kumuona diamond, Kwanza alisahau kuwa diamond Ni star, ukikosa kumuona ktk IG za watu wake wakaribu bc utamuona kwengine. That's fucken pointless mama. Wewe songs mbele, lkn una unafki sn wewe Tanasha. Why huausemi kwani ulikimbilia kuzaaa na diamond kwa lengo gani ?

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 4 ปีที่แล้ว +4

    Media z Tanzania zinakazi Kwa kweli bora umerudi kenya tuu. Maana wanapenda kufuatilia maisha y watu Baki tuu wajuwe unakunya mavi y rangi gani

    • @maatumkhatib4927
      @maatumkhatib4927 4 ปีที่แล้ว

      Kwani hayo maswali ameulizwa na media za Tanzania au kwao kenya

    • @everlineeverline105
      @everlineeverline105 4 ปีที่แล้ว

      Haaaa kazi kweli.

    • @sylviamwilima388
      @sylviamwilima388 4 ปีที่แล้ว

      @@nanaeid8443 kwahiyo wewe hii page wafanya nini. Fatilia media za huko.

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 4 ปีที่แล้ว

      Sasa huyo wa Kenya mbona kamuuliza kuhusu mtanzania Diamond?? Stop contradicting yourself meen

  • @salmamusa9085
    @salmamusa9085 4 ปีที่แล้ว

    .

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 ปีที่แล้ว +1

    Diamond sjui kwann akiachana na mwanamke anakua ahuduma nae

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 4 ปีที่แล้ว +3

    Mm nilijua tu!pale kwenye uzinduzi wa album ya rommy alidanganya kua yuko vizuri na wazazi wenzako wote wakati hata matunzo ya mwanae hatoi, dai mungu anakuona, sio poa yani mtoto alienda na mamake akiwa na miezi 4 alafu hapo hutoi child support ya damu yako mwanao uliefanana nae kuliko wote huyu jamaa si mzima pamoja na walio mzunguka sio watu poa, Alafu daimond ni muongo sana sialisema wazazi wenzake wote yuko sawa nao, kumbe alikua anadanganya wana habari 🤣🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri chibu ana laana ya babake ndio maana kusahau mpaka mwanae sio kwa ubaya lakini huko twendako ramani sitakuja acha kusoma, tanasha hapo anongea tu, lakini yy kama mzazi lazma i feel why x wake hatoi matunzo,

    • @boytz1870
      @boytz1870 4 ปีที่แล้ว +1

      Acha kuingilia family management unajuaje km hatoi mbona mnakuwaga kujifanya kupanic kwa mambo yasiyo wahusu?

    • @boytz1870
      @boytz1870 4 ปีที่แล้ว +2

      Aliondoka yeye kwa shari na kujifanya hataki chochote kwa mond saivi mnaanza kumshutumu dai mnataka amshikishe pesa kwa lazima?

    • @Noah-se3ni
      @Noah-se3ni 4 ปีที่แล้ว

      Mimi pia nilijuwa nikweli kumbe Diamond ni muongo sana.

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 4 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo wewe mama korosho ndio Umekuwa Deputy God unajua mpaka laana za watu??We kichwa maji shugulika na za kwako..Yaani una nyege hatari are you the spokesperson??Huyo dadako tawasha mwambie akule ujeuri wake nothing comes easy!

    • @freelancer6368
      @freelancer6368 4 ปีที่แล้ว

      @ShutterDe DON Na nyinyi na huyo tawasha muende mlambane huko kenya shenzi!

  • @Meaw687
    @Meaw687 4 ปีที่แล้ว

    Bla bla bla bla

  • @wamboischmidt1951
    @wamboischmidt1951 4 ปีที่แล้ว +2

    🤗🤗🇩🇪🥰❤❤👍👍👍🙏

  • @julietmombasa1103
    @julietmombasa1103 3 ปีที่แล้ว

    Haha

  • @arafaally2895
    @arafaally2895 4 ปีที่แล้ว

    Ndio mana hamissa anampelekaga mahakamani

  • @krisongalax1736
    @krisongalax1736 4 ปีที่แล้ว

    Yani nyinyi SNS tafuteni mada nyingine Kam vp muhame TZ

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 ปีที่แล้ว +2

    Mond ameongeya kama wako vizuri na wazazi wenzake😂😂😂

    • @ROSEROBERTROBART
      @ROSEROBERTROBART 4 ปีที่แล้ว +2

      Kwani hujiu mondi ni muongo, hana hata aibu mtu mzima hovyo anadhani tanasha hakusoma kama yy, mm nampenda tanasha hua hapindishi maneno anaongea ukweli ulipo

    • @sinzoshabani6855
      @sinzoshabani6855 4 ปีที่แล้ว

      @@ROSEROBERTROBART kweli samtime di muongo jutu kasema wako sawa na wazazi wenzie

    • @boytz1870
      @boytz1870 4 ปีที่แล้ว

      @@ROSEROBERTROBART ndo umpe wewe pesa ya kumlea mwanae naona umelisimamia sana hilo as if ulikuwepo kwa kila hatua yao

    • @ROSEROBERTROBART
      @ROSEROBERTROBART 4 ปีที่แล้ว

      @@boytz1870 sasa mm hapo nime comment ubaya, tanasha mwenyewe ndio kaongea hapewi matumizi, asingesema tusingejua, alafu hamtaki ambiwe haya tanasha kashasema

    • @boytz1870
      @boytz1870 4 ปีที่แล้ว

      @@ROSEROBERTROBART kiburi chake na kujiona anajiweza kulea pekeake alikata mawasiliano na Mond sasa ayo matumizi angesupport kivipi kama kamblock duh