Pole sana kwa changamoto hiyo kaka. Kwanza hakikisha unasafishia nyanya Yako kwa kuondoa majani yote ya chini yaliyoathirika lakini pili hakikisha unatumia sumu zenye kiambata cha copper oxychloride kama blue copper au bengold au sumu yenye cymoxnil mfano master Kinga au master kutu zitakusaidia kuondoa tatizo lako. Pengine ningependa kujua wewe unatumia sumu Gani za ukungu? Lakini pia unaweza kunitumia picha Whatsapp kwa msaada zaidi. Karibu
Thumb up.....,big up bro
Nakubal kaka
safi
Karibu sana
Asante kwamsadawako
Karibu sana
Asante
❤❤❤❤❤
Nafuatilia kaka
Hongera sana
Alafu kwa Sasa nimepunguza kazi TUNAWEZA kupanga trip ukaja kujifunza shambani kama ulivyoomba
Baba hapa umenifunza zaid ya somo
Karibu sana endelea kujifunza zaidi mambo mengi mazuri yanakuja
Nyanya yangu inasumbuliwa na mnyauko, natokaje hapo kaka
I mean leaf sports kaka
Pole sana kwa changamoto hiyo kaka.
Kwanza hakikisha unasafishia nyanya Yako kwa kuondoa majani yote ya chini yaliyoathirika lakini pili hakikisha unatumia sumu zenye kiambata cha copper oxychloride kama blue copper au bengold au sumu yenye cymoxnil mfano master Kinga au master kutu zitakusaidia kuondoa tatizo lako.
Pengine ningependa kujua wewe unatumia sumu Gani za ukungu? Lakini pia unaweza kunitumia picha Whatsapp kwa msaada zaidi. Karibu
@@emanuelminja2023 Nashukuru sana kaka kwa ushauri, natumia Tancopper, Ridomil na Enovex ugonjwa ulisimama kwa mda saiz naona umerudi