ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mungu ailaze roho ya mzee majuto pahala pema peponi na mtanga alikuwaga mnene sasa amepungua
mashallah Allah akupunguzie azabu za kaburi mzee majuto
Mwenyezi mungu amreheem ...King mzee majuto amsamehe madhambi aliotenda Dunia, na Amuepushee na athabu za Kabriiii ...Ameen ameen thumaa ameen 🙏...!!!
Yan mtanga we noma Mimi nakukubali Sana sasa ukiwa na bambo ndo kucheka mpka kulia
Allah amrehemu king majuto🙏🏽
inshallah
Amen
Ha ha ha we endelea kumlea mumeo ha ha ha yeye yuko busy kuwahudumia mashangingi wasio mpikia wala kumfulia😂😂😂😂
R.I.P legend king majuto ! 2021 bado mzigo unasonga
Nitakukumbuka sana mzee majuto
mtu mzima na ndevu za chuma...hahaha majuto ndie kijana bado
Mungu akuweke sehem nzur mzee majuto
Wasoma comenti kabla yakuangalia picha tujuane 😂 🏃
R.I.P babu ALLAH Akuifadhi mahali pema peponi
Bado kazi inaendelea uliyoiacha R I P King Majuto
Majuto bana wee n nomaa san babng
mtanga we noma nimepika kawali kalikuwa ka anukia saiz nasikia kaharufu kapetrol diesel
kiboko...lolDahhh inani kumbusha home MSA..niliondoka ba-mdogo sana...na miss Africa..TZ kiboko...lol HATARI
Mimi pia jaman
@@salmamussa786 Ama vipi.. lol
It's mwaaah ze movie zat iz king majuto
King:"nani!?"Mw:"mume wangu"😂😂😂😂
Niambie wee mlembo mzuri
Bado naipenda mpaka 2020
R.i p Majuto,nmecheka sn
mungu a laze mahali pema pepon
mzee ww jmn r.i.p nakupenda sana
Ni kweli wanawak weny makalio makubwa hawanaga akili.
Akili iliishia Kwa makalio
Thanks so much for good movie
Mzee majuto🙌🔥🔥
naomba muweke nakwenda kwa mwanangu full movie sio vpande
2/3/2021 bado nakutazama king RIP pengo lako kamwe halitazibika
4/3/2021
R.i.p king Majuto 😢😢,2024
mzee majuto play boy 😅
3/12/2020 bdo nakutizama king majuto
Nani anaangalia mwaka 2019
2 po wote
Niambie
Mimi hapa nikiwa qatar 2022
Mhuuu majuto hongera sana
Iko sawa
Napita in 2020 upumzike kwa amani mzee majuto.
Aminaaaaà pumzika kwa Aman mzee tulikupenda ila mungu kakupenda Zaid on way
Pumzika salama mzee majuto
Iko vizuri sana
msichana wa red anaitwa nani?
Sijakuelewa
Abu Somali ma
Marahab vishet
really talent,no script
Ruwa Mwero
hahahahahaha wanaume wa tanga unaambiwa kazi yako ataifanya kwa uaminifu wote lakin cyo mke hahaha r i p king
R.I.P sharo ,King majuto kiboko yaoo
Regina Bwija .
wap mtanga hahaaaaa
Unanipandisha geji😄😄😄😄😄R.I.P KING MAJUTO
good movie
kari xana mwana
Dadeki eti anaitwa mumewangu
very nice so good
Ha ha ha nimeipendaaaaaaaaaaaa
poa.sana.uko.vizuri
Tributes to Mzee majuto
bonge la movie like ths
iko juu Sana
Emmanuel Urassa R.I.P sharomilionea
Sharo r.i.p 2024
Nice movie
daaah kweli vyumba vmejaa
like movie full
Wengine tuna afya zetu
Nyumba Kama gadauni duh
movie iko poa sana
Nice nice
Mtu muzima hovyo.. love this quote :)
2021 allah akuondolee adhabu za kaburi majuto bi idhini llah
Mnadislike jaaman au hamjui maan yake
Nice one mtanga
vry gud
Hahaha.a..
Rip majuto na sharo
nishida
mtanga we noooooma
Rip king majuto
really dat it`s so good movy
mtu mzima na ndevu za chuma aaaaaaa nimecheka
nice
Fine
move iko p sana nimeikubali
haha mtanga
majutio hahahhaha
hahahqh anàpakua
Cool
kweli mzee uyu alikuwa mkali na mchezi sana RIP king majuto
ترجمه !!
Rip king
Yes
Nanitunae dc 26 2020
Nipo nipo dec 27 asubh nainjoy na king wa comed, mungu ampumzishe kwa aman jamn dah namkumbuka na mengi 😥😥😥
😊😊😊
2020
HUKU TANGA MBONA MTANDAO WA KIJAMII UNSUMBUA SANA UNAUPATA KWENYE BARABARA ZA NAMBA TU
Nice one
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Try this
Hii kali saaaaaaaaaana
Nizu
mpumbavu nini
Rihama
Km unapika mm napakua sasa,hahahahaha,mtangaaaaa
RIP
Hahaaa
😂😂
move ni nzuri sana
excelent
kali sana
so noisy mujaribu
😄😄😄😄😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Pwahahahahahaha...
Kali sana
very nice
Nice
Mungu ailaze roho ya mzee majuto pahala pema peponi na mtanga alikuwaga mnene sasa amepungua
mashallah Allah akupunguzie azabu za kaburi mzee majuto
Mwenyezi mungu amreheem ...King mzee majuto amsamehe madhambi aliotenda Dunia, na Amuepushee na athabu za Kabriiii ...Ameen ameen thumaa ameen 🙏...!!!
Yan mtanga we noma Mimi nakukubali Sana sasa ukiwa na bambo ndo kucheka mpka kulia
Allah amrehemu king majuto🙏🏽
inshallah
Amen
Amen
Ha ha ha we endelea kumlea mumeo ha ha ha yeye yuko busy kuwahudumia mashangingi wasio mpikia wala kumfulia😂😂😂😂
R.I.P legend king majuto ! 2021 bado mzigo unasonga
Nitakukumbuka sana mzee majuto
mtu mzima na ndevu za chuma...hahaha majuto ndie kijana bado
Mungu akuweke sehem nzur mzee majuto
Wasoma comenti kabla yakuangalia picha tujuane 😂 🏃
R.I.P babu ALLAH Akuifadhi mahali pema peponi
Bado kazi inaendelea uliyoiacha R I P King Majuto
Majuto bana wee n nomaa san babng
mtanga we noma nimepika kawali kalikuwa ka anukia saiz nasikia kaharufu kapetrol diesel
kiboko...lol
Dahhh inani kumbusha home MSA..niliondoka ba-mdogo sana...na miss Africa..TZ kiboko...lol HATARI
Mimi pia jaman
@@salmamussa786 Ama vipi.. lol
It's mwaaah ze movie zat iz king majuto
King:"nani!?"
Mw:"mume wangu"😂😂😂😂
Niambie wee mlembo mzuri
Bado naipenda mpaka 2020
R.i p Majuto,nmecheka sn
mungu a laze mahali pema pepon
mzee ww jmn r.i.p nakupenda sana
Ni kweli wanawak weny makalio makubwa hawanaga akili.
Akili iliishia Kwa makalio
Thanks so much for good movie
Mzee majuto🙌🔥🔥
naomba muweke nakwenda kwa mwanangu full movie sio vpande
2/3/2021 bado nakutazama king RIP pengo lako kamwe halitazibika
4/3/2021
R.i.p king Majuto 😢😢,2024
mzee majuto play boy 😅
3/12/2020 bdo nakutizama king majuto
Nani anaangalia mwaka 2019
2 po wote
Niambie
Mimi hapa nikiwa qatar 2022
Mhuuu majuto hongera sana
Iko sawa
Napita in 2020 upumzike kwa amani mzee majuto.
Aminaaaaà pumzika kwa Aman mzee tulikupenda ila mungu kakupenda Zaid on way
Pumzika salama mzee majuto
Iko vizuri sana
msichana wa red anaitwa nani?
Sijakuelewa
Abu Somali ma
Marahab vishet
really talent,no script
Ruwa Mwero
hahahahahaha wanaume wa tanga unaambiwa kazi yako ataifanya kwa uaminifu wote lakin cyo mke hahaha r i p king
R.I.P sharo ,King majuto kiboko yaoo
Regina Bwija .
wap mtanga hahaaaaa
Unanipandisha geji😄😄😄😄😄R.I.P KING MAJUTO
good movie
kari xana mwana
Dadeki eti anaitwa mumewangu
very nice so good
Ha ha ha nimeipendaaaaaaaaaaaa
poa.sana
.uko.vizuri