Jambo Moja La Hakika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Jambo Moja La Hakika
    Mtunzi: Kwa hisani ya Dudu SDA Church Choir
    Key: E Flat Major
    Niambie jambo moja la hakika -- Sema ndugu sema neno,
    Juu ya wokovu wangu -- Sema wote wasikie;
    Hukumu inakuja -- Kwa watu wa dunia,
    Juu ya matendo yao -- Sema wote wasikie.
    Jambo hili ni hakika, ni onyo kwa wote:
    Yesu amekusudia hukumu ya haki;
    Kila jambo kila tendo litafunuliwa,
    Jiandae kusimama katika hukumu.
    Dunia inaonya -- Sema ndugu sema neno,
    Watu waache dhambi -- Sema wote wasikie;
    Waache matendo yao -- Sema ndugu sema neno,
    Wamurudie Bwana -- Sema wote wasikie.
    Siku hiyo ikifika -- Sema ndugu sema neno,
    Watu watakimbia -- Sema wote wasikie;
    Wewe ndugu yangu -- Sema ndugu sema neno,
    Utashangilia? -- Sema wote wasikie.

ความคิดเห็น •