Asanteni wote kwa kutunga mkoni.UMtv ni ya watu wote na tunaendelea kuwakaribisha kila wakati mkishare kwa wengine ili kufuatilia vipindi moja kwa moja toka MUtv
Hongereni sana wanafunzi wa Mazinde Juu, Hongera sana Sr. Evetha Kilamba na walimu wote pamoja na wazazi wote mliofanikisha jambo hili. Jambo hili ni neema kwa Mzee Gideon pia ni baraka kwa Wanafunzi, walimu na wazazi. Mmefanya jambo kubwa sana la upendo, Mungu aendelee kuibariki shule ya St. Mary's Mazinde Juu.
Hongereni sana wanafunzi w St. Mary's mazinde Juu.watoto wadogo kama nyie mmeweza kufanya jambo kubwa kama hili Mungu awabariki sana. Pocket money zenu zimefanya mambo makubwa sana. Mungu awabariki sana.
I will also pray for our ladies of St.Mary Mazinde Juu. It is more than hospitality, May Almighty God Bless you abundantly, I hope that God will rewards you abundantly via successfully in you result. am proud of you guys.

Nimelia tu Hongereni kwamajitoleo yenu.Mungu akawaongoze zaidi
Father Damian🙏🙏🙏
Mungu aitunze Mazinde na masister wote! Sis Evetha Mungu akukumbuke tunayaona matunda ya mazinde popote vijana wako waliko🙏
Ongereni sana wadogo zangu Mungu azidi kuwabariki na kuwakirimia kila neema na baraka mnazoziitaji kwaajili yenu na familia zenu.
Fr. Damiani nami nilikuwa mmoja kati ya hao kumi na tano. Hongera sana kwa kubadilisha Mazinde juu.
Team UMTv hongera Sana kutuletea Habari kemkem
Hongereni sana wanafunzi wa mazinde juu mungu azidi kuwaongoza ktika masomo yenu
Waoo hongeleni sana Mungu awabalik
Kweli Mazinde Juu hamfundishi tu elimu dunia bali mnajenga kizazi imara cha baadaye. Hongereni sana kwa moyo wenu wa majitoleo.
Hongereni sana wanafunzi w St. Mary's mazinde Juu.watoto wadogo kama nyie mmeweza kufanya jambo kubwa kama hili Mungu awabariki sana. Pocket money zenu zimefanya mambo makubwa sana. Mungu awabariki sana.
This is very good. May the great Allah protect and guide all those who participated do to such will.
Be blessed Umtv.
I will also pray for our ladies of St.Mary Mazinde Juu. It is more than hospitality, May Almighty God Bless you abundantly, I hope that God will rewards you abundantly via successfully in you result. am proud of you guys.
Wow! Wanafunzi, waalimu na uongozi wa shule na team nzima ya Sister Evetha na Masista wote hongereni sana kwa huduma nzuri kwa jamiii
Hongera jamani Mungu ni mwema maana Baraka zitakuwa juu yenu siku zote
Hongera wanafunzi na waalimu wenu,Kwa majitoleo ya mwitaji huyo.Mungu awabariki sana.
Mungu awabariki
Inawezekana👌
Wau Mungu saidia wote wanamiliki shule hiii Mungu tusaidie ninakupenda sana
Mbarikiwe ana