TUJENGE MSHIKAMANO NA UMOJA, IKHTILAF ZA MWEZI MAULID HITMA ZINATUCHELEWESHA. SHEK MUHARAM MZIWANDA,

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 64

  • @twenyesalim1005
    @twenyesalim1005 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah sheikh uko vizuri mbona waisilamu tusifanye haya

  • @fatihasalumu3532
    @fatihasalumu3532 3 ปีที่แล้ว +4

    Maashallah shekh wangu Allah akupe umri mlefu tuendelee kunufaika na elimu yako na busara zako inshaallah

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 3 ปีที่แล้ว +1

    MAASHAAALLAH TWATAKA MASHEKH KAMA WEWE MSEMA KWELI BASI DINI INGEKUA MBALI
    ALLAH AKUJALIE SHEKH MZIWANDA

  • @hilmialjahdhami9787
    @hilmialjahdhami9787 3 ปีที่แล้ว +1

    YA ALLAH TUNAKUOMBA KWA NGUVU ZAKO MUWEZA MLINZI ALLAH USIOSHINDWA MPE UHAI AFYA NGUVU ULINZI HUYU SHEIKH MZIWANDA TUFAIDIKE NAE NA TUJAALIE SISI WAISLAMU TUWE KITU KIMOJA AMIN

    • @fahmiy6197
      @fahmiy6197 3 ปีที่แล้ว

      Ameen yaarab thumma ameen

  • @salehengawanga5619
    @salehengawanga5619 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah ust wng

  • @sophianyangalio3796
    @sophianyangalio3796 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde sheikh wetu

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 ปีที่แล้ว

    Manshallah shekhe umesema ukweli Allah akulinde

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah sheikh una hekima na busara.Tofauti na yule mtoto anayeitwa mohamed bachu kutwa anawakosoa masheikh kwa lengo la kutafuta umaarufu

  • @FatmaAli-dp9ps
    @FatmaAli-dp9ps 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah
    Allah akuhifadhi

  • @jasmin7527
    @jasmin7527 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH akujaze khery hakuna kitu kinacho niuma kama mashekh kuwekwa ndan kisa tu kuitangaza dini na mashekh ambao ndo viongoz hukaa kimya afadhal shekh ALLAH kakupa ujasiri wa kusema na ALLAH atakulipa

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 3 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allah Sheikh Mziwanda nakupenda kwa ajili ya Allah...🇰🇪

  • @mussampili6212
    @mussampili6212 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akujaalie shekhe wangu nakupenda sana kwa ajili ya allah

  • @bakariabdallah2579
    @bakariabdallah2579 3 ปีที่แล้ว

    Masha alla alla akuhifadhi sheikh

  • @jambo3751
    @jambo3751 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiongozi wetu ni mtume Muhammad SAW katika dini yetu ya kiislamu. Ama kuhusu uongozi wa dola basi waislamu tunatakiwa tuwe chini ya khilafa na si vyenginevyo.
    Mfumo mwengine wowote tutakaoufuata basi tujuwe tuko kwenye batil.Hilo swala la mshikamano ni sawa kwasababu ni amri ya Allah.

  • @dungayusufu1954
    @dungayusufu1954 3 ปีที่แล้ว

    Allah akulpe gheriy duniani na aghera

  • @rahakesho5550
    @rahakesho5550 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sheikh m mungu akuweke inshaallah

    • @fadhiliissa2109
      @fadhiliissa2109 3 ปีที่แล้ว

      Hakika somo kubwa umefikisha vyema mollah akupe afya njema ili uzidi kututoa pabaya na kutupeleka pazuri

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah, umeongea maneno muhimu sana. Kunao wengi kati yetu wanatamka matusi bila kujua kwamba ni makosa makubwa.. Unajua kwa nini? Hata ingawa Waislamu ni wengi lakini Elimu ya Uislamu haikuenea vyema. VIJANA wapo wengi hawaelewi hata maana ya tamko la SHAHADAH. wangapi wanapotoshwa na wapotoshaji wakawa wanawaita ndugu zao eti MAWAHABI. Je hata Sheikh unamuita Wahabi? Je anayesema hivyo, anaelewa kwamba anamaanisha kwamba ati Sheikh hajui nguzo za imaan na kwamba hamfuati Mtume; Swalla Allahu alayhi wa sallam? Au ....anadhani anamaamisha nini? Basi tusifanye Dini kama kwamba ni jambo la kuwa tunazomeana, na kuongea uwongo. Allah amesema, Q 33:70 Enyi mlioamini, muogopeni Allah na muongee maneno (mazuri) sahihi (ya kweli na yenye hekima) atawatengenezea matendo (mambo) yenu (mnayoyatenda yawe mazuri) na atawasamehe madhambi yenu.

  • @omarykyutta6681
    @omarykyutta6681 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah mziwanda

  • @mussaally2732
    @mussaally2732 3 ปีที่แล้ว

    maashallah xkuwahi cucoment chochote na kila siku lazma nicklze mashekhe ila mziwanda umeongea point sana waislam sasa tumekuwa tunaish na chuki za wenywe kwa wnywe sababu kila mmoja anataka awe juu kwa mwnziwe hali ya kuwa tunatakiwa kila mmoja afate anachokiamini ila sote tujue letu ni moja na allah ndio anaejuwa zaid mana yeye nimjuzi wa yote anajuwa yupi yuko sahihi allah atuondoshee chuki za wenyw kwa wnyw

  • @yusuphkisoma7669
    @yusuphkisoma7669 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah.

  • @suleimanngare6707
    @suleimanngare6707 3 ปีที่แล้ว +1

    Swadakta upo sahihi 100%

  • @maalimjuma10
    @maalimjuma10 3 ปีที่แล้ว

    Politics,politics,politics.!!! Hao Uamsho wapo ndani tangu utawala wa Kikwete na nikwasababu ya milengo yao ya Kisiasa dhidi ya Shein na Maalim Seif na si DINI..!!! Watu pekee ambao walipinga harakati za Uamsho tangu Mwanzo ni Masalafi licha ya kutuhumiwa kuwa ni vibaraka wa Marekan. Ingekuwa Umoja huu wa kunyamaziana makosa yetu hasa ya kiAqida,zingefanikiwa sana Nchi za Kiarabu na zile zenye Waislamu wengi ikiwemo Zanzibar, lkn kufumbiana macho kwny makosa yetu na kuona ni Khilafu ndogondgo kumesababisha Allah atuadhibu kwa kutunyima Umoja na hatimaye kudhalilika..!!!

  • @asaduzamanalmaxmud7671
    @asaduzamanalmaxmud7671 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah

  • @chamaibra5966
    @chamaibra5966 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe mziwanda upeo wako mkubwa masha alah lkn maoni yangu waislam wote washauriane ufanyike uchaguzi mpya shekhe awe na ilimu zote na baraza la ulamaa wachaguliwe kutoka kwenye makundi mengine mambo yataenda

  • @husseinkhalfan9467
    @husseinkhalfan9467 3 ปีที่แล้ว

    لا إلٰه إلا الله محمد رسول الله

  • @omarykyutta6681
    @omarykyutta6681 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda kwa ajil ya Allah mziwanda..

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 3 ปีที่แล้ว

      waambie sheikh anatoka kwenye yutob kumshambulia sheikh mwenzake ndio wanaona ujanja

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 3 ปีที่แล้ว

      kweli sheikh watu wanafuata mwezi wa saudia wakati oman na saudia baina yao mpaka lkn oman hamfati saudia mpaka aune mwezi na kuna wakati wanawafungulisha wako kabla mwezi tatizo kupeka vijana kusoma saudia basi wakirudi hao ndio wanaleta mfarakano kwenu

    • @maalimjuma10
      @maalimjuma10 3 ปีที่แล้ว

      @@saidalhinai1131wenzako wamepeleka watoto Saudia kusoma dini na wamesoma, ww wakwako umepeleka kusoma wapi? na wameleta umoja upi?

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 3 ปีที่แล้ว

      @@maalimjuma10 Nadhani maalim Juma wewe huijui saudia ni mji mtakatifu lkn toka kuuwawa mfalme Faisal basi si pazuri kupeleka watoto wenu ni bora misri sudan suria kama kutafuta elimu kwanza saudia hawatakiwi wazee kwenda kusoma wanataka vijana unajua sheikh mmoja maarufu saudia anakabiliwa kifo kwa kutofautiana nao nae sheikh salum owda

    • @maalimjuma10
      @maalimjuma10 3 ปีที่แล้ว

      @@saidalhinai1131 Hoja nyepesi sana hiyo ndugu yangu, kwan huko Misri kuna Usalama? wapo wp kina Moh'd Morsi,Qardhawiy na Muslim brotherhood? Mbona unasahau mapema hivi?
      Solution ya kudumu ni kurudi ktk njia ya Allah tena kwa ufahamu wa Maswahaba..!!! Ama kuwasikiliza hawa kina Mziwanda,Diwan na wachumia tumbo wengine tutasubiri sana, na wangekuwa wakweli wangekemia tabia ya Uamsho kabla hayajawakuta hayo tangu utawala wa Kikwete na kutounga mkono unyanyasaji na ubagudhi chini ya Magufuli..!!! Wanatuhadaa Waislamu

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว

    Hakikaaa

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 3 ปีที่แล้ว

    Viongozi wengi hawana msimamo katika dini bali ni maslahi binafsi. Na sisi waumini kuisoma Dini yetu hatutaki bali tumeweka mbele mpira na starehe nyengine.. mtu ratiba ya mpira na miziki imejaa kichwani lakini ratiba ya swala na Darsa haipo kabisa katika akili zetu bali tutabaki kusifia tuu!! Tubadilike sote Viongozi na waumini pia..

  • @asedtembo4742
    @asedtembo4742 3 ปีที่แล้ว

    Umoja wetu ndio utatufanya tuweze kupata haki

  • @sarllemmtunze405
    @sarllemmtunze405 3 ปีที่แล้ว

    Ila mambo ya siasa waachie wanasiasa wenyewe la sivyo mtaitia Moto nchi. Huo utawala wa kikwete ambae ni muislam ndio uliojaa kila aina ya dhuluma kwa watanzania wanyonge hasa
    wale waislam.

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว

    Utamu wachakula kitamu kipo tanga na Mombasa Raha tanga kunani upo shekh

  • @sadikisemwali4516
    @sadikisemwali4516 3 ปีที่แล้ว

    sio

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 3 ปีที่แล้ว

    MAZUNGUMZO MAZURI SANA MA'LLIM MZIWANDA LAKINI INGEKUWA NA UPANDE WA PILI NAO WANA MAONI KAMA YAKO, LAKINI KUWA NA MAONI MAZURI LAKINI UPANDE MWENGINE HAWAKO NAYO NI KUZIDI KUJIFILISI !
    PIA KUWEPO KWA WAISLAMU WENGI SERIKALINI SIONI KAMA KUNA TIJA PALE AMBAPO HAO WAISLAMU WENYEWE TUNAO WAWEKA SERIKALINI HATUJA WAPATIA MALEZI YA KIDINI , HIVYO HATA TUKIPATA 90% FAIDA HAKUNA KWA SABABU HAWAJITAMBUI.
    MFANO NI BUNGENI WAKO WAISLAMU KIBAO LAKINI TANGU SERIKALI YA 5 HADI HII YA 6
    ALO JARIBU KUPAZA SAUTI YAKE KUWAZUNGUMZIA MASHEIKH WA UAMSHO NI MMOJA TU
    HADI MKIRISTO GWAJIMA PIA KAINGILIA KUONGELEA SUALA HILO WAISLAMU KINA RIDHIWANI/ JANUARI/ JAFO NK..
    WAKO KIMYA HIVYO KIKUBWA NI KUPATA WAAKILISHI WAZIRI TU HATA KAMA SIYO WAISLAMU.

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 3 ปีที่แล้ว +1

    HUO NI UKWELI KABISA

  • @hasanainkhalid5367
    @hasanainkhalid5367 3 ปีที่แล้ว

    Vipi kuwalani MASHIA jee inajuzu?

  • @maalimjuma10
    @maalimjuma10 3 ปีที่แล้ว +2

    Zanzibar inawaislamu asilimia ngapi? na wamefanikiwa kwa lipi? Uwingi wa Waislamu seeikalini hauna maana yeyote ikiwa Waislamu wnyewe hawaujui Uislamu wao..!!!
    Masalafi tunalingania watu kusoma dini na si kusaka vyeo serikalin ambavyo wengi wao vyeo vyao vinaathiri dini yao..!!!

    • @cholomsury1548
      @cholomsury1548 3 ปีที่แล้ว

      Dini ya masalafi???

    • @maalimkombo6177
      @maalimkombo6177 3 ปีที่แล้ว

      Kazi inaendelea

    • @salummbunga4167
      @salummbunga4167 3 ปีที่แล้ว

      SALAFI?? NDIO WAPUUZI GANI HAO,, KUNDI LA WAISLAMU NI MOJA TU LAAILAHA ILA LLAH MUHAMMADU RASUULU LLAH

  • @fundibombazanzbar5717
    @fundibombazanzbar5717 3 ปีที่แล้ว

    pwnt

  • @ambrosiamlinga8402
    @ambrosiamlinga8402 3 ปีที่แล้ว

    Shehe huyu anatoa hutuba kwa jasba sana, angalia mahubuhi yake, tena anapenda kuongea udini sana.

    • @zakariam199
      @zakariam199 2 ปีที่แล้ว

      Hujaelewa mada mckilize vzr sawa

  • @alliyoigaly3646
    @alliyoigaly3646 3 ปีที่แล้ว +1

    Shkhe huwez kua kitu kimoja na hao bakwata bakwata weng wanafk tu nenda magerezan mashkhe kibao wamekamatwa lkin wao kimyaaa katufte mchungaji ama padr alo jela na mapadr wakakaa kimyaaaa, bakwata wao n ahalu toama tu

    • @omarykyutta6681
      @omarykyutta6681 3 ปีที่แล้ว

      Tii sheria bila shuruti

    • @shabanijuma2085
      @shabanijuma2085 3 ปีที่แล้ว

      Shida hatumjui Mtume tunawajua zaidi maimamu zetu .

    • @shabanijuma2085
      @shabanijuma2085 3 ปีที่แล้ว

      Tuna roho mbaya mwenye nafasi awavai kanzu wala baraka Shia anaogopa waislamu wenzie watamjua watalia shida.

    • @khalfanikimanta6663
      @khalfanikimanta6663 3 ปีที่แล้ว

      @@shabanijuma2085 ndugu huyo mtume kwa Karne yako utamjuaje bila kusoma kwa wenye elmu kwa ufahamu sahihi wa wema walotangulia ndugu yangu?

    • @hamisiramadhani3538
      @hamisiramadhani3538 3 ปีที่แล้ว

      Sheikh Allah akuongoze hii ni mara ya pili kuna crip yako moja uliwaambia viongozi ukweli na hii nakuombea dua Allah akuongoze

  • @zainabrashid385
    @zainabrashid385 3 ปีที่แล้ว

    Tunataka kiongozi Kama wewe huogopi utaongea umwi huogopi

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar3738 3 ปีที่แล้ว

    Fundi