Mzee JENGUA afariki Dunia, Maneno yake ya Mwisho yatakutoa Machozi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • #HAS_BILLION
    #JENGUA

ความคิดเห็น • 38

  • @hbtv_hasbillion
    @hbtv_hasbillion  3 ปีที่แล้ว +3

    *huko INSTAGRAM kumechafuka, FOLLOW account yetu hii ili kutazama Video zote tulizokuwekea. **instagram.com/p/CIlHgpYAsMT/?igshid=wgxp8xe45d8i*

  • @shakirykisuja3199
    @shakirykisuja3199 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupumzishe vema

  • @helenadamas9216
    @helenadamas9216 3 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa amani mzee wetu tutakukumbuka daima

  • @rubenkategere3348
    @rubenkategere3348 3 ปีที่แล้ว

    Jaman kila iitwapo leo hatutakuja msahau huyu mzee jaman upumzike kwa amani mzee jengua 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 ปีที่แล้ว +7

    inallh wainailaih rajiun Allah ampokee kwa wema ktk maisha yake mapya

  • @kikadinikikungwi9459
    @kikadinikikungwi9459 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli waandishi wengine wa habari ni bora wandishi. Kwa kweli iko kazi kweli kweli ya kupata waandishi wa habari ambao watakao weza kufikìri na kufahamu ni maswali yapi ambayo yanayoweza kumfanya mtazamaji kuweza kupata fursa ya kumwelewa msanìi ampemdaye/kumshabikia...! Maswali ya bora waandishi, maswali yao ni bora maswali kama vile walivyo bora waandishi...!

  • @stumaiomary3778
    @stumaiomary3778 3 ปีที่แล้ว +1

    Stumai omary ,mungu hailaze roho yake mahali pema

  • @nasraabubakar3865
    @nasraabubakar3865 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu amlaze pema

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 3 ปีที่แล้ว +2

    Lililopangwa na mungu hatuwez pangua hata angechagua simba bado rest in peace mzee😫😫😫😫😫😫

  • @suleimanomar5956
    @suleimanomar5956 3 ปีที่แล้ว +2

    Innalilah...R.I.P Mzee wa Kidedea

  • @akilamussa3724
    @akilamussa3724 3 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah wainnailaih rajiun

  • @neemaelieza6958
    @neemaelieza6958 3 ปีที่แล้ว +3

    Bora angechagua Simba tu jamani

  • @mahengomahengo8191
    @mahengomahengo8191 3 ปีที่แล้ว

    Ukiwa msanii wa upuuzi hata ukiwa mzee hupewi hikma mkiwa watu wazima turudi kwa mungu

  • @aishaaisha7097
    @aishaaisha7097 3 ปีที่แล้ว +4

    Tutakukumbuka daima

  • @sarumariki1803
    @sarumariki1803 3 ปีที่แล้ว +1

    inallahi wainallhi lajiun

  • @phinasalama4063
    @phinasalama4063 3 ปีที่แล้ว +3

    Eti amekufa ..when

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 3 ปีที่แล้ว +3

    We mzee ni hatari kweli umechagua kifo jaman si bora ungeipenda simba tu kwsb bado tulikuwa tunakuitaji

  • @ruthmbwilo8361
    @ruthmbwilo8361 3 ปีที่แล้ว +3

    Jmn amejilalia mzee wa watu nenda salama baba

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbona sielewi jamani, mnaandika amekufa halafu mna-dialogue nayeye...

    • @senseiamazing1823
      @senseiamazing1823 3 ปีที่แล้ว +2

      Ndio kafa lakini wanarudio interview zake za zamani ndio wanatuma upya

    • @rashidkalimbo2451
      @rashidkalimbo2451 3 ปีที่แล้ว

      @@senseiamazing1823 .. ook.

    • @rahabujohn2691
      @rahabujohn2691 3 ปีที่แล้ว +1

      Nilitak nikujibu lakini kumbe umeshajibiwa,lakini umeelewa mpendwa!

  • @ezekielmubofu234
    @ezekielmubofu234 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna alicho tabiri hapo mtu yeyote wakawaida anaweza sema hayo maneno acheni upumbavu nyie

  • @papafikiri
    @papafikiri 3 ปีที่แล้ว +3

    Kahawa inaongoza msukumo wa damu (pressure)

  • @omarymaliwa1092
    @omarymaliwa1092 3 ปีที่แล้ว +3

    We we kwani upo uku has billion

  • @mwajabuabdallah4002
    @mwajabuabdallah4002 3 ปีที่แล้ว

    Pumzika Kwa amani Mzee wetu

  • @mwangwakwasaid8585
    @mwangwakwasaid8585 3 ปีที่แล้ว

    Mwaisa

  • @hawasaid2049
    @hawasaid2049 3 ปีที่แล้ว

    Malimu

  • @loveshadrack7429
    @loveshadrack7429 3 ปีที่แล้ว

    🤐🤐🤐🤐

  • @michaeleustarch3236
    @michaeleustarch3236 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 ปีที่แล้ว

    Maneno yanaumba,alijiumbia kifo

  • @noerichaula8043
    @noerichaula8043 3 ปีที่แล้ว

    Kkweri kafa

  • @simonmisri6968
    @simonmisri6968 3 ปีที่แล้ว

    Huo ni utumwa wa malimwengu bora kifo haya sasa

  • @iddijumangakonda8044
    @iddijumangakonda8044 3 ปีที่แล้ว +1

    Innalillah wainnaillah raj'un