#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @EvaJames-n5o
    @EvaJames-n5o 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu awabariki watumish wamungu

  • @novatusmwikola742
    @novatusmwikola742 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu awabariki sana pia leo mmeweka kichwa cha somo la leo❤❤

  • @kessyhyasinta
    @kessyhyasinta 2 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏

  • @YassinMahonda
    @YassinMahonda วันที่ผ่านมา

    MBARIKIWE SANA MNACHAMBUA VIZURI SANA

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA

  • @willenmtafungwa1920
    @willenmtafungwa1920 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @willenmtafungwa1920
    @willenmtafungwa1920 วันที่ผ่านมา

    Mbona hakuna busara yoyote unawasifia bure😂 Israel kwanza haina uhalali wa kuwepo hapo ilipo kwasababu hao ni Wamarekan na waingereza hakuna Myahudi halisi. Wapalestina wanaonewa sana halafu mtu analeta stori za pwagu na pwaguzi 😊

    • @marcodavid4183
      @marcodavid4183 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe endelea na misimamo yako. Waache na wengine waendelee kuifundisha kweli ya biblia.

    • @pendosailo1989
      @pendosailo1989 วันที่ผ่านมา

      Pole inaonekana wanakuudhi 😂 pole sana...mwangalie yule mkuu wa dunia hii asikuchanganye kabisa.

    • @kilianmtotowamungu3885
      @kilianmtotowamungu3885 วันที่ผ่านมา

      Umeingia mlango wa kutokea

    • @phestostanley4019
      @phestostanley4019 วันที่ผ่านมา

      Palestine ndo walichoka oct 7 kama walijua hilo kwani hawakujiepusha

    • @yohanakombi1403
      @yohanakombi1403 วันที่ผ่านมา

      Hii internet yenyewe anayoitumia kuikosoa ISRAEL ni mali ya ISRAEL! Afu pia huyu anayewakosoa hawa Walimu ana limited theological understanding, hivyo mwacheni abaki na ujinga wake

  • @willenmtafungwa1920
    @willenmtafungwa1920 วันที่ผ่านมา

    Acha upuuzi wa kutukuza vitu ambavyo huvijui😅 Israel hawana uwezo wowote zaidi wanasaidiwa na Marekani na Uingereza

    • @EafBunjuSales
      @EafBunjuSales วันที่ผ่านมา

      Soma history ya Palestine na israel utaelewa zaidi kabla ya kukosoa

    • @pendosailo1989
      @pendosailo1989 วันที่ผ่านมา

      Usiyoyajua ni usiku wa giza..endelea kujifunza...usikurupuke na kuwaita watumishi wa Mungu tena wasomi waache upuuzi...

    • @pendosailo1989
      @pendosailo1989 วันที่ผ่านมา +1

      Ngoja nikusaidie kidogo... ni hivi asilimia 70 ya uchumi wa Marekani unamilikiwa na Waisrael...so ukiiona Marekani pale ujue waisraeli wanaimiliki kwa kiwango kikubwa...

    • @boscomhenusi7844
      @boscomhenusi7844 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe zuzu hujui kuwa Mungu akiwa na wewe kila kitu kinakusaidia au kinakupigania,,,, kwani musa yeye ndiye aliye wazamisha misri , ( mafalao )

    • @boscomhenusi7844
      @boscomhenusi7844 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaani ujanja ni kumbariki Israel ukigoma utapigwa tu na usiye mjua😂😂

  • @janesuma-is4wc
    @janesuma-is4wc 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakubaliana na wewe Baba Askofu nawapenda nyote hapo studio Mungu awabariki zaidi ya zaidi

  • @ellymwakyando1385
    @ellymwakyando1385 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Arusha redio yenu airushi matangazo tena, atuwasikii

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c วันที่ผ่านมา

    Very Good 👍 discussion.
    "Whoever has ears, let them hear"
    God help us!

  • @ElisafiMkojera
    @ElisafiMkojera วันที่ผ่านมา

    Mungu awabariki kwa haya mnayofundisha maa a hatuwezi kuyapata pengine popote

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hawa jamaa waongo sana cheki pua zao kama mboo za nguruwe poli

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Israel taifa la sheitan

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sema

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Weeeeee

  • @pendosailo1989
    @pendosailo1989 วันที่ผ่านมา

    Mungu azidi kuwabariki watumishi...