Shukrani Mwalimu Yusuf kwa kumuelimisha dada yetu. Allah amuongoze aelewe kwamba Allah ndiye Mungu peke yake, na hana mshirika. Asipoelewa wataelewa wengine wengi tu ambao wanasikiza hapa, in sha Allah.
Du, ningekuwepo hapo ningewabatiza walimu wote maana mnaingia kwenye mitego bila kujua Huyo Mama ni Christian lakini hayuko na Elimu ya hoja lakini bado anawapeleka peleka.
Mungu akulinde shekh Yusuf akurejee afya njema kama ulivio kuwa hapa Ameen
Amin sote
Mashaa Allah...bado tunakumbuka
Mashaa Allah.. ALLAH akujalie afya njema
Amin sote
Shukrani Mwalimu Yusuf kwa kumuelimisha dada yetu. Allah amuongoze aelewe kwamba Allah ndiye Mungu peke yake, na hana mshirika. Asipoelewa wataelewa wengine wengi tu ambao wanasikiza hapa, in sha Allah.
Amin
Amen Amen Amen mama mungu akujalie neema kubwa kama hiyo
Mashalah mashekh wetu mungu awape nguvu
Amin sote
Yesu alijaribiwa sembuse wewe mwanadamu
Mashallah. .na huyu mama nae nimshindani namuombea Mungu amuongoze aijue haki naaweze kuifuata
amin
yusuf wambugu Whassapp
Amiin.ya rabi
Mashallah bro
Mama kanini bado haja islimu from 2007 until now..SubhanAllah.
yupo tu
Allah ampe hidaya
Mungu ajamchagua
MashaAllah,, hii ilinipita,, 3yrs ago!
MASHALLAH Asante sana mwalimu
Afwan
MashAllah
m.youtube.com thanks
Wna jua kweli wakresto
Quran 5:72
walishakwisha kufuru wale wanaosema Allah ni Issa bin Mariam
Wambugu fity...unafurahisha
Mashaa Allah
Thanks
Mashaallah
Allah amzindue mama hyu na wengine woote ili waiyone haki na kuifuata . Aamiyn
Wachungaji wao ndio wanawowapoteza
Amin
JOHN 4:24 "God is spirit, and his worshipers must worship in the Spirit and in truth.”
wambugu explain tawheed in islamic religion..
Ehee
Mbona umekonda video zako mpya lakin hii ulikuwa mnene
Hoja ni da-waa sio mimi
Kwa Yesu sitoki atakama nitauwawa
😁😁😁😂,hatusemi utoke ,mufuate yesu uwe muisilamu
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp never in Islam.i follow Jesus who was crucified.
Jane Njenga kwasababu unakibur pia hatlazmishani ktk dn mana utatbna pepo
@@ibrahmsafiry1575 uko sitoki
@@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp Siwezi rundi wisilamu tena
Yusuf umedanganya wakristo wengi😂😂
Mathayo 24 :24
Du, ningekuwepo hapo ningewabatiza walimu wote maana mnaingia kwenye mitego bila kujua Huyo Mama ni Christian lakini hayuko na Elimu ya hoja lakini bado anawapeleka peleka.
You can still submit your answers here.
There is nothing to hide or brag about.