UJUMBE WA KWANZA WA MARTHA MWAIPAJA BAADA YA CHRISTINA SHUSHO KUINGILIA KATI SAKATA LAKE, UTAKULIZA'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @JustinaMambo-jb4uj
    @JustinaMambo-jb4uj 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    God be with you Mather mwaipaja love from Zambia tunakupenda sana groly to God 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ongea na Mungu Martha,Kisha kapatane na ndugu zako,Joan anakuaibisha

    • @ShukranMwakyambo
      @ShukranMwakyambo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakika maana dahaaa

  • @joyjackson258
    @joyjackson258 56 นาทีที่ผ่านมา +2

    Martha mwaipaja jipe moyo usiogope kumbuka jumbe za nyimbo zako sasa acha uwe halisi kwako , wanaokusaliti ni wa karibu na wewe . Nyamaza kimya Mungu atakusaidia Isay 41:10-11

  • @marynyamai5567
    @marynyamai5567 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Dadangu Martha utashinda.Wakati Mambo mangumu Yesu ako karibu sana.

  • @abasminga528
    @abasminga528 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Sio watanzania wote mnatuzalilisha shusho hajielewi UPENDO ndo mama la mama

  • @esnartydaniel577
    @esnartydaniel577 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watanzania mwacheni Martha, ni watoto wa ngapi hawasaidii wazazi wao?? Mbona wazazi ni wengi sana amba watoto wao hawawasaidii kabisa. Namshauri Martha aachana na Joani aendelee na msushs yake ya kumtumikia Mungu

  • @Eric_Hackz
    @Eric_Hackz 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    SITAKUHUKUMU,FAMILIA ZINA MAMBO MENGI.BEATRICE AKUZUNGUMZIA MABWANA WALIOZALISHA NA KUMTELEKEZA KTK USHUHUDA WAKE.ALIFIKA AIBU YAKE AKAFUNUA AIBU YA DADA YAKE.

  • @Eric_Hackz
    @Eric_Hackz 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    POLE SANA MARTHA MUNGU ANAUJUA UKWELI,UKO SIRINI UNATAFUTA JIBU KUTOKA KWA YESU.MSAADA WAKO UTATOKA KWA BWANA.ENDELEA KUNYAMAZA MUNGU YUKO PAMOJA NAWE.

  • @sonnyshabani
    @sonnyshabani 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Wandugu, fateni mashauri ya Faustin MUNISHI, muache ku sindikiza Marthe katika mabaya. Wenye wana penda Marthe Mwaipaja wana pashwa kumwambia ukweli. Mwana wa Mungu ni mwenye ku itika makosa alifanya pia kuomba huruma kweli kweli.

  • @AnethJoseph-x6t
    @AnethJoseph-x6t 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jipiganie nami nitakupigania asema bwana wa majeshi amfukuze joahn🙏🙏🙏

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      NIONYESHE HICHO KIFUNGU CHA JIPIGANIE ASEMA BWANA.... MSISAFIRIE SLOGANS MKAZIBARIKI, HAKUNAGA FUNGU LA HIVYO BIBLIA NZIMA

  • @deborahajabushuhuda5703
    @deborahajabushuhuda5703 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sisi tunakupenda na tutaendelea kukuombea na Mungu bado anakupenda! Elewa familia nyingi wakiwa walikufungaga usiendelea, ukiendelea watakuinukia tu, Mungu akutie nguvu usikate tamaa

  • @annettyrah946
    @annettyrah946 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    The only thing this lady can do ni arentishie joan nyumba coz ni mkubwa na am suspecting joan is the one who posted si martha

  • @AmeraKinya
    @AmeraKinya 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dada ombasana Aya nimapito yataisha simda kilicho kwa namwazo lazima kiwena mwisho mungu yupo ataku tetea usijitete kaa kimya

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Martha achana na Joan shetani huyo

  • @shangwefisima54
    @shangwefisima54 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kuwa star ni shida

  • @AmeraKinya
    @AmeraKinya 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mnasema pesa zamartha niza formation simmeacheni nazo mbona wanataka kusaidiwa

  • @ElizabethKiboro
    @ElizabethKiboro 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watanzania munajulika kama watu muna utu Sana, mbona munadharalishe dada yenu ambaye amebariki dunia nzima na ministry yake ya uimbaji wake, hila hamna ukweli kabisa wa jambo analo shitakiwa nalo.tafadhali nawaomba tu mumepe nafasi atulie kwanza Ili aweza kupata nguvu ya kuongea nanyi.pokea nguvu mpya dada Martha kutoka Kwa muumba wako ila.usiwe na Shaka kamwe haya ni mapito tu, Mungu atakupigania.

  • @shangwefisima54
    @shangwefisima54 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Upendo yuko sahihi.... Hakuna kulemba kama dhambi ipo

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 16 นาทีที่ผ่านมา

    kamwambie mama Yako akuombee Kwa Mungu

  • @RabeccaAdam
    @RabeccaAdam 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu yu pamoja nawe ukiona unapotia magumu ujue mazuri yanakuja kuna wakati mungu analuhusu upitie magumu ili kupana ushuhuda na kukulomaza kiimani utashinda dada tunakuombea tuko pamoja

  • @joyjackson258
    @joyjackson258 54 นาทีที่ผ่านมา

    Usiombe msamaha hadharani wasiliana na mama muombe msamaha . Ila Martha jitenge kaabisa na Joan plz

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    SIPATI PICHA, HIVI IKITOKEA MKAUJUA UBAYA AU HATARI ANAYOFANYIWA NA FAMILIA MTAENDELEA KUSEMA ARUDI HUKO? MIMI MWENYEWE NI MHANGA WA MAMA YANGU MZAZI AMBAYE ANATAMANI LEO KESHO NIFE ILA MUNGU ANANIPIGANIA. FAMILIA ZINA MENGI, ILA JOAN ANAAIBISHA!

    • @alatunjwalila1887
      @alatunjwalila1887 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kweli upo sahihi. Mungu amsaidie sana martha

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 13 นาทีที่ผ่านมา

      @alatunjwalila1887 Amin

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 50 นาทีที่ผ่านมา

    Simpendi huyu mtoto jamani anatuongeza hasira ,kalewa sijui gongo au bangi inatisha

  • @Janeth-y5m
    @Janeth-y5m 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nashangaa sana watu tuliopo duniani makosa yakifanyika si ni heri kungoja kusikiza pande zote mbili ndiposa tunajua mwenye makosa na kumuomba kurekebisha kwa njia ya upendo sio bora kumrushia maneno mtu makali hivo yanaumiza duniani hakuna mkamilifu dada martha Mungu akutie nguvu na yote yataisha

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Madha haina sababu yakuombewa wewe nyuka nenda kwa mama kamalize hiyo shida

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tumuombee kwa kitu gan hcho?? Unaweza kumwambia mtu akuombew bila kumwambia akuombew kitu gani? Huyo martha mii simwamin tena ajitokeze hadharani akanushe maneno yanayovuma ya congo na kenya , mama yke ndo mungu wake wa duniani aache kujib vimesej vifupi insta akamuombe mama yke msamaha pia joan arud kwa wazazi wake huyo joan ni mlevi na kamesema hakana cha kupoteza

    • @emmanuelsenga4536
      @emmanuelsenga4536 16 นาทีที่ผ่านมา

      Marth kwanza Mama alafu mtu mwingine,usiwe mjinga sisi washabiki wako tutakukimbia uwe na heshima,Mama ni Bora kuliko mtu ye yote,Be carefully.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi watu mnamsakama Joani ina maana Martha akitaka rafiki mpaka awaombe ruhusa ninyi jamani? Mmwache Martha awe huru na Yesu wake.

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 18 นาทีที่ผ่านมา

    hakuna namna bila kwenda Kwa mama Yako na mama Yako atoke hadharani na kusema umetumbu na dada unaanza kumsaidia mama yako

  • @wuodkokelobingo4855
    @wuodkokelobingo4855 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    God is love, if you have love, extend to even your own enemy, humbleness is not a sign of Christianity, real demons are so humble until they bite

  • @wuodkokelobingo4855
    @wuodkokelobingo4855 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Love is corrective, or else it's not love

  • @magrethmtawala4315
    @magrethmtawala4315 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wote mnaosema wamwache ni wanafiki nyinyi amuwajali wazazi wenu? Hacha hizo mshauli mwenzenu aende aelewane na mama yake, na mnao sema mama yake anajiliza liza hayajawapata, mtoto jamani anauma hata awe anakitu hata awe hana mtoto ni mtoto tu mimi mwenyewe nikimaliza sku mbili sijaona ujumbe kutoka kwa mwanangu tumbo linawaka moto, MATHA kamludie mama yako huyo ndo anamapenzi ya kweli

  • @sonnyshabani
    @sonnyshabani 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lesbian ni shida. Sasa utatumikia Mungu na una lala na muke kama weye? Na watu wenye ku mu fariji ina omba ku mwambia kweli.

  • @gracejohnson2118
    @gracejohnson2118 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mum.jitie.nguvu.wewe.nimtumishi
    Amla.jikukute.vumbi.shuka.mum.nenda.nyumbani.kwa.mama.jifanye.mjinga.watu.wa.mungu.nilazima.utikishwa

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani dhambi imepasuka ila mmsikilize mnishi

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Futa ushauri wa mnishi yataisha

  • @AmeraKinya
    @AmeraKinya 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wazazi mwache Tama naunafik machozi ya chura

  • @JoshuaKyalo-k2o
    @JoshuaKyalo-k2o 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbinadamu tunaeza sema megi lakini,,tukubuke yesu ndiye ukweli

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Martha mamako analialia mmemfanya msukule? Si kamsaidie tu , freemason inapita, gari la milion 160 mama analia njaa

    • @ShukranMwakyambo
      @ShukranMwakyambo 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nilishangaaa tu mama aokote Makoto daaaa

    • @NicholousViper28
      @NicholousViper28 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ANakaa kusangana mpka kenya wanawajuwa, aibu , lambda walimwbia akae nauyo dada ndo apate Mali, ndo maana anatoa matusi matha kakaa kimya

  • @SimoniMbamba
    @SimoniMbamba 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naenda nyimbo zake lakini nimeshuka kwa kias kikubwa baada ya hili

  • @AmeraKinya
    @AmeraKinya 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kusaidiwa niiyari yamtu silazima

  • @VictisBukutsa
    @VictisBukutsa ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanadamu daaah sasa kosa la shusho ni nn,

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Shusho mwenyewe yupo kwenye kivuli Cha dini Hana wokovu 😊

    • @VictisBukutsa
      @VictisBukutsa ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @annasolomon9855 unauhakika gani ,Mwenyezi tu anawajua hata ss wenyewe hatujitabui

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WAKENYA NI WAPUMBAVU