ความคิดเห็น •

  • @farajamugisho8794
    @farajamugisho8794 5 ปีที่แล้ว +60

    Kama na wewe umeona gisi Mwanri amepiga salute gonna like hapa tujuane

  • @fabiankyando1189
    @fabiankyando1189 5 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali sana kazi za mh Mwanri ktk mkoa wa Tabora mungu akuongoze wewe na Rais mfike Tanzania mpya salama

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 5 ปีที่แล้ว +103

    Kama unatamani huyu mzee wa Toronto awe mkuu wa mkoa Dar gonga like

    • @samjcb7896
      @samjcb7896 5 ปีที่แล้ว +2

      mshindweeeee kabisaaaa abakiiii taboraaaaa tuuuuu aendeeeee wapi

    • @samjcb7896
      @samjcb7896 5 ปีที่แล้ว

      wanataboraaaa badoooo tunamuhitaji mkuuuu huyuuuu wa mkoaaaaa

    • @husseinibnuhassan1272
      @husseinibnuhassan1272 5 ปีที่แล้ว

      Tumemchoka makonda huyu dingi c ameifanya Toronto tbr tiyari

    • @marthakambona4809
      @marthakambona4809 5 ปีที่แล้ว +3

      Ila mkoa Wa dar ni mgumu sana dar ndo tz hivyo

    • @hemedimussa2383
      @hemedimussa2383 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu awe waziri wa ujenzi ndo wakandarasi watakoma maana watasukumwa ndani

  • @manning979
    @manning979 5 ปีที่แล้ว +6

    Kama umekubali na unaendelea kukubali kazi za mkuu wa mkoa wa Tabora Agrey Mwanri gonga like za kutosha 👇👇

  • @georgekimboka6218
    @georgekimboka6218 5 ปีที่แล้ว +22

    Mzee wa Toronto safi sana
    mimi na wewe ndio wachagga wajanja sana katika nchi hii
    Mwenyenzi Mungu Mkuu Mtakatifu akubariki sana Mh Raisi Magufuli nakupenda sana

  • @alexmwalingo5120
    @alexmwalingo5120 5 ปีที่แล้ว +10

    Mkuu wa mkoa wa Tabora uko vzr sana baba Mungu akupe uzima uendelee kuchapa kazi

  • @alexkabeho5609
    @alexkabeho5609 5 ปีที่แล้ว +8

    Sio easy kumuona mwanaume akimusifu mwenzake hivo ni ukweli kuna kazi kubwa sana kwa kipindi cha myaka 4 hongera sana JPM the Man ❤

  • @ramadhanimwanyumba2955
    @ramadhanimwanyumba2955 5 ปีที่แล้ว +6

    Kama HUJAMUONA mh. Rais anavunja mbavu kwa kucheka na MBs zako zimekwenda gonga like hapa tujuane🤣🤣

  • @joromimwanga3274
    @joromimwanga3274 5 ปีที่แล้ว +42

    Aisee mwanri wa Tabora ni comedian tosha kabisa amenifurahisha sana.

    • @wematesha9436
      @wematesha9436 5 ปีที่แล้ว +1

      aisee Leo uyu baba kajua kunifurahishaa sipati picha mh rais i akipata ziara ya kwanza tabora

    • @wematesha9436
      @wematesha9436 5 ปีที่แล้ว +1

      Ya kwenda tabora

  • @40kstore
    @40kstore 5 ปีที่แล้ว +27

    sema huyu jamaa anaiwakilisha sana Tabora,kuna watu walikua hata hawaifikirii Tabora kwenye vichwa vyao

  • @innocentfocus9217
    @innocentfocus9217 5 ปีที่แล้ว +53

    wengine wakiongea mbele ya raisi wanatetemeka lakin huyu hajabadilika hadi kwenye vtuko vyake😂😂🙌🏾

    • @shorewanda5635
      @shorewanda5635 5 ปีที่แล้ว +2

      Umeona eee? Atetemeke na nini? Kazi anazopiga zinampa uhuru wa kujidai, au unasemaje dogo?

    • @maulidamour40
      @maulidamour40 5 ปีที่แล้ว

      @@shorewanda5635 kweli kabisa

    • @melkiluhwago2487
      @melkiluhwago2487 5 ปีที่แล้ว +2

      Kweli..nilitaka nije nimuone mbele ya Rais anakuwaje kumbe nimeamin anayafanyaga yote kwa mapenzi na Tabora hajateteleka hata chembe ani ameongea kama mbele yake yupo swahiba tuu,safi sana #Agrey!!👏👏

    • @rajabually2121
      @rajabually2121 5 ปีที่แล้ว

      Kweli

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 5 ปีที่แล้ว +19

    Ardhi ya tabora inafukuliwa mpk inalia, na wakandarasi wa kichina wako pale😂😂😂😂😄😄😄😄,

  • @yohanasimon5190
    @yohanasimon5190 5 ปีที่แล้ว +24

    Hahah daah uyu jamaa amenifanya nipende kuishi tabora🤣

  • @pigapesa2366
    @pigapesa2366 5 ปีที่แล้ว +5

    RC bora Tanzania 🇹🇿

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 4 ปีที่แล้ว

    Baba mzee wa Toronto huu, hesabu imekaa vizuli kichwani hahitaji vi notes 📝🇹🇿💪💪💪💪💪

  • @agathathobias8690
    @agathathobias8690 5 ปีที่แล้ว +33

    Kwel TBR km toronto lami kila sehemu tunashukuru kwa hilo

  • @sundayandrew1787
    @sundayandrew1787 3 ปีที่แล้ว

    Saa hv Tabora haisikiki bora mwanry arudishwe

  • @lamecksmernest9651
    @lamecksmernest9651 5 ปีที่แล้ว +17

    Tabora oyeeeee

  • @mgangasaid7990
    @mgangasaid7990 3 ปีที่แล้ว

    Hongera baba

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +6

    Toronto 😀😀😀

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 5 ปีที่แล้ว +11

    Mi mda wote nlikuwa namwangalia Lugola anavyomwangalia Mwanri😆😊

    • @onesmoakwilini6254
      @onesmoakwilini6254 5 ปีที่แล้ว

      Lugola hewa

    • @amircatalog2082
      @amircatalog2082 5 ปีที่แล้ว

      w chizi kweli ... 🤣🤣🤣

    • @dioskorimtalo2348
      @dioskorimtalo2348 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaaaa ...sijui anamuwazia nini..ukute hata linamtukana kimoyo moyo 😂😂😂

  • @briannyiti8234
    @briannyiti8234 5 ปีที่แล้ว +34

    🤣🤣kama umesikia huwa nawasukuma ndani gonga like

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 5 ปีที่แล้ว +8

    Duh...! Toronto mambo Ni Bam Bam.

  • @aishamnyeke1163
    @aishamnyeke1163 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekubali atar na nusu aisee gonga like twende sawa

  • @alikhamisame9636
    @alikhamisame9636 5 ปีที่แล้ว +1

    Nipo Zanzibar ila huyu mzee namfuatilia Sana yani hata nikikerwa na mama chanja bas nikisema namuangalia tu huyu basi narejesha furaha Sana Mungu akupe afya njema na maisha marefu yenye heri na ww

  • @ruthleonard2958
    @ruthleonard2958 5 ปีที่แล้ว +14

    Jaman nacheka hadi machozii, uuuuw mbavu zangu....😂😂😂😂

    • @abutalibomar6182
      @abutalibomar6182 5 ปีที่แล้ว

      hatariiii

    • @utaani1
      @utaani1 4 ปีที่แล้ว

      Mimi nakusalimia kama una nafasi

  • @philomenasjohn9083
    @philomenasjohn9083 5 ปีที่แล้ว +3

    Toronto mambo ni Bambam, piga kazi Mzee wetu Pombe J

  • @bernardchibwana9411
    @bernardchibwana9411 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee nampenda sanaa

  • @yohanasimon5190
    @yohanasimon5190 5 ปีที่แล้ว +17

    Mtu kama uyu anaanzaje kutumbuliwa kwa mfano🤣🤣

    • @alexkabeho5609
      @alexkabeho5609 5 ปีที่แล้ว +1

      Sio easy maana ana confidence sana na sio mwizi wala mzembe ata akikosea ni kama sisi ote binadamu ila ni mzee wa busala sana

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 5 ปีที่แล้ว +1

      @@alexkabeho5609 watu wengi wanafikiri ni wa vituko tu! he is very very intelligent..anatumia style yake ya ucheshi ili ujumbe ufike ki urahisi..ni mcha Mungu sana pia generous.TBR watu tulikua hatuifatilia sana,kaitangaza vibaya mno,kuna clip niliona,alionekana kabisa anaumwa,lkn bado alikua kazini akiwabana watu..Tbora wana bahati.

  • @alexmwalingo5120
    @alexmwalingo5120 5 ปีที่แล้ว +5

    Mkuu wa mkoa wa Tabora uko vzr sana baba

  • @evarestjoseph8755
    @evarestjoseph8755 5 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana agrrey

  • @erastoselemani5443
    @erastoselemani5443 5 ปีที่แล้ว +7

    Sukuma ndani

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 5 ปีที่แล้ว

    Mzee kichwa sana data zote zipo kichwani

  • @denismakweba3870
    @denismakweba3870 5 ปีที่แล้ว

    Umeniamasisha kuhamia Tabora,

  • @adamdaudi6191
    @adamdaudi6191 5 ปีที่แล้ว +5

    Ila Mwanri na ka dharau kadogo analogue , eti ardhi inafukuliwa mpaka inalia😀😀😀😀

  • @raymondmakoy174
    @raymondmakoy174 5 ปีที่แล้ว

    Aikataiii mzee wa. Kudilii na ma engineer

  • @dominicomakungwa729
    @dominicomakungwa729 5 ปีที่แล้ว +4

    Ha ha ha magufuli oyeeeee

  • @halimamgora5752
    @halimamgora5752 5 ปีที่แล้ว +8

    Mambo ni bambam

  • @mellopowz
    @mellopowz 5 ปีที่แล้ว +7

    Weka subscribe yako hapa kwa udaku wote

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 5 ปีที่แล้ว +2

    Hée
    Maajabu

  • @neemahassan5591
    @neemahassan5591 5 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @shedyema2792
    @shedyema2792 5 ปีที่แล้ว

    Good san

  • @yonalaizer581
    @yonalaizer581 5 ปีที่แล้ว +6

    Mkuu rudi Siha tunakuhitaji

  • @fadhilijoseph6365
    @fadhilijoseph6365 5 ปีที่แล้ว +3

    mwanriiiii akili mingi

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 5 ปีที่แล้ว +10

    eeh mungu eeh 😂😂

  • @lucaskitego6311
    @lucaskitego6311 5 ปีที่แล้ว

    sukuma ndani. Toronto. mpya....!!!

  • @jamesisdore7409
    @jamesisdore7409 5 ปีที่แล้ว +3

    Oyoooo oyooooo ooyoooo sukuma ndaniiii

  • @mwamengele
    @mwamengele 5 ปีที่แล้ว +2

    Kitu cha Toronto

  • @andyjk5974
    @andyjk5974 5 ปีที่แล้ว

    mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. kwakweli kazi ya Magu kwa asieiona kweli ni kipofu. ninayo yaona sijawahi kuyaona toka miaka ya 80

  • @obatv5366
    @obatv5366 4 ปีที่แล้ว

    Safii

  • @romeoromeo4125
    @romeoromeo4125 5 ปีที่แล้ว +4

    Oyoo oyoo oyooooo!!!😂😂

  • @rabrojita1552
    @rabrojita1552 5 ปีที่แล้ว +4

    Toronto 😁😁😁🏇

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 ปีที่แล้ว

    Wakubwa wengi wakiongea mbele ya Magufuli wanatetemeka.... Lkn huyu yuko Freshy

  • @thebios2553
    @thebios2553 5 ปีที่แล้ว +3

    😀😁😂anakwambia mkuu nisije kukuvunjia adabu anajijua dakika mbili mbele anapiga maneno yake

  • @officialmkerewe
    @officialmkerewe 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzee mi namkubali sana na nimiongoni mwa wakuu wa mikoa ambao sina shida nao

    • @kiperatv2990
      @kiperatv2990 4 ปีที่แล้ว

      Ingekua hiari yangu uyu mzee wa Toronto ningependa awe mkuu wa mkoa wa songea, xjui mkoa huu wa songea atatokea mkuu gan wa mkoa aje atukomboe maana umelala xana huu mkoa

  • @josephmuna2963
    @josephmuna2963 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbona kama anachana mistari

  • @joeldhahabu2037
    @joeldhahabu2037 5 ปีที่แล้ว

    Jembeeeeee

  • @wahidmussa1607
    @wahidmussa1607 5 ปีที่แล้ว

    magufuli oyee

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 5 ปีที่แล้ว +9

    Hahahaaaa mbavu cna

  • @youngdady7901
    @youngdady7901 5 ปีที่แล้ว +5

    Woyo woyo woyooooooo 😂😂😂

  • @asiasalimkapalato7463
    @asiasalimkapalato7463 5 ปีที่แล้ว +1

    Toronto 😂😂😂😂🤔💜💜💜💜

  • @jonathantz8540
    @jonathantz8540 5 ปีที่แล้ว +7

    Kwa masimulizi ya sauti tembelea TH-cam channel yangu kama STORI SAUTI TANZANIA usisahau ku subscribe ili usipitwe 🙏

  • @uswegehamza8925
    @uswegehamza8925 5 ปีที่แล้ว

    nan kaskia nawasu kumaaa ndan

  • @vladiminlenin8883
    @vladiminlenin8883 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ni zaid ya ringo

  • @godlovegeorge2334
    @godlovegeorge2334 5 ปีที่แล้ว

    Ardhi inafukuliwa mpaka inaliaaa... Mambo ni BamBam 😂😂😂

  • @ibrahimmungure7493
    @ibrahimmungure7493 5 ปีที่แล้ว

    Mkuu.

  • @gwajiboiboi8664
    @gwajiboiboi8664 5 ปีที่แล้ว +4

    Hahahaaaah tusha san Mwanli

  • @godvoice1godvoice528
    @godvoice1godvoice528 4 ปีที่แล้ว

    Nnzuri

  • @jotijoti6089
    @jotijoti6089 5 ปีที่แล้ว +1

    Aaaah

  • @jonathantz8540
    @jonathantz8540 5 ปีที่แล้ว +5

    Tabora oyee

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 4 ปีที่แล้ว

    Lugola ameipenda hotuba ya viwango ya mzee wa Toronto, imemuacha mdomo wazi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @charlesally6028
    @charlesally6028 5 ปีที่แล้ว

    Huyu ndiyo mkuu wetu wa mkoa wa dodoma akiungana na mkulugenzi wetu kunambi huku mkuu wetu wa polisi mr mlotwa dodoma itapa kileleni kama vile tolonto

  • @hawaabdul8213
    @hawaabdul8213 5 ปีที่แล้ว +1

    DUH Hatar Sana HII Sasa NI Over Confidence

  • @kamanmkina8561
    @kamanmkina8561 5 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee nooma

  • @neemahaule8407
    @neemahaule8407 5 ปีที่แล้ว

    Hili nalo jembe lingine😀

  • @samuelseverua
    @samuelseverua 5 ปีที่แล้ว

    [3:42] MillardAyo unatoa material zako GlobalTVOnline...... hahaha

  • @deboracharles2433
    @deboracharles2433 5 ปีที่แล้ว

    Nampenda huyu mkuu was mkoa

  • @kiyabonjemu9885
    @kiyabonjemu9885 5 ปีที่แล้ว +4

    Toronto inajengwa na wakalj

  • @nicholausjackson4410
    @nicholausjackson4410 5 ปีที่แล้ว

    Daaaah mkuu tunamwomba makao makuu ya dodoma...

  • @boniphacemsagaa5180
    @boniphacemsagaa5180 5 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂😂

  • @Burange666
    @Burange666 5 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha Chizi Kapewa Rungu.

  • @husseinmakame8035
    @husseinmakame8035 5 ปีที่แล้ว +1

    Mambo yetu ni bambam hahahahahaaha

  • @juliuskitao7839
    @juliuskitao7839 5 ปีที่แล้ว

    Aridhi inafukuriwa mpaka inalia

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 5 ปีที่แล้ว +1

    Torinto wanabomoa

  • @alphoncesamwel3380
    @alphoncesamwel3380 5 ปีที่แล้ว

    Solar system🔥🔥🔥🤣🤣🤣

  • @reubenpaschal78
    @reubenpaschal78 5 ปีที่แล้ว

    Hahahaha bambam dadeq

  • @salmamakweta1198
    @salmamakweta1198 5 ปีที่แล้ว

    Wewe siyo mkuu wa mkoa ila ni mkuu wa mikoa yote

  • @cosmasbassam3670
    @cosmasbassam3670 5 ปีที่แล้ว

    Kwa elimu ya afya ya mwanamke tembelea femaleafyaplus.blogspot.com

  • @songorodohho3702
    @songorodohho3702 5 ปีที่แล้ว

    hahaaaaaa

  • @shadiluck9015
    @shadiluck9015 5 ปีที่แล้ว

    Mh watu ...wanajua kutetea Ugali wao! 😂😂😂😂,,, sio kwa sifa izo