Uyu jamaa anaongea fact sana dah MUNGU amlinde sana, em tuwang'owe hao magugu kwenye ngano ili mwisho wa msimu tupate mavuno. Ahamed Ally em fanyia kazi hao mamluki
Dah broo nakukubar kinoma wape makavu nahatuwataki mamluki kwenye timu yetu ya Simba huyo kajula na mangungu watuachie Simba yetu wachezaje tunao wanaoujum Simba yetu naushirikina wao hawatafaulu na wameisha feri na kayoko kawaponza naitwa peter rama from iringa
mwanangu unachosema kweri mashabiki wa simba tuwe wapelelezi mashabiki wa yanga kuja kufungua tawi la simba Maana yake hilo tawi litakuwa linalokuwa linatoa siri za simba
Huyo mchungaji ni simba before alikuwaga anakaa kwenye vijiwe kumsikiliza Gb 64 lakini alikuwa hataki kujionyesha sana badae nae akastuka kuwa microphone zinawapa dili.
GB wewe ni mwamba sana unaujua mpila nimekufuatilia sanaa una Kona Kona ni Mimi best toka kyela tz
Allah akujaalie umri mrefu bg❤❤❤❤
Yule mzee saidi ni yanga pure
Gb.nakuombea.kwa.mungu.akupe.umrimmrefu.mana.sijaona.msimeatimu.kindaki.ndani.kama.wewe.unaongeaga.ukweli.❤
Uyu jamaa anaongea fact sana dah MUNGU amlinde sana, em tuwang'owe hao magugu kwenye ngano ili mwisho wa msimu tupate mavuno. Ahamed Ally em fanyia kazi hao mamluki
Utopolo kweli wamechoka bila kuchoma sindano hawawezi kutoboa Kwa ibenge lazima wachukue miguu ya bajaji
Hongera Sana GB 64
Hongera kaka uko sahihi shabik hua Ahami anaehama ni mamruki kunawatu hawana hata haibu hawana Mungu Awaazibu
Naamini labda ahmed ally hakumjua. Kulingana na paplasion ya watu kuwa wengi.
Dah broo nakukubar kinoma wape makavu nahatuwataki mamluki kwenye timu yetu ya Simba huyo kajula na mangungu watuachie Simba yetu wachezaje tunao wanaoujum Simba yetu naushirikina wao hawatafaulu na wameisha feri na kayoko kawaponza naitwa peter rama from iringa
kwel broo upo sahiihi sana
Inachekesha sana ❤❤❤
Yule mzee saidi hafai hata kuwa karibu na yule miiraji
Jamaa lina akili ya mpira na uchunguzi
Kwakweli tukipata wanasimba 10 km huyu mwamba itakua sawa
Unguluma Gb 64
Kaka point sana.
huyu jamaa huwa namwelewa sana, anazungumza kweli kabisa, mfagio iendelee matawini
Umeongea vizuri kk anguu hapo ktk misingiii
Safi GB
Point sana brother
Hatufai
Huo ndio ukweli , hujuma ndio zinafanya timu kufungwa bila utaratibu.
hata mzee said yule na wasiwasi nae sana
Mr, manguruwe nae afanyiwe uchunguzi
Aliniuzi siku Ile simba imefungwa na yanga waandishi wanamhoji anasema yanga bingwa huku kavaa jezi ya Simba
wew n true man uko saw ⚽
GB 64 unajua
Hao wasaliti hawafai
Ok vzr sana GB64
Uko vizur kka
Simba nguvu moja 🦁🦁
GB wewe ni kama Dudu BAYA unaongea point sana
Nikweli Shabik halali wa Simba hawezi Vaa jezi ya yanga na shabik halali wa yanga hawezi kuvaa jez ya Simba
SIMBA SPORT NGUVU MOJA😂😂
Sasa hivi mchome anavaa jezi ya taifa stars
Waambie ukweli wa mambo tu kwani wanao hujumu timu wanajulikana inatakiwa wajue
mwanangu unachosema kweri mashabiki wa simba tuwe wapelelezi mashabiki wa yanga kuja kufungua tawi la simba Maana yake hilo tawi litakuwa linalokuwa linatoa siri za simba
GB kuna vilaza wengi ktk wachambuzi
Kweli baba
Uko vzr San
Unakubaka Kila idara kiongozi🤣🤣
ubaya ubwela eti gb nitoke out uwezo huo unao
true 🎉🎉
Pamoja man wachane tu
Endelea kuwaibua na mamluki wengn make watakuwepo
aya nan uyo😂😂😂😂
Ila wewe mkweli 😂😂
Sasa we GB simgemtimuwa nyie
Mamluki ni wengi sana
Nina wasiwasi na Mchungaji wa Simba pia. Kwanini kajitokeza mwaka huu tu. Zamani alikuwa wapi? Mchunguzeni.
Huyo mchungaji ni simba before alikuwaga anakaa kwenye vijiwe kumsikiliza Gb 64 lakini alikuwa hataki kujionyesha sana badae nae akastuka kuwa microphone zinawapa dili.
Big up gb64
Kumbe @@MgemaMpina
Comment zake huwa za tahadhali tahadhali sio mfia Simba yule Mchungaji