MTANGAZAJI SKY AINGILIA VITA YA DIAMOND PLATNUMZ NA MARIOO, MAMBO HAYAJAANZA LEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

ความคิดเห็น • 25

  • @iamprincefelix
    @iamprincefelix 2 หลายเดือนก่อน +14

    Huwezi compare komasava na io hkn matata, ni kama dhahabu na chuma

  • @SozinhoPatrícioMauroMauro
    @SozinhoPatrícioMauroMauro 2 หลายเดือนก่อน +5

    Diamond platnnam ele é bom

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 2 หลายเดือนก่อน +13

    Kil msanii akifanya vzur lazm ashindanishwe na mond

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 2 หลายเดือนก่อน +13

    Nimetizama show zote mbili ya mabantu na diamond zote zikikuwa successful

    • @HENRYSILUNGWE-i1j
      @HENRYSILUNGWE-i1j 2 หลายเดือนก่อน +2

      Awe ya mondi ilikuwa nomaaa kuliko ya mabantu

  • @user-yd8sp4es9n
    @user-yd8sp4es9n 2 หลายเดือนก่อน +1

    RAVAYNYN DIAMONDI🎉🎉❤❤

  • @ASHAKHAMISMUSSA
    @ASHAKHAMISMUSSA 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sky❤❤❤

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mario asijichanganye kwa Diamond

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 2 หลายเดือนก่อน +3

    Napenda huyu Dem anavyo Tangaza anatone nzuri

  • @SavamoDayoga
    @SavamoDayoga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm nakubali mabantu sanaaa

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani harmonize yuko wapi?

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo radio ganj

  • @kadito-kenya
    @kadito-kenya 2 หลายเดือนก่อน +1

    All song is good but Omar must do remix with international artist to promote his song

  • @NatashaChebukati
    @NatashaChebukati 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuliko mulinganishe Komasava na watu wa inje then badae utasikia” wasani wetu wanaitaji Kwenda international “😂
    Ukweli ni akuna msani Tz anaweza kujitowa vile Simba anafanya
    Akuna Matata ni kazi nzuri nafasi yake
    Na mtu yeyote akikuwa na shindanisha Diamond na awa watoto wenu mutakua naonekana munajishusha eshima nakuonekana amuko profesional

  • @silvermelodyvevo6082
    @silvermelodyvevo6082 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika mzik wetu unaenda far

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 หลายเดือนก่อน +1

    Diamond Platnumz analazimisha baadhi ya Media ambazo zilikua hazichezi wala kuzungumzia kazi zake sasaivi zinamzungumzia ikiwemo hii Media😂😂😂😂

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 marioo

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini bifi ilianza lini

  • @AshurKarama
    @AshurKarama 2 หลายเดือนก่อน

    Sijui watanzania wakoje.mtu akifanya kazi vizuri lazima wampige vita ilikua Alikiba sasa Mario.diamond kama mtamshusha ni nyie lkn sio kwa mashabiki. Hakuna metata ni video amblyopia haina maadili.paula kalianika turbo lake nje kwani angelifunika ningekua halionekani? Alafu uisifie hakuna matata

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini kuongea kuwa Mario ana Vita na Mondi ? Huu ni ujinga mtupu.
    Mario anatakiwa kuwa na adabu.

  • @giddie_barnabas
    @giddie_barnabas 2 หลายเดือนก่อน

    Waandishi na mashabiki ndo wanaoua vipaji vya wasanii wadogo kuwafananisha na majayant kama diamond yan wanampabichwa af akiforce anakula za uso kwanza wasanii wabongo inapaswa wajue vitazao kimzik co na diamond maana d hana mshindan hapa Tz wasanii wote kawapiga gep kubwa sana wanachotakiwa wamtumie kama mfano ili nao wafike aliko

  • @johaali9959
    @johaali9959 2 หลายเดือนก่อน

    ℎ𝑎𝑤 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑛𝑔𝑎𝑧𝑎𝑗𝑖 𝑢𝑗𝑢𝑤𝑒 𝑛𝑑𝑖𝑜 𝑤𝑎𝑐ℎ𝑜𝑐ℎ𝑒𝑧

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kil msanii akifanya vzur lazm ashindanishwe na mond

    • @philipotieno9996
      @philipotieno9996 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio sijuui 😂 iyoo ni nini na Harmoo alisemaga hivi vitu pale airporti