8hrs. Hiyo ni masaa na travel from Busia to Nairobi.yaani western.but kwa boda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. anyway.gidi. nivizuri pia ukimpa ghost pia aongee kidogo.is just a request.
@@maryandesh151 huo ujinga na upuzi siwezi deal na such ladies mtu ameweka takataka Kwa mwili za 10yrs na p2 zimejaa Kwa tumbo mpelekane wapi ? Avoid ladies with kids like plagues they don't have love only interested with help to raise their kids they give birth with others men
@@alextercisio lazima akupime kwanza. Hizo vitu hata wanawake wa ndoa wanaweka.sio wenye wamezaa inje pekee. Hiyo ni family planning na any other woman can use it hata your wife.
Radio zaidi ya radio
I accidentally found this channel this month June 2023, 😅😅😅😅I love it,niko Mayuu😅 so I can't listen live❤ ghost makes my day.
Gidi yawa 🥺🥺Ghost is your coligue, wachaga kumsuta hivo it's not fair please
Very true
Sure
Gidi is full of himself
i like the seriousness and maturity kwa gindi.yaani ingekuwa ni Mimi ningekuwa nacheka via out.....
Gidi nko Dani dani kabisa am watching from saudia here
Pamoja saudia
Gidi is always very wise. Keep it up!
Ghost is a gentleman👏👏 Gidi manze sipoa😪😪
We need to hear from Mr Ghost
Naishi single rm na naona nikifukuzwa juu ya kucheka. Radio jambo mtanimaliza 😂😂😂
gidi hupaswi kuwa hapa patanisho
aende wapi
Gidi always being bossy and Ghost maintaining humility.
Yeah, Ghost is always calm.
Team Ghost 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
True
Napenda patanisho sijui.... Napenda watu wakaslikiana ili wapatanishwe
Wow I like it ##patanisho
Dah this on another level ivo kipkemboi should take lot of mursk kwa uwingi jamani ...mimba boom!
Gidi you like dominating conversation just include Gost pliz
Ghost ni WA kucheka😅😅😅😅
Kila mtu ako na part yake ya kucheza
Mungu ni mwema Bwana kipkemboi
Huyu lady deserves that man ,let her go back to her marriage the moment she goes there the baby already God had blessed her womb
Kizungu sio mdomo chako😂😂😂😂
Always my favorite show😂😂🙌
Nipitie pia th-cam.com/video/s3JEbTDFyGU/w-d-xo.html
Sharon my friend finally
First one here, waaaaaa........ Bado wanawake wanakimbiza mapenzi huku nje😴
Nipitie pia th-cam.com/video/s3JEbTDFyGU/w-d-xo.html
Probably because she knows the man was good.
@@princessm2893 ñipitie pia th-cam.com/video/s3JEbTDFyGU/w-d-xo.html
Gidi....heshima sio utumwa.Heshimu ghost ni mkubwa wako.mpe nafasi atoe maoni yake.pride comes before a fall.
🤣🤣🤣🤣this is on another level🤦🤦🤦we can't disappoint 😅
Congratulations bwana kipkemboi👏👏👏👏👏
Best place to be in the morning
enyewe gidi umesema ukweli wakale hilo neno hua ni shda kwao kusema i love you.
Gidi let your colleague be part of the conversation pliz atleast
thank you for talking my mind
Exactly
kale men☺🤣🤣🤣🤣🤣 proud to be kalenjin man we dont waste time,hatujui kubembeleza
Cameraman kazi ni poa but pia capture Ghost tunapeda kuwa tunaona akitokea si Gidi pekee
Kalenjin are never complicated
They are not complicated, they are all in this uda saga
KUJILAZIMISHA KWA MTU NI KITU INGINE MBAYA SANA ,KUPATA MTOTO SI DEGREE TO PERMANENT LOVE ,kama mtu hakupendi wachana naye tu kabisa
I agree
kweli kabisa
Hii ni Kali sana
Gidi respect Mulee ama tuadamane
Ghost 😅your laughter is contagious😅😅😅❤
Wakalee na kusema I love you ni hard.culture forbids it
Ak ujinga Iko hii kenya
Ama ni wewe Sharon🤣🤣
🔥🔥
Eight hours!
😂😂😂😂 mbavu zangu yoooooo,,gidi mnaniumiza mbavu
Chomisya😂😂
Kipkemboi is a good vibe 👏👏👏
Yap he dersave the guy
Yeap
Waaau 😍😍😍😍😍
My people
Hawataki maneno mingii
Waaaaaa wanaumeeee
Na Gidii uwaje udictator bana heshimu mulee
Sisi wakalee tuko Ivo na tuko sawa
8hrs ni kama kutoka Mombasa to Nairobi
Gidi,,,,niajie mabavu yangu
Jamani Ghost nakucheka😂😂😂haki munanibambamba
Waaaaaah
Watu wetu wa mouth, things are never complicated, very simple
Hahahaaa ndo maana ni vigumu tuolewe uko nje
Gidi akona vidole na mdomo supuu
🤣🤣🤣🤣ako handsome btw
Thanks bro , usitume fare tuma boda
Mkalee sio mwanaume naeza jibembelezea, aki acha nikae hivyo
Bonda all those hours, no way 😅😅😅😅
Haki gidi patianga ghost time kutoa maoni
That's arrogance!
Arrogance of high level. Ghost pia anaeza changia please.
Oy brother
Kwani hatuoni ghost
yani gidi huachagi ghost aongee sasa
Pongezi kipkemboi inyoon
Gidi weee
Nowadays watusubua sana
🤣🤣🤣Sharon anza kupack🤸♂️🤸♂️🤸♂️
8 hours distance ya kutoka NAIROBI to western 🙆🙆🙄🙄, ndo wao ndio hutumia pkpk😲😲
Wakalee atusemi nakupenda....its a TABOOOO 😂😂😂😂😂
Leo kitanda itavunjika
I hate my Radio hapa huruma Eldoret haishiki radio jambo
Shame on you Gidi!!!respect Ghost,he is not your age mate and you should respect his views too,,,you dominate too much
What is wrong with you???
Aheshimu mwingine aky ghost deserves to talk to maybe hata ushauri wake umezidi wako
@@Quilant749 do I sound like something is wrong with me?
@@mercyelly1347 exactly
@@annielfredy199 not just wrong, terribly bad. You sound bossy.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣aki hata nimewapeda ❤️
Gidi wewe ati masaa tatu 😂😂😂😂
🥰🥰🥰
Inadi hoyee
Ghost's laugh makes my day🤣🤣😁
Huyo ameangusha gangsta points ya kuwa mkale
8hrs. Hiyo ni masaa na travel from Busia to Nairobi.yaani western.but kwa boda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. anyway.gidi. nivizuri pia ukimpa ghost pia aongee kidogo.is just a request.
No he didn't 8hrs travel tuelewe sisi wakalee direct translation anamaanisha atafika saa nane afternoon
bona wewe gidi hutaki Gost aogee unamstopisha Kaa nakaa hesimu gost
Mimi huwa nacheka ghost akicheka😂😂😂
Me too.
Same here
Team Ghost 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰
Guys please tell me the frequency of radio Jambo naivasha
98.3
Huyo boda ako na vested interest.
Hakuenda
Omy..🤦 eight hours kwa boda boda wacha ikae,natukikosana na sina fear ya boda boda for eight urs wacha ikae✌️
Kipkemboi utatumalizaa😂😂😂
😹😹😹
That journey is dangerous and we have vehicles operating mashinani jamani 8hrs with Boda Boda!!!!
Mimi mtu anitumie boda,alafu ni 8hrs.sigwes rudi
Wanaume wakale wamezoea kuita mabb zao watoto na BDO anajibembelezea majitu wakujiona Bora zaidi mm Neva wakae na mursik ni wamala kabisaa
Gidi concentrate ukua unajua akona mtoto
Wanaume awawetu wakale si rahisi awaseme I love you 🤣 🤣 na kitambo aseme atakua ametoa jasho🤭
My tribe,hawajui kubembeleza
Boda 8hrs kwani inaenda coast
😂😂😂😂lol my best show
Hawa wakale wa kuishi karibu na waluhya wamebadilika. Tabia ni za kina Wanjala na majina ni Kipkemboi.
Never compare luhyas na kalenjin men, luhyas are way better and romantic, kalee hajui mapenzi
@@minsha6742 ronance imeingilia wapi?
Tabia ya kuchukua marital issurs Radio Jambo ndio wamecopy.
8 hour's kwa bodaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Walai siku hizi Dunia n kubad
unafaa kuniintroduce whips
Weh Gidi peleka ujinga uko NKT, peleka huyo msichana polepole. You created that show for such issue so be a gentleman.
Mnatuonea sisi Wakale aki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Lakini Ghost kile kicheko chako,😂😂😂😂
Never joke with ladies who have kids with another man ...they uses family planning of more than 5yrs to give birth uwa ni shinda sana
Hapo ni ukweli unapima huyo mtu kwanza hehehe
Lazima tu wakupime kwanza ju huenda pia wewe utamuzalisha na umtupe na mtoto tena.hiyo ndio wanaogopa
@@maryandesh151 huo ujinga na upuzi siwezi deal na such ladies mtu ameweka takataka Kwa mwili za 10yrs na p2 zimejaa Kwa tumbo mpelekane wapi ? Avoid ladies with kids like plagues they don't have love only interested with help to raise their kids they give birth with others men
@@alextercisio lazima akupime kwanza.
Hizo vitu hata wanawake wa ndoa wanaweka.sio wenye wamezaa inje pekee.
Hiyo ni family planning na any other woman can use it hata your wife.
@@vincentomondi5612 you can say that again, wanaume kama wao Ndio hutorokea responsibility tena, mwambie tena askie
Boda aliwacheza akapata pesa ya bure!Kwani wapi uko boda inaenda 8hrs.
Ata mimi unitumie pikipiki siezi Kuja Abraham angeendea kwa wazazi wa huyo msichana
Kabisa i support you coz hii wangeongea wote
8hrs boda aki nn iinasumbua wakale
😂😂😂😂kipkemboi
Huyu kipkemboi ni stingy 😑 kwani hawezi tuma pesa ya fare lazima atume tu mtu wa bodaa
Haki ya nani, tulikosea wapi jamani hii lugha inatukataa.
Kalenjins hakuna siku mtajifanya ata kuwa romantic wajameni 😂😂
Hatuwezi
@@adnansam9183 😂😂
Hawa watu tutawazoea hivo.
🤣🤣🤣🤣
Hatuwezi, na Hatuwezi