@@Abdullah-er3kw yeah slaves za raila ni jinga Sana how many politicians will say I don't care about the position but he won't stop talking issues affecting Kenyans we are happy Mohammed Ali hatishiki ni kupata kiti or not so sweet
Last time nakumbuka vizuri ukipiga siasa juu ya ruto kua mwiz, nni alikupa ukabadilisha wimbo, mpuzi kabisa, ww ndio leo uko na hyo mwizi unataka tukuamini ajeee, histry speaks of itself Borana hta familia yko uliwatupa
Hata ruto huyo una msupport wizara ya ardhi ni yake mbona ujatetea wa Mombasa na tunajua serikali yake first term alipewa nusu na kuongoza wacha unafik kwenda kwenyu marsabit ukasaidie watu kuuwana ju ya mifugo
Ww emesadia nn,kazi yako porojo tu!!!,shukuru Mungu tulikupigia kura kwa sababu ya kazi ya jicho pevu uliokua uki ifanya sasa huna sera yoyote.port ilienda na ww ulisapoti iende kwa kumpiga vita joho,huna lolote
But I amewaambia he is not using the struggle to get the position regardless you give him or not he will still stand by his truth that shows all that Hana ubinafsi kabisa kuendesha gari Kwa barabara yake ila ya wapwani
@@jangdelserut7693 Sera moja nikurudisha izo. Terminals za Mombasa na baths za joho na raila Kwa wananchi iyo ndio sera huna maskio ama ni plastics ziko kando ya kichwa?
@@jangdelserut7693 si ni sababu the likes of joho walikua wamembebea akili that time SASA wakenya wameamka... Tables have turned na alisema vizuri Kama hawatampea iyo kiti ya MP nisawa he doesn't care about now lakini atanyamaza SASA lazima apiganie Mombasa port.
The young man is confused. Ulipokuwa mtangazaji kwani ulikuwa mwongo??? Remember all that you have been saying even against Ruto!!!! Wah!!! Muhamed wetu sio yeye Tena.
There's nobody clean... In both parties we have political leaders with very unclean history... Calling people wajinga doesn't make you wiser... If at all it show how immature you are... I used to respect you while you were still a journalist, but now am so disappointed of how you stoop low just to take your point accross... The least I can tell you is respect yourself and respect other political leaders... Let me remind lest you forget... Jua huwakia wote Wazuri na wabaya... Kama una ubaya na mtu... Mpeleke kotini. Period
Ushajua utakosa ngamia hii..hakuna kazi ulifanya .....kazi ni kujifanya tu na kiswahili mingi....we cant eat kiswahili...look at the crime rate in your constituency...kwendaaaa
At first i was thinking that ali will bring changes of good leadership in this country weee hauna tofauti na hao viongozi watapeli i cannot trust a politician piga tu porojo na tumezoea
Uyu si arudi kuwa reporter 😂😂😂
True Muhammed alliance God bless you sir 🙏
I love the confidence of this man my all time best investigative journalist Moha unatosha tell them the truth the bro
I love the confidence of this man my all time best investigative journalist moha unatosha tell them the truth the bro
This is the leader Kenya needs who fights for Kenyans regardless winning or not. Still they stand on their positions for the Kenyans...
I used to say the same kwa ruto
Wajinga hawakomi
@@Abdullah-er3kw yeah slaves za raila ni jinga Sana how many politicians will say I don't care about the position but he won't stop talking issues affecting Kenyans we are happy Mohammed Ali hatishiki ni kupata kiti or not so sweet
can he do it better than Raila in his youth
which position??? Defending thieves in udaku thievery?
muache maoni mingi muhimu ashakubali coast ni Rao
I love your confidence, you a good man and True leader
I love ths' man
Powerful one!, God bless you Sir. More wisdom be upon you.
Amenibamba vile amesema if he gets the position or not he doesn't care he will still fight for the coast guys
Raila baba upende usipende ndani ndani mpaka state house.
Raila ni uji,shidwe.
Young powerful and principled
much love Moha God protect u
True pure true
U are a hero Moha u have representend youth's Agendas in our gvt,umepigania haki za wanjonge for along time.....
Aki gani amepigania
Mashallah Allah akusimamie ktk kazi zako
Is this the same man who used to do JICHO PEVU 👀😳
Wenders shall never cease
Wewe hapo kwa shamba ukiwa serikali umefanya nini
The only politician I respect in our region. Matusi ya mahasidi yanamaana umetoboa jipu usaha wamwaika.
Uyunaye amepotesa mwelekeo,hana sera,ilatu kuongea juya Raila,
Ikifika siku ya kurusha mawe tutakuita,sai tunaongelea vitu za maana!
Land problem is never easy handle Ruto is also a know land grabber. Afadhali sasa Raila
Uyu ni mjinga wa mwisho
Last time nakumbuka vizuri ukipiga siasa juu ya ruto kua mwiz, nni alikupa ukabadilisha wimbo, mpuzi kabisa, ww ndio leo uko na hyo mwizi unataka tukuamini ajeee, histry speaks of itself Borana hta familia yko uliwatupa
Naye raila aliwaambia nini kuhusu Uhuru?!!! Saizi wako wapi utamwaminiane?!! Na wanaiba Kenya pamoja SASA.... 2bn kila siku?!!! Ole wako
Ahmed hambal,uko na upambavu na upofu wa kuona mbele
Mfano bora wa kiongozi mheshimiwa Barikiwa
sang njoo mpigie kura hapa ataona moto msa
Siasa ilimaliza jicho pevu.This guy was just broke..onyesha mwanaume pesa and he will forget what he used to fight for or stand for
Very true
Very true
Hata ruto huyo una msupport wizara ya ardhi ni yake mbona ujatetea wa Mombasa na tunajua serikali yake first term alipewa nusu na kuongoza wacha unafik kwenda kwenyu marsabit ukasaidie watu kuuwana ju ya mifugo
Mpwani mmoja mpumbavu mwennye hafikirii ni wewe Ibrahim!
Hatujakataa lakini ata ruto amekua dp 10yrs
Watu Kama Hawa ndio wanahitajika apa kenya, congrats mwa
Ww emesadia nn,kazi yako porojo tu!!!,shukuru Mungu tulikupigia kura kwa sababu ya kazi ya jicho pevu uliokua uki ifanya sasa huna sera yoyote.port ilienda na ww ulisapoti iende kwa kumpiga vita joho,huna lolote
I like the courage in this guy
Hon Moha is a true definition of 'popo' kazi ni kujipendekeza na kujifanya mzuri. Mwizi sugu huyu.
But I amewaambia he is not using the struggle to get the position regardless you give him or not he will still stand by his truth that shows all that Hana ubinafsi kabisa kuendesha gari Kwa barabara yake ila ya wapwani
Bure kabisa, uza sera bana
@@jangdelserut7693 Sera moja nikurudisha izo. Terminals za Mombasa na baths za joho na raila Kwa wananchi iyo ndio sera huna maskio ama ni plastics ziko kando ya kichwa?
@@jokabable Sivyo hakuwa bungeni mbona porojo sasa awache kuchochea hisia za watu. Bungeni mgawo hapa nje mimi nawe nikuchochewa.
@@jangdelserut7693 si ni sababu the likes of joho walikua wamembebea akili that time SASA wakenya wameamka... Tables have turned na alisema vizuri Kama hawatampea iyo kiti ya MP nisawa he doesn't care about now lakini atanyamaza SASA lazima apiganie Mombasa port.
Msema kweli mpenzi wa Mungu
Raila don't need your support bwana he will be president without you
Jicho pesa!Ulikuwa unaongea juu ya serikali ya kiimla wewe Leo unapigia wezi kama Ruto debe mnafiki wewe nkt!!
Blames blames blames won't help athing,moha just go home
Moha...God bless yu
Hapo Mohamed Ali umenena 🙏
You went to parliament n became a fool...u used to be our role model as young people but you went n dine with the thieves...shame on you
Ukweli hamtaki kusikia hahaahaha matusi tu
Because he does not support Raila..😏
uchungu nayo...ukweli hamtaki mnafuata mtu ka ni mungu n his full of shit too.......
Just because he doesnt share the same sentiments to you makes him a fool.....only a fool can reason like that....you are the fool
Tell them Ali i wish ungeask for president
That speech ...ooooh Lord fire str8.
Brave word
Hope Unafanya kazi si kubweka tu hapa na pale
asha sema aliibiwa, borana mpumbavu
You the best guy in mombasa
Good
Masha alllah
Hiyo ndio sera ya watu wa nyali
Moha for president
Enda ushangilie uwizi sugoi
My friend we leaders with action...hio kiswahili yako na maneno mingi hatutaki...mwizi ni mwizi.
MOHA5TENAA
Ever since this guy started supporting Ruto, he has become so bitter hadi amezeeka😂🤣😅
😂😂😂😂😂👍
it's the humour of tibim tialala ...for me! 😅😅 vivaaa Hammond 👏👏💪💪💪 power belongs to God and may the righteous rule
What of when the wrong ones get that power? How do we count it? Belongs to God or the devil????
Home direct
Ati mekatilili alipigania democacia
Unaapa juu ya raila walahi utaenda
Wew mjinga wa kwanza
Umebebwa kwa kapu
Outstanding courage
Sure Ali
Ali kwisha
Ongeza volume mtoto wetu
Man of trueth, call a spade a spade
Tell them.😀
Kwani raila alikua anamtaka um support🤔🤔🤔
Wewe Ni Bure,kula pesa za Ruto polepole
Wewe ndiye mjinga pumbafu
you were once a wise man till money corrupted you
Hahaha, mdomo tupu bila vitendooo😆😆
Wewe chizi acha kuapa mungu mtume amelaani
Toa utoto apo enda kacheze uko mbali kwani siku izi umekua kipofu uendelei na jicho ama uchungu uko nao n wamekujichopoa ww NKT!!!
The young man is confused. Ulipokuwa mtangazaji kwani ulikuwa mwongo??? Remember all that you have been saying even against Ruto!!!! Wah!!! Muhamed wetu sio yeye Tena.
That great
There's nobody clean... In both parties we have political leaders with very unclean history... Calling people wajinga doesn't make you wiser... If at all it show how immature you are... I used to respect you while you were still a journalist, but now am so disappointed of how you stoop low just to take your point accross... The least I can tell you is respect yourself and respect other political leaders... Let me remind lest you forget... Jua huwakia wote Wazuri na wabaya... Kama una ubaya na mtu... Mpeleke kotini. Period
Amongst all the politicians, I love this guy the most❣️ I love how he talks courageously and confidently
Wewe na jumwa hakuna mlolifanya kelele tuuuuuuu
Ushajua utakosa ngamia hii..hakuna kazi ulifanya .....kazi ni kujifanya tu na kiswahili mingi....we cant eat kiswahili...look at the crime rate in your constituency...kwendaaaa
Ujaluo huo
pesa ame iba pia hyu moha... mwambieni atoboe
Sahau ubunge Rudi ktn
Kumbe unajua kama utakosa
Hope sai utasimama na Raila sasa
Ruto sasa atawaokoa uko pwani uko na ujinga kierere tu
Sema kile umefanya kusafua wengine jina sio kutafuta ata neno la mungu alipendi mutu wa majivuno na kusafulia wengine
We have our malema in 🇰🇪🇰🇪💪
True
Machungu ya kukosa ODM ticket... Kama ulijua hayo mbona ulitaka ODM ticket.... Shenzi sana
Acha kutusi wazee jinga toto ww n mbuge regesha mashamba za watu uko nyali
Wabara ndio wako na kura Msa. Utajua hujui kunguni hii
Wacha keep bro
But supporting same thieves in uda go home peacefully
💙💙💙💙💙🍊🍊
Leo unaongea ya uhuru na raira Kesho tutaongea Yako wewe tuseme ulikuwa mjinga sana
Kama unasimama kama jicho pevu wakosoe wote basi, ruto na raila ndio tuamini unchosema.
Nikwaba unajua hautachagulia wacha kujifanya
At first i was thinking that ali will bring changes of good leadership in this country weee hauna tofauti na hao viongozi watapeli i cannot trust a politician piga tu porojo na tumezoea
Sasa huyu mtu...acha nisiseme. Good luck man. Hope kuongea mbaya kuhusu to Raila itakusaidia kwa campaign
wacha hasira kaka siasa haitaki hasira bwana
Why is he bitter!
Kazi yako kelele tupu
Young boy nobody forces you to support Raila it's about future.
Ongea ...tuu..bora mdomo imepanuka...umejaa utoto sana ...
Hata wewe pia ukipata uongozi ni hivyoo hivyo umetufanyia nini wapwani wewe
Nani alikwambia usiposimama na raila utaanguka.kwani Owen Baya uko chama gani
Raila awekwe kwa wheelbarrow hadi bondooooo
bure kabisa kujigamba tu
Sirgo borana
Unaenda nyumbani brother.