Ndaro hana madini kama reonard ck ambazo watu humuona kaweza anakua kaanza leonard hivo anakuja anaangalizia kwa reonard sasa leo kaanza ataangalizia wap
Aki I love ur work my pple, coz ua teaching pple through comedy, its a great idea frm u ppl, am watchin from 254 and I like it keep it going my buddies♥️♥️👍👍
😂😂😂 uyu jamaa mshenzi sn alafu n creative sn na km huelewi nd hakusanuwi tena, eti "nikilewa naweza ata kuangukia kwenye tope" akimaanisha kua ktk mapenzi ukiingia topeni haifai😂
Wakenya hatuchekeshwagi kiurahisi hivo ila hawa wawili wamenikunywa kweli, Ndaro na Leornado nawaombea nafasi kwa Churchill mje show moja tu mujiongeze
Ukaribu wa hii audience na Mike unahatarisha hiki kipindi maana wachekeshaji wanachekesha lakini Kuna machini yanacheka na kutukana Kuna mmoja nimemsikia akicheka aaaaahhahahaha kumamake sasa huo ni mcheko mpya ama.
Hizo za uso kabisa toka kwa ndaro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Leonard anavoinamaga chini unaweza sema anawaza kitu Cha maan kumbe ujinga mtupu 😂😂😂nakupenda sana Leonard upo vizuri
Leonardo is very creative much Love from kenya
Ndaro ametisha sana🤣 apana Leonard kamaliza kabisaa🤣🙌🙌🙌🙌
Leonardo U kill me kw kicheko😂😂😂😂
Leonard we mpumbavu Sana nilikuwa nakusubir hapo mwisho hapo jamaa alipokuotea 😂😂😂😂😂😂 umetisha iyo najua ilikuwa hujaipanga iyo
😂😂😂 nomaaaaa sana
It's getting better Asee wameanza kuSound the same wakidrop punches 😅😅
Leonardo you killed it😅😅🙌🏻
😂
Zuchu utaniua
leonardo is beyond their experience this dude is on 🔥🔥
Awa jamaa wote wakali sema siku zingine Huwa anaonekana ndaro mkali Sababu Huwa anakua wa mwisho kuperform ila wote wako on🔥🔥🔥
Ndaro akiwa wa mwisho ndo noma
Kabisa sio siku zote watakuwa na material mazur ila wamejitaid
Ndaro hana madini kama reonard ck ambazo watu humuona kaweza anakua kaanza leonard hivo anakuja anaangalizia kwa reonard sasa leo kaanza ataangalizia wap
Ndaro haonagi ndan kwenue battle wakiwa na Leonado,, Leonado is on 🔥
Hakuna mkoa wa Moshi
Leonardo ni mwehu kupitiliza kanichekesha sana 😅
All in all all of u U're Genius 😂😂😂
Aisee mmeumiza sana akili,kazi nzuri brothers 💪
Aki I love ur work my pple, coz ua teaching pple through comedy, its a great idea frm u ppl, am watchin from 254 and I like it keep it going my buddies♥️♥️👍👍
leonardo ume tisha sana dadiii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 sema ndaro huja jiandaa vyema leo ila ni kali
Leo Ndaro kakalishwa..haha
🤣😅😅😅😅🤣pombe imemaliza mambo
Leonardo 😂😂😂😂 umeuaaa... Thus why tunapenda wakaka wakoslim
Leornad 😂😂😂😂
Mapenzi ni mbele tu
Ukilewa unaenda mbele nyuma 😳
😂😂😂 uyu jamaa mshenzi sn alafu n creative sn na km huelewi nd hakusanuwi tena, eti "nikilewa naweza ata kuangukia kwenye tope" akimaanisha kua ktk mapenzi ukiingia topeni haifai😂
Leonardo went hard on this one😂
Huyu Leonardo atengenezewe sanamu🙌🙌🙌
Haswaa hassanii !!!!tena ijengewe arushaa
Tena liwekwe post na mlimani city
Kwa kutukana?
Akili mingi leornado🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Leonard is one of the best stand up comedian 🔥🔥🔥
Leonard weweee Jamanii 🤣 mungu akuwekeee wapiga vyombo umetuwakilisha sanaaa
Leonardo salute sana broo from Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪
Wakenya hatuchekeshwagi kiurahisi hivo ila hawa wawili wamenikunywa kweli, Ndaro na Leornado nawaombea nafasi kwa Churchill mje show moja tu mujiongeze
Awa wawili wanafaha Churchill show
Dogo mtoto wa amoni
U guys are doing best in stand up comedy 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🔥
Ndaro mtu mbad sana.....big up brothers
Unyqmq nimwing xana
Awa jamaa wanajua saana.... Coy mzungu waongezee bandle
Leonardo is a next level comedian wooo!!
Huyu Leonardo kashindikana😂😂😂😂
😂😂😂😂 ndaro bn unani inspire san aisee kua naangalia cheka tu🤣🤣🤣
Leonardo 🙌🙌 umetisha sana mzee!!
Nawapenda sana jamani😘🤣🤣🤣
Nawakubali woteeee mmetixhaaaaaa xanaaaaaaaaahhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!¡!!!👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Leonardo hawezekan haki tena 😂
Ndaro is the best comedian right now 🤣🤣🤣
Haipngwii
Leonard ni🔥🔥
Leonard ni moto
Sure
Labda Leonardo ni mwanamieleka 😅😅😅😅😅
Daaah Leonard anatumia akili nyingi sana ukiwa slow learner uwezi kuelewa
leornad hakuna anae kuwez baba nimechek kwa daldala kwa nguvu sna😂😂😂😂😂😂
At first nilidhani Leornado alipendelewa ushindi but so far … Ananiprove wrong
Hata mimi nilizani ivoivo ila siku znavoenda ananiprove wrong
Show kali mpk mda mdogo....
Leornado took this personally 😅
Sure😂😂😂😂
Vpbaba
Leonardo is genius😄
Leo Ndaro umekaa...hahaha
Dah! Daro ni nyokoooo sanaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Leonardo Is Next Level😂
🔥🔥
Leonard is fantastic comedian
Yan leonado anachekesha mpk ndaro anacheka 😂😂
Leonard kiboko
Leo leonardo umeuwa🤣🤣🤣
Kak leonardo unajua🤣😂
Love for them❤❤ bcz usimsifu mwenye mbio msifu na anae mkimbiza
Leonardo big up san blood unanifany nichek kwa sauti🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
Nisawa nikisema leonardo ameshindikana jamaa mnoma😂😂😂😂
C poa yaan
Leonardo nimekurudia sana Fala sana ww😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂 sasa kama mpaka ndaro mwenyew unachekeshwa na Leo cc tufanyeje sasa,,,
Sjaelewaaa jamani enhee kwenye pombe akilalia matope yupo huru kwenye mapenzi n nn??... Leonard njooooo
Umetisha leonaldo😂😂😂😂
Daah leo home boy ndaro kapigwa chini
Kwel kabisa
😃😃😃😃😃 hii innovation ni ya atari, ila Cheka tu angalieni namna ya kudesign hio backstage
Leonardo umeshindakana ww🤣🤣🍻
Kwaiyo atakua n yy na Macvoice kule au sio?
Hapo kwenye ziwa Tanganyika kuwa na kina kirefuuuu😂😂😂😂
Leornard We Ndio ⭐... Kikubwa Ongeza Madini Usiridhike...
Ana madini huyu hawezi ridhika
Ndaro mkalii ila leonardo mkali zaid😂
Leonardo 😆 salute
Mwanangu Ndaro leo umepigwa sana humu
Ndaro knows what his doing but Leonard o is genous
Walevi wanampongeza Leonard😂😂😂
Unajua kwa nn Leonard kapata Sana leo n vile watu hawashoboki na mapenzi wanaona Bora pombe kwa Hali hii pombe n Bora kuliko mapenzi
Next on roasting tuleteeni. NALIMI vs ELIUD itakuwa powa Sana.
Leonardo ni msenge 😂😂😂😂😂
Leonardo you are the best 😂😂😂😂
Nimekula Chumvi nyingi😂😂
Jisifie kuna kansa
Sikudhani kama ungejibu sahihi hivyo last point yakuwa na mtoto
Ndaro is the Best but Leornado is the Genius
Ndaroooo noma xaana. Mnatixha kinoma❤❤❤❤
Leonardo kaua kwenye hii moja🤣🤣🤣🔥🔥🔥
Hawa Ndio Upcoming Mastar Wa Cheka Tuh
Leo kiboko sema kama anakigugumizii
Leonardo won this battle 😂😂😂
TeAm miTungi win😂😂😂
Wote wehu afu wanacheka 🤣🤣🤣🤣🤣
Leonardo jitaidi kwenye mavazi yanakushusha thamani ukitaka ukitaka uwe 🌟 badilika brooo
Mavaz yanaendana na kaz yake
Ukaribu wa hii audience na Mike unahatarisha hiki kipindi maana wachekeshaji wanachekesha lakini Kuna machini yanacheka na kutukana Kuna mmoja nimemsikia akicheka aaaaahhahahaha kumamake sasa huo ni mcheko mpya ama.
Umeskia tu mwenyewe
@@Hosspert 😜 njoo inbox tuyajenge kwanza maana sio kwa kuniumbua huku
Huyu leornold noma
All in all leornado man of game
🙌🙌
Salute kwenu Guys...
Kumekucha sasa 😂
Leonardo is a genius comedian
Wote mmeuwa
Leonard umeua🔥🔥🔥
Wametisha sana
Ndalo kakamatika Leo😂😂😂
Dah Leonardo umeniacha hoiiii😅😅😅😅😅😅😅
Akubali
Leonard chizi khaaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ziwa refu......chumvi nyingiiiii
My comedians Kicheche, ndaro and nado.
My musicians are 1.DIMOND, 2.DIMOND, 3.DIMOND, 4.DIMOND 5. DIMOND 6. DIMOND
Leonardo
Remember the name
Wote wanaweza
12:20 mbona kuna mtu anacheka kama analiaaaaa
Kiukwl mme tishaa
Waongezewe mshahara asee