Habari wapendwa, samahani kama nitakuwa nje ya wakati. mimi ni shabiki na mpenzi mkubwa wa EMMAUS BAND, jana nimeupata wimbo wa KIFO na kuona picha za waimbaji ambao ni miongoni mwa waimbaji wa Emmaus band wanao ikonga roho yangu. swali langu: NI KWELI HAO WAPENDWA WAWILI HATUNAO TENA DUNIANI?! kama ni "ndiyo", nini chanzo cha kifo chao?!
Sijui mmejuaje
Hii nyimbo nilikuwa naitaka sana aseeee
Pandishen na ile inaitwa Umetia neno lako.
karibu
Asanteni sana
Kaz nzuri sana
Nafurahi kuwaona mmerudi tena kuifanya kazi ya Mungu
Nilikuwa nime wa miss nduguzangu. Mbarikiwe
Kwakweli emaus band wananikuna sana moyo wangu
Tafathali tunaombeni mtupandishie Wimbo wa NIPO KATI upo vzr sana
@gervas Charles huo wimbo uliimbwa na kikundi gani?
Sijawai kuwakataa mwanang pingini kaz
mbalikiwe sana watu wa mungu
Kazi njema,,naeza pata ii mkanda???
Mko sawa
Barikiwe emmaus
Habari wapendwa, samahani kama nitakuwa nje ya wakati. mimi ni shabiki na mpenzi mkubwa wa EMMAUS BAND, jana nimeupata wimbo wa KIFO na kuona picha za waimbaji ambao ni miongoni mwa waimbaji wa Emmaus band wanao ikonga roho yangu. swali langu: NI KWELI HAO WAPENDWA WAWILI HATUNAO TENA DUNIANI?! kama ni "ndiyo", nini chanzo cha kifo chao?!
Safi mnanibariki sana...
Mubalikiwe sana watumishi wa mungu
Mungu awe nanyi amina
Emaus chaos kaz wazaz
Woooh nilkuwa nausubir sana
enjoy
nice song.
Unakibali lakin kwa kumuweka hizo nyimbo ndg au do kumuweka tu
Kulwa poo
Yule dogo mtoto ndio yupi hapo ?
Vipi wpendwa hamna albam nyngne ?? Maan nymbo zenu huwa hazichoshi kuskiliza mpo vzurii km zpo audio naomb jmn nibarikiwe n injili yenu kptia #0743215819
Hatari sana
Mungu awe pamoja nanyi
Barikiwe emmaus