Mkono wako ee Bwana Mungu nime huona mkono wako ee Bwana Mungu umenitendea makuu asante sana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Mkono wakooo...wooooh..Wimbo mtamu sana...daaah..Barikiweni sana wana Cecilia Arusha,mnatupa nguvu ya kuendelea na Safari yetu ya imani...you are Amazing..Dubai, UAE.
Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki katika uimbaji wenyu na azibariki familia zenu na parokiya yenyu na wana jumuia wote. Wimbo huu umerungwa na kuimbwa kwa ubora zaidi
Nice video, big up saana kwa crew nzima ya Jay's kazi nimeielewa wakuu wangu. Pongezi kwa wanakwaya wote na organists.. Mungu awabariki sana kwa utume wenu mwema.
Feel blessed. Good combination beats nazo ziko sawa. Wishing you Gods blessings to continue composing more to evangelize the word of God. Can listen to it more than once in a day.
❤ your song is amazing but thanks for your service
Mkono wako ee Bwana Mungu nime huona mkono wako ee Bwana Mungu umenitendea makuu asante sana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina
Mkono wako Ee Bwana Mungu nimeuona. Tumsifu Yesu Kristu milele Amina
Amina, Simon.
Wimbo Bora zaidi. Hongera Kwa kumtumikia mungu. Mungu awazidishie neema zake
Nime ridhika sana na nyimbo hii kila siku nasali nayo .Mungu awalinde na awabariki. Kutoka Roma .
God bless nina wapongeza nkiwa Kenya Mombasa nkiwa mkatoliki WA Merry Martha of God mbarikiwe nyote amina amina
Great rendition by my all time favourite choir. Mungu awazidishie neema maishani.
Mkono wakooo...wooooh..Wimbo mtamu sana...daaah..Barikiweni sana wana Cecilia Arusha,mnatupa nguvu ya kuendelea na Safari yetu ya imani...you are Amazing..Dubai, UAE.
Thnx Verony.
HAKIKA nimebarikiwa mno bas nanyi mbarikiwe mno kwa sauti zenu taam mzidi kumsifu Mungu kwa utume huo mtukuka..
I like this song soo much. Wana Cecilia mko juu tu sana.
Utume mwema katika Bwana wetu yesu kristu
hongera zote ziwaendee wanakwaya na mkipa kinanda kwa kazi nzuri iliyopangika ikajipanga
Hauniishi Hamu TENNOR Wow you are amazing!!!
Mkono wako eh Bwana Mungu nami nimeuona!!
Nice song good message. Watching in 08/023 Be blessed.
Mungu naomba unishike Sina mwngne wa kumixaidia
Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki katika uimbaji wenyu na azibariki familia zenu na parokiya yenyu na wana jumuia wote. Wimbo huu umerungwa na kuimbwa kwa ubora zaidi
Mwenyezi Mungu azidi kuwainua ktk utume wenu
Hadi raha jamani looohh!! I proud to be a catholic,Mungu awatunze waimbaji!!
Nmeona mkono wa Bwana! The creativity in this song's is dope 👌
Very nice
Naupenda sana wimbo mkono wa bwana... Naweza pata vipi mkanda hio...Niko Kenya
I greatly love the tempo of the song. The saving hand of God.
Amina nimeuona mkono wa Mungu ....Nice song surely
Nice video, big up saana kwa crew nzima ya Jay's kazi nimeielewa wakuu wangu. Pongezi kwa wanakwaya wote na organists.. Mungu awabariki sana kwa utume wenu mwema.
Napenda nyimbo zenu mung awabariki
Mungu awabariki Wana Arusha
Ubarikiwe pia Agnes.
Taifa la Mungu mko vizuri hongereni kwa wimbo mzuriiii sana ni kweli tunaendelea kuona MKONO wa MUNGU ukinitendea makuuu
Wow what a great and beautiful song. It's a blessing to many
Nice song.I really like it.
Feel blessed. Good combination beats nazo ziko sawa. Wishing you Gods blessings to continue composing more to evangelize the word of God. Can listen to it more than once in a day.
Nice song congratulations. May God strengthen your faith to countiue priseing.
Ngoma tamu mko sawa miaka zaidi ya kumi mkiimba hongera naye Sekulu Mkude azidi kuteleza juu ya kinanda
For God's glory,keep up neighbors.So great
J'aime, véritable inculturztion Chrétienne, bravo ! Le St-Esprit est au milieu de vous, ( votre frère en Christ du Cameroun)
Dieu vous bénisse beaucoup depuis le Cameroun
K hvvpppppp
Ppppph fXf😉😄🧝👸
Amen !
Nous te saluons là au cameroun
@@deogratiasathocon6712 merci,
Huu wimbo umeniguza roho yangu. Ujumbe umenifikia kisawasawa.
Catholic music the best. Barak a!
Hongera sana wana St.Cecilia Arusha
I am happy to see my childhood friend Fred singing. Really you guys are amazing. I can not stop to listen to this song. And the music is perfect!
I listen to this song every other day
Mungu awabariki wimbo mzuri
Hakika huu ni ujio wa Kishindo, tuli wa miss sana
wimbo mzuri sana. mmeutendea haki...
Wow I love this
wooooow! its just awesome
Hakika mkono wa bwana ni wa ajabu unatenda makuu🙏
Ndio, mkono wa Bwana ni wa ajabu Betty. Ubarikiwe sana.
Mkono wa Mungu tumeuona kwani umeyenda maajabu
Wuuui 🙏 only God's hand we deserve into our life we live...keep that fire burning my guyz
B.
..
Nice song...nimeuona mkono wa Bwana
Asante sana Esther. Ubarikiwe.
Choir ya nguvu
Sauti nzuri mno....Mwenyezi Mungu azidi kumuinua...from Kenya.
Good song. Mungu awabaliki
Hongera zenu wanakwaya
Wao... So nice. Mungu awabariki sana. Sichoki kuzisikiliza sauti tamu kwelikweli.
Asante sana Ann. Nasi hatuchoki kutembelewa nawe. Baraka.
Good evening God is good all the time
Mungu awa bariki na mukaishi mnayoyaimba
Getruda Alphonce
Najivunia sana kusali roman Catholic
Barakiweni hii wimbo nitamu sana
Wawoooo st cesilia mwebale okuwereza mukama katonda abawe omukisa
Kwaya mzito hilo Fred kutoka kenya
hongeren kwa wimbo mzuri Mungu awabariki sana
Asante Sana mungu awabarki wte
Jani wakatoliki wezagu nitaipataje alubamu hii
Wimbo mzuri sana
this is soo sweet!! nakimbia kwa kinanda sa hii!!
Naomba unitumie jina la mtunzi au nota yake kama umeipata kaka
Wasap 0712916493
Ata na Mimi Henry
Pia mm
Sauti zimepangika ila Sauti ya Tato wanikosha Mko vizuri
For those of us who have seen the hand of God.
Nawasalimia waimbaji kwa ujumbe wanyimbo ! Nashukulu mungu aliowatunza
Hongereni sana
Nice song choir
Sauti ya Tatu mko vizuri
Wimbo wa "Ninainua mikono- A Sulla" toka ile album ya kidole juu niupataje?
Good songs I need the contacts of mkude pianist pls
Great sounds.
Blessed songs
Nani aweza kunipa maneno ya huu wimbo? Na nota.
Sawa sana.
I have see God hand
love it
Nice song
Good work
Thank you so much 😀
Mt cesilia arusha tanzania
Natamani ningepata CD hii
upo mkoa gani
Nice sana
mmependeza saana wanakwaya muendelee hivyo msikate tamaa
the best
mkude katika ubora wake
haikai style ya mkude!
Mkono wa bwana
Exactly