Yaani wewe mwanamke ungejua vile tunatesekea uku warabuni tukitafuta pesa ya kulisha watoto na family😢na wewe uko hapo unapewa Kila kitu na una cheat unge respect your husband 😢😢
Imagine alafu ako Tu za nataka attention oh nibebe kama kasichana kadogo, akiulizwa na huyo Michael ako na KAZI Yani ako na nguvu ya kueleza vizuri venye bwanake ndo anamlipia rent anamulisha na kila kitu, MTU anafanyiwa kila kitu ndo sababu ako hapo kukuchanganya wakati ambeambiwa mwendee tena anaanza kuona ugumu.
She's now free to go live with Michael. They're both unemployed so they'll have 24 hrs a day to give each other attention. Lots of attention and nyama choma.
....imagined Nyama Choma, kwa ndoto ya Attention. Ati treat me like a girl toto! She wasn't ready for marriage! Sasa ameoja mjulus ya jobless hata wacha, ni kumwaga 24/7, aende mpaka watoi ndio aone life ya single mothers in it's true colours.
Wanaume mfanyie mabibi zenu shopping kila kitu Kwa nyumba Kama aendi kazi afungiwe ndani washroom ziko ndani hakuna kutoka nje hakuna kuonana na jirani ama caretaker period 😂🤸
The sad part is the inflection that takes place from almost repenting to the arrogant statement "it's your fault for not giving me attention..." always hits hard...
Niliwaambia mwachane na wanawake hamsikii😅😅😅😅now see, they always look for one very tiny thing you are missing and boom!!ameiendea kwa mtu mwingine and she sees nothing wrong with it😂😂
Kwani hiyo ng'ombe haijui kuchoma nyama yaani ulishwe ufanyuwe kila kitu there you are complaining of useless thing wee hata kaa sijaolewa be wise wacha nigrow maturity na comrade flavour nikicome kenya hii aibu isinikute kwa ndoa iwapo mungu atanijalia the man i deserve 🙏🙏🙏
From TZ, first of all majirani zetu Happy Christmas and New year ❤🎉... Kusema ukweli Kenya Iko na wanawake wapumbavu sana sana, mume wako anakupea Kila kitu alafu unang'ang'ana attention attention, akikaa nyumbani bila kufanya kazi utakula hiyo attention? au ndo utamchit uanze kusema ulifata Doo sababu mume wako haendi kazi, wanawake wa Kenya ni kama Chameleons aki... Oo God 😢😢😢
NoHappy New year 😅😅😅😅we need problems 😊😊😊we don't need peace 🕺🏿🕺🏿🕺🏿kumekucha 😅😅😅I see jua ni mob inachoma kwa face 😆😆😆😆ushago manenos kugongewa nayo 🤗🤗🤗🤗
Wanawake mmeamza mwaka na kucheat, tutafika dec kweli😢😢 wooii wanaume si muache kuoa tu. Its not worth it. Hawa wanawake ndio wametuonyesha ndoa hazina maana. Lets just make money and give ourselves the best life
I thank God i started watching these streets sanitizations before i fall a victim of love.....what's are these though💔💔💔💔😢😢😢😲😲😲😲huyu aende kwa micheal wakakule attention nd nyama choma ..guok?
Happy New Year -Happy 2025- from all of us at Captured on Camera KE! 🎉✨ Here's to a year full of amazing moments and unforgettable memories. Thank you for your support-stay tuned for even more exciting content in 2025! 🥂🎥 #CapturedOnCameraKE
😂😂😂 Yani huyu mwanamke ana date na mtu mwenye ana kazi na angagana kusema apewi tension shenzi sana mwenye ana mpee tension ni yy ndie anampea pesa wanawake mtakaga ni nn mta kula tension na hii uchumi ghasia sana ame niudhi sana
I me myself...,nimejiita kamkutano kadogo nikaona hawa prayerful people waogope ju prayerful nikaa imegeuka ikakua player full.coz cheating iko kwa hawa watu acha tu..but sijasema niwote
😂😂hakuna vile anaweza muongelesha, hakuna. Bms leta hiyo gaidi inaitwa Michael on set tuone huyo mwanaume anasaidiwa hadi analipiwa rent alafu anagongea mtu anamsaidia bibi. Ni uchungu sana huyo bibi asisamehewe
Yaani Mungu tumemweka kama rika letu...hawa wa God this, God that are to be feared until otherwise established...All said, the lady has a valid point, but her resolution to seek alternative was wrong.
Michael anataka kumwaga magogo kwa bibi ya mtu alfu anaomba pesa tena atamaliza huyu jagom😂😂😂😂😂i feel assive michael anaona akitoka anaingia kupiga ngoma😂😂😂"wewe enda shift nikushikie shift uku😂😂😂"Noma sanaa
Wish ngekua hapo ngempa huyu mwanamke bare ya kimataifa mpaka senses zake zirudy, na imagine vile na struggle Uaarabuni watoi na familia wakae fity alaf yy hapo anacheza 😡
th-cam.com/video/DbJ7gIb5VE8/w-d-xo.htmlsi=HlLNiCJMCQkrItaJ
Yaani wewe mwanamke ungejua vile tunatesekea uku warabuni tukitafuta pesa ya kulisha watoto na family😢na wewe uko hapo unapewa Kila kitu na una cheat unge respect your husband 😢😢
Imagine alafu ako Tu za nataka attention oh nibebe kama kasichana kadogo, akiulizwa na huyo Michael ako na KAZI Yani ako na nguvu ya kueleza vizuri venye bwanake ndo anamlipia rent anamulisha na kila kitu, MTU anafanyiwa kila kitu ndo sababu ako hapo kukuchanganya wakati ambeambiwa mwendee tena anaanza kuona ugumu.
@@MercyMbithe-p5e Very true wakijuwa tuliacha watoto kwa sababu ya shida wange ongea mambo na tension shenzi sana
Nani atanleya huku Fanya kazi kutoka first hadi 3rd floor bado kupiga nguo pasi mara kupika nkt ndio atajua nyama choma si kitu
hawa hawajui maisha ninini umalaya tu wacha huo amuache njo atajua
Wee..Mungu ndio anajua 😢😢😢
Huyu ni malaya si Bibi juu attention ataikula chunga ungojwa fukuza mtu ana hata heshima just run for your life
Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe ndio huyu mama
Proverbs 14
@@ndonyenancy2079which verse😊
Kumbe alikuwa huyu😂😂na kweli ndiye huyu...mjinga sana
She's now free to go live with Michael. They're both unemployed so they'll have 24 hrs a day to give each other attention. Lots of attention and nyama choma.
Very true
@@mauriceoduor4126 True
Should they be together, that attention with Michael will soon turn into hating him. Atajuta.
....imagined Nyama Choma, kwa ndoto ya Attention. Ati treat me like a girl toto! She wasn't ready for marriage! Sasa ameoja mjulus ya jobless hata wacha, ni kumwaga 24/7, aende mpaka watoi ndio aone life ya single mothers in it's true colours.
😂😂😂😅
Honestly this man is hardworking,the woman is smartly dressed unaeza fikiria ata yeye ndio ana earn more zaidi ya mwanaume
@@beatricemugambi4659 imgne i thought that two kumbe bwana ndo anaweka bibi yke fity
Na hii economy ya ruto 😅😅😅😅😅😅😅 this man deserved another woman
Indeed he should promote her to the first wife position
😂😂😂😂😂😂@@jacksonmigiro6739
This one should be declared redundant
Aki Walai yawa aki mon moko thoo
Yes please 😊😊😊😊😊😊
2025 Hakuna kuforce kitu wacha aende akule attention na Huko 😮 mjinga ukweli where can I get a man who can provide like this ❤
Ni kaa we pia wewe unacheat
@@VincentOuma-s7b😊😊😊
wewe ni morembo..
Dem alipeana simu with confidence akijua amefuta text 😂😂😂ako innocent..not knowing amefikiwa n chief sanitizer 😂😂😂😂
@austrinemutsotso1560😂😂😂😂walai 😂😂😂wee hakuwa anajua simu iko wenye wanaijua kuliko mwenyewe aki 😂😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅waaaaah ogopa
😂😂
mike is super helpful.... anakusaidia kupata nyumba, gari na anasaidia na bibi pia kwa 🛌
Ati treat me like a girl totoo!!?? Go to work girl!!! ....halafu ujitreat vyenye unataka!!!!😅😅😅
Mliambiwa muachane na hawa watu na hamkusikia. They don't even have that guilty consciousness. To them it's just okay.
I LOVE the man's accent. Tukule attention? Bibi is busy with kukula nyama choma. Aolewe na attention, nyama choma na Michael.
Ahaa Amekasirika hadi naskia tu "Tukule Tension" 😂😂
Watu waanze kukula attention......,🥱🥱🥱
Walai ju sasa unataka attention ufanyie nini😂😂😂
KimbiKimbi amekasirika hadi mi naskia "Tukule Tension" 😅😅
😂😅😂😅😂😅😂
Na venye huyu bibi yuko smart waa sisi wanawake waa
Some are loyal to there feelings 😊
Ile design watu hugongeana kwa rentals sio mchezo 😂
Really
😂😂😂😂😂
Wanaume mfanyie mabibi zenu shopping kila kitu Kwa nyumba Kama aendi kazi afungiwe ndani washroom ziko ndani hakuna kutoka nje hakuna kuonana na jirani ama caretaker period 😂🤸
@@GladyKalekye 🤣🤣🤣..nikubaya any slim chance ka quicky mara iyo
@@phillyschege7904 🤣
Uyo Ata hawafai kurudiana, yani haja yake n attention badala ya appreciate bwanake anaprovide😏shenzi sana
Mpumbavu huyo mwamke. Na atajuta maisha yake yote. Wanawake wote ni sawa. Utafikiri vipofu
Ata yesu alisema ikiwezekana ukae bila kuoa nivizuri zaidi
Watoto wafanyiwe DNA mayb watoto niwa Michael ,hakuna mwanamke mweupe wa wanaume mmoja, boy child run for ur life🏃🏃
Si mnatakaga weupe nyie haya sasa
The sad part is the inflection that takes place from almost repenting to the arrogant statement "it's your fault for not giving me attention..." always hits hard...
Niliwaambia mwachane na wanawake hamsikii😅😅😅😅now see, they always look for one very tiny thing you are missing and boom!!ameiendea kwa mtu mwingine and she sees nothing wrong with it😂😂
Weuuh mambo kwa ground ni different kuna mm hapa najitafutia kila kitu na kuna huyu ana tafuta attention 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂enda pewa hiyo tention Na Michael 😂😂😂 Earth is hard ohh
24:25 Little attention na ushaamwagiwa ndani na ndume ingine!!!! Wanawake mna upuzi walai!!!!
Jakom wachana na yeye aende akule attention na Maikol! Ndio atajua attention sio tamu😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣, cjui mbona nacheka. Jakom is hurt😂😂😂😂😂😂😂
@@samanthaayoma6639Owanda akii
Mlisema luo ladies ni wabaya,,,,na huyu sio luo,, hehehe kiwarambee kabisa
😂😢
Kwani hiyo ng'ombe haijui kuchoma nyama yaani ulishwe ufanyuwe kila kitu there you are complaining of useless thing wee hata kaa sijaolewa be wise wacha nigrow maturity na comrade flavour nikicome kenya hii aibu isinikute kwa ndoa iwapo mungu atanijalia the man i deserve 🙏🙏🙏
Aende kwa Michael shenzi sanaa ,nyama choma.
your husband love you than those men who are in your dm ladies wanataka kinembe wakipata n ivyo 😂😂😂
Hata Hao Watoy Mwendee DNA,Sio Wako bro.Amelaliwa kibaooo huyo😂
😢😢😢😢
Anafanya mzee aongee kama kimbikimbi 😢😂
😂😂😂hasira
😂😂😂
2hrs ago....msee amepata heartbreak....Mimi ilinipata 5 months ago am still healing.....I pity this man....atakapitia by the time a heal Acha tu...
Dawa yako ilikwa hii channel kweli
Love = Nyama choma. No wonder the proverbial "Nakupenda kama Nyama Choma"😂😂😂
Bwana mapangala nipatie nyama choma 🎶
Mnipitieko Leo tafasali nafanyako comedy 😂😂
This is what the Big Man Stevo call *sensitising* 😂
😂😂😂😂😂....enyewe wajaluo wameteswa na wasichana wakikuyu..... uuuueee....😅😅😅😅😅
From TZ, first of all majirani zetu Happy Christmas and New year ❤🎉... Kusema ukweli Kenya Iko na wanawake wapumbavu sana sana, mume wako anakupea Kila kitu alafu unang'ang'ana attention attention, akikaa nyumbani bila kufanya kazi utakula hiyo attention? au ndo utamchit uanze kusema ulifata Doo sababu mume wako haendi kazi, wanawake wa Kenya ni kama Chameleons aki... Oo God 😢😢😢
Wewe jomba,Arusha ama wa wapi wewe
💯
N vile kwenu hamjafanyiwa hii test
hatari sana mkuu 😂😂 sijawai kuona jami kama ya kenya
@@bruce001 Hii Kilimanjaro Machame jombaa😁 but now mishe Dar
We mwanamke unatuangusha...
Eti "Hold me my hands" 😅😅😅
Mara nyama choma 😢
NoHappy New year 😅😅😅😅we need problems 😊😊😊we don't need peace 🕺🏿🕺🏿🕺🏿kumekucha 😅😅😅I see jua ni mob inachoma kwa face 😆😆😆😆ushago manenos kugongewa nayo 🤗🤗🤗🤗
Sometimes nafeel vibaya but if wanaume hawangeanza kucheat hawangespoil our mentality kama women....but sasa imekuwa too much 🤦
Wanawake mmeamza mwaka na kucheat, tutafika dec kweli😢😢 wooii wanaume si muache kuoa tu. Its not worth it. Hawa wanawake ndio wametuonyesha ndoa hazina maana. Lets just make money and give ourselves the best life
Kugongewa n Constant eka mdomo ivi😯😯useme constant ukilike😅😅😅😅😅
😂😂😂😮😮😮
😂😂😂
I love the question of STEVE" NIKUULIZE , HUYO MICHAEL ANAKUPA ATTENTION NA NYAMA CHOMA😂😂😂😂😂......"
Ogopa marriage 😂
Aky ladies,, tumeanza wa kwanza 😢😢😢
She's very dangerous, girl friend 😅😅😅
I thank God i started watching these streets sanitizations before i fall a victim of love.....what's are these though💔💔💔💔😢😢😢😲😲😲😲huyu aende kwa micheal wakakule attention nd nyama choma ..guok?
Weeeh, hii njaanury ifikinzwe unaamzia wapi😂😂😂😂mimi ikihappen ivo, unapeleka Steve kama wazee akuongelee😅😅😅
Nyama choma and attention...
Key words this new year to underline..🙄🙄🙄
Eyawa lit by alot😢
Happy New Year -Happy 2025- from all of us at Captured on Camera KE! 🎉✨ Here's to a year full of amazing moments and unforgettable memories. Thank you for your support-stay tuned for even more exciting content in 2025! 🥂🎥 #CapturedOnCameraKE
mzee fanya DNA kwa watoi
Never get married fellas!!😂😂😂
Dame mjinga sanaaa...utakula shida utajua ujui
Aki huyu mwanamke hana akili, ati she wants to feel loved 😢😢😢😢
Bibi wa mtu ni mtamu sana....na sijui mbona.
Kitu chochote jakuiba kinakuanga kitamu
Siku moja hio matako yako itakatwa na panga na haiponagi haraka😂
😂demu Sasa umejiweka kwa moto hio trust imeisha na uko single Sasa,utajua mwanaume akiamua ameamua
Waah! Na wa kushikwa next week wanaendelea na mambo yao sai tu
Huyu life itamtwanga,atapata akili.
Sasa enda upewe attention baby girl.....utakipata na hizo attention
My Looord🙆🙆🙆tumeanza mwaka na mwanamke Hana akili?sawa welcome to single hood madam....just know nikumoto..utalia I promise you
huo hakili hana eti nyama choma
@JanetAhmad-v3h ati nyama wanakula kwa nyumba Niya watoto 🙇🙇atalia...hope this video itakuwa in 2yrs time
Wacha sasa mwanamke ashughulikie watoi. Boychild jipange
😂😂😂 Yani huyu mwanamke ana date na mtu mwenye ana kazi na angagana kusema apewi tension shenzi sana mwenye ana mpee tension ni yy ndie anampea pesa wanawake mtakaga ni nn mta kula tension na hii uchumi ghasia sana ame niudhi sana
mshenzi huyu na bado pesa ya mwenye anadai hampei attention ndo anasaidiana, this' total wickedness
@stephenoloo3182 wakati wengine Wana omba Mungu ange wapee watu wenye Wana jituma hivi
Etii you never know new year comes with new things 😅😅aki Steve when he realised clients hawamjui anachocha kweli kweli😅
Tutakula attention...nyama choma ya watoto! Waaah.
Some women never know what they want.
anataka chama choma
Attention na nyama choma ya inje 🤣🤣🤣🤣,this life is very hard
Mwanamke mjinga sanaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti nimwage ya mwisho naenda ushagoo
Single mothers January package has opened
😅😅😅. Wewe ni mjinga sana
@bensoncahoun1702 🤣🤣🤣
i hope that ladie man stivoh uwaunganishe 😪😪😪nakahurumia sana
ATTENTION WATAKULA NA 4O YEARS🤣🤣😂😂😂😂
Madam welcome to the world of single no nyama choma na attention you will regret it
Manze sema kungoja episodes🥰🥰🥰mapenzi shikamoo
We need to vote out this Ruto aende i feel for this guy. Aende wakulane vizuri sasa
Ngombe ya mke hati Nyama choma 😂😂😂
Nyama choma away tastes
Different from the one in the house
Now I know 😂😂😂😂😂😂
Unaachika na January mamaa utasotaa😅😅😅mapema ndio best
Enda kwa Michael basi!! Utahangaika uko nje hadi Huyo wa kukupa 100 bob hakuna. What happened to communication ??
I me myself...,nimejiita kamkutano kadogo nikaona hawa prayerful people waogope ju prayerful nikaa imegeuka ikakua player full.coz cheating iko kwa hawa watu acha tu..but sijasema niwote
😂😂hakuna vile anaweza muongelesha, hakuna. Bms leta hiyo gaidi inaitwa Michael on set tuone huyo mwanaume anasaidiwa hadi analipiwa rent alafu anagongea mtu anamsaidia bibi. Ni uchungu sana huyo bibi asisamehewe
Ni kama wanawake hawajawahi elewa men, it is time for good attention now enda kwa Michael ako na time poa 😂😂😂
Pewa attention na Michael na nyama choma😂😂😂😂
Yaani Mungu tumemweka kama rika letu...hawa wa God this, God that are to be feared until otherwise established...All said, the lady has a valid point, but her resolution to seek alternative was wrong.
Michael anataka kumwaga magogo kwa bibi ya mtu alfu anaomba pesa tena atamaliza huyu jagom😂😂😂😂😂i feel assive michael anaona akitoka anaingia kupiga ngoma😂😂😂"wewe enda shift nikushikie shift uku😂😂😂"Noma sanaa
Weeeeh hii January mbona ya moto sana 😢😢😢
Huyu si bibi. Aende kabisa. Umejua ukweli jirani ndio anapenda.
Ndoa ndoani 😂😂 lem countie siping ☕ single life
wee tafuta mtu sasa wewe km dem what discourages from this video? Go in make it right by yourself.
Umejaribu kununua camera ingine ,congratulation it's so clear
😂😂😂enda kwa Michael ....
Mpatie Michael akule attention...
Leta jirani kwa camera 😂😂😂
Woi!! eti nini ilale ndani...kaschana Ka rembo lakini ngoja afungue mdomo weee😅😅
Hii courage ya Ku cheat sijui faida inakuaga nini...ujipende kuna magonjwa huku inje
Si umuache akule attention 😂😂😂
Enda kwa Mike akupe attention madam 😮😮😮
Aendee 😢na umesahau kumwambia nyamachoma😢,mwanamke mzima anafikilia tu nyama choma na attention, she will regret 😮
Mara attention
Mara shetani
Ladies😂😂😂😂
The best question was from STEVO! Sasa huyo Michael anakupea attention na nyama choma?
Yani uko na gari alafu unagongewaa😂😂😂na sisi hatuna ata biskelii😂😂acha nilale tenaa niamke
Anakaa kuwa na adabu na kujiheshimu kumbe hovyo dakika kidogo shagz kinembe kishaguswa mamae
Wish ngekua hapo ngempa huyu mwanamke bare ya kimataifa mpaka senses zake zirudy, na imagine vile na struggle Uaarabuni watoi na familia wakae fity alaf yy hapo anacheza 😡