Huyo msemaji wa Fountain ni mgonjwa kabisa wa akili. Simba ilimpiga Tabora wakasema ni timu dhaifu lakini Tabora kampiga Namungo. Mimi nawapa credit benchi la ufundi la simba wapo live muda wote kufanya marekebisho wakati mechi inaendelea. Valentino Mashaka ni hatari zaidi naweza kusema bonge la straika.