Mungu ni mwema ..🙏 Karibuni nyote kwa channel yangu na mkaweze kuutazama wimbo wangu wa kwanza katika hii safari yangu ya kumtukuza mwenyezi Mungu kupitia uimbaji. Wimbo Ahadi Yake ni wimbo unaozungumzia maisha yangu na pia maisha ya kila mmoja wetu ..hakika ahadi zake Mungu ni za kweli,Mungu ametufanyia mengi mno na hatuna cha kumlipa ila kumrudushia sifa siku zote. Mungu afariji mioyo yetu na azidi kutubariki maishani. Amina🙏
Merci infiniment à toi cher frère Lawrence KAMEJA pour cette œuvre musicale à la gloire de Dieu. Que l'Esprit Saint continue toujours de vous inspiré depuis votre position. Je suis ton frère dans le Seigneur depuis la Côte d'Ivoire ❤
Mungu ni mwema ..🙏
Karibuni nyote kwa channel yangu na mkaweze kuutazama wimbo wangu wa kwanza katika hii safari yangu ya kumtukuza mwenyezi Mungu kupitia uimbaji. Wimbo Ahadi Yake ni wimbo unaozungumzia maisha yangu na pia maisha ya kila mmoja wetu ..hakika ahadi zake Mungu ni za kweli,Mungu ametufanyia mengi mno na hatuna cha kumlipa ila kumrudushia sifa siku zote. Mungu afariji mioyo yetu na azidi kutubariki maishani. Amina🙏
🎉🎉🎉🎉🔥conglatulation Good song Ruby ft Lawrance kameja
AHADI ZAKE MUNGU HAKIKA NI ZA KWELI
🙏🙏
great song for jesus
Nice one, my boy right there❤
Waoooo hongereni sana kaka kameja wimbo mzuri sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
N za kweli kabisa..❤
Yeah ahadi za Mungu niza kweli🙏🙏🙏🙏
Congrats mamaa🙏♥️
Ahadi za mungu hakika ni za kweli! Ths one came at the right time of my life!🎉🎉🎉
Awwwww🥰. Be blessed 🙏
Congratulations Gal❤❤
Thankyou ❤
Hadi nasisimka jamani hongereni sana ❤ nice song
Be blessed
Wooow thatz Amazing,, @lawrence keep up the good work of supporting the up coming singers🎉🎉🎉
Kazi zuri dadangu❤❤❤❤
Hongereni sana, wimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️🎉🎉🎉🎉
Asante
Hongera sana dadangu Uwe mwanzo mzuriiii wako🎉🎉🎉🎉🎉❤ Mtunzi upo vizuri 🎉🎉😊
Asante❤
Congratulations gal
Kweli yametimizwa na bwana ❤
🙏 amen
Merci infiniment à toi cher frère Lawrence KAMEJA pour cette œuvre musicale à la gloire de Dieu. Que l'Esprit Saint continue toujours de vous inspiré depuis votre position. Je suis ton frère dans le Seigneur depuis la Côte d'Ivoire ❤
Woooooow be blessed 🙏 great them all 😊
Congratulations gal..
Kweli yametimizwa na bwana ❤
Amen🙏
Ruby,Laurentino Na Swai.🎉🎉🎉 Mwenyezi Mungu awajalie afya ya roho Na ya kimwili siku sote🙏🙏🙏
Amina🙏
You did it beutiful kweli ahadi za Mungu ni kweli🎉🎉 congratulations to everyone who made this successful 🙏
Thankyou
"Ahadi za Bwana ni za kweli",This is awesome Carol,Congratulations💖💖💖
Thankyou ❤
Where Kameja is he never disappoints . Nice song 🙏🙏
Hongera sana dadangu 🎉🎉🎉
Kazi safi❤❤❤❤❤❤❤
Asante ❤
Spreading joy through gospel beats🎉🎉🎉 Congratulations Ruby well done 💕💕nimeweka ✅
Thankyou dear
Congratulations gal.nice song
Homgera Ruby ❤ ,Mungu akuongoze Katika utume 🙏.
Ahadi za mungu hakika ni za Kweli!!
🙏🙏
Wow congratulations Carol
Kweli Ahadi zake ni za kweli na za Milele...Good start ❤
Executed really well,perfect message 🙏🏿🙏🏿
Hongera saaaaaana dadangu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
#yametimiakweli🎉🎉🎉
Asante❤
Hongera sana Ruby, Lawrence na Mwalimu Swai🎉😊 wimbo tamu sana💯💯💯
Asante
🙏🙏🙏 ahadi za Mungu hakika ni za kweli. Great testimony. Hongera Ruby.
Asante❤
Hongereni sana💐💐💐💐💐💐🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Beautiful song, Congratulations 👏👏👏
Barikiwa🙏
I love this....I wish I was born in TZ eeehhh
Yaan hii song ni nzuri sana mm inavutia sana kuisakiliza barikiwa sana kwakweli❤❤🎉🎉 kweli ahadi za Mungu hakika ni za kweli
Barikiwa
Nakutakia.mema katika Safari hii mwanangu. Mungu akatimize yote unayotaka katika Maisha yako🙏🏽🙏🏽
Amen amen🙏
Lit🔥🔥.... Congratulations Ruby
Thankyou
Congrats 🎆👏👏🎉🎉🎉 Sr Rubby and Br Lawrence Kameja lots of love to you guys ❤❤❤❤
Thankyou❤
Utunzi wa hali ya juu.. This is marvelous Ruby.. Very very proud of you.. Congrats🎉🎉🎉🎉. Video very clear.. Giving great audience.
Thankyou so much❤
Mungu awabariki.. this will be in the list of my wedding songs.
Amen 🙏
Woiyeeee that soprano 🎉🎉🎉❤
Such powerful voices and talents🎉🎉 bravo
Thankyou
Hongereni sana 🎉🔥👏
Asante ❤
Congrats Rubby C good start ❤❤🎉🎉🎉🎉
Thankyou ❤
Congratulations dear 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Thankyou ❤
This is great keep going utafikia matamanio yako Ruby C... Kameja unafanya Kazi aula kuwasupport waimbaji, God Bless you
Amen🙏
Kaz nzur kaka❤
Kweli ahadi za mungu zimetimia..hongera dear
Asante❤
Congratulations nice music
Like to dance next song😂
Mimi Baba yako am so proud of you my daughter. Mungu azidi kutimiza ahadi zake katika maisha yako.🙏
Awwwww…thankyou daddy and amen 🙏
I didn't know Ruby had this sweet voice, hongera mama...
Asante sana🙏
Congratulations 👏😂 golden voice
Ahadi zake Mungu hakika ni za kweli. Congratulations dear
Thankyou
🎊 🎉Baraka tele
..Cogratulations
A nice song. Continue evangelizing 🙏
🙏
Hakika ahadi za mungu ni za kweli mbarikiwe sana
Hongera sana Rubby C hakika ahadi zake ni za kweli🎉
Asante❤
Wow🎉, congratulations gal❤
Thankyou ❤
Congrats Ruby wimbo mtamu sana
Asante
Great song with great people❤🎉
Congratulations 👏👏👏🎉🎉 Nice message 👏
Thankyou
Hakika ahadi zake ni za kweli❤❤❤
🙏 amen
Hongera sana 🎉🎉
Asante
So melodias 🎉🎉❤❤❤Gods promises are true🙏
so amazing nice melody, hongereni
Thankyou
Wow. Hakika ahadi zake ni za kweli
🙏🙏
Cogats dear. ..Nice song keep up
..
People are soo much talented for sure....congratulations...keep the spirit n aim more higher ...my added subscription
Awwww🥰, thankyou🙏
Wow nice song❤❤❤ congratulations Ruby C my sister
Thankyou ❤
Hongera sana kwa wimbo mzuri❤
Wow, beautiful song right there am blessed. More grace as you praise the name of the Lord 🙏
Amen . Be blessed 🙏
🎉🎉 congratulations Ruby and team
Thankyou ❤
congrats finally yametimia
Thankyou ❤
Congratulations darling ❤❤❤
Thankyou ❤
Well this is beautiful ❤🎉
It's a nice song, keep moving 🎉
Wimbo mzuri🎉
Wow nice ❤ congrats👏
Thankyou ❤
Good Job Madam GOD BLESS YOU ❤
Thankyou. Be blessed too
Good job. Very very nice. Yametimia 🎉
Thankyou ❤
Well done 👍 keep going keep up the amazing job
Thankyou
Ahadi za Mungu ni kweli 🙏🙏
Kongole sana kwa kinara mtunzi mtajika Lawrence Kameja akiwa na mpiga kinanda hodari Tumaini swai
Great voices 🎉🎉🎉🎉
Cogratulations team ruby na colleagues @ miss mutinda hi?
Thankyou 🙏
Ahadi za Mungu hazifutiki milele umenibariki sana huu wimbo
🙏
Nice one Ruby❤❤
Hongeren kwa kazi nzuri
Asante🙏
Congratulations gal👏👌
Thankyou
Wow! This is good...I like
Thankyou, be blessed
Janet ❤ ..nice song
Lots of love❤
Ahadi za Mungu ni za kweli na haki
Congratulations 👊👊👊👊say hi to janet
Thankyou
Amazing voice 🎉🎉🎉
Thankyou
Congratulations Ruby❤️
Thankyou ❤
Good Job❤
Congrats dear
Thanks
Mwenye Mamlaka ni MUNGU ahadi zake ni za kweli upendo wake kwetu hauna kifani
A beautiful song #Kameja
Beautiful piece ❤️😍
Thanks