YESU NI MZURI - Mtoni Evangelical choir (LULU)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @winfridaswila4126
    @winfridaswila4126 9 หลายเดือนก่อน +5

    Huu wimbo naupenda sana hauchuji kabisa❤Mungu awabariki sana sana🙏Who is with me 2024😊

    • @KhavereSharon
      @KhavereSharon 2 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊😊😊me I'm with you

  • @FloresBly
    @FloresBly 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen yesu tosha kwa maisha yangu mbarikiwe sanaa mtoni wote nyimbo zenu zinanijaza na kunibariki ❤ 😊

  • @PatrickBihembo
    @PatrickBihembo วันที่ผ่านมา

    Nyimbo zanza mani,zenye kujaa upako wa MUNGU 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @TITUSOYUGI
    @TITUSOYUGI 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo ni kitambo lakini ujumbe utaishi milele

  • @niyoyanzigamyelionel497
    @niyoyanzigamyelionel497 7 ปีที่แล้ว +5

    This choir heip me to receive the SALVATION THOUGHT CHRIST. they will receive full AWARD IN HEAVEN

  • @lilylilian8729
    @lilylilian8729 2 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo unanikumbusha 2007 kweli neno litadumu milele

  • @yonakilabuka2035
    @yonakilabuka2035 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabalikiwa na lulu choir mpaka basi. Mungu awabaliki sana huduma yenu imewabaliki wengi sana tokea zamani za kale

  • @bronwynengelwa
    @bronwynengelwa 2 หลายเดือนก่อน

    sina cha kujivunia zaidi ya yesu

  • @dicksonmukaburu9559
    @dicksonmukaburu9559 5 ปีที่แล้ว +3

    Wah I love this song very much i can replay again and again. Kweli Yesu Ni Mzuri

  • @bettymlaki9669
    @bettymlaki9669 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo unanibariki sana kuhusu uzuri wa Yesu, kweli NENO la Mungu halipungui nguvu ni ileile. Wimbo ni mpyaaa kabisa hata leo.Mbarikiwe wana Lulu

  • @paulogolah8757
    @paulogolah8757 ปีที่แล้ว

    great song that nurtured me in salvation

  • @latiphajackson4901
    @latiphajackson4901 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman Yesu ni mzuri nasema kweli ni mzuriii 🙏🙏 🙏 2020 jman Yesu ni mzuri nasema kweli ni mzuriii 🙏🙏❤️💕💞🥰

  • @saimonluyobya4103
    @saimonluyobya4103 4 ปีที่แล้ว +1

    pumzika kwa amani mzee mapembe tutakumbuka ucheshi wako kwenye choir na stayle zako ambazo zilinivutia

  • @samroymen-tz3om
    @samroymen-tz3om ปีที่แล้ว

    𝙞𝙣𝙖𝙣𝙞𝙠𝙪𝙢𝙗𝙪𝙨𝙝𝙖 𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖😔😔😔

  • @clivemuseveni7413
    @clivemuseveni7413 ปีที่แล้ว

    Hakika yesu ni mzuri🤲

  • @joffreymkengwa9307
    @joffreymkengwa9307 6 ปีที่แล้ว +2

    The best song since my childhood

  • @yonakilabuka2035
    @yonakilabuka2035 3 ปีที่แล้ว

    Amina kubwa.lulu choir mungu awadishe sana

  • @elifadhilikarama7217
    @elifadhilikarama7217 3 ปีที่แล้ว

    kweli yesu ni mzuri sana barikiwe wana lulu

  • @faithkinyua2918
    @faithkinyua2918 ปีที่แล้ว

    Niliskia huu wimbo 2008- 2009 hapo

  • @davidnyakundi-nn7vu
    @davidnyakundi-nn7vu 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani mulienda wapi?

  • @OutLaw254
    @OutLaw254 ปีที่แล้ว

    2023 moto

  • @johnhalinga2328
    @johnhalinga2328 6 ปีที่แล้ว +2

    I always be blessed when i listen it (Yesu ni mzuri)

  • @naominafula466
    @naominafula466 7 ปีที่แล้ว +1

    Am blessed...all the way from Kenya

  • @marynzonzo6590
    @marynzonzo6590 2 ปีที่แล้ว

    Beautiful song be blessed savants of God.

  • @hellolove5555
    @hellolove5555 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️❤️

  • @dianajastine3448
    @dianajastine3448 4 ปีที่แล้ว

    Yesu Ni mzuri .. naupenda sana huu wimbo mbarikiwe...2020

  • @davispeter1680
    @davispeter1680 6 ปีที่แล้ว

    mbalikiwe sana watumishi wa mungu Kwa nyimbo nzur

  • @FaroukMitenje
    @FaroukMitenje ปีที่แล้ว

    Amen

  • @busholaseseko4905
    @busholaseseko4905 7 ปีที่แล้ว +2

    Yesu in Mwema!

  • @edwinnyamweya837
    @edwinnyamweya837 3 ปีที่แล้ว

    Real gospel songs

  • @holyfadooz8166
    @holyfadooz8166 4 ปีที่แล้ว

    Hakikia.yesu.nimzuri

  • @jennzuli5345
    @jennzuli5345 2 ปีที่แล้ว

    Poul kuya

  • @jumahalfani6789
    @jumahalfani6789 ปีที่แล้ว

    ☺☺☺☺☺

  • @eliudmaina2570
    @eliudmaina2570 5 ปีที่แล้ว

    A good song by wanalulu,be blessed....

  • @petermbeke4228
    @petermbeke4228 3 ปีที่แล้ว

    Amen glory be to GOD

  • @festotmwacha9855
    @festotmwacha9855 7 ปีที่แล้ว

    Huwa napenda mama anavyochana ya kale ni dhaha b

  • @joshwakaunda5052
    @joshwakaunda5052 5 ปีที่แล้ว

    Amina, your messages is so inspiring, may God bless you

  • @williammosha9163
    @williammosha9163 5 ปีที่แล้ว

    hakika yesu ni mzuri

  • @adoratricerosettekasemire3275
    @adoratricerosettekasemire3275 5 ปีที่แล้ว

    Ohh I miss

  • @stephanomtaita1215
    @stephanomtaita1215 7 ปีที่แล้ว

    Very sweet song

  • @tawinachapota4640
    @tawinachapota4640 7 ปีที่แล้ว

    i love this song

  • @hezronemanuel1346
    @hezronemanuel1346 7 ปีที่แล้ว

    kweli Yesu ni mzuri

  • @zachariamichael8890
    @zachariamichael8890 7 ปีที่แล้ว

    Yesu ni mzuri

  • @mikaelngwaeje8697
    @mikaelngwaeje8697 6 ปีที่แล้ว

    Jamani yesu ni mzuri

    • @zuhurasoudmmary7218
      @zuhurasoudmmary7218 6 ปีที่แล้ว

      safi sana mtoni

    • @mikaelngwaeje8697
      @mikaelngwaeje8697 6 ปีที่แล้ว

      Zuhura Soud Mmary unawapenda na wewe?

    • @zuhurasoudmmary7218
      @zuhurasoudmmary7218 6 ปีที่แล้ว

      +mikael ngwaeje sana sana sana!! sichoki kusikiliza.

    • @zuhurasoudmmary7218
      @zuhurasoudmmary7218 6 ปีที่แล้ว

      Bali jina la yesu ndio, ladumu milelee! hata uweza wake, wadumu milelee!

    • @mikaelngwaeje8697
      @mikaelngwaeje8697 6 ปีที่แล้ว

      Nina tape yake home kila nkirudi kwa mama yangu ni lazima niukumbuke ..

  • @amanichikuyu3682
    @amanichikuyu3682 7 ปีที่แล้ว

    Naweza kupata wasap 0758596695
    BWana asifiwe

  • @herimkwenya6782
    @herimkwenya6782 7 ปีที่แล้ว

    Hakika yesu ni mzuri

  • @lisungupoyo5487
    @lisungupoyo5487 ปีที่แล้ว

    Hakika yesu ni mzuri