HAWA NTAREJEA |NILIOLEWA NA MKRISTO NIKABADILI DINI | SITOKATA TAMAA KUMPATA ATAKAYE NIPENDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 285

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +23

    Hijabu imekupendeza mashaallah 😍😍😍.

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 2 ปีที่แล้ว +14

    Hawa mrembo kweli kweli afu sauti waauuu so sweet .

  • @nyamkamawanjara29
    @nyamkamawanjara29 2 ปีที่แล้ว +7

    fabi huwa unauliza maswali vizuri, mungu akuongoze zaidi katika kazi yako,hongera

  • @sharifanyumayo6314
    @sharifanyumayo6314 2 ปีที่แล้ว +7

    Umependeza mno Da Hawa yani umekuwa mzur mno ile mitihan ya maradh ilikuwa ni fundisho tu ili ujirekebishe kwa kumrudia mwenyez mungu. Shika sana dini yako na kucheka au kutabasam kila mda ni jambo jema sana.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +30

    Kaa kwenye dini yako utubiye Allah alikupa mtihani ujifunze na umrudiye mungu wako achana naye

  • @a.856
    @a.856 2 ปีที่แล้ว +15

    Hawa umedamshi sana mashaallah

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 2 ปีที่แล้ว +10

    Hawa Mwenyezi Mungu akubariki kila la kheir na baraka afya njema inshaAllah

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah, Wewe mzuri sana Hawa, Allah akusimamie katika kila hatua unayosonga inshallah 🙏

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 2 ปีที่แล้ว +9

    Nampenda sana huyu dada aisee sometimes ukikosa upendo unaathika ila inshaallah mungu akupe wakukurejeshea furaha

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimefurahi kukuona Hawa ni mda sn 😍😍😍😘

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah umekuwa mzur then class simamia kwenye dini yko

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 ปีที่แล้ว +19

    Ila Fabi akiwa anamuhoji mtu asa mwanamke uwa anamuhoji ki romantic romantic' anaekubaliana na Mimi anipe like hapa👇

  • @aminamarie2387
    @aminamarie2387 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah umependeza hawa na khijab,ungekuwa unajihifadhi hivyo ungependeza sana

  • @shamsaseiph3270
    @shamsaseiph3270 2 ปีที่แล้ว +31

    Huyu hawa ni mzur jaman sema maisha tu

    • @sadasaid4408
      @sadasaid4408 2 ปีที่แล้ว +1

      Mashallah eiwa maisha tu maskin yanampiga chenga

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah 🥰 Hawa Mwenyezi Mungu Akubariki azidi kukupa afya njema Inshaallah

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق 2 ปีที่แล้ว +7

    Umependeza hawa masha Allah 😍😍😍😍

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah uko smart sana Hawa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +4

    Hawa mungu akubaliki sana,nakupenda sana,toboa tu mimi nimetoboa inauma kidogo tu halafu unanunua kipini cha dhaabu kidogo utapendeza kama mimi.

  • @salmahatibu2545
    @salmahatibu2545 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani fabi nakupenda sanaaa mwanangu maana unauliza maswali vizuri sanaaa

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah Hawa' love youuuuu

  • @afsarazia831
    @afsarazia831 2 ปีที่แล้ว

    Ka Hawa😍🤩 like u🤪😜mutangazaj mbona wafanan kumtongoza hawa 🤣🤣😆yan paka unaregeza vimacho

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 2 ปีที่แล้ว +7

    Daaah mtangazaji kafa kaoza kwa binti Mwanahawa 🥲

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 2 ปีที่แล้ว +1

    hawa mamy kumbe mzuri sanna kama msomali mashallah la kuwattan illa billah. pole kwakubadili dini lakini inna llah al kulli shayyin qaddir. yeye anajuwa kila kitu

  • @totooz5853
    @totooz5853 2 ปีที่แล้ว +8

    Hyu mtangazaji kesgaoza kwa hyo hawaa anavyo muuliza maswali na kumuangalia😂😂jmani

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 2 ปีที่แล้ว +7

    Fabi macho yaangalie chini

  • @MishiPapalan
    @MishiPapalan 2 ปีที่แล้ว +6

    Hawa mzuri sana yani nakupenda bule

  • @amaniharub1569
    @amaniharub1569 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah hawa unasauti nzuri na busara

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah maashallah umependeza

  • @m.vmediazawadi4570
    @m.vmediazawadi4570 2 ปีที่แล้ว +2

    huyo kaka mbona kama ana kupenda hawa muone macho yake yanaonyesha kabisa kama anakupenda sana 💕

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 2 ปีที่แล้ว

      Kweli hadi sautiyake mtangazaji inaonesha kamlove dada hawa jamani

    • @faridadondo2103
      @faridadondo2103 2 ปีที่แล้ว

      Jamn msisemee moyo wa mtu yy anatimiz wajibu wake

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 2 ปีที่แล้ว +18

    Tatizo zito sana kwa WaTanzania wamepuuza ama kutoipa umuhimu wa kutosha elimu ya dini na ya dunia ndio maana wengi tu wanahangaika na kuburuzwa na maisha kila uchao!!! Sio wanaume wala wanawake ! Kukimbilia njia fupi za kutafuta mafanikio kupitia mahusiano ama ushirikina.....TUBADILIKENI NDUGU ZANGUNI!!!

    • @fatmarashid2972
      @fatmarashid2972 2 ปีที่แล้ว +3

      Nikweli sana hapo kwadini mm inaniuma sana

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 2 ปีที่แล้ว

      @@fatmarashid2972 Msiba mkubwa mno!!!! Ila ni waahikilizi na mashekhe ndio waliofeli katika swala zima la kusimamia dini!

    • @FatimaFatima-wk1jk
      @FatimaFatima-wk1jk 2 ปีที่แล้ว +1

      Sema baadhi ya watz mm binafsi sikuwahi kupitia madrasa cjawahi kuisoma dini yangu kabisa lkn huwezi nitoa katika Imani yangu hawa wanaobadili dini sababu ya wanaume niwale ambao Imani zao haziko thabiti

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 2 ปีที่แล้ว +1

      @@FatimaFatima-wk1jk Ukweli ni huo tu..sio baazi ila ni wengi mno wanaoparamia mahusiano ama nguvu za kishirikina ili kukwepa ugumu wa maisha ila wanazidi kudidimia katika lindi la maangamizo !!!! Bora ukweli mchungu kuliko uwongo mtamu!

    • @fridasky1019
      @fridasky1019 2 ปีที่แล้ว

      @@FatimaFatima-wk1jk ndugu yaangu ungesoma tu bado hujachelewa maana Imani bila elimu ni bure kunasiku utapotea tu Ila sikuombeyi

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 2 ปีที่แล้ว +1

    DAAH SUBHANA ALLAAH yaaraby atujaalie mwisho mwema na imaan juu ya muumba wetu mambo yoote ni utoto na ujana kiila binaadam hupitia ILAAA SIO KUMSHIRIKISHA ALLAAH SUBHANA WATAALA NA KUMKANA KWA KUBADILISHA DINI KWAAJILI YA BINAADAM ASIE WEZA HATA KUKUAZIMA PUMZI ZIKIKUISHIA NA MUKITOKA HAPOO KIILA MMOJA HUUBEBA MZIGO WAKE SO HAWAAA UMUOMBE SANA MSAMAHA MOLA WAKO NA KUOMBA TOUBA YA KWELU YASNI TOUBA NNASUHA BSDO UHAI NA MOLAWAKO ATAKUSAMEHE KWANI MOLAWETU NI MWINGI WA KUSWAMEH ( MOLA WETU NI GHAFUR RAHIM) huyo ni hasidi wa pepo yako NEVER BACK TO HIM shikana na nguzo mola muumba wako okayy ANGALIA ULIVYO PENDEZA NA SURA YAKO ILIVYO NA NURU BISMILAAH MAASHA ALLAAH🤲🤲🤲😘😘😘😘

  • @husnahabityhabity9517
    @husnahabityhabity9517 2 ปีที่แล้ว +2

    Hawa MashaAllah

  • @mamamariabibi805
    @mamamariabibi805 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo macho yako kaka

  • @fatmabazhee797
    @fatmabazhee797 2 ปีที่แล้ว +1

    Soo pretty MashaAllah

  • @hdggu6792
    @hdggu6792 2 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda sana mdogo wangu pambana mpenzi ulishatoa nyimbo mbona kimya mama 😘❤️

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah jamani daa hawa twakumis snaa ndugu zko🥰🥰🥰🥰

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 2 ปีที่แล้ว +2

    #AminaAmiri #khadijahAli hawa nitarejea in the hooooooouse

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah hawa umependeezaaaa

  • @ashantyjojo5298
    @ashantyjojo5298 2 ปีที่แล้ว +6

    Hawa ndugu yangu chonde chonde usije ukarudi nyuma ukatoa nafasi kwa uyo Mpuuzi hawa nakuombaaaaa sana

  • @zawadijumaa1867
    @zawadijumaa1867 2 ปีที่แล้ว +2

    Manshallah.

  • @mvmezerosamira3960
    @mvmezerosamira3960 2 ปีที่แล้ว +2

    Hawa nimefurahi kukuona tena uko very smart girl na umetuliya mashallah. Na
    kupenda bure. Allah azidi kukupa afya njema

  • @nipautago8574
    @nipautago8574 2 ปีที่แล้ว +15

    Jaman jaman fabi ww! Hizo sifa unavyo mwambia tena kwa saut ya mahaba angalia ucje vamiwa studio!

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว +6

      Huyu Fabi ana maswali kama ya kuonyesha sura ya pili, inafanana na kutongoza .

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalnabhani3609 hahhh

    • @binthkhamisi1097
      @binthkhamisi1097 2 ปีที่แล้ว +3

      @@fatmaalnabhani3609 juu kashamuona mrembo mybe ashamfil thyr maan hyo macho na maswal yke yn niniliyuuu..😂😂😂😂

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 2 ปีที่แล้ว +1

      @@binthkhamisi1097 Nakwambia mtihani huu

    • @ram-salamaminy6728
      @ram-salamaminy6728 2 ปีที่แล้ว +1

      Uta fkiri iko ana cheza moove ya mahaba yaani karegeza sauti

  • @aishaukuthymwanachahaya4511
    @aishaukuthymwanachahaya4511 2 ปีที่แล้ว +12

    Faby hlo jitho lina maneno 🤣🤣🤣🤣😋

    • @azharrtxj8773
      @azharrtxj8773 2 ปีที่แล้ว +1

      Walai basi, yni jitho mtihani na kipindi ichi cha mwez mtukufu.... aaah hataree

    • @prettynesspastory3111
      @prettynesspastory3111 2 ปีที่แล้ว

      Huyu sio faby

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว

      Jicho linazungumza

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว

      @@prettynesspastory3111 fabian

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 ปีที่แล้ว +10

    Fabi mbona unamkazia macho saan khaaah

    • @ukhtynaa1096
      @ukhtynaa1096 2 ปีที่แล้ว +1

      Yaan daaah. Hata me nimeona

    • @zaiiomary8970
      @zaiiomary8970 2 ปีที่แล้ว

      @@ukhtynaa1096 Au anatak kumchumbia😅😅😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana hawa dd nakypenda sana zeen umedamshiiiiii

  • @khairatkhamis2917
    @khairatkhamis2917 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa anajua kuongea Mashaa Allah

  • @fatimasalim597
    @fatimasalim597 2 ปีที่แล้ว +13

    Faby naona unamuhoji hawa kwa usia kali sana alafu naona leo umekua mpole sana

  • @mariamhamad4171
    @mariamhamad4171 2 ปีที่แล้ว

    Napendasana maswaliyako mybro kamauna computer kichwani mashaallah

  • @sabrinahamisi7544
    @sabrinahamisi7544 2 ปีที่แล้ว +2

    MASHAALAH

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah Hawa umependeza

    • @rehematawalani733
      @rehematawalani733 2 ปีที่แล้ว

      Maashalla
      Hawaa leo kimuonekano umebadilika kwanza nakuona umenenepa pili
      Uso wako u mweupe siijui ni Mekap au ndo tayari unaanza kujichubua angalia hawaa wewe ni mrembo usijiharibu
      Tatum hata kiswahili leo naona kana kinataka kubadilika vilee

  • @floraundisa3688
    @floraundisa3688 2 ปีที่แล้ว +6

    Umepotea sana hawa

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah hawaumekua mrembokweli

  • @mouzaseif1099
    @mouzaseif1099 2 ปีที่แล้ว

    Masha allah umekua mekua mzuri saiv hawa

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa mrembo ❤️❤️❤️🔥🔥🔥

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 2 ปีที่แล้ว

    Hawa uko vizuri

  • @susankitila8684
    @susankitila8684 2 ปีที่แล้ว +5

    Daimond msaidie sana huyu binti msaidie jamani

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah hawa pendeza na kaka mtangazaji nakukubali maojiano yako uko kama kaka zahir

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 2 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda

  • @zohrazohra1051
    @zohrazohra1051 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Hawa allah akupe umri mrefu wenye manufaa nakupenda dada yangu

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah amependa sana

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 2 ปีที่แล้ว +2

    Hawa umesoma ilala mwaka gani maana mimi nilisoma hapo ilala bungoni nikiishi tz....hawa ntarejea my all time favourite ♥

  • @itsnajma
    @itsnajma 2 ปีที่แล้ว +11

    Musiseme hamjaona mtangazaji anavyomuangalia Hawa Kwa macho ya mapenzi

    • @annalaizer7142
      @annalaizer7142 2 ปีที่แล้ว +1

      Doo kumbe nawewe umeona macho ya mtangazaji ya kimahaba.

    • @marymonjemghalu9362
      @marymonjemghalu9362 2 ปีที่แล้ว

      😃😃 pengine ndivyo alivyo

    • @azharrtxj8773
      @azharrtxj8773 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @marydzame4347
      @marydzame4347 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaaa tumeona

    • @lilliankadzo4057
      @lilliankadzo4057 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣 kumbe tumeona wengi, mtangazaji kama kamuelewa Hawa vile🤣🤣

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa anafanana sana na Aunt Ezekiel sura

    • @chumchum1526
      @chumchum1526 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe unaona kama mimi.hasa pua

  • @AliAli-hx3rz
    @AliAli-hx3rz 2 ปีที่แล้ว +7

    Pole, kwa kubadisha dini

    • @msowamhokole7714
      @msowamhokole7714 2 ปีที่แล้ว

      Unasema Nini wewe ivi unamjuwa jesus

    • @annalaizer7142
      @annalaizer7142 2 ปีที่แล้ว

      Only one God!

    • @guenterernst5481
      @guenterernst5481 2 ปีที่แล้ว +1

      Asharudi KWA uisilamu alhamdulillah na shahada awe amesema

  • @delishaluhyaqueen6950
    @delishaluhyaqueen6950 2 ปีที่แล้ว

    Mashalla Hawa love sweet 💞💞

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว +7

    Ikiwa uliritadi, ulimkosea mola wako sana, sijui sasa kama ulitoleshwa shahada tena ili kuwa muislamu,maana ulikufuru, enyi wanawake msihadaike na wanaume mbaka mnabadilisha dini,hawa tubia, urudi kwa mola wako, milango ya toba iko wazi,Allah atufishe tukiwa waislam ,dini inayokubalika mbele ya Allah

    • @princess.s.r7446
      @princess.s.r7446 2 ปีที่แล้ว +1

      Mi siwezi yani bola novunje mausiano 😒😒

    • @maryamalhajri5886
      @maryamalhajri5886 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo wengine wanaabudu wanaume

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 2 ปีที่แล้ว

    Hawa mashallah mzuri na akipata mume anaemthamin a azidi ya alivyo

  • @whimsymaverick3057
    @whimsymaverick3057 2 ปีที่แล้ว

    The interviewer Yuko serious Ile mbaya. Will go far. Keep it up BRO

  • @chbfgy801
    @chbfgy801 2 ปีที่แล้ว +4

    Wewe kaka sauti yako na ramadan mungu anikamilishie swaumu yangu

  • @asiaoman3040
    @asiaoman3040 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah hawa umependeza san Allah akutunze

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 8 หลายเดือนก่อน

    Wanyamwezi oyee

  • @wardaa4121
    @wardaa4121 2 ปีที่แล้ว +8

    alafu mbona kama.mnaoneana aibu nyie hawa na Bwana Kaka

  • @zenasalum699
    @zenasalum699 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @somandaofficial5674
    @somandaofficial5674 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakukumbuka sana hawa
    Makopa
    Najua ukisikia jina makopa picha yako inakuja machoni mwako nimimi Msukuma nikiyekupenda kipindi kile Niko tabata relini Mungu akutunze

  • @wardaa4121
    @wardaa4121 2 ปีที่แล้ว +4

    dahhh she is very beautiful

  • @ashurahatibu9455
    @ashurahatibu9455 ปีที่แล้ว

    That's (OPM) is cool

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila hawa imba kaswida wallah itapendeezaaa

  • @magrethomary4306
    @magrethomary4306 2 ปีที่แล้ว

    Inapendeza sana

  • @toyikudratullah1466
    @toyikudratullah1466 2 ปีที่แล้ว

    Masha allah🥰🥰🥰hawa

  • @asiaamohd4077
    @asiaamohd4077 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa mzuri mashallah

  • @asiaoman3040
    @asiaoman3040 2 ปีที่แล้ว

    Fabiani unasifia mpk naona wivuu duuh😙😙😙

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallh dada 🥰🥰🥰🥰

  • @mwanahamisbwanga1184
    @mwanahamisbwanga1184 2 ปีที่แล้ว

    Jamaiiii mdg wangu tabora yetuuu iyooo

  • @topzone238
    @topzone238 2 ปีที่แล้ว

    #Mtangazaji kiboko , mr romantic 😃😀

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwezi huwiiiiii atr pole

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 ปีที่แล้ว +4

    Mekap oyeeeeee

  • @buuwahiid2898
    @buuwahiid2898 2 ปีที่แล้ว +5

    Mm mtu akisema kabadili dini kw mapenzi simpendi na namzarau

  • @ziadaomeri6058
    @ziadaomeri6058 2 ปีที่แล้ว

    Mashaalllah hawa umepedeza🙏🙏🙏

  • @kaykay4629
    @kaykay4629 2 ปีที่แล้ว

    Love you so much 😍😍😍😍

  • @stellahlivoga9912
    @stellahlivoga9912 2 ปีที่แล้ว +6

    jaman na mtangazaji huyu pia basi awe na muammsho anamuoji mtu Kama anarembua khaaaaaa jaman mm Nampa hongera kaka zahiri mana huyu haeleweki bana anaremba

    • @swaumdodoma7591
      @swaumdodoma7591 2 ปีที่แล้ว +2

      Mhhhh umemnukuu vibaya wajua Kuna baadhi ya wakaka macho yao ndo yako ivo

    • @zippypretty6949
      @zippypretty6949 2 ปีที่แล้ว +3

      @@swaumdodoma7591 pia Mimi nawashangaa wenye wanamnukuu fabi eti anaremba🤔😂

    • @omarhome2260
      @omarhome2260 2 ปีที่แล้ว +3

      @@zippypretty6949 hapo umesema kbsa hta mtoto wangu yuko na macho km ya huyu mtangazaji kbsaaa

    • @aminathakambulataomar8336
      @aminathakambulataomar8336 2 ปีที่แล้ว

      Jamani ata mume wangu iko Na Ayo macho kam ya mutangazaj

  • @swabrahswabrah636
    @swabrahswabrah636 2 ปีที่แล้ว +7

    huyu hawa anafanana na anti ezekyel mpka saut

  • @sophiankwera9020
    @sophiankwera9020 2 ปีที่แล้ว

    Hawa saiv kapendeza sana maashaallah

  • @furahaemerance1218
    @furahaemerance1218 2 ปีที่แล้ว

    Umependeza saaana baby 🥰🥰🥰

  • @balqisabdullah6200
    @balqisabdullah6200 2 ปีที่แล้ว

    Cute ma sha allah ♥

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 2 ปีที่แล้ว

    Hawa ntaregea,interview iko sawa hapo.

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 ปีที่แล้ว

    Miss u hawa

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanaume anasauti nzuri

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 ปีที่แล้ว +2

    Ila hawa unajua sana

  • @zilfazizou6107
    @zilfazizou6107 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji kamtizama kama vile amempenda

  • @rebeckyusuph8058
    @rebeckyusuph8058 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda wewe mkaka