Filadelphia Choir - "Mimi Siogopi" (Official Gospel Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 291

  • @justinmwemacoronel5315
    @justinmwemacoronel5315 ปีที่แล้ว +2

    amina asante kwa kazi ya mola

  • @t.a.g34thcadafebenezerstat62
    @t.a.g34thcadafebenezerstat62 3 ปีที่แล้ว +4

    Bado naendelea kuwatazama kila leo Ndugu katika Kristo Yesu.

  • @Pastoryusufu1990
    @Pastoryusufu1990 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki mumejitaidi nazani mukiendeleya maratatu mutafanya zaidi ya apo

  • @valentinkugirwa3524
    @valentinkugirwa3524 5 ปีที่แล้ว +5

    Amen amen Mungu wetu awabariki kwa Kazi kubwa muliyo ifanya

  • @bisengobubasha
    @bisengobubasha 5 ปีที่แล้ว +6

    Mubarikiwe sana

  • @SUETAY-1
    @SUETAY-1 5 ปีที่แล้ว +17

    Beautiful.. Dont reject your African clothing..same style but with African material. Thank you...

  • @JBAPRODUCTIONRecord
    @JBAPRODUCTIONRecord 5 ปีที่แล้ว +33

    Duuuh mubarikiwe sana gonga like apa adi mchoke coz nikitu chamaana sana walichokifanya daaah nililikuwa naisubiri kwamakini saaaana daaah I love tha song 💟💟❤❤❤❤❤❤❤❤🤝🤝🤝🤝🤝🤝💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖

    • @jotielkapwela6071
      @jotielkapwela6071 5 ปีที่แล้ว +1

      Isee wap hii choir

    • @DallasFiladelphiaChoir
      @DallasFiladelphiaChoir  4 ปีที่แล้ว

      Official Jack B Alvis amen

    • @jackyluns8224
      @jackyluns8224 4 ปีที่แล้ว +1

      @@DallasFiladelphiaChoir hii iko sehemu gani hii kwaya mtujibu jamami

    • @DallasFiladelphiaChoir
      @DallasFiladelphiaChoir  4 ปีที่แล้ว

      jacky luns Dallas Texas Mawasiliano piga +1 2148819867

    • @LEAHLIZO
      @LEAHLIZO 3 ปีที่แล้ว

      Hii kwaya oko mombasa by the way naitwa leah from kenya but for now am working in another country but ntakucall ama uko whastapp

  • @reginarqueen1954
    @reginarqueen1954 5 ปีที่แล้ว +6

    Congratulations da li and da kesia

  • @montanacell5509
    @montanacell5509 5 ปีที่แล้ว +7

    God bless you

  • @chanceecilo4708
    @chanceecilo4708 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen mungu hawabariki sana watumishi.

  • @master573v3
    @master573v3 4 ปีที่แล้ว +2

    my love for choir imepanda bei.. nyimbo nzuri

  • @gertudeiradukunda9569
    @gertudeiradukunda9569 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana mungu awabariki mambo naona nimoto mtutatupatiya zingine nyimbo lini mana wamoja tunanza kusikiya kiwu yanyimbo zenu

  • @Teachpro2023
    @Teachpro2023 5 ปีที่แล้ว +5

    Amin Amin, mubarikiwe sana , nyimbo nzuri sana kweli kweli, Mungu ni mwema kila wakati....
    Ushauri kidogo : kitu mulichokosea kwenye huu wimbo ni party za wanawake, wanaume mbona wamevaa vizuri why wanawake wamevaa hivyo jamani?
    Mkiwa kama lengo lenu ni kumuimbia Mungu vivyo mujitaidi muwe nature , maana Mungu aliwaumba na uzuri wenu wa asili, wala msitumie vya dunia hii, ninyi kama waimbaji was a nyimbo za Gospel mujitaidi mujitenge na mambo ya dunia hii, maana ninyi pia ni mfano wa kuigwa, sasa ninyi mkivaa vivyo kweli watu wa dunia hii tutawashauri nini?
    Si watasema angalieni waimbaji choir ndo hao wanavaa nguo mbovu,,,
    So tafadhali, tunawapenda sana, lakini kwenye project zinazokuja, mujitaidi muvae vizuri , maadili ya ki africa, musitumie vipodozi vyovyote maana hivyo vyote vinatokana na shetani,
    Kwaiyo jitaidini tafadhali musivae skirt fupi wala nguo za juu za kuwabana na kuonyesha maongu yenu ,
    Nguvu za Bwana zitende kazi kwenu, na Roho matakatifu awaongoze katika jina ka Yesu kristo ili mpate kufanya vizuri katika next project ,
    In Jesus name , I Pray , Amen 🙏
    Naitwa Maurice from Houston Texas , jirani yenu, ukiwa na swali lolote nitafute Facebook kwa jina la Grevis Vete nami nitakukubalia urafiki na tuta hubiri zaidi na zaidi

    • @sadikikashindi2993
      @sadikikashindi2993 5 ปีที่แล้ว

      Neema ya bwana na iwe pamoja na kila aliyeshiriki kwenye wimbo huhu

    • @LEAHLIZO
      @LEAHLIZO 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimependa ushauri wako brother Mungu akubariki sana naitwa leah

    • @Teachpro2023
      @Teachpro2023 3 ปีที่แล้ว

      @@LEAHLIZO amen , ubarikiwe pia 🥰🥰

  • @jameskenny1808
    @jameskenny1808 5 ปีที่แล้ว +1

    wow!!!! na bipenda sana hibi bitoto,huh bizuri tena ma shujaa!!!!

  • @faradaykanylugha9271
    @faradaykanylugha9271 5 ปีที่แล้ว +9

    Magic voice usiogope {Amazing}

  • @mike-dj1bc
    @mike-dj1bc 5 ปีที่แล้ว +6

    Wow beautiful song 🤭🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🤛🤛🤛❤❤❤❤

  • @theopistamwayeya1764
    @theopistamwayeya1764 4 ปีที่แล้ว +1

    Wasichana na huyo kaka mmoja wamechangamka vizur.

  • @sifabawili4932
    @sifabawili4932 4 ปีที่แล้ว +4

    This song gets me in tears 😩😭🥺 it makes feel blessed 🙏🏾 amen jmn what a beautiful song and beautiful ppl ✊🏾😘💘☺️

  • @wisleykiyieka3881
    @wisleykiyieka3881 5 ปีที่แล้ว +3

    Super cool God bless u so much

  • @domitilemaliyetudomitile1668
    @domitilemaliyetudomitile1668 5 ปีที่แล้ว +7

    Que Dieu vous bénisse les jeunes premiers dans le christ. vous êtes génial

  • @ragikifamili2139
    @ragikifamili2139 5 ปีที่แล้ว +20

    Wow..May God bless ya'll.

  • @johnsonalphonse4086
    @johnsonalphonse4086 4 ปีที่แล้ว +6

    Whenever I listen to it I literally feel how it spread out in my body

  • @oliviererick
    @oliviererick 2 ปีที่แล้ว +1

    Very Good mnaimba powa sana piya mubarikiwe

  • @babakiki4346
    @babakiki4346 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice job Gerrard's brother 🔥🔥💪

  • @grayphanom
    @grayphanom 5 ปีที่แล้ว +24

    Wow my Lilian unanifuraisha wangu

  • @johntibasima232
    @johntibasima232 ปีที่แล้ว +1

    I'm in DRC but this song makes me enthusiastic.

  • @mamayake9640
    @mamayake9640 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice job Gerrard's Brother Keep up the Great job 🔥🔥

  • @priskaniceuunda9828
    @priskaniceuunda9828 5 ปีที่แล้ว +26

    Mimi sihogopi mtu awayeyote Asante YESU 🙏🙏🔥🔥kwakuwa kazi yako ili kwenda vizuri inabariki sana moyo

    • @rosemwalihasha287
      @rosemwalihasha287 5 ปีที่แล้ว +2

      ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @Martin-zy4qo
      @Martin-zy4qo ปีที่แล้ว

      Good job

  • @ibraboy1996
    @ibraboy1996 3 ปีที่แล้ว +2

    We Proud of your job🔥🔥🔥

  • @grayphanom
    @grayphanom 5 ปีที่แล้ว +22

    Nawaona mubarikiwe watu wangu tuko apa kwakuwa support kazi nzuri snaa❤️❤️❤️❤️💙💙💙

    • @kulwalugaila3155
      @kulwalugaila3155 5 ปีที่แล้ว

      Adela Queen amina

    • @melkizedekiwiliam5533
      @melkizedekiwiliam5533 5 ปีที่แล้ว +2

      nyimbo ni nzur lkn sketi walizovaa hazina heshima. nguo zimebana mpaka maumbile? hapo si mahali pa kuonyeshana shepu na umbo na mahips ni kama wanatafuta wanaume wa kuwaoa. kwan hakuna sket za heshima? kwanza hizo sket zinabana had step hazichezwi kwa uhur. hakuna lolote ni kuonyeshan mashepu tu. tutakutana kwenye kiti cha hukumu kisicho na ubaguzi, tutajua mengi siku hiyo.

    • @Omwoyomatara
      @Omwoyomatara 5 ปีที่แล้ว

      Melkizedeki Wiliam hakuna shida na hizo sket, they’re dancing softly and not in a wrong way. I wish to watch them live. Which state does they stay??

  • @assumanimlondani3405
    @assumanimlondani3405 5 ปีที่แล้ว +21

    God bless y’all guys did good work on it

  • @officialjayboytz
    @officialjayboytz 4 ปีที่แล้ว +2

    Mubarikiwe nice voice

    • @LEAHLIZO
      @LEAHLIZO 3 ปีที่แล้ว

      Mambo jay hope uko fine my name is leah nimependa style yako

  • @ecibaisaac5249
    @ecibaisaac5249 5 ปีที่แล้ว +6

    Wow good 👍 voice's and good job y'all 👌

  • @psalmistsarah
    @psalmistsarah 2 ปีที่แล้ว +3

    I love the song......so much truth in it

  • @Iam.dato8
    @Iam.dato8 5 ปีที่แล้ว +7

    Mubarikiwe 💞💖🌸

  • @pasiregina3983
    @pasiregina3983 5 ปีที่แล้ว +13

    Oh my God God bless you God bless you this is good song

  • @allykey7119
    @allykey7119 5 ปีที่แล้ว +4

    Kali sana Endeleyeni kuyitangaza injili ya bwana 🔥🔥🔥🔥🌍

  • @everinajuma5130
    @everinajuma5130 5 ปีที่แล้ว +5

    Wow love you guys

  • @hellenkasyoka6745
    @hellenkasyoka6745 5 ปีที่แล้ว +7

    Woooow, mimi siogopi mtu yeyote, maana Mungu yu upande wangu

  • @erigysimzosha6086
    @erigysimzosha6086 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mm ni chombo cha bwana nice song be blessed

  • @bahatimwajuma7136
    @bahatimwajuma7136 5 ปีที่แล้ว +5

    Mubarikiwe sana watumishi wabwana ❤♥️🎁💙💗💚💛

  • @gerrardmmandama5342
    @gerrardmmandama5342 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice job my brother 🔥🔥🔥

  • @ramascoop8752
    @ramascoop8752 4 ปีที่แล้ว +3

    Im in Australia but i real love this song ... Keep it up with a great job ... God is good 🤗🤗

  • @ochickuusa-cuocsongmy7475
    @ochickuusa-cuocsongmy7475 4 ปีที่แล้ว +2

    Thank for great video. i enjoy watching in full. i joined you and my thumps up. Stay safe and well connected.

  • @gotargobumgonap1799
    @gotargobumgonap1799 5 ปีที่แล้ว +7

    Am so impressed with this choir

  • @grayphanom
    @grayphanom 5 ปีที่แล้ว +15

    My Lilian on top wangu

  • @chrispingedeon2987
    @chrispingedeon2987 5 ปีที่แล้ว +6

    To be honest I love this song's may God bless you guys

  • @peterkasaine3926
    @peterkasaine3926 5 ปีที่แล้ว +1

    Tukaze mwendo walegevu hawafiki mbinguni,mungu munguatusaidiye.

  • @chamtvonline9058
    @chamtvonline9058 5 ปีที่แล้ว +6

    Mubarikiwe sana 🙏🙏

    • @LEAHLIZO
      @LEAHLIZO 3 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @faradaykanylugha9271
    @faradaykanylugha9271 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana wangu umeua

  • @bethesdaswahiliservice9476
    @bethesdaswahiliservice9476 5 ปีที่แล้ว +16

    Daamn theirs always gotta be a hater
    -best song of 2019
    -god bless y’all
    -continue on motivating people
    ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🧡🧡🧡❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💝💝💝💝💝💝💝

  • @irenemungombe9806
    @irenemungombe9806 5 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda yiii daa Silali silamki bila kuisikiya 💋❤️

  • @sayarizeddyofficial1144
    @sayarizeddyofficial1144 5 ปีที่แล้ว +4

    kazi safi nimeipenda kwa kweli

  • @idiidi2235
    @idiidi2235 3 ปีที่แล้ว +2

    Keep up the Great Job

  • @nyotaabedi4349
    @nyotaabedi4349 4 ปีที่แล้ว +3

    I love this song ❤️❤️❤️❤️I keep listening to it all day.........keep up guys

  • @rosettemkambwa4803
    @rosettemkambwa4803 5 ปีที่แล้ว +8

    Mbarikiwe 💯❤🔥💞

  • @mathieumtambala2343
    @mathieumtambala2343 2 ปีที่แล้ว +2

    Great🔥🔥🇰🇪🇨🇩

  • @zupemazu711
    @zupemazu711 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice job🔥🔥

  • @marcelinammasa3114
    @marcelinammasa3114 5 ปีที่แล้ว +8

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mungu awabariki

  • @jeaninesefu7997
    @jeaninesefu7997 2 ปีที่แล้ว +2

    Great job

  • @sierrab4003
    @sierrab4003 5 ปีที่แล้ว +11

    We waiting for it🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yaoboy6363
    @yaoboy6363 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice job brother 🔥

  • @neemayatosha5042
    @neemayatosha5042 5 ปีที่แล้ว +8

    Mubarikiwe 💯❤️

  • @jeanettea.mmunga7593
    @jeanettea.mmunga7593 5 ปีที่แล้ว +7

    good job guys!!

  • @lilianngolo1089
    @lilianngolo1089 5 ปีที่แล้ว +14

    We waiting 💖💖🥰

  • @someaafrika.3379
    @someaafrika.3379 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuu nawakubali sana vijana wetu.

  • @DABBIE
    @DABBIE 5 ปีที่แล้ว +17

    blessed❤️🙏🏾

  • @tamashabyaese8307
    @tamashabyaese8307 5 ปีที่แล้ว +4

    😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍 I love it

  • @kibuyabienvenu9523
    @kibuyabienvenu9523 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzembo oyo eza kitoko makasi

  • @abodetidings8392
    @abodetidings8392 4 ปีที่แล้ว +2

    wow mbega byiza

  • @kesiawilondja4367
    @kesiawilondja4367 5 ปีที่แล้ว +21

    Eti atu hogopi mtu yeyote🤣😂💖❤🎤❤💖

    • @grayphanom
      @grayphanom 5 ปีที่แล้ว

      Nakuona wangu

  • @selijolugenge1552
    @selijolugenge1552 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaz nzur na ujumbe mzur

  • @grayphanom
    @grayphanom 5 ปีที่แล้ว +19

    Little sister grace nakuona kwenye ubora wako

  • @psalmistsarah
    @psalmistsarah 2 ปีที่แล้ว +3

    You should do a live recording of this song wooow

  • @graceabedi1456
    @graceabedi1456 5 ปีที่แล้ว +5

    Twayaweza mambo yote katika yeye atutiaye nguvu mungu ni mwema wakati wote inabariki moyo

  • @customercare2084
    @customercare2084 5 ปีที่แล้ว +3

    NYIMBO NZURI SANA.FROM KENYA

  • @lajoieinnocent7781
    @lajoieinnocent7781 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki sana tena sana

  • @DavidKaneza
    @DavidKaneza 5 ปีที่แล้ว +4

    Veryyyy niceeee you'll... mungu awabarikii

    • @LEAHLIZO
      @LEAHLIZO 3 ปีที่แล้ว

      Nice song

  • @bintiwilonja1756
    @bintiwilonja1756 4 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Mubarikiwe sana tena sana

  • @faradaykanylugha9271
    @faradaykanylugha9271 5 ปีที่แล้ว +5

    Allelujha dada mwimbie Mungu

  • @ramzy5280
    @ramzy5280 5 ปีที่แล้ว +21

    Tuna subiri wakati wowote tupokee mzigo

  • @allyprince4081
    @allyprince4081 5 ปีที่แล้ว +4

    Kali sana 🔥🔥

  • @assumaniradjao7897
    @assumaniradjao7897 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki sana

  • @youngkiller1410
    @youngkiller1410 4 ปีที่แล้ว +3

    Great song guys 👍

  • @allenmlelwa7950
    @allenmlelwa7950 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana

  • @mashajustus4377
    @mashajustus4377 3 ปีที่แล้ว +4

    I love this song

    • @DallasFiladelphiaChoir
      @DallasFiladelphiaChoir  2 ปีที่แล้ว

      Amen 🙏

    • @oliviererick
      @oliviererick 2 ปีที่แล้ว

      @@DallasFiladelphiaChoir Hello are u okay , so i greet my proffesor loms lomenge vétérinaire

  • @malkiafuraha9694
    @malkiafuraha9694 5 ปีที่แล้ว +3

    Great song. God bless

  • @mathieumtambala2343
    @mathieumtambala2343 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi njema kakake Gerrard 🔥🔥

  • @ramarex9668
    @ramarex9668 5 ปีที่แล้ว +12

    Vwala 🔥🔥🔥

  • @rizikibahati8364
    @rizikibahati8364 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen mubarikiwe sana wa himbaji

  • @mariamuebalo9539
    @mariamuebalo9539 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu awabariki

  • @laliakiza7351
    @laliakiza7351 5 ปีที่แล้ว +2

    Amin sana mungu awabariki 🙏🙏

  • @lindajeremiah35
    @lindajeremiah35 5 ปีที่แล้ว +6

    Hongereni sana

  • @racsorafla4202
    @racsorafla4202 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeanza kuwasikia Mwezi June 2020 ktk wimbo wa Mimi siogopi kupitia Rabbi TV inayofanya majaribio yake hapa Tz kabla ya kuwa hewani rasmi. Nimewapenda na ninawapenda sana,hivi Choir yenu iko Tz au USA? na ipo ktk kabisa gani? Kama Ni USA mpo huko kwa makazi au kwa shughuli gani?.......Sichokj kuwaangalia mko vizuri, very smart guyz. Kee it up.

  • @faradaykanylugha9271
    @faradaykanylugha9271 5 ปีที่แล้ว +2

    Hata mimi siogopi namini yupo upande wangu

  • @mashajustus4377
    @mashajustus4377 3 ปีที่แล้ว +3

    God bless you all

  • @Emmanuelbahatiartist
    @Emmanuelbahatiartist 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Bwana Yesu ndie ngao

  • @maryjsl1411
    @maryjsl1411 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice 🔥🔥👅🙏🙏

  • @kabweterezia4541
    @kabweterezia4541 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawakubali sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @abikedoke2802
    @abikedoke2802 3 ปีที่แล้ว

    Good job brother 💪💪💪