Tunashukuru sana kwa Kuendelea Kutazama Ujumbe kutoka Omega Band, Asante kwa Mashauri yote Mungu atutie nguvu hii kazi ni yake sisi ni Watumwa wake tu Ameen
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri wa ukumbusho kwa vijana 🙏 Ila Heri mwisho kuliko mwanzo Hii kauli amkuitendeya haki katika hii nyimbo kwamaana mwanzo mulianza kiroho kwa kutumiya neno la mungu ila mwisho mumemaliza kimwili kwa kufuata mdundo na mwongoza wa dunia hii . Msisaahu kama sisi ni nuru ya ulimwengu so mataifa ni lazima kuiga kwetu na siyo sisi kuiga namna yaho. Ni hushauri tu Asanteni sana na mungu azidi kuwabariki 🙏
Shalom;Melody Zuri na soloist ni mwepesi Kwa creativite. Jinsi binti ndo wengi: jupe ivuke Tu magoti ni sawa🎉(Pia kuwe mtu kutoka Baraza la wazee kama mshauri/mwenye background ya uimbaji)Mimi ni mwalimu Pacifique Byamungu-Kamasi,nikiwa pamoja &David Imani Capetown SA @t CKB Studio chez Calbert -Kalalizi
Bien bien 💪
Mbarikiwe sana pia zingatia ujumbe mpendwa amen 🙏🏾 ❤
Mungu àwabaliki san good job
Mbarikiwe sana. 🙏🙏 Coming from live tiktok🥳
Amen wimbo uko sawa nimeupeda
Fungua mwaka kwa vijana 🥰😍, Mungu azidi kuwabariki
Asante sana ❤
GOUP NZIMA INA MWANAUME UMOJA TU,FIMBO NA FIMBO
Amen ❤mubarikiwe kwa Ujumbe Mzuri
Bomu imeanguka kabisa
Yangu macho tu
Kucheza tu huwa Mnabariki moyo wangu ❤❤Amen
Mmehuwa sana kWa Dance hongereni sana vijana Biblia yasema mchezeeni Bwana na kumwimbia pia kazi nzuri sana
Nice song
Ushauri kwavi jana amen 🙏🏾
Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏
Wow
Mungu akuweke
Bwana Yesu asifiwe na Mungu awaitie nguvu
Ongera mtumishi
Ongereni aana
Kitu kizuri kweli
MRS BYAMBESE
MUNGU Ahendelee kuwaongoza 🙏🎉
Mmeuwa saaa ❤❤❤❤
Mungu Azidi kuwabariki ❤❤🎉
Tunashukuru sana kwa Kuendelea Kutazama Ujumbe kutoka Omega Band, Asante kwa Mashauri yote Mungu atutie nguvu hii kazi ni yake sisi ni Watumwa wake tu Ameen
Mbarikiwe sana
Mubarikiwe na BWANA
Izi ma dance munizi towa wapi? Ziko kama zile za watu tu wa dunia
🙏🙏🙏
Amen 🙏 ❤
Watoto wa ALL NATION ALPHA AND OMEGA CHURCH omega band 🔥🔥❤️Soon tunaliwasha
Be blessed vijana wa nzambe👋🎤🎶🙌🏻
Mie hata sijuwi itakuwaje 🤣❤️🤭🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥maana hii moja ni fire 🔥
KAOMBA OMBA AMEGEUKA MCHEZAJI BOBORA
Ayaaaa 🤣❤️🔥🔥🔥❤️
Congratulations
Ngoma hiko bien ,Mungu awabariki sn
🔥🔥🔥
Amen ❤
Be blessing vijana wa nzambe ❤👌❤
Mungu awabariki sana
Chenchi Seen It✊✌️🙏🙏✅🔥🔥🔥
Amenaaaaa❤️❤️😍
Omega band 🎉❤❤❤
Wow 🎉❤❤
"GOD BLESS YOU ALL".
Amena
Kazi nzuri sana , endelea kupiga kazi ya Bwana
Asante sana ❤
😍😍
❤❤❤
Nyimbo hime nibariki hila muwe nabadili watumaji mko wengine kwajili yawengine pia ❤❤❤mungu awa bariki
Iyo kweli afu Tena ni Band
@@Veronica-bt8gq ma Leader ndomana awawezi waka badirisha watumaji?
Mjuwe ya kwamba Iyo ni band na sio kwaya Amen?
@@christinawangu6101 watakua hao hao tu we share wimbo 😂❤
@@christinawangu6101watakua hao tu we chaku fanya share wimbo wao ❤
@@christinawangu6101 wabadilishe kila mtu ahoneshe kipaji chake
Unachezeyaka wapi kijana ❤❤
Kwenye hizi dance Flowers kachangia tu
Mambo hayajawa mabaya vijana, ila naomba kuuliza mnaimba mfumo gani katika mifumo yote ya uimbaji???
😂😂😂 ata wao peke yao awajuwi
❤❤🎉
Amen mumeimba vsuri saana wewe oo9 lol
Amen
Band yangu pendwa ❤❤
Niko apa sina neno mbarikiwe Sana
Mauwa 👀❤️
Mbarikiwe sana ❤
One more day
🎉🎉🎉❤
Let’s go 😊
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Moda seen it
Hongereni. Sana ❤❤❤😊
Waimbaji muwe makini sana na mavazi mnayovaa kwenye video za injili ila wimbo mzuri mbarikiwe 💛
Asante sana❤
UBARIKIWE MJINI PIA UBARIKIWE MASHAMBANI UMENENA VYEMA
@@barakadieudonneamen ❤
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri wa ukumbusho kwa vijana 🙏
Ila Heri mwisho kuliko mwanzo
Hii kauli amkuitendeya haki katika hii nyimbo kwamaana mwanzo mulianza kiroho kwa kutumiya neno la mungu ila mwisho mumemaliza kimwili kwa kufuata mdundo na mwongoza wa dunia hii .
Msisaahu kama sisi ni nuru ya ulimwengu so mataifa ni lazima kuiga kwetu na siyo sisi kuiga namna yaho.
Ni hushauri tu
Asanteni sana na mungu azidi kuwabariki 🙏
Shalom;Melody Zuri na soloist ni mwepesi Kwa creativite. Jinsi binti ndo wengi: jupe ivuke Tu magoti ni sawa🎉(Pia kuwe mtu kutoka Baraza la wazee kama mshauri/mwenye background ya uimbaji)Mimi ni mwalimu Pacifique Byamungu-Kamasi,nikiwa pamoja &David Imani Capetown SA @t CKB Studio chez Calbert -Kalalizi
♥️♥️♥️ 🎵
Nasubiri😂😂
th-cam.com/video/z5r6avX5zLY/w-d-xo.htmlsi=BPr_wuNxYOG8ilWT
😂😂😂😂😂😂😂😂
th-cam.com/video/cZWQ8A2jG70/w-d-xo.htmlsi=Oi4tlAhWy_UBuMMa
Amen ❤
❤❤❤
🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤