KISA MKE, MTOTO WA MUFTI, SHEIKH ALHAD AMTAMBIA SHEIKH WALID MBELE YA RAIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.พ. 2024
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com/@miladu_tv?lan...
    TH-cam: / @babdeomiladu

ความคิดเห็น • 37

  • @user-nr3dk5dg4k
    @user-nr3dk5dg4k 5 หลายเดือนก่อน +2

    ALLAH Sw..Amlinde shekhe walid na Shari zote INSHAALLAH

  • @mbarakashekallaghe1210
    @mbarakashekallaghe1210 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dah mwenyezi mungu amlinde Sheikh wetu WALID. Huyo bado Ana chuki sana moyoni kwake. Ugonjwa huu wa moyo ni mtihani

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 5 หลายเดือนก่อน

    Vyeo hivi vya kidunia,,,,,,,!!!!

  • @aboubilal3926
    @aboubilal3926 5 หลายเดือนก่อน

    Hao waliokufa hawawezi kukuombea (rejea hadithi ya "Akifa mwanadamu matendo yake hukatika ila kwa mambo matatu..."
    Wao wanahitaji dua zako!

  • @hishamally4846
    @hishamally4846 5 หลายเดือนก่อน

    Halulihaluli

  • @masoudselemani827
    @masoudselemani827 5 หลายเดือนก่อน

    Mnao koment kuhusu alhad ndiyo wenye vinyongo na yeye

  • @twariqmohamed3953
    @twariqmohamed3953 5 หลายเดือนก่อน

    Anaemuomba Maiti ni Mushrik .Maiti Hawezi Kukuombea Ila Wewe Unaweza Ukamtilia Dua Yeye.

  • @Marjeby
    @Marjeby 5 หลายเดือนก่อน

    Wallah hawa masheikh wetu mtihani sana mungu atawaongoza inshallah but sio katika wale aliyowataja mtume s.a.w kuwa ndio warithi wa mitume

  • @user-mj2pe4xy7v
    @user-mj2pe4xy7v 5 หลายเดือนก่อน

    Mtihan mkubwa huu

  • @user-ri9pn6ff2u
    @user-ri9pn6ff2u 5 หลายเดือนก่อน

    acheni kukomenti hivyo ndugu zangu

  • @slimsalim7114
    @slimsalim7114 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Alhadi bado ajakubali kukaa bench haishi vijembe Aache mwenzie apige kazi ningependelea Mufti ampe Ushehe mikoani huko ampeleke hata kigoma😂😂😂😂 akatulie huko

  • @fatmasherallysherally537
    @fatmasherallysherally537 5 หลายเดือนก่อน

    Ana nongwa sana huyu

  • @shabani6631
    @shabani6631 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shekh Alhad kubali tuu matokeo mbona bado unakinyongo na mwezio hii SI sawa mnatutia aibu waislam

    • @allyelbusaid9888
      @allyelbusaid9888 5 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @mr.hajimohdy.4909
      @mr.hajimohdy.4909 5 หลายเดือนก่อน

      Waislam kutaniana ni sehemu ya upendo na kudumisha udugu wa Kiislam. Muislam haipendezi kumtafsiri muislam mwenziwe kimakosa tu. "Wa llahu aalam"

    • @kanoa645
      @kanoa645 5 หลายเดือนก่อน

      Utani sawa lakini huyu hapo Bado kama vile panamuuma sijui kwa nini

  • @user-og7bv5cw7j
    @user-og7bv5cw7j 5 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi mnaokoment ndio matatizo hapo amekosea nn Athenian kuchochea mambo

    • @user-ri9pn6ff2u
      @user-ri9pn6ff2u 5 หลายเดือนก่อน

      umesema kweli mungu akuzidishie heli na akufishi mu umini na akukutanishe na waja wema pepeni

  • @Marjeby
    @Marjeby 5 หลายเดือนก่อน +1

    Masheikh wetu eti wao ndio wanamuogopa zaidi mungu kwa sababu wao ndio wanamjua zaidi!?! So Warid na Alhad Mussa wanamuogopa mungu zaidi?Hivi unaweza kumuogopa mungu huku unavimada kila kona!?mie binafsi sio katika mashaikhe nao wahesabu kama wanazuoni wala warithi wa mitume kabisa wahuni watupu

    • @FaridSaid-xv7ld
      @FaridSaid-xv7ld 5 หลายเดือนก่อน

      Acha kuongeaa vituu usvyovijuaa shekhee utakuja kupata laana we shekhee walid unamjuaa vizurii wewe acha uhunii broo utapataa laana

    • @FaridSaid-xv7ld
      @FaridSaid-xv7ld 5 หลายเดือนก่อน

      Acha kuongeaa vituu usvyovijuaa shekhee utakuja kupata laana we shekhee walid unamjuaa vizurii wewe acha uhunii broo utapataa laana

    • @FaridSaid-xv7ld
      @FaridSaid-xv7ld 5 หลายเดือนก่อน

      Acha kuongeaa vituu usvyovijuaa shekhee utakuja kupata laana we shekhee walid unamjuaa vizurii wewe acha uhunii broo utapataa laana

    • @harithkhan25
      @harithkhan25 5 หลายเดือนก่อน

      Una ushahid na unalosema au lengo lako kumchafua sheikh wetu pia ujue umeongea neno zito unaushahid kua umemuona shekh na hao vimada

    • @harithkhan25
      @harithkhan25 5 หลายเดือนก่อน

      Mtume katukataza kumdhania mtu vibaya sas wew unaushahid gan haya wew ndo nwenye sifa hio ya hao kaka muheshin san huyo mtu ni nwamba katika masuala haya ya kielim

  • @khamismaulidi-uq4md
    @khamismaulidi-uq4md 5 หลายเดือนก่อน

    Jumuhiya maridhiano ndioyale walio kubaliana namakufar kwamba DINI zote sawa???😢😢😢

    • @albertjames6845
      @albertjames6845 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe kafir tu, huna akili

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 27 วันที่ผ่านมา

    KUMBE MUFTI MKWEO NDIO MAANA KIBRI KINGI

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 5 หลายเดือนก่อน

    Nakshi banndi wavaa sketi, halaf mnasema kuna masheikh hapa bakwata n kirusi

    • @ismailmussaa-nd6ji
      @ismailmussaa-nd6ji 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kma jambo hulijui uliza pia hao unaosema hakuna masheikh inawezekana sio ww t at baba yako hana thaman mbele ya Mw/Mungu.zaid y hao ww wa kumtukana mtu kama Walidi...???kuna sheikh aliejipambanua kwa elim bora na anaefanya kaz yake y dini kwa usahih zaid y Walid.?kuna sheikh unaemjua ww wenye umri wa Walid.kushuka chini mwenye elim zaid ya Walidi.?eb kamsome Walidi.vizur ujue kasoma wap na wap kwa masheikh gan kwa waalim gan kwenye vyuo gan na zipi.?ndo maama at icho cheo alikua akitaki alitaka abaki kua mwalim wa din t ww kua na adabu na waalim wa dini tafadhal

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@ismailmussaa-nd6ji sijamtaja walidi nimetaja twariqa ya naqshiband wacha kukurupuka kujibu elewa kwanza, hata Kama Ikiwa huyu sheikh walidi anaelimu kubwa kias gan Ikiwa hawez kueneza haqq hawez semwa anaelimu kiufupi n kuwa Bida'a siku zote haiwezi kuwa salama kwa yeyote aliyeko ndan yake, masheikh baada ya kuinusuru sunnah ya Mtume wanainusur Bida'a na kuwanusuru mashia.

  • @fatmasherallysherally537
    @fatmasherallysherally537 5 หลายเดือนก่อน

    What is he talking about? Kutangaza kuwa mkewe ni binti wa Mufti????.

  • @shafiihussein4753
    @shafiihussein4753 5 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/6OH0mA0yLMI/w-d-xo.htmlsi=zkMu3PBVJ0eArHqF
    Tumaini la wanadam

  • @jihrezally1336
    @jihrezally1336 5 หลายเดือนก่อน

    Shekh mpaka leo hajakubali kbs shekh walid kuchkua nafasi yake maskini..!

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 5 หลายเดือนก่อน

    Yani huyu jamaa sjuw ana shida gani na shekh walid
    Yani mpaka sasa anaamini cheo cha mkowa anafkir ni chake binafsi yani huyu jamaaaa non sense