Yaan kama huyu muimbaji hakupewa heshima tanzania baas tulijisahau sana, nyimbo zake hazijawahi kuchuja, ni nyimbo zenye ujumbe mzuri sana, alistahili kuchukua tuzo lakn bado nafasi ipo, nadhani kama hizi nyimbo zitapigwa promo kwa sasa zitakuja kivingine, hakuna muimbaji Kama huyu tanzania hii, pia mm ni muimbaji lakn sijafikia kiwango cha huyu mtumishi na hakuna atakaefikia,
TRANSLATION: Psalms 130:3 Kama Bwana ungehesabu, (If you Lord kept a record) Maovu ya mwanadamu wee, (Of man's transgressions) Hakuna ambaye angesimama kwako, (No one would stand before you) (Repeat) Lakini kwako kuna msamaha Baba, (But in you there's forgiveness) Ili wewe uogopwe, (So that you be revered) Wote twahitaji msamaha wako (We all need your forgiveness) (Repeat) Kama Bwana ungehesabu, (If you Lord kept a record) Maovu ya mwanadamu wee, (Of man's transgressions) Hakuna ambaye angesimama kwako, (No one would stand before you) (Repeat) Jehova kwako kuna ukombozi Baba, (Jehovah in You there's redemption) Tena kwako kuna fadhili, (In You there's mercy too) Neno lako ndilo tumaini langu, (Your Word is my hope) (Repeat) Kama Bwana ungehesabu, (If you Lord kept a record) Maovu ya mwanadamu wee, (Of man's transgressions) Hakuna ambaye angesimama kwako, (No one would stand before you) (Repeat) Sikio lako na lisikie, (May your ear hear) Hii sauti ya dua zangu, (This voice of my prayers) Kwa maana hakuna mwingine kama wewe, (For there's none like you (Repeat)
Tumekutenda uovu mwingi ,tunanyekea mbele zako kwa kuwa hatustahili lakini Baba Kuna msamaha kwako ...Turehemu Eeh Mungu ..tunakutumaini katika Janga hili Baba yetu
Mungu Akubarki Kwa huduma hii ya injili nilipenda nyimbo zako tangu Niko mdogo wakati wakutumia kassete haswa nyimbo ya kwanza kusikia ni y Wachungaji .siku moja Nikaagizia kassete ya wachungaji mwenye boma ambaye ndiye amepatwa na msiba akaagizia itolewe mara ama muziki uzimwe.NYIMBO ZAKO NI ZA INJILI UBARIKIWE!!!
Kwakweli ulimwengu wa sasa hivi tunaona hawa walikuwa wanaimba ovyo tunasema wamepita na wakati ila Mungu awakumbuke asee walikuwa na jumbe zenye kugusa
Apostle, honestly your songs are really touching......I have found myself in tears when I listen through those lines.....nimelia sana.....nkifikiri jinsi Mungu alivyo mwenye msamaha wakati wote.
How many still watching this song during covid19 God bless us,,🇹🇿
Hizi nyimbo zanibariki saaanaaa
Kyande only man that knows to pass the mesege in order,ukisikiza ukikataa kubadilika jehanam utaeda direct.
Yaan kama huyu muimbaji hakupewa heshima tanzania baas tulijisahau sana, nyimbo zake hazijawahi kuchuja, ni nyimbo zenye ujumbe mzuri sana, alistahili kuchukua tuzo lakn bado nafasi ipo, nadhani kama hizi nyimbo zitapigwa promo kwa sasa zitakuja kivingine, hakuna muimbaji Kama huyu tanzania hii, pia mm ni muimbaji lakn sijafikia kiwango cha huyu mtumishi na hakuna atakaefikia,
Hii miaka yote nilizani ni Mkenya🙆
Niliwahi muona Lessos siku moja akihubiri injili huku Kenya
Exactly anafanya kazi nzuri sana pia nyie munawesa keep going 🙏🙏🙏🙏🙏💕
Ni mTanzania kumbe😕🙌
Nabii hana heshima kwao...mwenyewe hata aliimba
who is listening in 2019?
Man of God nilianza kupenda wimbo zake when I was 8 years upto date naipenda
Ananibless sana nyimbo zake kila siku mungu akulinde sana🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Mutumishi wa mungu, nampenda sanaa, kwa sababu ajawai badilika. Vile alianza na roho bado ako kwa roho. God bless you and your generation .
TRANSLATION:
Psalms 130:3
Kama Bwana ungehesabu,
(If you Lord kept a record)
Maovu ya mwanadamu wee,
(Of man's transgressions)
Hakuna ambaye angesimama kwako,
(No one would stand before you) (Repeat)
Lakini kwako kuna msamaha Baba,
(But in you there's forgiveness)
Ili wewe uogopwe,
(So that you be revered)
Wote twahitaji msamaha wako
(We all need your forgiveness) (Repeat)
Kama Bwana ungehesabu,
(If you Lord kept a record)
Maovu ya mwanadamu wee,
(Of man's transgressions)
Hakuna ambaye angesimama kwako,
(No one would stand before you) (Repeat)
Jehova kwako kuna ukombozi Baba,
(Jehovah in You there's redemption)
Tena kwako kuna fadhili,
(In You there's mercy too)
Neno lako ndilo tumaini langu,
(Your Word is my hope) (Repeat)
Kama Bwana ungehesabu,
(If you Lord kept a record)
Maovu ya mwanadamu wee,
(Of man's transgressions)
Hakuna ambaye angesimama kwako,
(No one would stand before you) (Repeat)
Sikio lako na lisikie,
(May your ear hear)
Hii sauti ya dua zangu,
(This voice of my prayers)
Kwa maana hakuna mwingine kama wewe,
(For there's none like you (Repeat)
Barikiwa sana pastor kyande nyimbo zako zinagusa moyo wangu
Naomba msamaha wako bwana.nahitaji huu msamaha.nakuomba Baba sikia kilio changu.
Maovu tumefanya ni mingi na Mungu ako na msamaha angekuwa anahesabu hakuna mwenye angeenda mbiguni... Amen @ApostleKyande
God bless you evangelist kyande, all your songs are good messages to us
My love for this song,,,2023 still new to me,,,,this song made me acknowledge forgiveness
Apostle Kyande is doing a great job of winning souls to Christ.
Restore me lord and show me your sign of Mercy i pray.
From Burundi: unafurahisha moyo na nyimbo zako Baba Mtumishi wa Mungu. God bless all your work and keep unleashing your God-given gift
Kweli sisi ni watenda dhambi..tusamehe Bwana ,, Good song Evangelist🙏🙏
Heshima na utukufu ni kwake yeye 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥
Uko vizuri aisee na unaimba vizuri hongera
It's a great song still listening to it in 2021 much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Amen ❤❤❤❤❤❤❤love you my brother and be Blessed with your music 🎶 as you move
We are all sinners and we have fallen short of glory bt God is all merciful let come to Him for comfort,thanks Kyande for good song
God be with you all your life and take you in haven.
Mungu wetu Ni wa huruma
Amen
Ubarikiwe sana mpendwa endelea kuimba
Wen gospel music was still gospel music, nowadays I wonder god changed..
The song blesses me at every time
Praise God BRO kiande Greetings from Santa Monica's California USA Locked
Upo vizuri ❤❤❤💪🏻💪🏻💪🏻
Getting encouraged everyday through your songs and bringing me close to God
Amen barikiwa
2023 the songs that can never fade whatsoever,,Mungu akubariki sana Mchungaji
Am here in 2023 i honor you man of God
Haleluya: kwa ajili ya upendo wake kwangu hanihesabii nashukuru
Napenda sana hii Wimbo coz uwa kuna maali inaniguzanga may the Lord Our God bless you Kyande
Amen 🙏🙏
Tumekutenda uovu mwingi ,tunanyekea mbele zako kwa kuwa hatustahili lakini Baba Kuna msamaha kwako ...Turehemu Eeh Mungu ..tunakutumaini katika Janga hili Baba yetu
Very powerful message indeed my brother kiande...
I love your songs so much..
Hii iliniacha kwa machozi,, God bless you apostle
Ubalikiwe mtumishi kwaujumbe mzur
Amen... Mungu akubariki sana.... Apostle Kyande
Indeed God is most merciful. We sin each moment of our life but He keep us by His side.
Amen,,,,barikiwa xana
Mungu nakuchukuru sana kwa Kuni hurumiya Zambie zambi
Mungu Akubarki Kwa huduma hii ya injili nilipenda nyimbo zako tangu Niko mdogo wakati wakutumia kassete haswa nyimbo ya kwanza kusikia ni y Wachungaji .siku moja Nikaagizia kassete ya wachungaji mwenye boma ambaye ndiye amepatwa na msiba akaagizia itolewe mara ama muziki uzimwe.NYIMBO ZAKO NI ZA INJILI UBARIKIWE!!!
True , may God help us
Hawezi pata tuzo kisa anaimba ukweli😢😢😢
Listening from Ukunda kenya. His songs are very inspirational.
Apostle alienda wapi since since i was young back he is blessed
Pastor kyande .God bless you. We are sinners yes.God is merciffuly .I love you ans songs
Nani ananisaidia husikia akirudia Kila wakati.Gid bless u mchungaji.
I love your songs be blessed
I love this song alot n Evangelist Kiande songs uplifts me so much.. Am blessed.
Wilkester Awuor Be blessed
My all favourite song, God bless you apostle
In deed he is a loving God.
kweli kabisa, ulituletea ukombozi.
Ubalikiwe pastor
God bless you apostle kiande
Kwakweli ulimwengu wa sasa hivi tunaona hawa walikuwa wanaimba ovyo tunasema wamepita na wakati ila Mungu awakumbuke asee walikuwa na jumbe zenye kugusa
Baba Mungu akubariki na akukumbuke katika ufalme wake,AMEN
May God bless you
Wimbo mzuri Sana apostle..more Grace bro
From D.R.Congo .First tout liste it was wachungaji(2001)Come un Congo?!
Am broken With this lyric
Blessed man of God
The songs renews my hope na faith in Christ
I remember my late uncle
Nyimbo zako zanisaitia sana ubalikiwe sana amen
Lord have mercy on us!!;:
Mzee wangu mimi nimkosaj ila nyimbo nasklza toka nipo shule ya msingi 2011/12 had leo mama alnifundisha hivi
Mungu akukumbuke
Apostle, honestly your songs are really touching......I have found myself in tears when I listen through those lines.....nimelia sana.....nkifikiri jinsi Mungu alivyo mwenye msamaha wakati wote.
Be blessed
Bwana atuhurumie
kiukweli me nakupenda san
Ni neema tuu
Hakika hata mimi nisingesimama kwako 🙏🙏
You bless me alot bro kiande,umzima?,tunakumiss kitengela.
@apostle kyande you were Just 🔥🔥🔥🔥🔥
God bless you
I love this man very very much
Hizi nyimbo ndio nasklza Leo baada yakupita zaida ya miaka 15 bila kiskia zimenikumbusha mbali san nlkua mdogo San
2020.need forgiveness
May 3 2021 God blessing to all.
2021 still jamming 🔥🔥
👏👏👏👏
Thanks to almighty
Psalm 130; a prayer for mercy
Amen!
Amen
Thank u pastor
Wimbo huu umenibariki
soul touching
Halleluya
This my song
God bless you .
Pokeya utukufu YESU
Man of i pray God to bless u both physical and spiritual in Jesus mighty name Amen
Thanks
What a gracious God
Ulienda wapi napenda songs zako sana
Saf sana
Anybody watching 2022
Glory
God's Bless you man of God's...
Listening in 2022
🙏
shenari
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰@2024