ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

PATANISHO : MOSES - WAKATI TULIKUWA PAMOJA HAKUKUBALI NISOME KATIBA YAKE....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2022
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya
    Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220

ความคิดเห็น • 128

  • @billymankenya
    @billymankenya 2 ปีที่แล้ว +14

    That's a real African man. Our ancestors would clap for him

  • @mohamedadow2982
    @mohamedadow2982 2 ปีที่แล้ว +20

    Who else is missing ghost

  • @ceciliahcyra871
    @ceciliahcyra871 2 ปีที่แล้ว +14

    The guys is so cool kasichana kalikataa kutulia sasa kana regret karudi kako na kiu

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 2 ปีที่แล้ว +7

    Hii kali...in four yrs of marriage..umekula katiba two yrs pekee...Kemunto toa ngoma..wacha kukazia mzee...Mpe mzee vitu.

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 2 ปีที่แล้ว +3

    I love it when couples decide to reunite life is a journey.lakini bibi ako na maneno sasa mtoi shule tena wa 4yrs!

  • @mahmeddheere4979
    @mahmeddheere4979 2 ปีที่แล้ว +6

    Michel ni mwanume🥰

  • @janenduku9218
    @janenduku9218 2 ปีที่แล้ว +15

    Mtoto anakuja na sahani yake, ukipendwa pendeka wacha maringo mingi

  • @mirembescovia1897
    @mirembescovia1897 2 ปีที่แล้ว +3

    Baba akitaka watoto mwenyewe anajua bile atawashugulikia 😀

  • @sheilacherotich1288
    @sheilacherotich1288 2 ปีที่แล้ว +6

    Napenda huyu dem anajielewa ako na stands zake

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 2 ปีที่แล้ว +5

    Katiba 2yrs hio nitatoka nje mimi

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 ปีที่แล้ว

    Waaah alioa bibi wa pili pia akahepa waaah ka spirit kabaya akii

  • @wairimuthiongo3344
    @wairimuthiongo3344 2 ปีที่แล้ว +1

    Very good guy

  • @danielmutuku9254
    @danielmutuku9254 2 ปีที่แล้ว +1

    Good guy 🤜🤛

  • @charitykamau4785
    @charitykamau4785 2 ปีที่แล้ว +5

    Sinjawahi sikia family planning a 12 years. Labda iko kenya na wamama hatujui

  • @kerush6983
    @kerush6983 2 ปีที่แล้ว +2

    This is true African man, active man in bed! Uko na mwanaume mzuri sana Kemunto, tiga obojinga.

  • @kennedymaende5297
    @kennedymaende5297 2 ปีที่แล้ว +3

    Kiberiti ngoma

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 ปีที่แล้ว +3

    Michael ni mkisii polite sana; Maureen ndiyo kiherehere tena mjanja

    • @francojr6597
      @francojr6597 2 ปีที่แล้ว

      Ukisii inaingilia wapi surely

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 2 ปีที่แล้ว

      @@francojr6597, surely? 😛

    • @francojr6597
      @francojr6597 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nahyialetomia9284 haha

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 2 ปีที่แล้ว +2

    7 years really

  • @fauzsky5399
    @fauzsky5399 2 ปีที่แล้ว +1

    Good advice Gidi wapimwe kwanza.👏👏 But hiyo ya 40 I disagree with you kabisa. Huku kwetu life begins at 40. We get married and start family at 40.😏😏

  • @georgewanjiku6919
    @georgewanjiku6919 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee apewe haki yake
    Katiba lzima isomwe

  • @rasmorgan9720
    @rasmorgan9720 2 ปีที่แล้ว +10

    Mwanamke alitoka life ikamtandika uko nje Sasa alimemua ata kua bibi wa pili ni sawa🤣.

    • @aishachambo8663
      @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว

      Nje maisha magumu 😂😂😂

    • @rasmorgan9720
      @rasmorgan9720 2 ปีที่แล้ว +1

      @@aishachambo8663 🤣🤣

    • @billymankenya
      @billymankenya 2 ปีที่แล้ว

      Hawa wanawake kama wangekuwa na pesa hawange kaa na wanaume

  • @shemmosoti2808
    @shemmosoti2808 2 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume sometimes have some value,mtu ameenda ametangataga amekwama sasa ndio anarudi then u accept easily like that, sasa ndio utaona moto

  • @clemencianyaboga8946
    @clemencianyaboga8946 2 ปีที่แล้ว +5

    Niulize Kemunto uliolewa uede kulala na kukula kwa wenyewe 😂😂😂😂

    • @user-pg3ro8fe6w
      @user-pg3ro8fe6w 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂waaaah .

    • @clemencianyaboga8946
      @clemencianyaboga8946 2 ปีที่แล้ว

      @@user-pg3ro8fe6w 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🤭🤭🤭🤭

    • @salomeomashibo1971
      @salomeomashibo1971 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

    • @mankeymarash3604
      @mankeymarash3604 2 ปีที่แล้ว

      Huyu mrembo mm ningechapa haki

  • @margaretnjoroge3986
    @margaretnjoroge3986 2 ปีที่แล้ว +5

    Na vile kundinywa ni tamu

    • @maxwelomondi
      @maxwelomondi 2 ปีที่แล้ว +1

      Punguza hiyo bangu

    • @ceciliahcyra871
      @ceciliahcyra871 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha hii life wacha tu

    • @maxwelomondi
      @maxwelomondi 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ceciliahcyra871 mimi sipendi

    • @user-pg3ro8fe6w
      @user-pg3ro8fe6w 2 ปีที่แล้ว +2

      Huyo kemunto hajui utamu wa hiyo kitu

    • @margaretnjoroge3986
      @margaretnjoroge3986 2 ปีที่แล้ว

      @@maxwelomondi hakuna kitu tamu kama hiyo

  • @mufush
    @mufush 2 ปีที่แล้ว

    Wee mjinga saaana mke Wee jameni

  • @Kirimikilea
    @Kirimikilea 2 ปีที่แล้ว +3

    ata paka ni kitu ya kunyima mtu sasa

  • @chullakoi1508
    @chullakoi1508 2 ปีที่แล้ว +3

    Wacha 12yrs hata 2yrs nakuacha tu #Burekabisa

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 2 ปีที่แล้ว +4

    Katiba inafaa kusomwa kila siku pia mm siwezi kumbali mtu wa kunipimia huyo dem akwende

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 2 ปีที่แล้ว +3

    Duh shukuru huyo mwanaume angekuwa mwengine 🤔🤔

  • @janeselineselinejane4377
    @janeselineselinejane4377 2 ปีที่แล้ว +6

    🤣🤣ni Maisha imekuwa ngumu pahali alienda, hakuwa naanja nauyo mume wake

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 2 ปีที่แล้ว +4

    Hii nimateso mourene jirekebishe bure utapoteza

  • @feedafff8975
    @feedafff8975 2 ปีที่แล้ว +1

    7yrs hiyo n mingi za tu mapema na unaendelea kukuza

  • @christineachieng4094
    @christineachieng4094 2 ปีที่แล้ว +2

    wakisii na watoi wavulana tu

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 ปีที่แล้ว +1

    Miaka 7😳

  • @mazalatyhosea9158
    @mazalatyhosea9158 2 ปีที่แล้ว +2

    7yrz ?????? Am sorry for that......

  • @jemimahnafula9457
    @jemimahnafula9457 2 ปีที่แล้ว +4

    Be serious kemunto .kuacha boma mwingine atakuja waishi azae mfululizo😂😂😂🤣🤣! A man will concentrate another side hutaongea.So Wacha utoto,na haki yake mpe.

  • @hellenmukiri5532
    @hellenmukiri5532 2 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂Na vile napenda mundinyano maureen nakataa

    • @atthesunyousee
      @atthesunyousee 2 ปีที่แล้ว

      Unafaa ulete, tujue niaje.

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 2 ปีที่แล้ว +1

      Hehehe team mundinyano hapa mimi mpaka msee anasema tosha!!

    • @atthesunyousee
      @atthesunyousee 2 ปีที่แล้ว

      @@mwendapoleee muhimu sana, kufa dereva kufa makanga.

    • @tashalover183
      @tashalover183 2 ปีที่แล้ว +1

      Katiba napenda ikisomwa sana

    • @prettyakoth2300
      @prettyakoth2300 2 ปีที่แล้ว

      Mm nkiolewa Katiba lazima isomwe kila siku hadi mzee atakua akisema leo sitaki nmechoka

  • @lilianrough6896
    @lilianrough6896 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mdada aki eti 7yrs waaa!! Zalia karibu karibu kaa angali nguvu alea watoi wake 🤣🤣🤣

  • @antonynaibei2180
    @antonynaibei2180 2 ปีที่แล้ว +2

    leo Ghost angecheka yake yote

  • @dorahongoro6662
    @dorahongoro6662 2 ปีที่แล้ว +2

    Effects of family planning..low libido

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch5788 2 ปีที่แล้ว

    Huyu Msichana ako na ujinga sana

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa anasema anataka mtoto mvulana una uhakika huyo mvulana kwani anajipa mwenyewe

    • @benardpaul1247
      @benardpaul1247 2 ปีที่แล้ว

      @@lilianawah1946 haha, una nibaba

    • @benardpaul1247
      @benardpaul1247 2 ปีที่แล้ว

      @@lilianawah1946 mm sikukuwa najua hio mambo but mwalimu wetu alikuwa ana niambia ukitaka mtoto mschana ile nyakati mukifanya mapenzi aty mwanaume anafaa aingize mboro ndani sana

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 2 ปีที่แล้ว

      @@benardpaul1247 ndani sana ni boy sperm yake ina kufa haraka

    • @bintiwakwetu1357
      @bintiwakwetu1357 2 ปีที่แล้ว

      @@lilianawah1946 ulidanganywa na nani..

  • @delvin.vuguza5824
    @delvin.vuguza5824 2 ปีที่แล้ว +3

    Nko inchi ingne ama😅kwni kuna kuanga na family planning ya 12yrs🤭🤭

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 2 ปีที่แล้ว

      Hio niukora alikuwa anachezea bwana akamshow she is lucky the other one left bure apate mwingine na aseme sitaki mke mwenza na katiba anasoma 24/7 angelilia kwa choo!

  • @sharonkeya8090
    @sharonkeya8090 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa anakaa fafu tu😂😂😂😅🤔🤔

  • @agnesladasha5641
    @agnesladasha5641 2 ปีที่แล้ว +3

    Kemundo hutaki ngono 🤣

  • @sarahnjoroge7793
    @sarahnjoroge7793 2 ปีที่แล้ว

    😄😄
    Katiba manenoz

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว

    12 yrs heeeeeeeee

  • @annmwariri8119
    @annmwariri8119 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna family planning ya 12yrs... Then sisi wamama usipojipanga wee ndio utaachwa ukiumia... Huyo jamaa anasound kama mkora tu

  • @amazinggrace3749
    @amazinggrace3749 2 ปีที่แล้ว +1

    Sauti 😏

  • @zarabati1750
    @zarabati1750 2 ปีที่แล้ว

    Wow huyo mwanamke anyenyekee huyo jamaa ni mpoa

  • @evansmadanji7561
    @evansmadanji7561 2 ปีที่แล้ว

    Mukisiiii anapata tabu

  • @PauPaulo-qf3wo
    @PauPaulo-qf3wo 3 หลายเดือนก่อน

    This guy only represent men not boys

  • @francisonyango1796
    @francisonyango1796 2 ปีที่แล้ว +1

    Kemunto amekula shida inje aka shika Adabu fitina bure tu

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว

    asijaribu kuitisha fare!

  • @stellahmiles2369
    @stellahmiles2369 2 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂💔💔💔💔

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 ปีที่แล้ว +1

    Family planning ya 12 years ni ipi?

  • @janetwanja9501
    @janetwanja9501 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ya 12 years nigani pia mimi niweke🤔🤔🤔

  • @hustlerjohnkatambu7507
    @hustlerjohnkatambu7507 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa akirudi atakuwa mke wa pili😋

    • @mercykisuya7450
      @mercykisuya7450 2 ปีที่แล้ว

      Nop yule alioa pia alileft soo anakuja kama wa kwanza....

  • @mahmeddheere4979
    @mahmeddheere4979 2 ปีที่แล้ว +3

    Family planning ya 12 year's 🙈🙈🙈

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 ปีที่แล้ว

    Pekejeng two yrs n wamekaa.kwa ndoa 4yrs lol

  • @trusilahonduso6090
    @trusilahonduso6090 2 ปีที่แล้ว +2

    Michael is polite but confused. Kemunto tunza Ndoa yako.

  • @feedafff8975
    @feedafff8975 2 ปีที่แล้ว

    Family plannig ya 2yrs 🤔🤔🤔🤔ooh sijai sikia hiyo najua 5 ndiyo mwisho

  • @helenshella6809
    @helenshella6809 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌katiba isomwe 🤣🤣🤣🤣

  • @nancynyabosh4005
    @nancynyabosh4005 ปีที่แล้ว

    Hakuna family planning nya 12 years

  • @evansnyams
    @evansnyams 2 ปีที่แล้ว

    Eti 2weeks minus Katiba aki wasichana wetu wakisii echieni

  • @bettyofficial633
    @bettyofficial633 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @mankeymarash3604
    @mankeymarash3604 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mrembo kama amekataa katibu yake asomewe aende nyumbani atafanya ni nyumbani 🤣🤣🤣

  • @vividoonyango192
    @vividoonyango192 2 ปีที่แล้ว

    ghost ako wapi??

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 ปีที่แล้ว

    Family planning ya 12yrs ndio gani

  • @maggymeka
    @maggymeka 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤭

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว

    huyu ni kama alieka dunga ya 7 years

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa ndo wale magwiji. never allow a woman to sit on your head

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว

    huyu shida imemkula

  • @rusianahmwazighe2402
    @rusianahmwazighe2402 2 ปีที่แล้ว +1

    Where is ghost bwana Gidi

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣hii uchumi inaogopesha watu kuzaa wanafungia watoto kwa tumbo

  • @alichweya4778
    @alichweya4778 2 ปีที่แล้ว +1

    Unatoka kwa boma yako unawachia mwanamke mwigine hio ni upus,Mimi ukikataa na katiba kaa nayo na that’s the end of us Michael alicheza kama yeye hapo

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣yani jamaa alikuwa amejipanga na huyo dem wa pili kwani🤣🤣

  • @linval414
    @linval414 2 ปีที่แล้ว +2

    😂