UJENZI WA MAHAKAMA YA KISASA KUANZA MWEZI HUU, MKANDARASI APEWA MIEZI 9 TU KUKABIDHI JENGO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ค. 2024
  • Mahakama Tanzania na Kampuni ya ujenzi ya M/S Deep Constructon ya Morogoro imetiliana saini kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kituo jumuishi cha utoaji haki litakalojengwa Mabaoni nje kidogo ya mji wa Chake Chake.
    Jengo hilo linalotarajiwa kugharimu kiasi cha shilingi za kitanzania bilioni 9.18 litakuwa na kisasa na litawezesha vikao vya mahakama ya rufaa kufanyika, na hivyo kuwaondoshea mzigo wananchi wa Pemba wenye uhitaji wa mahakama ya rufaa wa kusafiri kuzifuata Unguja au Dar-ess Salaam..

ความคิดเห็น • 1

  • @husseinkarim7663

    Singh akichezea atafungwa,huyo Singa bongo atafanikiwa kumaliza on time,mungu akujallie .