M23 WAUTEKA UWANJA WA NDEGE GOMA, RAIS SAMIA AITISHA MKUTANO WA DHARURA SADC-ORGAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 20

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Shida ni Rwanda na Uganda!! Na bila intervention DRC itagawanyika na kipande kwenda Rwanda au Uganda

  • @WemaOmary-z3t
    @WemaOmary-z3t วันที่ผ่านมา +5

    Waendee tu maisha kusaidiana atujui kesho yetu tutakimbilia wapi

  • @eliudkazoba5170
    @eliudkazoba5170 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Taarifa zenu zinachanganya

  • @hopemwalemwale2100
    @hopemwalemwale2100 วันที่ผ่านมา +4

    hio vita ya congo inatumalizia tu.wanajeshi wetu walinda amani wanaoenda kusaidia vita yao haiishi leo wala kesho tatizo wenyew kwa wenyew wanasalitiana na wanajeshi wanaoenda kusaidi ndo wanaokufa sana kwa kujitolea kwao

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 วันที่ผ่านมา +2

      Kweli kabisa
      Jeshi la congo ni wasaliti
      Wanajuana hao

    • @DuduMagau-sm3pd
      @DuduMagau-sm3pd วันที่ผ่านมา +2

      KABISA hiyo vita wanasalitian wenyew

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Hao watu wa congo ni wabaya sana yaan wanajipenda sana na hawajali kuchukua cha mtu watanzania kueni makini sana na watu wa congo ata hawafai kusaidiwa ni wabaya sana waizi wachawi acha wauane wao kwa wao tu nchi zingine zikae mbali nao😢😢😢

  • @AbdullahAhmed-t7p6l
    @AbdullahAhmed-t7p6l วันที่ผ่านมา +5

    Kwanza nchini kwetu tunaitaji kufundisha watanzania hasara za wegeni ktk taifa mbili tuwe makini kungila vita iliokaa takiribani miaka 30 Congo mabigano no vita ya wakubwa kati ya urusi na nchi za ufaransa marekani na nchi zinazofaidia na rasilimali za Congo lazina tuwe makini vinginevyo lnaweza tugamu pakubwa kuliko tunavyo fikiri

    • @AllanLyombile
      @AllanLyombile วันที่ผ่านมา +2

      Wewe mgonjwa wa akili kwahiyo tuwaache majirani zetu wapate shida kwa kuwaogopa manyang'au? akina Nyerere,Mandera na wengine wengi wangeogopa kupambana na wakoloni nchi zetu zingepata uhuru? tafadhari usituambukize uwoga.

  • @saidbawazir2879
    @saidbawazir2879 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ubeligiji washatuletea mwakilishi wao wakuanzisha fujo atafurahi na roho yake watz wote tuko pamoja na jeshi letu tahadhara kujificha kwako kwenye chama kimoja hakizui kukushughulikia kabla hujazua madhara

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Majina yenu ni shida kwenye uelewa,mna fikiria kupitia makalio

  • @MirriamDevis
    @MirriamDevis 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mimi ningeipiga Rwanda nisamaratishe ningeomba msaada kwa kim yaani halafu ingefwata Uganda

    • @mahmudmugarura2175
      @mahmudmugarura2175 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kakojoe ulale

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Unatamani Kim angekuwa anakupakata 😂

  • @RAMPA_Dee
    @RAMPA_Dee 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida ya Rwanda ni wansi wa FDRL walio wafanya mauaji 1994 na mpaka sasa Congo imewahifadhi takilibani myaka 30 na inashirikiana nao. M23 nao wanapambania haki yao.

  • @tisamkenda8284
    @tisamkenda8284 วันที่ผ่านมา +3

    Chunguzeni vizuri taarifa zenu,,23 wamekimbizwa goma

    • @mahamoudhassan8853
      @mahamoudhassan8853 วันที่ผ่านมา

      Wamekimbizwa au wamemaliza kazi yao na kurudi mwituni,,,Mungu atuepushe na mabalaa zao maana siyo mchezo.

  • @Stafamuigizaji
    @Stafamuigizaji วันที่ผ่านมา

    Chunguza sana taarifa Kaka, kweli M23 umeshika goma Ila vitu viwili wameshindwa kuchukua ni radio n'a uwanja wa ndege wacha uhongo kaka

  • @marcelpaulbiste5268
    @marcelpaulbiste5268 วันที่ผ่านมา

    Kwani hizi taharifa mnazitoa wapi😂

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HII MIKUTANO,ITAMALIZA FEDHA ZA WANANCHI..BILA UVUMBUZI WOWOTE.
    -KWA KIFUPI,TATIZO NI: PAUL KAGAME ,RAIS WA RWANDA
    -TUJIULIZE: SILAHA ZA KISASA NA ZA HATARI WANAZIPATIA WAPI..?? JE,KUNA KIWANDA HUKO..??