yuko wapi muchachu kwa sababu uyu mtu tulimuona kama kituko kumbe nimtu muemu sanaaa katika mpila wetu alianzisha kikundi chaku shangilia mkamuona kama mpumbavu kumbe ni mtu muimu sana katika mpira wetu watanzania katunga nyimbo nyingi lakini hata wana Simba wenzake hawa mkumbuki kama kulikuwa na mtu kama muchachu wana Simba kaeni chini na uyu mzee muchachu hatatupa nyimbo nzuli za kuishangilia Simba sena uo nimtazamo wangu tu ubaya ubwera Simba nguvu moko

Huo uchambuzi kweli wa mechi au mashabiki😅😅😅😅
Afu watu wanataduni zao,hata sis tunaoshangilia matukio kuna wenzentu wanatutamani
😮nyie huwa mnaishangilia kwa hiyo timu yenu.?
Hawa siyo wa chambuzi ni wana taarabu mana hata huelewi wanachambuwa Nini 😃😃
Ndo hapo Sasa
noma
Mnaalibu uchambuzi chambueni mpira acheni ujinga mashabiki bora msimu ulioisha walitoka wapi
Mwarabu anakufa mkapa machinjioni walikufa wakubwa kuliko ahaly tripol
Sisi tunapiga kelele za vuvuzela tu
Sisi hatushangilii tunapiga kelele tu za vuvuzela