ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

DARSA ZA KITABU CHA LUGHA: SOMO LA 18 (Ufahamu kwa undani zaidi msikiti mkubwa kwa ubora duniani)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
  • TUMEANZISHA Group kwaajili ya ambao wangependa kujifunza kuongea kiarabu. Katika Group hili utapata nafasi ya kipekee kuuliza maswali tofauti tofauti ya kiarabu. Pia utapata nafasi ya kufanya mazoezi ya namna ya kuongea kiarabu.
    ANGALIZO: Ili uweze kuungwa kwenye Group hili ni lazima uwe umetoa kuanzia TShs 2,000/=Tu utaunganishwa moja kwa moja katika Group letu la WhatsApp.
    LENGO: La kuanzisha Group hili ni kwaajili ya kuwasaidai watu ambao wapo siriazi na wanaitaji kujifunza kuongea kiarabu.
    SISI tumejitoa kuakikisha kwamba kwa uwezo wa ALLAH kila Mtu apate kuimudu lugha ya kiarabu kwa wepesi, ili kuweka usawa kwa wote.
    HAKUNA MALIPO YA ADA KWA MWEZI WALA KWA MWAKA KWENYE GROUP HILI. KIINGILIO CHAKO NI KUANZIA TSHS 2,000/=TU INSHAALLAH
    MAELEZO ZAIDI
    TUPIGIE / WhatsApp
    +255 621 552 262
    +255 715 953 766
    #Kiarabu#Nifursa#Tanzania

ความคิดเห็น •