Wakenya wampongeza rais kwa kuwafuta kazi mawaziri
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ค. 2024
- Wakenya wanamtaka rais William Ruto kuzingatia masomo, uzoefu na sura ya kitaifa kwa baraza jipya la mawaziri huku wakisema bado angali na jukumu la kusuluhisha gharama ya juu ya maisha, ufisadi na kuleta nafasi za ajira kwa vijana .
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Kabisa bado yeye 😂😂😂😂 zakanyooo most go
Sasa wale uliua pia omba msamaha na waliotumika kuua vijana tunataka pic kwa magazeti
Mumefungwa macho,zakayo ni yule yule
What about those who are still abducted?
Umesikia pesa ina takikana😂😂😂😂
Ruto doesn’t deserve praise over firing of the cabinet. Ruto and the cabinet are birds of the feather and Ruto Must Go.
That’s right bro, there’s nothing to celebrate until Ruto resigns. The fish starts rotting from head. Ruto must go!
Ondoa Mudavadi ama tukukujie😂😂😂
Hebu jaribu uwende tna mandamano utajua hujui kilicho mtoa kanganga manyoa 🤗hkuna penye Mdavadi anaenda yy ako kangangari kbz✍️Azimio wte waendee...wakiendangaaa...kbz......🤗Pongezi rais wetu wa Jamuhuri wa kenya 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤tano tna 👊mbele kuzuri. Pia Ninyi wakenya hasa wa vijana wenye mnapenda kundanganya na viongozi wenye hawana Mamlaka yoyote kwa Serkali akiwaambia eti mwende mandamano,alafu wanapeleka wtto wao mahali yenye hawatafikiwa na magaidi chungeni snaa...mkae mkijua Msharaha wa Dhambi ni 😢mkome kbz nkila mtu akuje mkia yke na akae nyumbani bure kitawaramba bdo 😋😋😋ss hatupangwingwi tulishajipanga kitambo snaa 💪💪💪mnatisha rutto mnadhani atastuka poleni sna 😅😅😅
Mambo sawasawa✌🏿🇰🇪✌🏿
Our president is a good listener
I agree with you
ndio✌🏿
😂😂😂😂😂kitaturmba very soon
Hot air 😅😅
😂😂😂0:27. Kwan nini mzae anatembea akikunja ngumi????
Mp pia home
Gnz for life 😂😂
David😂😂😂
Wakupongezwa hapo ni GEN Z na sio ruto...sababu wasingekuwa GEN Z kumshinikiza asingewafuta hao wakora wenziwe
😂😂😂😂😂
For real change Chief Hustler should go.He will corrupt the new cabinet.
afute pia kome ameacha polisi wakiuwa watoto wadogo wasio na atia
THERE IS NOTHING TO CELEBRATE ABOUT. THE FISH STARTS ROTTING FROM THE HEAD. Ruto must go !
Rais wewe ni mwerevu umewashukuru na two years sasa chagua wachapa kazi shukrani ya campaign hio imewatosha.