MAFUNDISHO KUHUSU NDOA KWA VIJANA - ASKOFU GWAJIMA - bonyeza SUBSCRIBE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of one of Largest Church in East Africa. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God has been using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow him on Facebook jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
asante kwa somo nzuri limeendelea kunijenga nilishawahi kuomba ushauri kwa mtu kuhusu mahusiano akaniambia bora nikae singo kuliko kuharakisha kwenye mahusiano na sasa neno lako limezidi kunipigia mstari kitu nilicho shauriwa mungu awabariki watumishi wa mungu
Umeelewa vibaya
Asante Mungu
Nimebarikiwa.sana.baba na mafundisho.yako.nmepata kitu
Amina
Asante mtumishi kwa kweli ndoa ni safari ambayo mungu pekee ndiye anajua mwisho wake ndoa naifananisha na wokovu 😭😭😭
💕💕
Amina Mtumishi wa Mungu
Kweli wanaume wengine wanajua kuoa tu lakini kutunza hawawezi
I appriciate this ,glory to God
Imekaa vzr mtumishi was bwana
Nisomo mhim katika nyakati izi
Wewe unaandika yesu naomba nimwambie sio Yesu Kristo wetu huyo wako
Nashkru Dr J Gwajima
MALAKI 2:16
Bishop you have solution nakuelewa sana baba somo lako limejaa experience kuliko nadharia
Imenigusa sana. Ameeen
Mwaba huyu hapa nampenda sana
Asante
Ongera asikofu gwajima Holi ndilo SoMo nafantia Mara kwa mara
Hongera kuruhu comments , kuna watumishi hawaruhusu comments kama yule wa Arusha anaogopa Maswali
Sharoon Danny waarusha yupi
@@highzacknnko4002 Hebron mishamno
Askofu ninakukubali tunatakiwa mabinti tuolewe tukiwa na vyako
Amen.
Ahsante sana kwa Ujumbe mzuri
Asante baba kwa mafundiSho mazuri sana.
Neno nzul mchungaji gwajima
Amen kweli kabisa ndoa ni uvimilivi
Ndoa ni Upendo❤ co uvumilivu
nice
Ahsante kwa neno
Asante askofu wangu tena sio manaume usipojua majukumu yako ww ni mwanamke
wonderful teachings pastor
Ni upuuzi tu, siwezi poteza muda wangu kuja kanisani kumsikiliza huyu mpuuzi na upuuzi huu, si bora akawafindihe mbuzi , utadhani watu hawana akili. dunia ilipata wapi watu bilioni 7??
Riko starr inaonyesha una chuki na babayetu sasa pambana na hali yako
@@الوردالورد-ز4غ Hana lolote huyo, wewe endelea tu kumpa sadaka zako,
@@الوردالورد-ز4غ Bomgo tatizo lenu mnapenda maneno matamu, hata mimi soon nakuja kuwa mchungaji nile sadaka zenu
Amen mchungaji Ni vyema kusema kweli ili kuokoa roho zingine natukaingiembinguni
Thanks Bishop ♝
Mungu akubariki BABA
Kwa hari hii Mungu nisaidie
very fantastic teachings stay blessed Baba.
Kweli kabisa ulio sema yako sahihi ndoa ni kuvumilia bora ukiwa peke yako hauna mawazo yoyote
A. Men