I remember that bash ya Maseno University,,kumbe ilikua uyu jamaa😅😅 after Khali kumaliza performance akaambia wasee ka unaezamdiss ingia stage,,na ulikua maji
U Kenyans are suffering from complexe of superiority acheni ujinga wew unaponda misemo alafu unatupea misemo eti usibishane na Ndovu kunya....... Hiyo sio msemo sasa?
The guy na standing is so ignorant mambo ya Og kukua na keja ....net worth ya kali iko chini sana we all know that compared to Tanzania artist...hapa tunaongelea rapp ..Timo leta watu wana brains studio sio kuropoka tu...ndo maana Tz wanatudiss ati atuna akili
Huyo jamaa anakuwanga na mndomo na kiherehere sana na hajuwangi kitu huwa anaongelelea... Si aende akakae huko tanzania.. namchukia sana na hizo mndomo mingi na poor thinking 💔🚮🚮
Oi wazee KHALIGRAPH ameomba msahama kabisa kasanda game khali hawawezi wabongo hata therusi
Rosa ree on 🔥 🔥 🔥
OG for life must be respected
OG must be respected🔥🔥
OG the king 👑
Yes OG ametu let down
I remember that bash ya Maseno University,,kumbe ilikua uyu jamaa😅😅 after Khali kumaliza performance akaambia wasee ka unaezamdiss ingia stage,,na ulikua maji
Noma sana tespect
Hata mimi sipendi vile huyo msee anaogea OG must be respected
Shekina Karen is on 🔥🔥🔥🔥
Azin huyu fala Ako hapo kando bila combato Kuna vile anabonga sense😂😂but still thee OG must be respected 🇰🇪
🤣likes za viewer 1
Vita ni vita yeye og amesema tz hakuna mtu wa kumshinda sasa vipi kaliwasha alafu kalizima mwenyewe
Og ametetemesha tz og is King 👑👑
Tushawavalisha sanda ana mambo
Yaaan nyie mnasema og must be respected wakat hana kitu
OG alisema anataka vita😅😅
Huyu jamaa anaongea aje ,,hajanibamba,,we should stick to our home
Wueh 😂
OG Hawezi hii watanzania hii tunalazimisha kwa nguvu tu
Ndio mjue tz hamna akili ndio maana OG akatoa rap yenye haina matusi juu yy hakua ana mean vita OG MUST RESPECT ❤❤
Its Og vs the whole tanzania, Og must be respected
Mme tufinya nanini acheni roho mbaya vipaji ni Tanzania 😂 wivu utawaua aoooooooooo
Tuta wafinya Sana Hasa mwijaku bavaku 😏
Ila wakenya mna masifa eti state ya Tanzania😅...Kuna msemo tz kuwa mkenya akiongea maneno kumi chukua moja...
OG alipigiwa simu na coke studio akaambiwa a settle hiyo vita
uyu boy anakuanga na sheds ni mbleina ako na mdomo uyo mwenye ako na shati yagrey
Oya achen maneno mfatilie young killer msodok
Montra the future
Songa
Alafu sasa mje na data ndo mjue kwamb kaligraph kachanwa mbele na nyuma
Meph😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥
Ao waliovaa kijeshi maboya mwenye white anaongea ukweli japo ni mkenya
Tushamzika bado munazungumuzia malehemu pa gem
Tazaniaihmbuagyeyerisqte kenya😂😢😊😂😂
Real Men don't argue with women thats why the OG didn't argue with Rosalee.
Ludisha heshima kwa Tanzania wewe
Tz tusha sahau kumbe mando wanaumia 😂😂😂😂😂😂 tz 🔥🔥🔥🔥a up ameja
😂😂😂
Reasoning ya haka kajamaa kamevaa white ni mbwakni sana
😢 10:14
Rosa leee anabana pua
Wapumbavu nyie KDF huyo jamaa hapo anawaambia ukweli. Muda huu rapper wenu anaomba msamaha huku
og hakuwa anatafuta beef alikuwa anapatia wabongo wasiokuwa na ubongo mangongo platform atleast wasikike
U Kenyans are suffering from complexe of superiority acheni ujinga wew unaponda misemo alafu unatupea misemo eti usibishane na Ndovu kunya.......
Hiyo sio msemo sasa?
The guy na standing is so ignorant mambo ya Og kukua na keja ....net worth ya kali iko chini sana we all know that compared to Tanzania artist...hapa tunaongelea rapp ..Timo leta watu wana brains studio sio kuropoka tu...ndo maana Tz wanatudiss ati atuna akili
Huyo jamaa anakuwanga na mndomo na kiherehere sana na hajuwangi kitu huwa anaongelelea... Si aende akakae huko tanzania.. namchukia sana na hizo mndomo mingi na poor thinking 💔🚮🚮
Don't forget OG is one army for all TANZANIA OG is fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Khali yuko chali kifo chamende
That guy is talking too much