Rehema za Mungu hakika ni kubwa mno kwetu. Nimebahatika kumwona mtunzi wa nyimbo hii akipiga kinanda Parokia ya Mt. Mathias Mulumba-Sahare Jimbo Katoliki la Tanga, Jamani Mungu wetu niwamaajabu sana. Mungu ambariki na siku Moja Ee Mungu Mwenyezi, fungua macho yake aone kazi yake hii nzuri Amina.
Haaya basi. walo na macho wanaona, wanao masikio wanasikia na wenye akili nzuri wakaelewa. Ushuhuda ndio huo. Iwe je wengine wetu hamwiimbii mungu. Jameni tumshukuru mungu kwa neema anazotupa kila siku. Mwenyezi mungu amneemeshe mtunzi na ampe maisha marefu.
hongera kubwa kwa mwl. Msoka kwa ujumbe mzuri ..... hasa nikikumbuka jinsi Mungu alivyokujalia vipawa vinhi kweli huu wimbo unasadifu.... maana kweli kama ni vipaji Mungu hakukupungukia pmoja na hali uliyonayo.... nakumbuka jinsi unavyocheza kinanda vyema naona ukuu wa Mungu ubarikiwe sana udumu katika utume ....hongeraa nyingi pia kwa Rajo productions..Mr. Ray hujawahi kukosea
Mungu awabariki na awanyeshee kwa mvua ya baraka
Mungu akubarikiii mtumishiii wa mungu najivunia kuwa mlomaniii
Mwanadamu bila Mungu hatuwezi bali ni kuendelea kumtukuza Mungu kwa sifa na utukufu wake kwa nyimbo na shukurani
Bwana azidi kuwa uvuli wangu kwenye jua kali
Rehema za Mungu hakika ni kubwa mno kwetu.
Nimebahatika kumwona mtunzi wa nyimbo hii akipiga kinanda Parokia ya Mt. Mathias Mulumba-Sahare Jimbo Katoliki la Tanga, Jamani Mungu wetu niwamaajabu sana.
Mungu ambariki na siku Moja Ee Mungu Mwenyezi, fungua macho yake aone kazi yake hii nzuri Amina.
Mungu akupe itaji la moyo wako wimbo ni baraka tosho
Haaya basi. walo na macho wanaona, wanao masikio wanasikia na wenye akili nzuri wakaelewa. Ushuhuda ndio huo. Iwe je wengine wetu hamwiimbii mungu. Jameni tumshukuru mungu kwa neema anazotupa kila siku. Mwenyezi mungu amneemeshe mtunzi na ampe maisha marefu.
Waooh ,,,wimbo mnzuri hakika mungu ni faraja hongereni wanakwaya
praise the Lord for every thing mungu n farajaaa ya kwel haijaishi m mapito mangapi tuliyonayo.....❤️❤️❤️❤️❤️❤️💞💞💞💞
Wimbo huu una hisia mzito zaidi❤🎉
Wimbo huu umenigusa. Barikiwe Mike na Ufunguo👍
Nafarijika kupitia huu wimbo asante sana wanakwaya mungu awabariki ciku zote za maisha yenu, Amina
Hongereni sana kwa uinjilishaji uliotukuka
Amen.Amen.Amen Bwana Yesu apewe sifa milele na milele.
The message, the message. Mungu aendelee kukuongoza nakukufundisha
Kaka kazi nzur sana
i am proud to be a Catholic God bless you all
Ubarikiwe mtunzi kwa utunzi mzr
Who is with me watching me may 2020 may God bless u all,😃😃😃🔥🔥🔥🔥🔥👍
Wow congratulations
So interesting and lovely song
Amina mtumishi wa mungu barikiwa mnoo kwa Wimbo
Nimenenepa kupitia wimbo huu🙏🙏
Bwana ww ni uvuli wangu kwenye jua kali 😢😢😢😢😢 asante Mungu wangu kwa kuninyeshea Mvua ya Baraka!💫💫💫💫 mmenitoa choz huu wimbo asanteni Waimbaji!
.ubarikiwe mtunzi na kwaya pia
UKWELI ......
Aminaa
wimbo umenoga kweli
Mtunzi hongera sana na wanakwaya kwa jumla tena mbarikiwa sana mno,kutoka Kenya lakini kwa Sasa Niko Doha Qatar
sifa na utukufu ni kwako eeh mungu wetu ulinde na unenemeshe watunzi wetu na nyimbo tamu upenya mipaka yote
Hakika Mungu ni mkuu!!!! Hongereni Sana!
Anayeimba anasali Mara MBILI
MUNGU ni muweza hakika haikua rahisi Lakini kazi hii tumeitimiza kwa mapenzi yake AMINA
Wimbo wamatumaini. Abarikiwe sanaaa
Haleluyaaa Bwana wewe ni mwanga kwangu jizani usiku Amina Mungu awabariki sana
Safi sana. Endeleeni kuinjilisha bila kurudi nyuma.
Wimbo mzuri sanaaa mungu akubariki Mwalimu
Rajo hamjawahi kuniangusha, mnafanya kazi njema. Dumuni hivyo kwa sifa na utukufu wa Yesu
Tusipomsifu Mungu, mawe yatainuka yamsifu. Wimbo mzuri sana sana sana, kila atayeusikiliza naamini utambariki.
Hongera sana PAUL MIKE MSOKA.Asanteni sanawaimbaji wote wa kwaya hii.Mungu awabariki sana
Mpo vzr Sanaa,Ansanten kwa Uinjilishaji
Hongereni sana. Mwenyezi Mungu aendelee kuwaongoza katika utume wa kuimba. Bado tupo pamoja kiroho, Big up my choirmates,,
Yote ni kwa uwezo wa Mungu
Hongera sana mwalimu Paul Mike Msoka kwa utunzi wa wimbo mzuri.
Pia hongera sana wanakwaya kwa kuimba vizuri.
NYIMBO NZURI SANA
Ongera sana
Nimebarikiwa na wimbo!
Hongera sana mtunzi, hongera mno waimbaji!!!!
Moyo wa yesu ufalme wako uwafikie hawa watumishi wako
Phewww, aki nimetafuta hii nyimbo
Hakika Mungu, wewe pekee ndiwe chemchemi ya faraja. Hongera Rajo kwa kazi nzuri
Msoka Paul
@@elizaromanus3952 yes Eliza
hongera kubwa kwa mwl. Msoka kwa ujumbe mzuri ..... hasa nikikumbuka jinsi Mungu alivyokujalia vipawa vinhi kweli huu wimbo unasadifu.... maana kweli kama ni vipaji Mungu hakukupungukia pmoja na hali uliyonayo.... nakumbuka jinsi unavyocheza kinanda vyema naona ukuu wa Mungu ubarikiwe sana udumu katika utume ....hongeraa nyingi pia kwa Rajo productions..Mr. Ray hujawahi kukosea
Amina mwalimu
proud to Catholic. excellent
Paul Mziba
@@getrudaandrew4369 naam Getrude
Hongera sana kwa wimbo huu
beautiful song
nabarikiwa 2022
Fidolin B nakukumbuka sana natamani tuwasiliaene
Herini kwa sikukuu yenu kwaya ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Udsm
Hongera mwl Msoka kwa wimbo wenye kubeba yaliyoujaza moyo wako. Mungu aendelee kuwa wako kiongozi na faraja ya kweli kwako!
Amina
Nikweli Mungu ni mwema
the best song ever
I really enjoyed the song and admired the sings mostly man with their dancing stile
God bless you brothers and sisters for wonderful performance you are helping us worship our God well
I really enjoying listening this music
Roho mtakatifu azidi kukaa ndani ya moyo wako...
Amina
nimeipenda sanaaaaaaa
hongereni sana kwa wimbo ulio beba dhima na ujumbe juu ya mapito yetu hapa duniani mbarikiwe sana na mungu
Barikiw San kazi nzuli San
Mmependeza na ujumbe mzito mmeutoa
Nyimba nnizuli ubalikiwe sana
Congrats mr.mushobozi
Na Mola aibariki kazi yenu nzuri . Watching from Doha QATAR
Amina sana na Mungu akubariki sana...
kazi nzuri saana .,,.pongezi kwa cool nzima ya RAJO pro
Wow Hongereni sana wapendwa kwa wimbo mzr pia mtunzi Mungu akubariki sana asante kwa wimbo mzr
Uzidi kupokea na kukaa kwenye chemchemi ya faraja. Amina.
Consolata Zachalia Awabariki Mungu wa Yakokobo
Mungu awabariki sana , asanteni kwa kumsifu Mungu.
Sifa na utukufu ni vyake Mungu wetu aliye mkuu. Ubarikiwe mwalimu Msoka
Mpaka natamani nijiungenanyi
Hongera kwa wimbo mzuri
This is awesome. Proud to be a Catholic
Mungu Ni mwema Kazi nzuri Sana'a
Mungu mwema chemchem ya faraja
Very nice all of you...i like you're all vidios....god bless everyone...
amazing voices
Asanteni sana kwa Uinjilishaji huu. Mungu aendelee kuwatumia kutupatia ujumbe na burudani.
Mungu ni mwema
Kazi nzuri ii
wimbo mzuri
Kazi nzuri mbarikiwe
Ni nani zaidi ya Mungu aliye juuu hongeren ujumbe mzr sna
Hi where can I get ur songs plz am in Nairobi
God iz good all the time.
Mungu wa mbingun awabariki sana
A blessing .Beautifully done.
Very well arranged and delivered with high level of quality
Kazi nzuri sana
What a song wonderful 🔥🔥
A lovely composition
3/12/2020 still napata baraka za huu wimbo
Wonderful servants of the Lord, be blessed as you bless others too, Kennedy Ogembo also a gospel artist on TH-cam.(powerful message)
Praise the lord all the time
Mabodada
M
So nice song may God bless you
Nawakubali sana
Smart song
Hongerani maclass mate 2012-2015
Hakuna kama Mungu yeye aliyekuwako naye yupo ndiye NIKO AMBAYE YUPO MILELE YOTE MUNGU AWATIE MOYO KWA KAZI YAKE
Nzurii Sana hongereni mno
Good song
Kwa kweli Mungu wetu Ni chemchem ya faraja.
This is awesome. Proud to be a Catholic.
Kazi nzuru .. Mno Mungu atukuzwe.. Kwa njia ya uimbaji .. .Naombeni Nota za hii nyimbo
Tuwasiliane Wilhard +255767265930
Mwenyez Mungu azidi kuipa neema familia yako Na weww daim wanakway hongera
Amina
Hongereni Sana waimbaji pamoja na mwalimu aliyetunga winning huu
Vizur sana
Amina vizur sana
Hongereni San
Nafalijika sana