ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
'NITALETA KALONZO KWA SERIKALI YANGU!' RUTO TELLS KAMBAS AS HE WOOS THEM TO SUPPORT HIS BID!!
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2022
- Kenya Digital News brings you the latest news as they happen in a DIGITAL way.
For more news, subscribe to our TH-cam Channel because the future is Digital.
Click here to subscribe to our TH-cam Channel: / @kenyadigitalnews
#KenyaDigitalNews
Kenya kwanza unstoppable
The 5th president of the Republic of Kenya
Dp ruto the 5th president of the Republic of Kenya
General Ruto William we are fully behind you Sir. Kindly Sir as you advice Chiefs, tell them not at any time should wear their uniforms while in political rallies 💚💛👏👏👏👏
Ruto a political genius
Kalonzo akuje tu kwetu mahustler
Ruto the 5th
DR RUTO FORWARD EVER
Rutoooooo the 5th
Ruto tosha.
Ruto amepeleka mtu mbio, roundi hii hana bahati
Hehehehe waaaaaaa naona tu hivo
Ruto tosha
The 5th president ruto
Ruto is enough wale wgne bondo
Raila TOSHA huyo 37ulikua nayo wapi wewe ruto ndio mtapeli
Ruto ☑️ wakamba tuko ndani
This man knows how to inbox 📥 people
Desperate times
Ruto tosha and need president because is energetic and hardworking, we have seen with our eyes, Ruto tosha
God bless Kenya
Raila tibim ✔️✔️✔️
Hata Yale mawe utanunuliwa na ndindi nyororo atarusha kwake nyumbani
Hahahaha, this guy though,,, politics really a dirty game.
Wezi ndio uibe pesa umalize,teta mpaka mwisho chiefs wanajua hiyo n serikali,toka uende wexi nyinyi dont attack our leader again
Baba ✔️✔️✔️
Eddy kenza
Kalonzo ni watermelon 🍉
😀😀😀😀.Ruto tosha
Eti hii pia ni manifesto??
Rutonated everywhere rutooooooooooooooo toshaaaaaaaaaaaaaaa he is the best
Ruto ni mbinafsi hakuna hahali anaenda, kwanini hataki bei ya vitu zirudishwe chini, atakosa kitu ya kusema kwa siasa zake, huyu si kiongozi ni mwanasiasa, ako na malalamishi nyingi ni kama anadhani wakenyi ni wajinga
Hahahaha aliitwa watermelon murudishe kwako kabisa ndo asiitwe melon
This is manifesto?
GO TO AZIMIO KAMA WANAHUBIRI MANIFESTO........HATA RAILA HAJUI ANAAMBIA NINI WANAICHI🤣🤣
manfesto ili somwa ulikuwa wapi?
Serikali ni ya wakenya sio Yako . Kwani wakenya wangapi wamequalifie kufanya kazi , you are talking of Kalozo, that guy has been in senior position since ages, does that talk of your bottom up?
This politicians are good in conning Kenyans. This guy is only good in campaigning.
Why talk about people, wakamba mnapagwa ama nianje
Hatuwezi pangwa na wezi sis
Wacha matusi....kalonzo ako kwa serikali
Serikali Gani Kalonzo Ako ? Kalonzo is truly water melon as Raila baptised him
Baba the fifth upende usipende
Kwenda uko ww unatusi KALONZO km nan ww, uwezi itisha kura ya wakamba ivo naniii
Too late for you Ruto.
Ukambani sahau Mr ruto sio sai labda 2032
Ongesa volume asikie
Tuko
Akuna kitu unasema wewe
Ongea vitu za maana
Hiyo ni ndoto ya mchana utaona serekali kwa vyu sasa
Baba Tosha the fifth president Republic of Kenya Raila Amollo Odinga
Ruto unachezwa na wakamba
Nothing like that this time around kamba land is battle ground
Rutooooooooo the 5 th
Wakamba mlio wachache danganyweni
We don't know who u aree nonsense and i which ningekuwa uhuru ningefunga ww
Ongea kitu I nawesa kusaitia watu wachana nauongo mingi atakusaidia baba tosha
Surely huyu ni president yupi aki hana Manufesto kazi ni kitendawili
Azimio hawana lao their agenda is ruto too they have nothing else
afadhali huyu kuliko azimio agenda Yao nikuskiza record ruto aliongea.
Kiboko ya babko ni Ruto this time no half 🍞 😂
Kalonzo ni watermelon
Uogo yako wewe
Ruto wewe ni bure kabisa kama Sudi
Ruto Kweli umekwisha kabisa umebakia porojo porojo kama,muuza 🥜 karanga,huna la kuwaambia wakenya Zaidi ya ukora na kuwapotezea wasikilizaji wako muda.
Ama kweli nyani alikaribia kufa miti yote huteleza.
Kijanaa siasa haitaki emotions 😂😂😂😂😂😂😂skiza kile unaskiza uamue kura ni ya nani feelings toa hapa 😂😂😂alaaa
@@pkm5803 mwambie feelings apeleke mbali
@@chelangatnancy3329 ndo hawa wanaandamana mpaka wa leo hahahah
Ruto matusi haitakusaidia waambie wananchi sera zako zenye utawafanyia, damu ya watu waliouwawa hawatakubali uendelee kunyanyasa wakenya, eti wakati opinion pol iko upande wako kila kitu iko sawa ikiwa kwa azimio eti ni ya uongo, bei ya unga ikiwa juu unalaumu rais amvaye wewe ndiye naibu wake, ikirudishwa chini, ata karibu ujinyonge, wewe ni mbinafsi sana, ata wakenya kukula ugali inakuuma sana, lazima urudi sigoi
Ruto tosha