zijue spare za simu muimu namatatizo yake sehemu'A @/Mr.p fundi simu hardware master

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • Video from Mr. P Fundi

ความคิดเห็น • 14

  • @mosseslembris3183
    @mosseslembris3183 2 ปีที่แล้ว +7

    Capasitor inapimiwa kwenye microfarred.. siyo kwenye common.
    Pia diode ya rectifier kazi yake ni kubadili ac kuwa dc mara nyingi zinakaaa kwenye chaja ya simu.. pia hakuna diode inaitwa pcb... pcb ni kifupi cha Printed Circuit board.. yaani saket yanye michoro au ramani ya component... pia transistor inaungua mara nyingi sanaaa.. na ina miguu ya collector, emiter na base... pia kwenye simu component inayoongoza kwa idadi kubwa ni transistor na siyo capacitors.. proccesor tuu enyewe ina nano size transistors 2600000.. so uwe makini kidogo watu wako wasipotee...

  • @joelnimbona1199
    @joelnimbona1199 ปีที่แล้ว

    Hau sikiki vizuri

  • @johnmwenebantu1208
    @johnmwenebantu1208 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up br, naomba ungetuelezea na kaazi za hizo components, pia kama mm fundi mdogo xana naomba uelezee, ic zinazo sababixha sim kuwaka, ASANTE BROTHER.

    • @mr.pfundisimuhardwaremaste4376
      @mr.pfundisimuhardwaremaste4376  2 ปีที่แล้ว +1

      Shukrani ntajitaidi niwape information kamili endelea kufwatilia pia sambaza link subscribe like na comment yako ni muhimu sana

  • @livingit1732
    @livingit1732 3 ปีที่แล้ว +1

    Earned a sub!

  • @johnmwenebantu1208
    @johnmwenebantu1208 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro sim za abroid zinazingua zikizima , moto unafika kwenye power key button ila nikiwasha sim haiwaki naombo maelekezo kuhuxu hilo

    • @mr.pfundisimuhardwaremaste4376
      @mr.pfundisimuhardwaremaste4376  2 ปีที่แล้ว +1

      Hookey ukiona ivyo basi ujue cpu mbovu

    • @jarorya255
      @jarorya255 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mr.pfundisimuhardwaremaste4376 naomba elekezi hapo pia kwenye cm inayochukua charge alafu inashusha haipandishi na system charge ni nzima sio mbov

  • @Laizer3
    @Laizer3 7 หลายเดือนก่อน

    ukimwambia mtu kifaa inabidi umuoneshe kwa mshale siyo kusema tu ,alafu tafuta kamera nzuri