Andrew Gitenyi Barongo alizaliwa 1950 katika wilaya ya nyamira wakati ule. alianza mziki 1968 kwa kusikiliza tu wanamziki wa kitambo wakicheza, alitengeneza gita lake na kuanza kujifunza mwenyewe. alirekodi na bendi ya mokomoni young stars pale chandarana 1978. mwaka wa 1979 alijiunga na kegogi jazz chini ya kiongozi marehemu christopher monyoncho, baadaye alijiunga na nyakoora success. mengi nitakupa video ya mahojiano naye moja kwa moja. hii ni vol. yake ya kwanza iliyojulikana kwa jina OBORABU 1981 1. Esabari Nairobi 2. Mwalimu Nyaanga 3. Safari Hotel 4. Chisumu 5. Jackson Mokua 6. Mobamba Young 7. Ababugi Bamabundu 8. John Tai solo.............Moses Oyaro (member) rhythm.........Andrew Gitenyi Bass......Joseph Aboki Drums....oduor vocals: Ben Gisore and Lawrence Agwata
Good work, we will support you
I wish u success my dear dad for your good word
It was really aband for omogichora and Gusii atl large nice song
Ntotakeire tokonye ababugia abakoro Bamabundu basokie chibicha
Andrew Gitenyi Barongo alizaliwa 1950 katika wilaya ya nyamira wakati ule. alianza mziki 1968 kwa kusikiliza tu wanamziki wa kitambo wakicheza, alitengeneza gita lake na kuanza kujifunza mwenyewe. alirekodi na bendi ya mokomoni young stars pale chandarana 1978.
mwaka wa 1979 alijiunga na kegogi jazz chini ya kiongozi marehemu christopher monyoncho, baadaye alijiunga na nyakoora success. mengi nitakupa video ya mahojiano naye moja kwa moja.
hii ni vol. yake ya kwanza iliyojulikana kwa jina OBORABU 1981
1. Esabari Nairobi
2. Mwalimu Nyaanga
3. Safari Hotel
4. Chisumu
5. Jackson Mokua
6. Mobamba Young
7. Ababugi Bamabundu
8. John Tai
solo.............Moses Oyaro (member)
rhythm.........Andrew Gitenyi
Bass......Joseph Aboki
Drums....oduor
vocals:
Ben Gisore and Lawrence Agwata
Woo
Well arranged
My teacher oyoMose
Keep it up
Buya kabisa 1980
EGASI ENGIYA KEGIMA
we need to boost the band