Leo nimekubali kweli yanga bingwa iwe isiwe yanga bingwa,kwani aliyekuwa juu alimuacha yanga goli nyingi sana na points za kutisha Leo hii wamesawazisha magoli ya kufunga aliyepo juu amebaki na faida ya point Moja tu wakati alikuwa na faida ya kumuacha point na magoli mengi,sasa hapo ndo watajuwa hawajuwi, iwe mvua iwe jua yanga bingwa,mbaya zaidi anajuwa kimataifa yanga hayupo vzuri hatakubali kumuacha ubngwa wa ndani,hata huyo Simba naona anaenda kufumuliwa tena hata kama siyo kwa magoli mengi lakin atafumuliwa
Nawasihi2 mashabiki wa yanga nawengine Tafadhali Tafadhali Tafadhali chungeni maneno kumbukeni yale maneno ya yule mshabiki kua anataka acheze na malaika hana wakucheza nae et nini kilichowakuta. Huo niushauri wng kwenu sijamzuia mtu kuongea anachojiskia ila tufaham kua maneno yanaumba!!
Yanga bingwa gonga like tukutane mwakani💚💚💚💚💚💛💛💛
Yanga bingw wa nn
@@OmarSuleiman-o8o NBC..au mpaka uambiwe😂😂😂😂
@@frida-oi6kw yan kam muliwach simb point 5 alaf mukaachw kwa point 1 mukamtum dada yen jan awazuie simba akashindwa
Unabeba vyote kma ilivyo misimu miwili nyuma
@@OmarSuleiman-o8osawa tutachukua hizo kwenu
Huna baya sam hongera❤
Makolo wameukubali mziki wa yanga sema yanga bingwa💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Yanga bingwa
Sisi hatunaga roho mbaya kama nyie
Hahaha channel yenu hii huwez kuona shabik wa Simba anahojiwa hapa Hawa wanavaa jezi TU mashoga
Hongera kwa uchambuzi mzuri sam huna bayaa kaka
Yanga bingwa tena💚💚💚💚💛
Tunao tazama huuu mdaaa gonga like🎉🎉🎉🎉
Yanga bingwaa💚💚💚🎄🎄🎄🎄💚💚🇹🇿
Leo nimekubali kweli yanga bingwa iwe isiwe yanga bingwa,kwani aliyekuwa juu alimuacha yanga goli nyingi sana na points za kutisha Leo hii wamesawazisha magoli ya kufunga aliyepo juu amebaki na faida ya point Moja tu wakati alikuwa na faida ya kumuacha point na magoli mengi,sasa hapo ndo watajuwa hawajuwi, iwe mvua iwe jua yanga bingwa,mbaya zaidi anajuwa kimataifa yanga hayupo vzuri hatakubali kumuacha ubngwa wa ndani,hata huyo Simba naona anaenda kufumuliwa tena hata kama siyo kwa magoli mengi lakin atafumuliwa
Very true yanga bigwaaaa In Sha ALLAH 🙏🏻Mungu zaidi 💚💚💚💚💚💚
Simba haijawahi kumuacha yanga point nyingi ila magoli mengi ila yanga ilimuacha simba point nyingi lakini imekuwa tofauti
Ni mwaka mzuri, Yanga haizuiliki
Yanga juu. Juuu sana.🌻🌻💐💐💚💛
Huyu jamaa huwa anaongea vzr anakitu atafika mbali
Msheli ana cleensheat 3 na yanga amefunga magoal 32 ndoo team iliyo funga magola meng had sasa
yanga bingwa bila kupingwa
Hongera Sam Simba ww unajua mpir huongei ushabik maandaz kabisa ukifa huoz
Jamani tumerudi kwenye furaha yetu ❤❤❤
Umeongea vizuri sana huna baya
Asante kaka🙏🙏
Yanga bingwa yanga bingwa yanga bingwa
Sam Simba bro. Uko vzr mashabiki tunatakiwa tuwe kama Sam Simba hana upenzi na team tuseme ukweli
Shabiki wakolo mwenye Akili kidogo Safi sana umechambua vyema kuliko hata Hans Rafael
Yanga bingwa❤❤❤❤❤❤❤
Wananchi tuamkeni sasa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yanga Bingwa 💪
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤yanga
Jamaa anajuwa kuchambua Kama Mwalimu kashasha
Upo vizuri hakika wewe ni huna usimba na yanga niwachache sana watu kama wewe
Sam Yanga hongera
Yanga bingwa
Yanga ni ya moto sio ya kitoto
Sam Simba ukovizuri huna mbamba kweli yanga apewe Kombe lake kolo fc wamenuna
Sam nakupnda kwanza unaongea vizuri afu pili unataja vizur jina la yanga dar young African 😂💚💚💛💛
Kwann huyu jamaa asiwe mchambuzi tu maana anajua sio mara moja namsikiliza anachambua bila makandkando
Yanga ya side boy
Tunasubili pointi zetu toka kwa simba
Wekundu wa msimbazi simba wachache akiwemo Sam simba namkubali sana mpira anaujua sana
Sam uko vizuri sana
Mtu wa mpira Sam simba
Haswaaaa
Yang bingwa
Nakukubari sam wa ukweliii
Sam Huwa nakukubali
Imeandikwa yanga bingwa Mara kumi mfululuzo
Yanga hailali tena
hiyi ndiyo yanga tunayoitaka
Yanga imesha ivi saiz tim yoyote inayokuj ijipange
Halafu nyie hao hao mlikuwa mnasema yanga mbovu leo hii yanga ipo vizuri jaman
My wetu 😂😂😂
Mechi nne za mwisho yanga kwenye ligi imefunga goal 16
18
daima mbele nyuma mwikooo
Yule msenge wa singida alisema hawezi kufungwa goli zaidi ya 1 kikowapi kawapomza wenzie kamdomo kamdomo
Clean sheet 3
💚💚💚💚💛💛💛💛💛
Balaa
💚💚💛💛
😂😂😂😂Sead Ramovic..a.k.a (said boy)
Ongera mtan kwa kukubali Yanga hata weulishawai kupigwa
UKO VIZURI SANA
Jamaa anajuwa sana mpira
Jamaa sam utafika mbinguni bila rushwa
Oya Sauti Mbaya haisikilizaji Uzuri!
Hii Yanga wengi watanunaaa kweri uwongo😅😅 ubingwa unakujaaaa
Uko vizuli sana
AAA SAM YANGA FURAHA YAKO LAKINI SIMBA TUKO KILELENI NA HAKUNA WA KUTUPIKU INSHAALLAH MUTABAKI NA WIVU NA HASADA ZENU TU MWAKA HUU NI UBAYA UBWELA
😂😂😂The time will tell huu mziki wewe wakuweza?
Kweli. Yanga bala😂😂😂😂😂😂
Tunawazid goal moja
Bulaza unalijua boli kabisa unaisema kwel❤❤❤❤❤❤❤
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Umenichekesha hapo kwenye bulaza
Unamkosea kocha la makoch sio side boy ni GERMANY MATCHINER
😅😅😅😅😅😅😅😅
Alafu Sam eti side boy
Yanga kafunga magoli 32 sio 31
Jamaa anajua nasitairi kuwa mchambuzii
Unafaa sana kuwa mchambuzi
Hatupoi mpungawaohoyee
Wewe Filbert Simba Imefungwa Mara 4Na Yanga Nanyie Simba Mliwauzia Yanga Wacha Kuongea Bila Kufikiri Kabla Hujasema Jitathmini Wewe Mpumbavu
Kwani ukiambiwa Yanga wananunua mechi wakati hawajanunua unaumia nini? Ukiona unaumia basi kweli wananunua😂 😂 😂😂😂
Kwa upande wangu huyu jamaa anaujua mpira
Kichwa Cha habari na kilicho hojiwa ni yofauti. Jifunze kwa Mpenja TV
Akili kubwa
SAM mwanasoka
Sam Simbwa anajua
Wanatafuta TU followers Maisha
❤❤❤❤
Wanasimba acheni makasiriko...huyu anaongea mpira sio ushabiki
Nawasihi2 mashabiki wa yanga nawengine
Tafadhali Tafadhali Tafadhali chungeni maneno kumbukeni yale maneno ya yule mshabiki kua anataka acheze na malaika hana wakucheza nae et nini kilichowakuta.
Huo niushauri wng kwenu sijamzuia mtu kuongea anachojiskia ila tufaham kua maneno yanaumba!!
❤
Boresheni upande wa sauti haisiki vizuri
Simu yako Ina shidaa
Kwa kwr wee ni mwana michezo unajua kuongea ukwr ( uhalisia )
HIVI UMEANGALIA MPIRA WEWE, MAGOLI YA BAHASHAA HAYOO YANAONEKANA WAZIWAZI
Na yale ya SIMBA waliopigwa 5 yalikua niya bahasha tumia akili broo usiseme tu kiushabiki ukiwa na akili ya kiatu utapata taabu sana wallah
Kolo ni kolo. Yanga magoli 32 - 6 = 26.
Msheri clean sheet 3
Uko vzr comments zina mashiko sana
Mhmh muhongo huyo
😢
Tatizo ni mdomo
Huu ndoushabiki kwenye kweli unasema kweli soklaktu mtu anakuwa anapinga tu
Kaka wewe unaweza kuchambua mpili
Simba kitimu kibovu
Apo kwa msheri umekosea leo ni clean shit yake ya tatu
Simba wewe pia ulifungwa na Yanga ulinunuliwaa
Msheri ni ya tatu leo
Uchsmbuzi wa kubumba..
Kwanini kuchanganya lugha ?!?
Kipanga mkwapuaji nyuma ya mnyama, mpk mseme!
Huyu nae ni mwanaume kweli
Kajaribu kumpa
@@JeniphaRobert😂😂😂
Jmn mbona hatumuoni mchome kama anaumwa mtuambie jmn