DAKIKA 10 ZA MICHANO YA "WABUNIFU" | AZCOM & MC WA ZAMANI KUTOKA MABATINI MWANZA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ส.ค. 2023
- Karibu kutazama Dakika 10 za michano na Wanetu wanaounda Kundi la (Wabunifu) AZCOM & WAZAMANI Kutoka Mabatini jijini Mwanza kwenye Kipindi cha "Drop Bars" hapa VOT Media.
Unawapa % Ngapi wana kwa Michano hii..?
#votent #dropbars #hiphop #hiphopmusic #hiphopculture #tumechangamka - บันเทิง
Like kwa Mc Azcom
Mc wa Zaman unanikumbusha Kad G respect kwako
Dj miyeyusho sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hiphop back to my city
Awa jamaa noma sn, imekuwa session yangu pendwa kuitizana
Dj wa ki ovyo sana! Hayumo
Kaua❤ #tellaaxistz
Saf sanaa
Namkubali sana AZCOM ila MC WA ZAMANI 🚫 hatari
wana wanajua sana
Hamna Dj hapo
Hawa mschizi n real definition ya mc, hawatumii nguvu kbs
Flow is🔥🔥🔥
Home boy mwanza cty
Awa jamaa wako vizur flow tamu sanaa
💯👊
Azcoom wamoto sana hlf kasizi kisenge jamaa😂
Tanzania inasikitisha sana kwenye tasnia ya muzik kwa wasanii wetu au ndo media zinakua na wasanii wao!!? ona hivi vipaji halafu kasikilize unawaowasikia kila siku ambao hupewa airtime ndo utagundua mambo ni magumu sana
Wanao hoja awapewi nafasi
🔥
Jamaa wanajua sana
🔥🔥🔥
Noumaa 🔥🔥🔥
Mamaee nakubali fro🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Hawa kweli Wabunifu 🙌
Samahani naomba namba ya ofisi
Hardcor
Hii flow inaenda mdogo haichoshi🔥🔥
Jamaa wanajua atar
LegacyMabatini
oyaa huyo azcom daah mbona ni hatari sanaaaa
Mwanza kuna vipaji natumaini VOT Itakuwa mkombozi ktk kuviinua.
NAIONA HIP HOP KWA KWA MA EMc, >>> Hip Hop Bila Madawa inawezekana, BLACK NINJA SHIKA MKONO HAWA NDG. USISAHAU KUWAPELEKA WAKAPONE,, HAWA MAJAMAA NI PESA
wazamani naipenda floor yake nikama namsikiliza afande sele
Dj fala nn
Umemuona Dj Hapo!!?? Au Ushashiba Mihogo😂
Jamaa wajua paka wanakera
Mzigo nimeucheck naona niwenyewe kabisa
Balaa zito
Aise hii mizki iko wp sasa 😢 mnajua paka kujua
Mtangazaji.. hicho kipengele sio fanny yako... ata kama ni media ya mkoani.. weka beat nzuri bana. Au changanya. Sa beat gan izo, moja nzitoo kama uji, nyingine mwendo kasi. Mtambue rapa na aina ya midundo inayomfaa...
Hawa jamaa Wana flow tamu
Mausharp rasta kipind cha dani gunze ichi
Machizi wanaflow wanacontent af wanajua kupanga vina bila kuttoka nje ya topic inshort ni talent ogggg👊👊
Wana wanajua ila dj kazingua
wasela wanajua kinomaaa sema walikua wamesizi😅