TAHARUKI! KABURI LA MTOTO LAKUTWA LIMEFUKILIWA, MWILI HAUPO, MAMA WA MAREHEMU AISHIWA NGUVU...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Simanzi na huzuni vimetalawa katika makaburi ya kitongoji cha Kipondoda wilayani Manyoni mkoani Singida Baada ya Watu wasiojulikana kufukua kaburi la mtoto Christian Samson aliyekuwa na umri wa mwaka mmoja na mwezi mmoja aliyezikwa siku ya Jumapili iliyopita.
    Baada ya Kukuta Kaburi limefukiliwa ndugu kwa Kushirikiana na Wananchi katika kitongoji hicho Wametafuta Mwili Huo bila mafanikio kwa zaidi ya saa nne.
    Hii si Mara ya kwanza Kutokea kwa vitendo vya ufukuaji makaburi katika Wilaya hiyo Mkuu wa wilaya ya Manyoni ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya hiyo Rahabu Mwagisa akiwa eneo la Tukio amezungumzia vitendo hivyo.
    TAHARUKI! KABURI LA MTOTO LAKUTWA LIMEFUKILIWA, MWILI HAUPO, MAMA WA MAREHEMU AISHIWA NGUVU...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 23

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว

    Serikali iwape nguvu sana viongozi wa dini kufundisha watu kwanguvu zote kuwa na imani na khofu ya Mungu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +2

    Subuhanallah ss. Mtoto wamempelekawapi jamani inauma daaaa Dunia ya mwisho ss kuchukua Maiti bilayakuogopa Allah atunusuru

  • @jubilatemanase9050
    @jubilatemanase9050 2 ปีที่แล้ว +3

    Sema wabongo ushirikina unatutesa jamani duuh!!

  • @edwadjulias5460
    @edwadjulias5460 2 ปีที่แล้ว +3

    Zamwizi 40 ipo siku watapatikana tu wana manyoni tu shilikiane kwa hili imekua kelo sas nawapa pole wafiwa ote na wana manyoni kiujumla🙏🙏🙏🙏.

  • @verdianabanabi5943
    @verdianabanabi5943 2 ปีที่แล้ว +2

    Maajabu ya musa. Dunia kwisha.

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 2 ปีที่แล้ว +1

    jamani manyoni kwa uchawi hawajambo!... sasa mnamchukua maiti kumpeleka wp jmn?!!!

  • @lissacosmas6978
    @lissacosmas6978 2 ปีที่แล้ว +1

    kila muosha huoshwa hao mbwa waliofukua mtoto nawao watafukuliwa ivoivo

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 ปีที่แล้ว

    Manyoni na Alusha mbona matukio n mengi kuna shida gan

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Watu hawana hofu😭😭😭ya mungu

  • @hassanithabiti9500
    @hassanithabiti9500 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni 🤭🤭

  • @luluwhite3818
    @luluwhite3818 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @djtwinstar254
    @djtwinstar254 2 ปีที่แล้ว +1

    Waaaa

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 2 ปีที่แล้ว

    Yesu tuokoe

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว

    Aa bara kumezidii kunaongoza dunia

  • @leonardkapati3125
    @leonardkapati3125 2 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu wa wilaya honggra

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 2 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 2 ปีที่แล้ว

    Mhuuu mbona makubwa

  • @rachelmliwa9830
    @rachelmliwa9830 2 ปีที่แล้ว

    Au ndo mishikaki wanayotuziaga barabarani

  • @ezekielloylepayon5042
    @ezekielloylepayon5042 2 ปีที่แล้ว +1

    Acheni uchawi nyie mnawapa viongozi na wananchi wengine wakati mgumu

  • @drdavidomuswahiliofficiel8645
    @drdavidomuswahiliofficiel8645 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂# Diamond platnumz acheka sana baada yakuiona iyo video ebu bonyeza hapa uone kilisho muchekesha 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👆👇👇👇👇👇😂
    th-cam.com/video/1GWOPw8mq98/w-d-xo.html

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 ปีที่แล้ว

    Khaaa kunamikowa inatisha

    • @user-vm9pf5gb7m
      @user-vm9pf5gb7m 8 หลายเดือนก่อน

      Manyoni sio mkoa ni wilaya ya mnyn mkoan sngd mm nipo manyon samalia